• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • • Upendo kwa watoto wenye ugonjwa wa mifupa ambayo ni rahisi kuvunjika
    Katika jengo moja lililoko eneo la Xuanwu mjini Beijing, kuna shirika moja maalumu la kiraia linaloitwa shirika la upendo kwa watoto wenye ugonjwa wa mifupa yenye hatari ya kuvunjika, ugonjwa huo kitaaluma unaitwa 'Osteopsathyrosis', watoto wenye ugonjwa huo si kama tu huwa ni wafupi na wadogo sana, bali pia mifupa yao ni miepesi na ni rahisi kuvunjika kama vyombo vya kauri. Hivi sasa kuna wagonjwa laki moja hivi wa ugonjwa huo nchini China.
    • "Urithi wa Utamaduni Usioonekana wa China"-Usanii wa Nanqu wa Kabila la Watujia, China
    Nanqu ni usanii wa muziki unaochanganya kuimba na kuongea katika wilaya inayojiendesha ya Changyang ya kabila la Watujia, kusini magharibi mwa mkoa wa Hubei China. Usanii wa Nanqu unavutia kutokana na sauti yake inayoeleza hisia.
    • Familia yenye furaha inayoundwa na mke na mume kutoka nchi mbili tofauti
    Kadiri uhusiano wa kirafiki kati ya China na Laos unavyoendelezwa siku hadi siku, ndivyo ushirikiano kati ya nchi hizo mbili katika mambo ya siasa, uchumi na utamaduni unavyoimarishwa, na ndivyo mawasiliano kati ya watu wa nchi hizo mbili yanavyokuwa ya karibu siku hadi siku. Wachina na Walaos wengi zaidi wanafahamiana, hata wanaoana na kuunda familia zenye furaha.
    • Wachina wanaojitolea waimarisha urafiki kati ya China na Laos kwa moyo wa upendo
    Mpango wa utoaji huduma za kujitolea kwa vijana wa China katika nchi ya Laos unaandaliwa na kamati kuu ya Umoja wa vijana wa China na wizara ya biashara kwa ajili ya kuongeza maingiliano kati ya China na Laos.
    • Bw. Anura, kijana wa Sri Lanka anayeipenda China
    Mwandishi wetu wa habari alimwona Bw. Anura katika sehemu ya Xuanwu mjini Beijing, akiwa anawaelekeza wateja njia ya kutengeneza chai nyeusi ya Lanka katika duka lake la chai.
    • Watu watatu kutoka India wanavyoielezea China
    Miaka zaidi ya 40 imepita tangu idhaa ya Kitamil ya Redio China Kimataifa ianzishe matangazo, wageni wengi kutoka India na Sri Lanka wamewahi kuja China na kufanya kazi kwenye idhaa hiyo ya Redio China Kimataifa.
    • Sikukuu ya Shoton ya kabila la Watibet
    Mkoa unaojiendesha wa Tibet ulioko kusini magharibi mwa China unajulikana duniani kama ni sehemu nzuri yenye miujiza. Mkoa huo una kilele cha Chomolangma, milima na maziwa mazuri yenye mvuto, utamaduni wenye historia ndefu na wanyama na mimea ya ajabu ya uwanda wa juu.
    • Shughuli za usafiri wa ndege na vyombo vya safari za anga ya juu zaendelezwa kwa kasi nchini China
    Tarehe 27 Setemba mwaka 2008, kwenye anga ya juu umbali wa zaidi ya kilomita 300 kutoka ardhi ya dunia, mwanaanga wa China Bw. Zhai Zhigang alitoka nje ya chombo cha Shenzhou No.7 cha kuwasafirisha watu kwenda anga ya juu, na kuwa mchina wa kwanza kutembelea kwenye anga ya juu
    • Ujenzi wa miji midogo wachangia maendeleo ya sehemu za vijijini nchini China
    China ina wakulima wapatao milioni 900 ambao wanachukua theluthi mbili ya idadi ya wananchi wote wa China. Katika muda wa miaka 60 iliyopita, hususan katika miaka 30 iliyopita tangu China ianze kutekeleza sera ya mageuzi na kufungua mlango, wakulima wamepata maendeleo makubwa na maisha yao yameinuka sana
    • Ala ya muziki ya Tsuur ya tawi la Tuvas la kabila la Wamongolia
    Watuvas ni wa tawi la kabila la Wamongolia ambalo idadi ya watu zaidi ya 2,000, watuvas hasa wanaishi katika misitu na milima mikubwa iliyoko sehemu ya kaskazini ya mkoa unaojiendesha wa Xinjiang Uyghur.
    prev 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 next
    SearchYYMMDD  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako