Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
 • Wakulima laki 4 wa sehemu ya milimani katika vitongoji vya nje ya Beijing watimiza "kupata ajira kwa kuhifadhi milima"
 •  2005/01/14
  Bi. Pei Deling mwenye umri wa miaka 39 ni mkulima wa kijiji cha Huang Yukou katika wilaya ya Mi Yun ya Beijing. Mwezi mmoja uliopita, aliteuliwa kuwa mlinzi wa misitu ya biolojia katika kijiji hicho kushughulikia kazi ya usimamizi na hifadhi ya misitu ya biolojia yenye hekta 328, na kutimiza "kupata ajira kwa kulinda misitu". Mapato yake ya mwaka mmoja yameweza kuongezeka kwa yuan elfu 5, na amekuwa mtu anayefaidika kutokana na utaratibu wa utoaji ruzuku kwa ulinzi wa misitu ya biolojia katika sehemu ya milimani hapa Beijing.
 • Barabara za kasi zaingia katika sehemu zilizo maskini kabisa nchini China
 •  2004/12/22
      Kutokana na ujenzi wa miundo mbinu kuendelea kupanuka, barabara za kasi pia zinaingia katika mji wa Dingxi, mkoani Gansu na sehemu ya Xihaigu iliyoko katika mkoa unaojiendesha wa kabila la Wahui wa Ningxia.
 • Wanawake wachukua nusu ya watu waliopewa tuzo ya Nobel
 •  2004/12/14
  Tarehe 10 huko Stockholm mji mkuu wa Sweden na Oslo mji mkuu wa Norway, sherehe za kutoa tuzo ya Nobel kwa mwaka 2004 zilifanyika. Katika sherehe hizo, macho ya watu duniani yalivutiwa na wanawake watatu wenye rangi tofauti , ambao walichukua nusu ya tuzo za Nobel, na jambo ambalo halijawahi kutokea hapo awali.
 • Mafunzo ya kazi ni mbinu mpya bora ya kusaidia watu maskini
 •  2004/11/11
  Mkulima kijana wa kijiji cha Luwan, wilaya ya Shanyang mkoani Shanxi Bw. Li Xiaochen, mwezi Aprili mwaka jana kutokana na msaada kutoka idara ya kusaidia watu maskini ya huko alipewa mafunzo ya kazi ya makanika kwa miezi 6 katika shule moja binafsi mjini Shangluo
 • Makala ya nne ya chemsha bongo:Mambo ya kidiplomasia ya China inayoshikilia nia ya amani na kanuni za kujitawala na kujiamulia mambo
 •  2004/11/06
 • Makala ya tatu ya chemsha bongo :Makabila madogomadogo ya China yanayopewa haki ya kujiendesha
 •  2004/11/06
 • Makala ya pili ya chemsha bongo: Elimu ya China inayowahudumia wachina bilioni 1.3
 •  2004/11/06
 • Makala ya kwanza ya chemsha bongo : Maendeleo endelevu ya Uchumi wa China
 •  2004/11/06
 • Bara la Afrika laonesha kutilia maanani hifadhi ya mazingira
 •  2004/11/05
  Kamati ya tuzo ya Nobel ya Norway muda si mrefu uliopita ilimpa tuzo ya amani ya Nobel naibu waziri wa mazingira na malighafi za kimaumbile ya Kenya Prof. Wangali Maathai
 • makala maalum
 •  2004/11/02
 • Makala ya wasikilizaji 1102
 •  2004/11/02
 • Dawa za mitishamba za China katika kupambana na Ugonjwa wa Ukimwi barani Afrika.
 •  2004/10/29
   Wakati kampuni za dawa za nchi za magharibi zinapofikiria kupunguza bei za dawa ya Ukimwi au la barani Afrika, Madaktari wa China wametoa misaada bure katika kupambana na Ukimwi barani Afrika kwa miaka 17.  
 • Shughuli za udhibiti wa tumbaku nchini China
 •  2004/10/29
      Mwezi Mei mwaka 2003, Mkutano wa 56 wa afya wa kimataifa ulipitisha kwa kauli moja "azimio la udhibiti wa tumbaku", hili ni azimio la kwanza lenye uwezo wa kisheria kuhusu mambo ya afya ya binadamu duniani, azimio hilo linatazamiwa kutekelezwa kuanzia mwaka huu. Utengenezaji na ununuaji wa tumbaku ni mkubwa sana nchini China. Lakini China ilichukua hatua gain kuhusu udhibiti wa tumbaku? Leo tunawaletea maelezo kuhusu jambo hilo.
 • Kazi ya China ya kuwasaidia walemavu wenye matatizo ya kiuchumi yapata mafanikio makubwa
 •  2004/10/28
  Kazi ya China ya kuwasaidia walemavu wenya matatizo ya kiuchumi imepata mafanikio makubwa. Kazi hiyo yenye mtindo wa kipekee inafanyika kutokana na hali ilivyo nchini China.
 • Mafanikio yaliyopatikana katika kazi ya kupunguza idadi ya watu maskini nchini China yaivutia dunia
 •  2004/10/26
       Katika miaka ya hivi karibuni, jumuiya zisizo za kiserikali pia zimefanya kazi kubwa katika kuondoa umaskini nchini China, ambapo zinasaidia kujenga shule za msingi kuwasaidia watoto wa familia zenye matatizo ya kiuchumi kupata nafasi za kwenda shule, kuwasaidia walemavu kujiendeleza, kuwasaidia kina mama wenye matatizo ya kiuchumi katika uzalishaji mazao, kuwasaidia watoto wa kike waliokosa nafasi za kwenda shule kupata elimu ya lazima, na vijana wa kujitolea kuwasaidia watu maskini kujiendeleza na kadhalika.
  1 2 3 4 5 6