• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • • Bibi Liu Zhangzhu, kiongozi wa ujumbe wa michezo wa Hongkong China kwenye Michezo ya Asia ya Guangzhou
    Mkoa wa utawala maalum wa Hongkong unasifiwa kuwa ni "lulu ya mashariki". Katika mkoa huo michezo kutoka nchi za nje kama vile judo, kareti, biliadi, mashua zenye matanga, skwoshi, mchezo wa ustadi wa kutembea wa farasi, mpira wa miguu na mafute inakaribishwa sana. Kwenye Michezo ya 16 ya Asia ya Guangzhou, mkuu wa ujumbe wa Hongkong China bibi Liu Zhangzhu alimfahamisha mwandishi wetu wa habari maendeleo ya michezo mkoani Hongkong.
    • Maisha ya wafanyabiashara kutoka Taiwan mjini Kunshan
    Baada ya kiwanda cha nguo cha Shunchang, ambacho ni kiwanda cha kwanza kilichowekezwa na mfanyabiashara kutoka Taiwan kujengwa huko Kunshan mkoani Jiangsu mwaka 1990, mpaka sasa viwanda vilivyowekezwa na wafanyabiashara kutoka Taiwan vinavyojengwa mjini Kunshan vimezidi 3,700, na thamani ya uwekezaji kutoka kwa wafanyabiashara wa Taiwan inakaribia dola za kimarekani bilioni 45. Baada ya kufanya juhudi kwa miaka 20, hivi sasa watu laki 1 kutoka Taiwan wamenunua nyumba na kuishi huko Kunshan.
    • "Kituo cha kuhudumia wazee" mjini Yantai
    Idadi ya wazee imekuwa ikiongezeka siku hadi siku. Ili kuwapunguzia vijana mzigo wa kuwatunza wazee hao, wazee wengi wanachagua kuishi katika kituo cha kuhudumia wazee
    • Michezo ya jadi ya makabila madogo madogo mkoani Xinjiang  
    Kwenye mkoa wa Xinjiang kuna makabila mbalimbali, na michezo ya jadi ya huko pia ni ya aina mbalibali na yenye umaalumu wa kipekee. Michezo ya jadi ya makabila madogo madogo ya Xinjiang yaliyofanyika hivi karibuni huko Hami yamewavutia wachezaji karibu elfu moja kushiriki na kufanya maonesho.
    • Maisha mazuri ya walioacha mazoea ya kutumia dawa za kulevya kwenye "makazi ya Yulu"
    Katika mkoa unaojiendesha wa kabila la Wahani na kabila la Wayi wa Honghe ulioko kusini magharibi mwa China, kuna mji mdogo unaoitwa Kaiyuan, na "Makazi ya Yulu" ni moja kati ya makazi 19 mjini humo.
    • Mchoraji mashuhuri wa Brazil awaletea furaha watoto wa sehemu zilizokubwa na maafa za mkoani Sichuan kwa michoro yake ya karagosi
    Msichana Yang Haoxiao mwenye umri wa miaka 11 ni mwanafunzi wa darasa la tano wa shule ya msingi huko Yaan mkoani Sichuan. Mwanzoni mwa mwezi Septemba, yeye pamoja na watoto wengine 28 kutoka mkoa wa Sichuan na mjini Shanghai, walikusanyika kwa furaha katika Jumba la Brazil kwenye maonesho ya kimataifa ya Shanghai, na kujifunza kuchora picha za karagosi kutoka kwa mchoraji mashuhuri wa Brazil Bw. Mauricio de Sousa.
    • Kumbukumbu za Wachina kuhusu maonesho ya kimataifa kwenye makavazi ya mji wa Shanghai
    Maonesho ya kimataifa ya Shanghai ya mwaka 2010 yanaendelea, makavazi ya mji wa Shanghai yaliandaa maonesho yaitwayo "mafaili ya maonesho ya kimataifa, kumbukumbu za China" katika "jengo la kale la Fayou", ambalo ni jumba la makavazi hayo linalofunguliwa kwa umma.
    • Wakazi waliohamishwa kutokana na ujenzi wa eneo la maonesho ya kimataifa watembelea sehemu ya makazi yao ya zamani
    Katika miaka mitano iliyopita, ili kuunga mkono ujenzi wa eneo la maonesho ya kimataifa, wakazi wa huko walihamishwa, na hivi karibuni walitembelea sehemu iliyokuwa ya makazi yao ya zamani.
    • Kujifunza lugha ya Kichina kunaimarisha urafiki
    Usiku wa tarehe 15 Julai maonesho ya ufunguzi wa mashindano ya 9 ya "daraja la lugha ya Kichina" ya wanafunzi wa vyuo vikuu duniani yalifanyika huko Changsha mkoani Hunan. Wanafunzi 107 wa vyuo vikuu kutoka nchi 62 duniani walikuja mkoani Hunan, na watashiriki kwenye mashindano ya robo fainali na fainali katika wiki 5 zilizofuata.
    • Kijana anayetoa huduma nchini Liberia
    Katika miaka mitatu iliyopita, China iliwatuma watu wanaojitolea kwenda katika nchi mbalimbali za Afrika kutoa mafunzo. Mwaka 2009 mwanafunzi wa shahada ya pili wa kitivo cha hisabati na sayansi ya upashanaji wa habari cha chuo kikuu cha Yantai Bw. Meng Xiangwei alikuwa mmoja kati ya vijana 12 wanaojitolea wa mkoa wa Shandong, China kwenda nchini Liberia. Bw. Meng Xiangwei hatasahau alioishi barani Afrika.
    prev 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 next
    SearchYYMMDD  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako