Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
  • Wasikilizaji wasifu matangazo ya CRI 91.9 FM Nairobi Kenya
  •  2006/07/18
    Tarehe 27 Februari mwaka huu, matangazo ya CRI 91.9 FM yalianzishwa rasmi huko Nairobi Kenya. Hiki ni kituo cha kwanza cha matangazo ya FM kilichoanzishwa na Radio China kimataifa katika nchi ya nje. Karibu nusu mwaka umepita tangu kituo hiki kianzishe matangazo yake kwenye wimbi la FM, kituo hiki kinaendeshwa vizuri na kimesifiwa kwa kauli moja na watu wa pande mbalimbali nchini Kenya. ?
  • Msomi wa India asema kuzinduliwa kwa reli ya Qinghai-Tibet kutaleta fursa za kibiashara kati ya China na India
  •  2006/07/04
    Reli ya Qinghai-Tibet yenye urefu wa kilomita 2,000 inayopita kwenye uwanda wa juu wa Qinghai-Tibet ambao ni uwanda wa juu wenye mwinuko mkubwa zaidi duniani imezinduliwa rasmi tarehe 1 Julai mwaka huu
  • Uhusiano kati ya China na Afrika waingia katika kipindi kipya
  •  2006/06/20
    Mwaka huu ni mwaka 50 tangu China na Afrika zianzishe uhusiano wa kibalozi. Je, urafiki na ushirikiano kati ya China na Afrika umeendelea vipi katika miaka hiyo 50? Ushirikiano wa namna hii umewaletea wananchi wa pande hizo mbili manufaa gani?
  • Umoja wa Mataifa watoa taarifa ikisema kuwa eneo la jangwa duniani kote linapanuka
  •  2005/06/17
        Umoja wa Mataifa tarehe 16 ulitoa taarifa ikisema kuwa, hali ya hewa inayobadilika kuwa joto imesababisha asilimia 41 ya ardhi ya ukame kote duniani inavia siku hadi siku, na eneo la jangwa kote duniani linapanuka siku hadi siku, na idadi kubwa ya watu watakabiliwa na matatizo ya maisha.
  • China imekuwa nchi inayozalisha maua kwa wingi kabisa duniani
  •  2005/05/19
    Mkutano wa pili wa baraza la wakuu wa wilaya zinazozalisha maua kwa wingi nchini China, yaani mkutano wa pili wa wakuu wa kampuni za maua wa China tarehe 18 ulifanyika huko Wuhan
  • Kuhifadhi mandhari nzuri ya kimaumbile
  •  2005/04/29
    Wakati sehemu nyingi nchini China zinapojitahidi kuendeleza sehemu zenye vivutio vya utalii, mkoa wa Guangxi unazingatia zaidi hifadhi ya raslimali za utalii.
  • China yathibitisha kimsingi mpango mkuu wa kukuza uchumi wa mzunguko
  •  2005/04/14
    Kikundi cha "Utafiti wa mkakati wa kukuza uchumi wa mzunguko wa China" katika taasisi ya utafiti wa mambo makubwa ya uchumi ya kamati ya maendeleo na mageuzi ya China kimesema kuwa, mpango mkuu wa kukuza uchumi wa mzunguko nchini China ni kutumia miaka 50 kujenga jamii ya mzunguko yenye masikilizano kati ya binadamu, maumbile na jamii na kuokoa nishati, ambapo kiasi cha uzalishaji wa raslimali, kiasi cha matumizi ya mzunguko wa raslimali na kiasi cha takataka zitakazoshughulikiwa, pamoja na mazingira ya viumbe, na uwezo wa maendeleo endelevu kufikia kiwango cha kisasa cha duniani cha wakati ule, kuinua kwa kiasi kikubwa sifa ya mazingira ya viumbe na kuboresha kikamilifu mazingira tunayoishi, ndipo nchi nzima itakapoweza kuingia kwenye mzunguko mzuri wa maendeleo endelevu.
  • Mwanasayansi wa kilimo wa China Bw. Jia Jizeng
  •  2005/03/29
    Bw. Jia Jizeng ni mwanasayansi anayedhamiria kubadilisha hali ya kilimo iliyo nyuma ya China. Alizaliwa mwezi Agosti mwaka 1945 katika ukoo wa wakulima mkoani Henan.
  • Waziri mkuu wa China asisitiza juhudi zifanyike kujenga jamii yenye masikilizano
  •  2005/03/15
    Waziri mkuu wa China Wen Jiabao tarehe 5 alipotoa ripoti ya kazi ya serikali kwenye mkutano wa Bunge la umma la China alisisitiza kufanyika kwa juhudi katika kutatua masuala makubwa yanayohusiana moja kwa moja na maslahi ya wananchi
  • Kamati ya hadhi ya wanawake ya Umoja wa Mataifa yafanya mkutano kutathmini mafanikio ya mkutano wa wanawake duniani uliofanyika mjini Beijing
  •  2005/03/10
    Mkutano wa 49 wa kamati ya hadhi ya wanawake ya Umoja wa Mataifa ulifunguliwa tarehe 28 katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa huko New York. Maofisa kutoka serikali za nchi zaidi ya 180 duniani na wawakilishi wa mashirika zaidi ya 100 yasiyo ya kiserikali wanahudhuria mkutano huo
  • Wakulima wafaidike zaidi
  •  2005/02/16
    Katibu mkuu wa Kamati ya Chama ya Beijing Bw. Liu Qi hivi karibuni alipokuwa kwenye mkuktano wa kazi za vitongoji vya Beijing alisema kuwa "kutilia maanani maendeleo ya vijijini, kuwashughulikia wakulima na kuunga mkono kilimo" na kutatua vilivyo masuala hayo matatu ni kazi isiyotakiwa kucheleweshwa
  • Vibarua wakulima "wayamudu" maisha ya utamaduni
  •  2005/02/08
  • "Super-market ya upendo"unapendwa na watu
  •  2005/01/20
    Tarehe 14 mwezi Januari mkazi wa wilaya ya Kunwen, mji wa Weifang akichukua cheti alichopewa na serikali ya wilaya alifika "Super-market ya upendo" iliyoko katika wilaya hiyo kuchagua vitu alivyotaka kununua, baada ya kutembelea humo ndani alinunua mfuko mmoja wa unga wa ngano wa kilo 25
  • Uchumi wa nchi zinazoendelea utaendelea kuwa na ongezeko la utulivu
  •  2005/01/20
        Wachambuzi wanaona kuwa, kwa kuwa ongezeko la uchumi wa nchi zilizoendelea kuwa la taratibu na serikali ya China kuchukua hatua za marekebisho na udhibiti wa uchumi, ongezeko la uchumi wa nchi zinazoendelea litapungua kwa kiasi fulani kwa mwaka 2005, lakini uchumi wa nchi zinazoendelea utaendelea kuwa na ongezeko kubwa.
  • Mkoa unaojiendesha wa kabila la wamongolia una makada laki 1.9 wa makabila madogo madogo
  •  2005/01/14
    Kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na kamati inayoshughulikia mambo ya makabila madogo madogo ya mkoa unaojiendesha wa kabila la wamongolia, hivi sasa mkoa huo una makada laki moja na elfu tisini wa makabila madogo madogo
    1 2 3 4 5 6