Lesson 1 打招呼 salamu
play 1. 你好!
Nǐ hǎo!
Hujambo?
play 2. 你叫什么名字?
Nǐ jiào shénme míngzi?
Wewe unaitwa nani?
play 3. 这是我的名片。
Zhè shì wǒ de míngpiàn.
Hii ni kadi yangu.
play 4. 好久不见。
Hǎojiǔ bújiàn.
Hatujaonana siku nyingi.
Lesson 2 感谢与道歉 kushukuru na kuomba radhi
play 1. 谢谢!谢谢你!
Xièxie! Xièxie nǐ!
Asante! Nakushukuru!
play 2. 非常感谢!
Fēicháng gǎnxiè!
Asante sana!
play 3. 不用谢!
Bú yòng xiè!
Bila asante!
play 4. 对不起!
Duìbùqǐ!
Samahani.
play 5. 没关系。
Méi guānxi.
Si kitu. Usijali.
play 6. 没事儿。
Méi shìr.
Si kitu. Usijali.
Lesson 3 祝贺生日快乐 furaha ya siku ya kuzaliwa
play 1. 祝你生日快乐!
Zhù nǐ shēngrì kuàilè!
Nakutakia heri ya siku ya kuzaliwa kwako!
play 2. 干杯!
Gān bēi!
Tunywe!
play 3. 你的电话号码是多少?
Nǐ de diànhuà hàomǎ shì duōshǎo?
Namba ya simu yako ni nini?
Lesson 4 告别 kuaga
play 1. 时间不早了。我们该走了。
Shíjiān bù zǎo le. Wǒmen gāi zǒu le.
Saa zimekuwa nyingi.Tuondoke sasa.
play 2. 再见!
Zàijiàn!
Kwa heri!
play 3. 多保重!
Duō bǎozhòng!
Kila la heri!
play 4. 保持联系!
Bǎochí liánxì!
Tuzidi kuwasiliana!
Lesson 5 求助 omba msaada
play 1. 你能帮我一个忙吗?
Nǐ néng bāng wǒ yí gè máng ma?
Unaweza kunisaidia?
play 2. 当然可以。
Dāngrán kěyǐ.
Bila shaka naweza.
play 3. 能帮我照张相吗?
Néng bāng wǒ zhào zhāng xiàng ma?
Tafadhali unaweza kunisaidia kupiga picha?
play 4. 我能帮助你吗?
Wǒ néng bāngzhù nǐ ma?
Nikusaidie nini?
Lesson 6 约会 kuweka miadi
play 1. 喂,请问是哪位?
Wéi, qǐngwèn shì nǎ wèi?
Halo,tafadhali niambie wewe nani?
play 2. 你什么时候有空?
Nǐ shénme shíhou yǒu kòng?
Saa ngapi utakuwa na nafasi?
play 3. 我们几点见面?在哪儿见面?
Wǒmen jǐ diǎn jiàn miàn? Zài nǎr jiàn miàn?
Tukutane saa ngapi? Tukutane wapi?
Lesson 7 打电话 kupiga simu
play 1. 喂,刘经理在家吗?
Wéi, Liú jīnglǐ zài jiā ma?
Halo, Samahani, meneja Liu yuko nyumbani ?
play 2. 他什么时候回来?
Tā shénme shíhou huílai?
Atarudi saa ngapi?
play 3. 请他给我回个电话。
Qǐng tā gěi wǒ huí gè diànhuà.
Tafadhali umwambie anitumie simu.
Lesson 8 谈论他人 kumzungumzia mwingine
play 1. 你妹妹是做什么的?
Nǐ mèimei shì zuò shénme de?
Dada yako mdogo anafanya kazi gani?
play 2. 你觉得她怎么样?
Nǐ juéde tā zěnmeyàng?
Unaona yeye ni mtu wa namna gani?
play 3. 她很漂亮。她特别聪明。
Tā hěn piàoliang. Tā tèbié cōngming.
Yeye ni mrembo. Yeye ni hodari sana.
Lesson 9 谈论心情 zungumzia kuhusu hali
play 1. 怎么了?
Zěnme le?
Vipi , una tatizo gani?
play 2. 你别再吸烟了。
Nǐ bié zài xī yān le.
Usivute tena sigara.
play 3. 我很想家。
Wǒ hěn xiǎng jiā.
Nakumbuka sana nyumbani kwangu.
Lesson 10 谈论工作 zungumzia kuhusu kazi
play 1. 你每天几点上班?
Nǐ měitiān jǐ diǎn shàng bān?
Kila siku unakwenda kazini saa ngapi?
play 2. 你每天几点下班?
Nǐ měitiān jǐ diǎn xià bān?
Kila siku unaondoka kazini saa ngapi?
play 3. 你以前做过什么工作?
Nǐ yǐqián zuòguo shénme gōngzuò?
Zamani ulifanya kazi gani?
play 4. 你在这里工作多长时间了?
Nǐ zài zhèli gōngzuò duō cháng shíjiān le?
Umefanya kazi hapa kwa muda gani?
Lesson 11 谈爱好 zungumzia kuhusu unalopenda
play 1. 你最近忙吗?
Nǐ zuìjìn máng ma?
Siku hizi una pilikapilika za kazi?
play 2. 你的爱好是什么?
Nǐ de àihào shì shénme?
Ushabiki wako ni nini?
play 3. 我喜欢看书。
Wǒ xǐhuan kàn shū.
Mimi napenda kusoma vitabu.
play 4. 周末你一般干什么?
Zhōumò nǐ yìbān gàn shénme?
wewe utafanya nini wikiendi?
Lesson 12 在快餐厅 katika mkahawa wa chakula cha haraka
play 1. 你想吃什么?
Nǐ xiǎng chī shénme?
Unataka kula chakula gani?
play 2. 我要一个汉堡,还有一杯红茶。
Wǒ yào yí gè hànbǎo, hái yǒu yì bēi hóngchá.
Nataka Hamburger pamoja na kikombe kimoja cha chai nyekundu
play 3. 在这儿吃还是带走?
Zài zhèr chī háishì dàizǒu?
Unakula hapa au unaondoka nacho?
play 4. 请问,洗手间在哪儿?
Qǐngwèn, xǐshǒujiān zài nǎr?
Tafadhali, msalani ni wapi?
play 5. 请你给我几张餐巾纸。
Qǐng nǐ gěi wǒ jǐ zhāng cānjīnzhǐ.
Tafadhali naomba karatasi za kufutia mikono.
Lesson 13 在中餐厅 katika mkahawa wa chakula cha kichina
play 1. 你们有什么特色菜?
Nǐmen yǒu shénme tèsècài?
Kipi ni chakula maarufu kwenye mkahawa huu?
play 2. 你需要刀叉吗?
Nǐ xūyào dāochā ma?
Unataka vijiko?
play 3. 请问你要红茶吗?
Qǐngwèn nǐ yào hóngchá ma?
Tafadhali niambie, unataka chai nyekundu?
play 4. 我们AA制吧。
Wǒmen AAzhì ba.
Tugawanye malipo kila mmoja atoe sehemu moja.
Lesson 14 吃自助餐 katika kaunta ya kuuzia vyakula au vinywaji
play 1. 请你们等一会儿。
Qǐng nǐmen děng yíhuìr.
Tafadhali subirini kidogo.
play 2. 我们要等多久?
Wǒmen yào děng duō jiǔ?
Tunatakiwa kusubiri kwa muda gani?
play 3. 味道怎么样?
Wèidao zěnmeyàng?
Unaonaje ladha ya chakula?
play 4. 真的很好吃。
Zhēn de hěn hǎochī.
Ladha ni nzuri kweli.
play 5. 我吃饱了。
Wǒ chībǎo le.
Nimeshiba.
Lesson 15 吃小吃 kununua chakula mtaani
play 1. 你们喜欢吃辣的吗?
Nǐmen xǐhuan chī là de ma?
Mnapenda kula chakula cha pilipili?
play 2. 我喜欢吃羊肉串。
Wǒ xǐhuan chī yángròuchuàn.
Mimi napenda kula mshikaki wa nyama ya kondoo.
play 3. 这里面是什么?
Zhè lǐmian shì shénme?
Ndani ya chakula hiki ni nini?
play 4. 我们去买点饮料吧。
Wǒmen qù mǎi diǎn yǐnliào ba.
Twende tukanunue vinywaji.
Lesson 16 家庭聚会 katika mkusanyiko wa familia
play 1. 我很高兴认识你的家人。
Wǒ hěn gāoxìng rènshi nǐ de jiārén.
Nafurahi kufahamiana na watu wa familia yako.
play 2. 这是我的拿手菜。
Zhè shì wǒ de náshǒucài.
Hiki ni kitoweo nilichopika vizuri.
play 3. 你多吃点儿。
Nǐ duō chī diǎnr.
Ule zaidi.
play 4. 下次请你们到我家做客。
Xià cì qǐng nǐmen dào wǒ jiā zuò kè.
Siku zijazo mnakaribishwa nyumbani kwangu.
Lesson 17 宴会 katika dhifa
play 1. 您先请!
Nín xiān qǐng!
Wewe tafadhali.
play 2. 别这么客气!
Bié zhème kèqi!
Usiwe na ukarimu mkubwa namna hii.
play 3. 为我们的合作成功干杯!
Wèi wǒmen de hézuò chénggōng gān bēi!
Tunywe kwa ajili ya mafanikio ya ushirikiano kati yetu.
play 4. 为大家的身体健康干杯!
Wèi dàjiā de shēntǐ jiànkāng gān bēi!
Tunywe kwa ajili ya afya ya watu wote.
play 5. 感谢你们的热情款待。
Gǎnxiè nǐmen de rèqíng kuǎndài.
Nashukuru kwa ukarimu wenu.
Lesson 18 在超市 katika supamaketi
play 1. 请问有洗发水卖吗?
Qǐngwèn yǒu xǐfàshuǐ mài ma?
Tafadhali niambie kuna shampoo?
play 2. 我想退货。
Wǒ xiǎng tuì huò.
Nataka kurudisha bidhaa.
play 3. 您的发票带来了吗?
Nín de fāpiào dàilai le ma?
Umekuja na risiti?
play 4. 您给退了吧。
Nín gěi tuì le ba.
Ukubali nirudishe hiki.
Lesson 19 水果市场 katika soko la matunda
play 1. 这橘子甜吗?
Zhè júzi tián ma?
Machungwa hayo ni matamu?
play 2. 多少钱一公斤?
Duōshao qián yì gōngjīn?
Kilo moja bei gani?
play 3. 我没有零钱。
Wǒ méiyou língqián.
Sina pesa ndogondogo.
play 4. 给你一张100元的。
Gěi nǐ yì zhāng yībǎi yuán de.
Nakupa noti ya yuan mia moja.
Lesson 20 二手市场 katika soko la bidhaa zilizotumika
play 1. 这是什么牌子的?
Zhè shì shénme páizi de?
Hii ni ya chapa gani?
play 2. 中国名牌。
Zhōngguó míngpái.
Hii ni ya chapa maarufu ya China.
play 3. 这儿有点儿毛病。
Zhèr yǒu diǎnr máobìng.
Hapa kuna dosari.
play 4. 最多100元!
Zuìduō yìbǎi yuán!
Chini ya Yuan 100.
Lesson 21 电话购物 kununua vitu kwa simu
play 1. 我要订个比萨饼。
Wǒ yào dìng gè bǐsàbǐng.
Nataka kuagiza pizza moja.
play 2. 怎么付钱呢?
Zěnme fù qián ne?
Nitalipa kwa njia gani?
play 3. 可以货到付款。
Kěyǐ huòdào fùkuǎn.
Unaweza kulipa baada ya kupokea pizza
play 4. 你说一个时间。
Nǐ shuō yí gè shíjiān.
Amua wewe saa ngapi
Lesson 22 在服装店 katika duka la nguo
play 1. 我想买一件旗袍。
Wǒ xiǎng mǎi yí jiàn qípáo.
Nataka kununua gauni moja la Qipao.
play 2. 这是什么料子的?
Zhè shì shénme liàozi de?
Hiki ni kitambaa cha aina gani?
play 3. 蓝色的好还是黄色的好?
Lánsè de hǎo háishì huángsè de hǎo?
Kati ya nguo ya rangi ya buluu na ya rangi ya manjano, ipi inapendeza zaidi?
play 4. 能试试吗?
Néng shìshi ma?
Naweza kujaribu kuvaa nguo hii?
play 5. 能打折吗?
Néng dǎ zhé ma?
Naweza kupunguziwa bei?
Lesson 23 在商场 katika duka kubwa
play 1. 我想买一个小冰箱。
Wǒ xiǎng mǎi yī gè xiǎo bīngxiāng.
Nataka kununua jokofu moja dogo.
play 2. 哪种质量好?
Nǎ zhǒng zhìliàng hǎo?
lipi ni lenye sifa nzuri?
play 3. 它的噪音特别小。
Tā de zàoyīn tèbié xiǎo.
Jokofu hili linatoa sauti kidogo.
play 4. 别的店更便宜。
Bié de diàn gèng piányi.
Katika maduka mengine bei ya jokofu kama hili ni rahisi zaidi.
play 5. 能用信用卡吗?
Néng yòng xìnyòngkǎ ma?
Kadi inaweza kutumika?
play 6. 能送货吗?
Néng sòng huò ma?
Mnaweza kuwasilisha bidhaa?
Lesson 24 在书店 katika duka la vitabu
play 1. 哪儿有大的书店?
Nǎr yǒu dà de shūdiàn?
duka kubwa la vitabu liko wapi?
play 2. 我要买本字典。
Wǒ yào mǎi běn zìdiǎn.
Nataka kununua kamusi.
play 3. 我想买本北京导游手册。
Wǒ xiǎng mǎi běn Běijīng dǎoyóu shǒucè.
Nataka kununua kitabu kimoja cha kuelekeza watalii mjini Beijing.
play 4. 请问英文小说在几层卖?
Qǐngwèn Yīngwén xiǎoshuō zài jǐ céng mài?
Tafadhali niambie, ni ghorofa ya ngapi vinauzwa vitabu vya hadithi vya Kiingereza?
Lesson 25 问路 kuuliza njia ya kwenda sehemu fulani
play 1. 请问地铁站在哪里?
Qǐngwèn dìtiězhàn zài nǎli?
Tafadhali niambie, kituo cha sabwe kiko wapi?
play 2. 离这里远吗?
Lí zhèli yuǎn ma?
Ni mbali kutoka hapa?
play 3. 我应该坐什么车去?
Wǒ yīnggāi zuò shénme chē qù?
Ningepanda gari gani kwenda kule?
play 4. 您得去马路对面坐车。
Nín děi qù mǎlù duìmiàn zuò chē.
Ungeenda upande ule wa barabara hiyo kupanda gari.
Lesson 26 乘汽车 panda basi
play 1. 这车到东方小区吗?
Zhè chē dào Dōngfāng xiǎoqū ma?
Basi hili linaelekea kwenye eneo la makazi la Dongfang?
play 2. 买一张票。
Mǎi yì zhāng piào.
Nataka kununua tiketi moja.
play 3. 到了请你告诉我。
Dàole qǐng nǐ gàosu wǒ.
Tafadhari tukifika kwenye kituo ninachoenda niambie.
play 4. 在哪儿换车?
Zài nǎr huàn chē?
Nipande basi lingine kwenye kituo gani?
Lesson 27 乘出租车 panda teksi
play 1. 请送我去中心医院。
Qǐng sòng wǒ qù Zhōngxīn yīyuàn.
Tafadhali nipeleke kwenye Hospitali ya Zhongxin.
play 2. 知道怎么走吗?
Zhīdao zěnme zǒu ma?
Unaelewa namna ya kuelekea huko?
play 3. 请您开慢点儿。
Qǐng nín kāi màn diǎnr.
Tafadhali usiendeshe gari kwa kasi.
play 4. 就停在门口吧。
Jiù tíng zài ménkǒu ba.
Haya egesha hapa mlangoni.
Lesson 28 乘火车 panda gari moshi
play 1. 有11号去上海的火车票吗?
Yǒu shíyī hào qù shànghǎi de huǒchēpiào ma?
Naweza kupata tiketi ya tarehe 11 ya kwenda Shanghai?
play 2. 到了给我们打电话。
Dàole gěi wǒmen dǎ diànhuà.
Ukifika tujulishe kwa simu
play 3. 一路平安。
Yílù píng'ān.
Safari njema
play 4. 请问餐车在几号车厢?
Qǐngwèn cānchē zài jǐ hào chēxiāng?
Tafadhali niambie behewa la chakula ni namba ngapi?
Lesson 29 乘飞机 panda ndege
play 1. 我想订去西安的往返机票。
Wǒ xiǎng dìng qù xī'ān de wǎngfǎn jīpiào。
Nataka kuagiza tiketi ya kwenda Xian na tiketi ya kurudi kutoka mji huo
play 2. 有打折的票吗?
Yǒu dǎ zhé de piào ma?
Naweza kupata tiketi yenye punguzo la bei?
play 3. 行李托运吗?
Xíngli tuōyùn ma?
Mzigo wako unasafirishwa?
play 4. 我想要一个靠窗的座位。
Wǒ xiǎng yào yí gè kào chuāng de zuòwèi.
Nataka kupata kiti cha dirishani
play 5. 我找不到行李了。
Wǒ zhǎo bú dào xíngli le.
Nimeshindwa kutafuta mzigo wangu
Lesson 30 驾车旅行 kuendesha gari kwa kutalii
play 1. 我们去旅行吧。
Wǒmen qù lǚxíng ba.
Twende kutalii.
play 2. 周末有什么计划?
Zhōumò yǒu shénme jìhuà?
Una mpango gani wikiendi hii.
play 3. 咱们什么时候出发?
Zánmen shénme shíhou chūfā?
Tufunge safari saa ngapi?
play 4. 下一个景点还有多远?
Xià yí gè jǐngdiǎn hái yǒu duō yuǎn?
Ni umbali gani kutoka hapa hadi kwenye sehemu nyingine ya vivutio?
play 5. 这儿的风景太美了。
Zhèr de fēngjǐng tài měi le.
Mandhari ya sehemu hii ni nzuri sana.
Lesson 31 汉语特点简介 Somo maalum kuhusu matamshi ya lugha ya Kichina
play 1. 妈,麻,马,骂
mā, má, mǎ, mà
null
play 2. 鸡,级,几,寄
jī, jí, jǐ, jì
null
play 3. 个,条,头,只
gè, tiáo, tóu, zhī
null
play 4. 火车,火山,火鸡
huǒchē, huǒshān, huǒjī
null
play 5. 火车,汽车,电车,公共汽车,自行车
huǒchē, qìchē, diànchē, gōnggòng qìchē, zìxíngchē
null
Lesson 32 在旅行社 Katika shirika la utalii
play 1. 有没有去云南的路线?
Yǒu méiyǒu qù Yúnnán de lùxiàn?
Kuna njia ya kwenda kutalii mkoani Yunnan?
play 2. 你们一定不会失望的。
Nǐmen yídìng bú huì shīwàng de.
Msiwe na wasiwasi, hakika mtafurahi.
play 3. 我希望日程不要太紧。
Wǒ xīwàng rìchéng bú yào tài jǐn.
Nina matumaini kuwa shughuli za kila siku siyo nyingi sana.
play 4. 我想多去些地方。
Wǒ xiǎng duō qù xiē dìfang.
Nataka kutembelea sehemu nyingi zaidi.
play 5. 哪儿卖纪念品?
Nǎr mài jìniànpǐn?
Sehemu gani inauza vitu vya kumbukumbu?
Lesson 33 在邮局 Katika posta
play 1. 请问,邮局在哪儿?
Qǐngwèn, yóujú zài nǎr?
Tafadhali niambie, posta iko wapi?
play 2. 我要寄包裹。
Wǒ yào jì bāoguǒ.
Nataka kumtumia mtu kifurushi.
play 3. 多长时间能到?
Duō cháng shíjiān néng dào?
Kifurushi kitafika baada ya siku gani?
play 4. 我要取包裹。
Wǒ yào qǔ bāoguǒ.
Nataka kuchukua kifurushi.
play 5. 我要买几张明信片寄给朋友。
Wǒ yào mǎi jǐ zhāng míngxìnpiàn jì gěi péngyou.
Nataka kununua kadi kadhaa za kuwatumia marafiki zangu.
Lesson 34 在旅馆 Katika Hoteli
play 1. 我想订一个标准间。
Wǒ xiǎng dìng yí gè biāozhǔnjiān.
Nataka kuagiza chumba kimoja cha kawaida.
play 2. 房费包括早餐吗?
Fángfèi bāokuò zǎocān ma?
Malipo ya chumba ni pamoja na kifungua kinywa?
play 3. 我要7点的叫醒服务。
Wǒ yào qī diǎn de jiào xǐng fúwù.
Nataka kupata huduma ya kuniamsha saa 1 asubuhi.
play 4. 请问几点退房?
Qǐngwèn jǐ diǎn tuì fáng?
Tafadhali tuambie utaondoka saa ngapi?
Lesson 35 剪头发 Kunyolewa nywele
play 1. 我想剪头发。
Wǒ xiǎng jiǎn tóufa.
Nataka kunyolewa nywele.
play 2. 修一下就可以了。
Xiū yíxià jiù kěyǐ le.
Kupunguza kidogo.
play 3. 我想染头发。
Wǒ xiǎng rǎn tóufa.
Nataka kupaka rangi nywele zangu.
play 4. 别剪太短了。
Bié jiǎn tài duǎn le.
Usikate nywele kuwa fupi ya kupita kiasi.
Lesson 36 找房子 Kutafuta nyumba
play 1. 我想租房。
Wǒ xiǎng zū fáng.
Nataka kupanga nyumba.
play 2. 您想找什么样的房子?
Nín xiǎng zhǎo shénme yàng de fángzi?
Unataka kupanga nyumba ya namna gani?
play 3. 您想花多少钱租?
Nín xiǎng huā duōshao qián zū?
Unataka kupanga nyumba kwa pesa ngapi?
play 4. 什么时候能搬进来?
Shénme shíhou néng bān jìnlai?
Lini naweza kuhamia hapa?
play 5. 房租怎么付?
Fángzū zěnme fù?
Nitalipa kodi ya nyumba kwa njia gani?
Lesson 37 租房 Kupanga nyumba
play 1. 能上网吗?
Néng shàng wǎng ma?
Naweza kutembelea mtandao wa internet?
play 2. 水电费和煤气费怎么交?
Shuǐdiànfèi hé méiqìfèi zěnme jiāo?
Nitalipia namna gani matumizi ya maji, umeme na gesi?
play 3. 房租多少钱?
Fángzū duōshao qián?
Kodi ya nyumba ni kiasi gani?
play 4. 我们什么时候签合同?
Wǒmen shénme shíhou qiān hétong?
Lini tutasaini makubaliano?
play 5. 我给你开个收据。
Wǒ gěi nǐ kāi gè shōujù.
Nakuandikia risiti.
Lesson 38 搬家 Kuhamia kwenye nyumba nyingine
play 1. 我要订一辆搬家的车。
Wǒ yào dìng yí liàng bānjiā de chē.
Nataka kukodi gari la kubeba mzigo kwa ajili ya kuhamia kwenye nyumba nyingine.
play 2. 您哪天用车?
Nín nǎ tiān yòng chē?
Utatumia gari hilo tarehe gani?
play 3. 您能派几个人来?
Nín néng pài jǐ gè rén lái?
Unaweza kutuma watu wangapi?
play 4. 您住几层?
Nín zhù jǐ céng?
Unakaa kwenye ghorofa ya ngapi?
play 5. 把贵重物品收好。
Bǎ guìzhòng wùpǐn shōu hǎo.
Ni lazima kufunga vizuri vitu vyenye thamani.
play 6. 我把所有物品都放在纸箱子里。
Wǒ bǎ suǒyǒu wùpǐn dōu fàng zài zhǐxiāngzi li.
Nimefunga vitu vyangu vyote kwenye maboksi.
Lesson 39 存款/提款 Kuchukua pesa benkini
play 1. 请您先拿号,再去那边等候。
Qǐng nín xiān ná hào, zài qù nàbian děnghòu.
Tafadhali nenda kachukue namba yako, halafu uende kule kusubiri.
play 2. 请问,需要等多长时间?
Qǐngwèn, xūyào děng duō cháng shíjiān?
Tafadhali niambie, natakiwa kusubiri kwa muda gani?
play 3. 我想取点钱。
Wǒ xiǎng qǔ diǎn qián.
Nataka kuchukua pesa.
play 4. 您取多少钱?
Nín qǔ duōshao qián?
Unataka kuchukua pesa ngapi?
play 5. 请您输入密码。
Qǐng nín shūrù mìmǎ.
Tafadhali andika namba yako ya siri.
Lesson 40 换钱 Kubadilisha fedha za kigeni
play 1. 您要办理什么业务?
Nín yào bànlǐ shénme yèwù?
Unataka kusaidiwa nini?
play 2. 我想换美元。
Wǒ xiǎng huàn měiyuán.
Nataka kubadilisha fedha na kupata dola za kimarekani.
play 3. 现在的汇率是多少?
Xiànzài de huìlǜ shì duōshao?
Ubadilishaji wa fedha za renminbi kwa dola za kimarekani ni wa namna gani?
play 4. 美元又跌了。
Měiyuán yòu diē le.
Thamani ya dola za kimarekani imeshuka tena.
Lesson 41 付款 Kutoa malipo ya matumizi
play 1. 您好,要帮忙吗?
Nín hǎo, yào bāngmáng ma?
Habari gani, unataka msaada.
play 2. 我交电话费。
Wǒ jiāo diànhuàfèi.
Nataka kutoa malipo ya matumizi ya simu.
play 3. 我交电费。
Wǒ jiāo diànfèi.
Nataka kutoa malipo ya matumizi ya umeme.
play 4. 银行星期日休息吗?
Yínháng xīngqīrì xiūxi ma?
Benki wanapumzika jumapili?
Lesson 42 汇款 Kutuma pesa
play 1. 我要办理汇款。
Wǒ yào bànlǐ huì kuǎn.
Nataka kumtumia mtu pesa.
play 2. 10分钟左右能到账。
Shí fēnzhōng zuǒyòu néng dào zhàng.
Pesa unazomtumia zitamfikia baada ya dakika 10 hivi.
play 3. 手续费是多少?
Shǒuxùfèi shì duōshao?
Malipo ya huduma hiyo ni kiasi gani?
play 4. 每笔最高收费50元。
Měi bǐ zuì gāo shōufèi wǔshí yuán.
Kila mara malipo ya juu zaidi ni ndani ya Yuan 50.
