• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • • Mweledi wa Taichi-Liu Daiming
    Ni siku moja kwenye mwezi Agosti yenye ukungu na hewa ya unyevu. Mweledi wa Taichi, Liu Daiming mwenye umri wa miaka 38 anatoka mjini saa 3:30 asubuhi, akielekea kwenye uwanja uliojificha mbali na barabara. Leo atakuwa na darasa hapa.
    • Siku moja katika maisha ya mwongoza bendi ya okestra wa Tibet
    Bw Bianba mwenye umri wa miaka 50 ni mwongozaji mkuu wa bendi ya Philharmonic Orchestra ya Tibet. Akiwa mwongozaji pekee wa Tibet kwenye bendi ya symfoni okestra nchini China, Bw Bianba amejitahidi kueneza muziki wa kitibet nje ya Tibet na kufahamisha muziki wa magharibi mkoani Tibet...
    • Tarishi Liu Chengjiang
    Liu Chengjiang, tarishi mwenye umri wa miaka 30 na kitu hivi, anafika kazini kwa pikipiki, na anavaa kofia ya chuma, glovu na kitambaa cha ngozi cha kuhifadhi joto kwenye miguu, wafanyakazi wenzake wamefika vilevile wakiwa wamevaa sare. Matarishi hao wanakusanyika hapa kila asubuhi kwa ajili ya kuchukua vifurushi watakavyosambaza...
    • Siku moja kwenye ukumbi wa mazoezi
    Zhou Yi'nan, mwenye umri wa miaka zaidi ya 30, alianza kufanya mazoezi ya viungo alipokuwa katika shule ya sekondari. Hivi sasa yeye ni mwalimu wa mazoezi ya kujenga mwili kwenye ukumbi wa mazoezi uliopo mashariki mwa China. Siku ya mwalimu huyo inakuwaje kwenye ukumbi wa mazoezi, anawafundishaje wateja wake, kuna kitu chochote maalumu kwenye mlo wake wa kila siku?..
    • Mchezo wa redio wa kabila dogo "sigh of snow mountain" waelimisha watu jinsi ya kujikinga na ukimwi
    Hivi sasa, China ina zaidi ya watu elfu 300 walioambukizwa virusi vya ukimwi, ambao asilimia 20 ni wa makabila madogo madogo wanaoishi katika sehemu za mpaka wa kusini mwa China. Waelimishaji wanajaribu kutafuta njia mpya ya kuwawezesha wakazi wa sehemu hizo waongeze ufahamu kuhusu ukimwi...
    • Dereva mmoja wa baiskeli yenye magurudumu matatu mjini Shaoxing
    Siku hizi watu wameanza kuzoea usafiri wa mabasi au teksi kwenda sehemu mbalimbali. Lakini katika baadhi ya miji midogo na yenye ukubwa wa kati nchini China, baadhi ya watu hupanda baiskeli yenye magurudumu matatu. Meng Xueqing mwenye umri wa zaidi ya miaka 50 ni dereva wa baiskeli yenye magurudumu matatu mjini Shaoxing, mashariki mwa China. Tufuatane naye tuangalia Bw huyo anavyofanya kazi zake siku nzima..
    • Ubunifu ni njia moja ya kujieleza
    Zhang Da si mtu anayefahamika kwa watu wengi nchini China ingawa yeye ni mbunifu hodari. Bw Zhang amekuwa mbunifu wa nguo za chapa maarufu ya kifaransa, Hermes, lakini ameepuka kufuatiliwa na watu kwa miaka mingi. Lakini sasa anapongezwa na watu wengi kutokana na maonyesho yake ya kwanza ya mavazi, na anatarajia kuwa, watu watamfahamu yeye na mawazo yake kuhusu ubunifu..
    • Zhu Weishang: kupanda matufaha ni kupanda furaha
    Zhu Weishang mwenye umri wa miaka 39 amepanda mitufaha kwa miaka 21, na kusifiwa kuwa mkulima bora zaidi wa matufaha mjini Yan'an, kaskazini magharibi mwa China. Mwaka jana, alisajili chapa yake ya matufaha kwa jina lake "Weishang". Anasema kupanda matufaha ni sawa na kupanda furaha yake. Anapata faraja sana anapofanya kazi katika shamba lake la matufaha kila siku na kushuhudia jinsi miti hiyo inavyokua. Anasema hiki ni kitu chenye thamani kubwa sana maishani mwake...
    • Jun Yihao, shabiki wa majumba ya makumbusho
    Katika kitongoji kilichoko kaskazini mwa Beijing, kuna nyumba moja yenye bustani. Mwenye nyumba hiyo Jun Yihao ana umri wa miaka 47 ni msanii, mhifadhi wa vitu vya mabaki ya kale na mfadhili. Zaidi ya hayo yeye pia ni shabiki wa majumba ya makumbusho. Si kama tu Bw Jun anatembelea majumba ya makumbusho katika sehemu mbalimbali duniani, bali pia anajenga majumba maalumu ya makumbusho nchini China kwa ajili ya watoto wanafunzi...
    • Maisha ya uzeeni ya Wachina
    Wachina wana mtizamo tofauti na watu wa nchi za magharibi kuhusu maisha ya uzeeni. Kwa wazee wengi wa China maana kubwa ya maisha ya uzeeni ni kukaa zaidi pamoja na familia zao.
    prev 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 next
    SearchYYMMDD  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako