Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
  • Uwekezaji wa vitega-uchumi wa China wapendwa na nchi za nje
  •  2005/10/18
    Kwenye mazungumzo ya uwekezaji wa vitega-uchumi na biashara yaliyofanyika nchini China, kuvutia wafanyabiashara wa nchi za nje kuwekeza nchini China kulikuwa moja ya shughuli muhimu.
  • Ujenzi wa forodha wahimiza maendeleo ya uchumi na biashara ya nje ya Xinjiang
  •  2005/10/11
    Mkoa unaojiendesha wa Xinjiang Uigur ulioko sehemu ya kaskazini magharibi ya China unapakana na nchi nane zikiwa ni pamoja na Russia, Kazakhstan, Pakistan na India na ni mkoa wa unaopakana na nchi nyingi zaidi.
  • Uzalishaji na uuzaji wa magari ya China uliendelea kuongezeka katika miezi 8 iliyopita ya mwaka huu
  •  2005/09/30
    Kwa mujibu wa takwimu mpya zilizotolewa na shirikisho la viwanda vya magari la China, uzalishaji na uuzaji wa magari ya China uliendelea kuongezeka kwa utulivu katika miezi 8 iliyopita ya mwaka huu. Kati ya uzalishaji huo, uzalishaji na uuzaji wa magari ya usafiri umeongezeka kwa asilimia 10, ukiwa umezidi kwa kiasi kikubwa ongezeko la uzalishaji wa magari ya kazi.
  • Kiwango cha kujitosheleza nishati cha China kimefikia asilimia 94
  •  2005/09/27
    Naibu mkurugenzi wa kamati ya maendeleo na mageuzi ya taifa ya China Bw. Zhang Guobao, tarehe 13 kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofanywa na ofisi ya habari ya baraza la serikali la China alisema kuwa, msingi wa sera za maendeleo ya nishati za China unajengwa nchini
  • Idara nne za China zatoa mpango kwa ajili ya kazi ya uenezi wa habari kuhusu kujenga jamii inayobana matumizi ya maji
  •  2005/09/20
    Idara ya uenezi ya kamati kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China, wizara ya maji ya China, kamati ya maendeleo na mageuzi ya taifa na wizara ya ujenzi ya China hivi karibuni zilitoa uarifu kwa pamoja, zikipanga kazi ya uenezi wa habari kuhusu kujenga jamii inayobana matumizi ya maji.
  • Mabadiliko mapya yatokea katika sekta ya benki nchini China
  •  2005/09/20
    Katika muda wa zaidi ya miaka mitatu tangu China ijiunge na Shirika la Biashara Duniani WTO, soko la benki limeharakisha hatua za mageuzi na ufunguaji mlango, benki nyingi za kigeni zimeingia kwenye soko la China kwa njia mbalimbali, hivi sasa shughuli za benki zinapanuka kwa mfululizo
  • Tatizo la biashara ya nguo kati ya China na Ulaya latatuliwa kwa utulivu
  •  2005/09/13
    Tarehe 5 usiku wakati waziri wa biashara wa China Bw. Bo Xilei na mjumbe wa kamati ya biashara ya Umoja wa Ulaya Bw. Peter Mandelson walipotia saini kwenye kumbukumbu ya mazungumzo, sauti kubwa ya makofi ilisikika kwenye ukumbi wa wageni maarufu wa Hoteli ya Beijing.
  • Mji mtangulizi wa maendeleo ya uchumi wa China
  •  2005/09/06
    Shenzhen ni mji uliostawi kwenye miaka ya karibuni katika sehemu ya kusini ya China. Siku chache zilizopita mji wa Shenzhen uliadhimisha miaka 25 tangu uwe eneo maalumu la kiuchumi. Katika muda huo mfupi wa miaka 25
  • Uzalishaji wa televisheni za kitarakimu wapamba moto
  •  2005/08/30
    Ofisa wa idara ya utangazaji na sinema ya China hivi karibuni hapa Beijing alitangaza kuwa ifikapo mwaka 2015 sekta ya uzalishaji wa televisheni hapa nchini itakuwa imamaliza kipindi cha mpito cha kutoka uzalishaji wa televisheni za analog kwa televisheni za kitarakimu.
  • Xiamen yahimiza maingiliano ya uchumi na biashara ya kando mbili
  •  2005/08/23
    Katika miaka ya karibuni uhusiano wa mambo ya uchumi na biashara kati ya mkoa wa Taiwan na China bara umekuwa mkubwa mwaka hadi mwaka.
  • Ushirikiano wa kiuchumi katika eneo la delta ya mto Zhujiang wapata mafanikio
  •  2005/08/16
    Mkutano wa pili wa baraza la ushirikiano na maendeleo wa eneo la mto Zhujiang ulifanyika hivi karibuni huko Chengdu, mji mkuu wa mkoa wa Sichuan ulioko sehemu ya kusini magharibi ya China.
