• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • • Maisha bora ya waislamu wa mtaa wa Niujie mjini Beijing
    Katika sehemu ya Xuanwu mjini Beijing, kuna mtaa mmoja maarufu uitwao "Niujie". Mtaa huo ni eneo kubwa zaidi la makazi ya waislamu mjini Beijing, na idadi ya waislamu wanaoishi huko imezidi elfu kumi. Waislamu hao wanaishi pamoja na watu wa makabila mengine kwa masikilizano.
    • Beijing imezidi kuwa nzuri baada ya Michezo ya Olimpiki
    Mwaka mmoja umepita tangu Michezo ya Olimpiki ya Beijing ifanyike, ingawa mashindano makali yamepita, lakini mabadiliko makubwa yaliyoletwa na michezo ya Olimpiki kwa Beijing hayakuacha kutokea kutokana na kumalizika kwa Michezo ya Olimpiki.
    • Maisha mjini Beijing mwaka mmoja baada ya michezo ya Olimpiki
    Tarehe 8 Agosti mwaka huu ilikuwa siku ya maadhimisho ya mwaka mmoja ya kufanyika kwa michezo ya Olimpiki ya Beijing. Katika kipindi cha leo, wakazi wa Beijing wanaelezea jinsi maisha na mitizamo yao ilivyobadilika kutokana na mji wao kuwa mwenyeji wa michezo ya Olimpiki. Karibuni.
    • Ijue China 19

    Sikukuu ya mwaka mpya wa jadi wa China ni sikukuu ya pamoja kwa watu wa makabila 56 wa China. Mbali na kabila la Wahan, watu wa makabila mengi madogomadogo pia wanasherehekea sikukuu hiyo kwa desturi zao maalum.

    • Watu kutoka Korea Kusini wanaoishi mkoani Shandong China
    Mkoa wa Shandong wa China na Korea Kusini zinatenganishwa kwa bahari. Watu wa Korea Kusini wanapenda kusema, kama ukiamka mapema na hali ya hewa ni nzuri, ukiwa katika bandari ya Inchon ya Korea Kusini, unaweza kusikia sauti za jogoo kutoka Qingdao, mkoani Shandong China.
    • Nyimbo za kabila la Wahani mkoani Yunnan
    Mkoa wa Yunnan ulioko kusini magharibi mwa China una makabila 26 madogo madogo, ambapo ni mkoa wenye makabila madogo madogo mengi zaidi nchini China. Kabila la Wahani ni moja kati ya makabila hayo.
    • Sanaa ya utengenezaji wa vyombo vya udongo mweusi ya Nixi
    Sanaa ya utengenezaji wa vyombo vya udongo mweusi ni alama moja ya utamaduni wa kitibet. Sanaa hiyo ina historia ndefu sana. Katika sehemu iliyo kando ya mito ya Jinshajiang na Lancangjiang, vyombo hivyo vilivyotengenezwa miaka 2,000 iliyopita vimefukuliwa kutoka ardhini. Vyombo vya udongo mweusi bado vinaendelea kutumiwa na watu wa kabila la Watibet.
    • Ijue China 21 Siku ya kufanya tambiko
    Kutokanna na maandishi ya kale, siku ya 8 Desemba katika kalenda ya kichina ni siku ya kufanya tambiko katika China ya kale. China ni nchi inayotilia maanani sana kilimo. Kila mwaka mavuno mazuri yalipopatikana watu wa kale walikuwa wanafanya tambiko ili kumshukuru mungu
    • Watu washuhudia hali ya kupatwa kwa jua nchini China
    Hali ya kupatwa kwa jua ilitokea saa mbili asubuhi ya tarehe 22, kwenye eneo la mtiririko wa mto Changjiang nchini China, ambapo hali ya kupatwa kabisa kwa jua ilidumu hata kwa dakika 6 katika baadhi ya sehemu.
    • Ijue China 16: Makazi ya wachina na majengo ya kisasa
    Katika sehemu wanazoishi watu wa kabila la Wahan, makazi ya watu hujengwa kwa nyumba zenye nyua za mraba, mfano wa ujenzi huo ni makazi yaliyopo mjini Beijing. Nyumba zenye nyua za mraba mjini Beijing zimegawanyika kuwa ua wa mbele na ua wa nyuma.
    prev 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10
    SearchYYMMDD  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako