• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • • Maisha ya Bw. Yunus wa kabila la Wauyghur katika mwaka 2009
    Bw. Yunus mwenye umri wa miaka 33 ni mkurugenzi wa ofisi inayoshughulikia mambo ya mtaa wa wakazi wa Heijiashan ya serikali ya mji wa Urumuqi ulioko katika mkoa unaojiendesha wa Xinjiang Uyghur.
    • Bibi Anna Chennault, "balozi wa kiraia" anayehimiza mawasiliano ya kirafiki kati ya China na Marekani
    Bibi Anna Chennault ni Mchina mwenye uraia wa Marekani. Katika miongo kadhaa iliyopita, amekuwa anafanya juhudi ili kuhimiza maendeleo ya uhusiano wa kirafiki kati ya China na Marekani, kwa hiyo anasifiwa kuwa ni "balozi wa kiraia kati ya China na Marekani".
    • Nyumba ya walemavu mjini Beijing
    Katika eneo la Xicheng mjini Beijing, kuna kituo cha utoaji huduma kwa walemavu, ambacho kinafanya juhudi ili kuwafanya walemavu waweze kujiunga na jamii zaidi.
    • Waislamu wa China washerehekea sikukuu ya Eid al-Haji
    Tarehe 28 ilikuwa ni sikukuu ya Eid al-Haji kwa waislamu wote duniani. Kuanzia siku hiyo, waislamu kwenye mkoa unaojiendesha wa Xinjiang Uyghur na mkoa unaojiendesha wa kabila la Wahui la Ningxia nchini China wamekuwa na mapumziko ya siku tano.
    • Msomi wa kabila la Wamongolia Bw. Batu
    Bw. Batu alizaliwa mwaka 1952 katika familia moja ya wafugaji mkoani Xinjiang. Baada ya kuhitimu masomo kwenye chuo kikuu, kwa nyakati tofauti alikuwa mwalimu, mwanariadha na mkalimani. Bw. Batu alisema kazi ya ualimu ilimsaidia kuinua sana kiwango chake wa lugha za kihan na kiuyghur.
    • Mtengeneza nywele maarufu kutoka kijijini
    Tarehe 1 Novemba ni "siku ya wafanyakazi vibarua" mjini Chongqing, China. Mioyoni mwa Wachina wengi, wakulima wako mbali na jukwaa la mitindo, lakini Bw. He Xianze kutoka mji wa Chongqing amefanikiwa kupiga hatua hiyo.
    • Mabadiliko kwenye wilaya ya Mohe baada ya moto mkubwa ulioteketeza msitu
    Hifadhi ya mazingira ya asili ni jambo linalofuatiliwa sana kwa hivi sasa, na nchi mbalimbali zimepata fundisho kutokana na makosa ziliyofanya. Katika wilaya ya Mohe iliyoko kaskazini ya China, karibu na mpaka wa Russia, moto mkubwa ulitokea kwenye msitu wa wilaya hiyo miaka 22 iliyopita. Maafa hayo yaliteketeza msitu wa asili wa Daxing'anling, ambao ni mkubwa zaidi nchini China, na kuuteketeza kabisa mji wa wilaya ya Mohe.
    • Maisha mapya ya wafugaji wa Wakazakh katika sehemu ya Artai
    • Maisha mapya ya wakazi wa kijiji cha Xiagei cha kabila la Watibet
    Katika mji wa Shangri-la ambao ni mji mkuu wa wilaya inayojiendesha ya kabila la Watibet ya Diqing mkoani Yunnan, kuna kijiji kimoja maarufu. Ingawa kijiji hicho kiitwacho kijiji cha Xiagei kina familia 22 za wakulima tu, lakini kilisifiwa kama kijiji cha kwanza katika sehemu ya Shangri-la kutokana na ustawi wa utalii wa utamaduni wa kitibet.
    • Maisha ya msanifu wa majengo kutoka Brunei mjini Beijing
    Bw. Fu Mingwen anatoka Brunei, yeye ni msanifu wa majengo ambaye hivi sasa anaishi na kuendesha kampuni ya "Arkiteknique" ya utoaji ushauri kuhusu usanifu wa majengo mjini Beijing. Kwa kuwa utamaduni wenye historia ndefu wa Beijing na majengo mbalimbali ya kale vinamvutia sana, hivyo alikuja na kuamua kuishi nchini China.
    prev 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 next
    SearchYYMMDD  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako