Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
  • Maonyesho ya kimataifa ya magari ya Beijing mwaka 2004
  •  2004/06/15
    Maonesho ya kimataifa ya magari mwaka 2004 Beijing, yalifunguliwa tarehe 10 mwezi juni. Kampuni karibu 1,900 kutoka nchi na sehemu zaidi ya 20 zinashiriki kwenye maonesho hayo zikiona kuwa maonesho ya magari ya Beijing ni jukwaa bora kabisa la kuonesha magari yao na teknolojia yao mpya kabisa.        
  • Idara ya misitu za sehemu ya kaskazini mashariki ya China zinazohifadhi rasilimali ya misitu na kukuza uchumi wa misituni
  •  2004/06/11
    Ili kuhifadhi rasilimali ya misitu, katika miaka ya karibuni serikali ya China imeanzisha miradi ya uhifadhi wa misitu ya asili ikitaka kupiga marufuku au kudhibiti ukataji miti. Licha ya hayo inajitahidi kukuza uchumi kwa namna mbalimbali kwa kutegemea rasilimali ya misitu.
  • Tuifanye bahari iwe safi zaidi
  •  2004/06/08
     Tarehe 5 mwezi Juni ni siku ya mazingira duniani. Kauli-mbiu ya mwaka huu ni "Kila mtu anawajibika kwa uhai wa bahari". Shirika la mpango wa mazingira la Umoja wa Mataifa lilisema kuwa uchafuzi wa bahari ni moja ya balaa kubwa zinazotishia maisha ya binadamu.    
  • Wafanya biashara wa kigeni wavutiwa na Yunnan, China
  •  2004/06/01
    Hadi kufikia mwezi Mei mwaka huu, kampuni ya vifaa vya ujenzi na mapambo ya nyumba ya B&Q ya Uingereza, ambayo ni ya kwanza kwa ukubwa barani Ulaya kwa mauzo ya vifaa vya ujenzi na mapambo, imefungua matawi 18 nchini China, bara.      
  • Misitu iliyopandwa na binadamu yaboresha mazingira ya China
  •  2004/05/25
    Katika majira ya Spring mwaka 2000, upepo mkubwa uliovuma ulisababisha kuweko kwa mavumbi angani ambayo yalitambaa katika sehemu nzima ya kaskazini ya China, Beijing ilikuwa sehemu moja iliyoathiriwa vibaya na vumbi hilo, ambapo watu waliweza tu kuona vitu vilivyoko karibu na mita 100.    
  • Zao maalumu lililohamishwa kutoka kando ya Meditrenia laleta utajiri kwa mkoa wa Sichuan
  •  2004/05/11
    Mzeituni ambao ni zao maalumu kwenye kando ya bahari ya Meditrenia, umeleta utajiri kwa wakulima wa mkoani Sichuan.   
  • Mavuno mazuri ya peach
  •  2004/04/27
  • Viwanda vya kijeshi vinavyobadilishwa kuzalisha bidhaa zinazotumiwa na wananchi vyapata maendeleo
  •  2004/04/18
  • Shenyang inajitahidi kutoa nafasi nyingi za ajira
  •  2004/04/18
  • Mbunge wa taifa bibi Zhou Xiaoguang
  •  2004/03/02
  • "Nina imani kubwa na maendeleo ya uchumi wa China."----Ofisa wa habari wa Idara ya Takwimu ya China, Bw. Yao Jingyuan.
  •  2004/02/24
  • Utaratibu wa kiwango cha usalama wa kupewa mikopo kwa wakazi watimiza matarajio yao ya kununua nyumba
  •  2004/02/05
  • Wanaviwanda wa tabaka la "Mizizi ya majani" wa mkoani Zhejiang waliofanikiwa
  •  2004/01/28

    Lengo lao la hapo mwanzoni lilikuwa ni kuondokana na hali yao yenye shida za kiuchumi. Hivi sasa wanafikiria kuleta manufaa kwa jamii.

  • Turpan yainua uchumi kwa mambo ya utalii
  •  2004/01/13
  • Suzhou yakuwa sehemu ya wanafunzi wanayopenda kuanzisha makampuni
  •  2004/01/11
    1 2 3 4 5 6 7