Lesson 43 使用信用卡 Kulipa kwa kadi
play 1. 可以刷卡吗?
Kěyǐ shuā kǎ ma?
Naweza kulipa kwa kadi?
play 2. 交现金还是刷卡?
Jiāo xiànjīn háishi shuā kǎ?
Unalipa kwa fedha taslim au kwa kadi?
play 3. 我刷信用卡。
Wǒ shuā xìnyòngkǎ.
Nalipa kwa kadi.
play 4. 请您在这里签字。
Qǐng nín zài zhèlǐ qiān zì.
Tafadhali weka saini hapa.
Lesson 44 挂失 Kutoa ripoti ya kupotea kwa kadi
play 1. 我的钱包丢了。
Wǒ de qiánbāo diū le.
Mkoba wangu umepotea.
play 2. 我的银行卡也丢了。
Wǒ de yínhángkǎ yě diū le.
Kadi yangu ya benkini pia imepotea.
play 3. 那你赶快挂失吧。
Nà nǐ gǎnkuài guàshī ba.
Toa ombi la haraka la kuthibitisha kupotea kwa kadi yako benkini.
play 4. 一个星期以后来取。
Yí gè xīngqī yǐhòu lái qǔ.
Uje kuchukua baada ya wiki moja.
Lesson 45 挂号 Kupata namba ya kusubiri hospitalini
play 1. 你得去看医生。
Nǐ děi qù kàn yīshēng.
Ungeenda kuonana na daktari.
play 2. 你能陪我去医院吗?
Nǐ néng péi wǒ qù yīyuàn ma?
Unaweza kufuatana nami kwenda hospitali?
play 3. 在哪儿挂号?
Zài nǎr guàhào?
Niende wapi kupata namba ya kusubiri?
play 4. 挂一个专家号。
Guà yí gè zhuānjiāhào.
Nataka kupata namba ya kusubiri kukutana na mtaalamu.
Lesson 46 就诊 Kukutana na madaktari
play 1. 你哪儿不舒服?
Nǐ nǎr bù shūfu?
Una maumivu sehemu gani mwilini?
play 2. 我头疼。
Wǒ tóuténg.
Nina maumivu kichwani.
play 3. 我拉肚子。
Wǒ lādùzi.
Ninaharisha.
play 4. 先量一下体温。
Xiān liáng yí xià tǐwēn.
Pima kwanza joto la mwili.
play 5. 什么时候开始的?
Shénme shíhou kāishǐ de?
Hali hii ilianza siku gani?
Lesson 47 治疗 Kutibiwa na madaktari
play 1. 我给你开点儿感冒药。
Wǒ gěi nǐ kāi diǎnr gǎnmàoyào.
Nakuandikia dawa za mafua.
play 2. 每天吃几次?
Měi tiān chī jǐ cì?
Natakiwa kula mara ngapi kwa siku?
play 3. 一天三次,每次一片。
Yì tiān sān cì, měi cì yí piàn.
Mara tatu kwa siku, kila mara kidonge kimoja.
play 4. 回去多喝水,好好休息。
Huíqu duō hē shuǐ, hǎohao xiūxi.
Unywe maji mengi na kupumzika vizuri baada ya kurudi nyumbani.
Lesson 48 在药店 Katika duka la dawa
play 1. 最近我牙疼。
Zuìjìn wǒ yá téng.
Siku hizi nahisi maumivu kwenye meno.
play 2. 应该吃什么药呢?
Yīnggāi chī shénme yào ne?
Ningetumia dawa gani?
play 3. 你试试这种药。
Nǐ shìshi zhè zhǒng yào.
Jaribu dawa ya aina hii.
play 4. 这种药效果不错。
Zhè zhǒng yào xiàoguǒ bú cuò.
Dawa hii ina ufanisi mzuri.
play 5. 有副作用吗?
Yǒu fùzuòyòng ma?
Dawa hii ina madhara?
Lesson 49 急诊 Matibabu ya dharura
play 1. 快叫救护车!
Kuài jiào jiùhùchē!
Piga haraka simu ya kuomba gari la huduma ya kwanza
play 2. 他流了很多血。
Tā liúle hěn duō xiě.
Ametokwa damu nyingi.
play 3. 没有生命危险吧?
Méiyǒu shēngmìng wēixiǎn ba?
Hana hatari ya maisha?
play 4. 最好住院观察几天。
Zuìhǎo zhù yuàn guānchá jǐ tiān.
Bora alazwe hospitali kwa siku kadhaa ili tuangalie.
Lesson 50 交费取药 Kutoa malipo na kuchukua dawa
play 1. 请您先去交费。
Qǐng nín xiān qù jiāo fèi.
Tafadhali kwanza nenda kutoa malipo.
play 2. 大夫,取药。
Dàifu, qǔ yào.
Daktari, nachukua dawa.
play 3. 这一瓶是外用的。
Zhè yì píng shì wàiyòng de.
Dawa ya chupa hii ni ya kupaka.
play 4. 您别弄错了。
Nín bié nòngcuò le.
Usitumie kwa makosa.
Lesson 51 看望病人 Kutembelea mgonjwa
play 1. 你好点儿了吗?
Nǐ hǎo diǎnr le ma?
Umepata nafuu kidogo?
play 2. 在医院里真没意思。
Zài yīyuàn lǐ zhēn méi yìsi.
Nikilazwa hospitalini sioni furaha.
play 3. 你这个星期能出院吗?
Nǐ zhège xīngqī néng chū yuàn ma?
Unaweza kutoka hospitali wiki hii?
play 4. 祝你早日恢复健康。
Zhù nǐ zǎorì huīfù jiànkāng.
Tunakutakia upone haraka.
Lesson 52 在幼儿园 Shule ya chekechea
play 1. 有没有班车?
Yǒu méiyǒu bānchē?
Kuna basi la kuwachukua watoto?
play 2. 每天几点接送?
Měi tiān jǐ diǎn jiē sòng?
Kila siku basi hili linawachukua saa ngapi?
play 3. 端午节我们放三天假。
Duānwǔjié wǒmen fàng sān tiān jià.
Tumepata siku tatu za mapumziko wakati wa siku kuu ya Duanwu.
play 4. 这张贺卡送给您!
Zhè zhāng hèkǎ sònggěi nín!
Nakupata kadi hiyo ya pongezi!
Lesson 53 上大学 Chuo kikuu
play 1. 有问题吗?
Yǒu wèntí ma?
Kuna tatizo?
play 2. 这个字是什么意思?
Zhège zì shì shénme yìsi?
Neno hili maana yake nini?
play 3. 请您再说一遍。
Qǐng nín zài shuō yí biàn.
Tafadhali ueleze tena.
play 4. 请慢一点儿说。
Qǐng màn yìdiǎnr shuō.
Tafadhali ueleze polepole.
Lesson 54 在图书馆 Katika Maktaba
play 1. 怎么办借书证?
Zěnme bàn jièshūzhèng?
Namna gani ninavyoweza kupata kadi ya kuazima vitabu ?
play 2. 这些书可以外借吗?
Zhèxiē shū kěyǐ wài jiè ma?
Vitabu hivyo vinaweza kuazimwa nje?
play 3. 这儿有外文书刊报纸吗?
Zhèr yǒu wàiwén shūkān bàozhǐ ma?
Hapa kuna vitabu na magazeti ya lugha za kigeni?
play 4. 点击这儿。
Diǎnjī zhèr.
Bonyeza sehemu hii.
Lesson 55 与同学聊天 Mazungumzo kati ya wanafunzi
play 1. 你学什么专业?
Nǐ xué shénme zhuānyè?
Unachukua kozi gani?
play 2. 我们的课很有意思。
Wǒmen de kè hěn yǒu yìsi.
Somo letu ni lenye maana sana.
play 3. 我们学校老师的水平都很高。
Wǒmen xuéxiào lǎoshī de shuǐpíng dōu hěn gāo.
Walimu wa shule yetu wote ni wenye kiwango cha juu.
play 4. 可以补考吗?
Kěyǐ bǔkǎo ma?
Naweza kufanyiwa tena mtihani?
Lesson 56 谈论网吧 Baa ya kutembea mtandao wa internet
play 1. 哪儿有网吧?
Nǎr yǒu wǎngbā?
Kuna baa ya kutembea mtandao wa internet?
play 2. 你有自己的博客吗?
Nǐ yǒu zìjǐ de bókè ma?
Unayo Blog yako mwenyewe?
play 3. 你的邮箱地址是什么?
Nǐ de yóuxiāng dìzhǐ shì shénme?
Anuani yako ya imer-li ni nini?
play 4. 我忘记密码了。
Wǒ wàngjì mìmǎ le.
Nimesahau namba yangu ya siri.
Lesson 57 报名 Kujiandikisha
play 1. 我的汉语不好。
Wǒ de hànyǔ bù hǎo.
Sijapata vizuri lugha ya Kichina.
play 2. 我听不懂。
Wǒ tīng bù dǒng.
Sielewi.
play 3. 什么时候开学?
Shénme shíhou kāi xué?
Shule itafunguliw lini?
play 4. 一个学期的学费是多少?
Yí gè xuéqī de xuéfèi shì duōshao?
Ada ya muhula moja ni pesa ngapi?
Lesson 58 在酒吧 Katika baa
play 1. 我要一瓶啤酒。
Wǒ yào yì píng píjiǔ.
Nataka chupa moja ya bia.
play 2. 您要哪种啤酒?
Nín yào nǎ zhǒng píjiǔ?
Unataka bia ya aina gani?
play 3. 要加冰吗?
Yào jiā bīng ma?
Unataka kuongeza barafu?
play 4. 有没有碳酸饮料。
Yǒu méiyǒu tànsuān yǐnliào?
Kuna vinywaji vya soda?
Lesson 59 在迪斯科厅 Katika Jumba la dansi
play 1. 能跳支舞吗?
Néng tiào zhī wǔ ma?
Unakubali kucheza dansi nami?
play 2. 我请你喝一杯,好吗?
Wǒ qǐng nǐ hē yì bēi, hǎo ma?
Nakununulia kikombe kimoja cha kinywaji, uankubali?
play 3. 有空儿一起吃饭吧。
Yǒu kòngr yìqǐ chī fàn ba.
Tukipata nafasi twende kula chakula pamoja.
play 4. 你真漂亮!
Nǐ zhēn piàoliang!
Wewe unapendeza sana!
Lesson 60 在电影院 Katika sinema
play 1. 你最喜欢哪部电影?
Nǐ zuì xǐhuan nǎ bù diànyǐng?
Unapenda zaidi filamu gani?
play 2. 它的情节很有趣。
Tā de qíngjié hěn yǒuqù.
Hadithi ya filamu hiyo inafurahisha.
play 3. 这部电影的票房不错。
Zhè bù diànyǐng de piàofáng búcuò.
Tikiti za filamu hiyo zilinunuliwa vizuri.
play 4. 请问电影几点开演?
Qǐngwèn diànyǐng jǐ diǎn kāiyǎn?
Tafadhali niambie filamu itaoneshwa saa ngapi?
Lesson 61 在卡拉OK Katika jumba la Karaoke
play 1. 你平时喜欢听什么音乐?
Nǐ píngshí xǐhuan tīng shénme yīnyuè?
Kwa kawaida unapenda kusikiliza muziki gani?
play 2. 我就爱听摇滚乐。
Wǒ jiù ài tīng yáogǔnyuè.
Napenda kusikiliza muziki wa rock ‘n’ roll.
play 3. 你最喜欢的歌手是谁?
Nǐ zuì xǐhuan de gēshǒu shì shuí?
Unapenda zaidi mwimbaji gani?
play 4. 这首歌最近特别流行。
Zhè shǒu gē zuìjìn tèbié liúxíng.
Wimbo huu unaenea sana hivi karibuni.
Lesson 62 看演出 Kutazama maonesho ya michezo ya sanaa
play 1. 我是在网上订的。
Wǒ shì zài wǎng shàng dìng de.
Niliagiza kwenye mtandao wa internet.
play 2. 中国杂技是世界一流的。
Zhōngguó zájì shì shìjiè yīliú de.
Sarakasi ya China ni ya kiwango cha juu duniani.
play 3. 现场表演的效果完全不一样。
Xiànchǎng biǎoyǎn de xiàoguǒ wánquán bù yíyàng.
Kutazama maonesho ya wachezaji kunavutia zaidi kuliko kutazama maonesho kwenye televisheni.
play 4. 我能跟您合个影吗?
Wǒ néng gēn nín hé gè yǐng ma?
Naweza kupiga picha pamoja na wewe?
Lesson 63 看京剧 Kutazama maonesho ya opera ya Beijing
play 1. 我请你去看京剧。
Wǒ qǐng nǐ qù kàn jīngjù.
Nakualika kwenda kutazama maonesho ya opera ya Beijing.
play 2. 有没有字幕?
Yǒu méiyǒu zìmù?
Kuna tafsiri ya maneno kwenye maonesho?
play 3. 咱们把手机关了吧。
Zánmen bǎ shǒujī guān le ba.
Tufunge simu zetu za mikono.
play 4. 多漂亮的脸谱!
Duō piàoliang de liǎnpǔ!
Sura hizo za wahusika wa opera ya Kibeijng zinapendeza kweli!
Lesson 64 在博物馆 Katika jumba la makumbusho
play 1. 这儿可以拍照吗?
Zhèr kěyǐ pāi zhào ma?
Naruhusiwa kupiga picha hapa?
play 2. 请不要使用闪光灯。
Qǐng búyào shǐyòng shǎnguāngdēng.
Usitumie mwanga wa kamera.
play 3. 有解说员吗?
Yǒu jiěshuōyuán ma?
Yupo mwelezaji?
play 4. 最近还有什么新展览?
Zuìjìn hái yǒu shénme xīn zhǎnlǎn?
Hivi karibuni kutakuwa na maonesho gani mapya?
Lesson 65 晨练 Kufanya mazoezi katika asubuhi
play 1. 该起床了。
Gāi qǐchuáng le.
Ungeamka.
play 2. 早上的空气真好!
Zǎoshang de kōngqì zhēn hǎo!
Hewa ya asubuhi ni safi sana!
play 3. 我们去散散步吧。
Wǒmen qù sànsan bù ba.
Twende tukatembeetembee.
play 4. 我天天都来。
Wǒ tiāntiān dōu lái.
Nakuja kila siku.
Lesson 66 健康与锻炼 Afya na mazoezi
play 1. 你喜欢什么运动?
Nǐ xǐhuan shénme yùndòng?
Unapenda michezo gani?
play 2. 你会游泳吗?
Nǐ huì yóuyǒng ma?
Unajua kuogelea?
play 3. 运动有益于身体健康。
Yùndòng yǒuyì yú shēntǐ jiànkāng.
Michezo inasaidia afya.
play 4. 我喜欢打沙滩排球。
Wǒ xǐhuan dǎ shātān páiqiú.
Napenda mpira wa wavu kwenye mchanga.
Lesson 67 看比赛 Mashindano
play 1. 比赛开始了!
Bǐsài kāishǐ le!
Mashindano yameanza.
play 2. 谁和谁比?
Shuí hé shuí bǐ?
Nani na nani wanashindana?
play 3. 他打得真好!
Tā dǎ de zhēn hǎo!
Anacheza vizuri.
play 4. 好球!
Hǎo qiú!
Goli zuri!
play 5. 你希望谁赢?
Nǐ xīwàng shuí yíng?
Unapenda nani ashinde?
Lesson 68 徒步和跑步 Kupanda mlima na kukimbia
play 1. 我都出汗了!
Wǒ dōu chū hàn le!
Nimetokwa na jasho!
play 2. 我有点儿爬不动了。
Wǒ yǒudiǎnr pá bú dòng le.
Naona sina nguvu kubwa ya kupanda.
play 3. 我经常去健身房。
Wǒ jīngcháng qù jiànshēnfáng.
Nakwenda mara kwa mara kwenye jumba la kufanya mazoezi ya kujenga mwili.
play 4. 贵在坚持。
Guì zài jiānchí.
Bora kushikilia siku zote.