Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
  • Balozi wa China nchini Afrika kusini adai kuwachukulia hatua za kisheria wahalifu waliowaua raia 2 wa China
  •  2004/10/22
    Tarehe 18 Oktoba mwezi huu, balozi wa China aliyeko nchini Afrika ya kusini Bwana Liu Guijin alionana kwa dharura na Ofisa wa wizara ya mambo ya nje ya Afrika ya kusini kuhusu tukio la raia wawili wa China kuuawa tarehe 17 nchini humo, na kuitaka Afrika ya kusini kuwachukulia wahalifu hatua za kisheria haraka iwezekanavyo.
  • Kijiji cha Huaxi--Mfano wa kuigwa wa kujiendeleza kwa pamoja
  •  2004/10/08
        Kuanzia miaka ya 80 ya karne iliyopita, kijiji cha Huaxi kilitangulia kuwa kijiji chenye simu, nyumba nzuri, magari na kompyuta nchini China, na kinasifiwa kuwa ni kijiji cha kwanza duniani. Kufuata njia ya kujiendeleza kwa pamoja ndiyo siri ya maendeleo ya kijiji hicho.
  • Kikundi cha wataalamu wanawake wanaoeneza elimu ya sayansi na teknolojia ya kilimo nchini China
  •  2004/10/08
    Kwenye sehemu ya Yang Ling, mkoani Shangxi, kaskazini magharibi mwa China, ambayo ni sehemu pekee ya vielelezo ya sayansi na teknolojia ya juu ya kilimo nchini China, kuna kikundi maalum cha kueneza elimu ya sayansi na teknolojia ya kilimo kinachoundwa na wataalamu wanawake 100.
  • Sikukuu ya Mwezi ya Wachina
  •  2004/09/28
        Usiku wa sikukuu hiyo, mwezi ukiwa juu angani ni wa mviringo na mweupe. Wachina wanaona kwamba mwezi kama huo ni ishara ya kuungana kwa jamaa. Siku hiyo, jamaa wanaoishi katika sehemu mbalimbali huungana pamoja, na kula "keki za mwezi" huku wakiburudika kutokana na mbalamwezi nzuri.
  • Shanghai yasaidia kusukuma mbele maendeleo yenye uwiano ya uchumi wa China katika sehemu ya magharibi na mashariki kwa miradi ya sayansi na teknolojia
  •  2004/09/16
    Ili kuunganisha teknolojia ya sehemu ya mashariki na maliasili ya sehemu ya magharibi ya China na kusukuma mbele maendeleo yenye uwiano ya uchumi wa China katika sehemu hizo mbili, hivi karibuni kamati ya sayansi na teknolojia ya Shanghai ilianzisha miradi 75 ya sayansi na teknolojia ili kuharakisha maendeleo ya uchumi wa sehemu ya magharibi.
  • Matukio makubwa ya mashambulizi ya kigaidi duniani yaliyotokea tangu "9.11"(Sehemu B)
  •  2004/09/10
  • Matukio makubwa ya mashambulizi ya kigaidi duniani yaliyotokea tangu "9.11" (Sehemu A)
  •  2004/09/10
  • Upendo wa jamii wamwezesha mfugaji wa kabila la Wayi kusoma katika chuo kikuu cha Qinghua
  •  2004/08/31
  • Matumizi ya nishati mpya yana mustakbali mzuri nchini China
  •  2004/08/26
    Wakati soko la mafuta duniani likiwa linayumba yumba na katika baadhi ya miji ya China kuna mgao wa umeme, wataalamu wa nishati wa China wameanza kuzingatia kuendeleza nishati mpya na nishati zinazoweza kutumika tena. Utafiti uliofanywa na wataalamu hao unadhihirisha kuwa matumizi ya nishati mpya nchni China yana mustakbali.
  • Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa apendekeza kuongeza jeshi la kulinda amani nchini Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Kongo
  •  2004/08/19
    Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Kofi Annan jana alitoa ripoti kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, akipendekeza kuongeza idadi ya askari wa jeshi la kulinda amani nchini Jamhuri ya kidemokrasi ya Kongo, ili kuliwezesha jeshi hilo kusaidia serikali ya mpito ya nchi hiyo kuimarisha mchakato wa amani, na kuandaa uchaguzi mkuu wa nchi hiyo utakaofanyika mwezi Juni mwakani.
  • Makala ya kwanza ya chemsha bongo kuhusu ujuzi wa "Miaka 55 ya China mpya"
  •  2004/08/17
  • China yajenga ukanda wa misitu kwenye barabara ndefu zaidi ya jangwa duniani
  •  2004/08/13
  • Tukumbuke mchango mkubwa wa mwanasiasa mashuhuri wa China
  •  2004/08/12
  • Kabla na Baada ya Miaka Mia ya Lhasa
  •  2004/08/10
    Baada ya mvua hewa mjini Lhasa ilikuwa safi. Tarehe 3 asubuhi mapema mwezi huu nilikwenda uwanja ulioko mbele ya Kasri la Potala, huko niliwakuta vijana wawili wakirusha vishada, wakikimbia na kucheka kwa furaha.
  • Sera za "mahakikisho mawili ya matibabu" kwa "wazee wa aina tatu" kutekelezwa mkoani Shandong nchini China
  •  2004/08/05
    1 2 3 4 5 6