  • Mfanyabiashara mkubwa wa biashara ya rejareja aliyeko nchini China
  •  2005/08/02
    Miaka zaidi ya 40 iliyopita, mmarekani mmoja anayeitwa Sam Walton alifungua duka moja la bidhaa za vyakula na matumizi ya nyumbani katika tarafa kwao lililojulikana kwa Wal-Mart. Baada ya kuendelezwa kwa miongo kadhaa, duka lake lile dogo sasa limekuwa kampuni ya kwanza kwa ukubwa duniani katika sekta ya uuzaji bidhaa kwa rejareja
  • Loreal nchini China
  •  2005/07/26
    Kampuni ya L'oreal ambayo ilianzishwa miaka karibu 100 iliyopita, ni kampuni ya kwanza kwa ukubwa duniani inayozalisha vipodozi. Kampuni hiyo iliingia China miaka 8 iliyopita.
  • Ushirikiano kati ya mashirika mbalimbali wasukuma mbele maendeleo ya uchumi wa mkoa wa Hunan
  •  2005/07/19
    Kijografia, Mkoa wa Hunan uko katika sehemu nzuri kwa kupakana na mtu wa kwanza kwa urefu nchini pamoja na mkoa wa Guangdong ambao ni mkoa ulioendelea sana kwenye pwani ya kusini ya China, lakini katika miaka mingi iliyopita, mkoa wa Hunan ulijulikana kwa mkoa mkubwa wa kilimo.
  • Mkutano wa mawaziri wa fedha wa Asia na Ulaya wafuatilia uchumi wa China na suala la ubadilishaji wa fedha za Renminbi
  •  2005/06/29
    Mkutano wa 6 wa mawaziri wa fedha wa Asia na Ulaya umefanyika hivi karibuni huko Tianjian, kaskazini mwa China, ambapo maofisa waandamizi wa fedha kutoka nchi wanachama 39 za Asia na Ulaya pamoja na wajumbe wa mashirika ya fedha ya kimataifa walifanya majadiliano kuhusu masuala mengi, na wamefuatilia sana masuala yanayohusiana na China.
  • Mkoa ulioko sehemu ya kati ya China watafuta njia ya maendeleo
  •  2005/06/21
    Mkoa wa Jiangxi, ambao unajulikana kwa maendeleo ya kilimo, ni moja ya mikoa 13 muhimu katika uzalishaji wa nafaka. Katika miaka ya karibuni mkoa huo ukitumia hali bora ya kupakana na mikoa iliyoendelea ya sehemu za mashariki na kusini za China na hali bora yake ya rasilimali na nguvukazi unarekebisha hatua kwa hatua muundo wa uchumi, kujitahidi kushawishi na kutumia mitaji ya kigeni.
  • Mkwaruzano wa biashara ya nguo kati ya China na Ulaya na Marekani
  •  2005/06/14
    Mkwaruzano uliotokea hivi karibuni wa biashara ya nguo kati ya China pamoja na Marekani na Umoja wa Ulaya umefuatiliwa na pande zinazohusika.
  • Kampuni ya LG-PHILIPS ya mpambazuko yawania nafasi ya kwanza nchini China
  •  2005/06/07
    Pamoja na maendeleo ya kasi ya uchumi wa China na kuzidi kufungua mlango, makampuni mengi maarufu ya kimataifa yanaingia China kwa njia za ubia na uwekezaji.
  • "Baraza la Fortune" lafuatilia maendeleo ya uchumi ya China
  •  2005/05/31
    Kongamano la 9 la Baraza la Fortune lililofanyika kwa siku tatu, lilimalizika hivi karibuni hapa Beijing. Wakurugenzi wakuu kutoka makampuni ya kimataifa zaidi ya 70 yaliyochukua nafasi za 500 za mwanzo duniani pamoja na wanaviwanda na maofisa wa China wapatao mamia kadhaa walishiriki kwenye majadiliano kuhusu maendeleo ya China na nchi za sehemu nyingine za Asia na masuala mengine likiwemo nafasi zinazotolewa na China kwa makampuni makubwa ya kimataifa.
  • Guangxi inakuza maendeleo ya uchumi kwa kutumia ubora wa huko
  •  2005/05/17
    Mkoa unaojiendesha wa kabila la wazhuang, ambao uko katika sehemu ya kusini magharibi ya China, ni mkoa pekee nchini unaopakana na nchi za Asia ya kusini mashariki kwenye nchi kavu na pwani.
  • Mwana-kiwanda aliyefanikiwa kusafirisha magari yenye hataza ya China katika soko la kimataifa
  •  2005/05/10
    Soko la magari nchini China limekuwa na maendeleo ya kasi katika miaka ya karibuni, magari ya makampuni maarufu ya kimataifa yakiwemo Volkswagen na Ford yameshaingia kwenye soko la magari la China.
  • Kutulia kwa kiwango cha kubadilisha fedha za kigeni na fedha ya China kuna manufaa kwa dunia
  •  2005/04/26
    Jumuiya ya kimataifa inafuatilia mara kwa mara suala la kiwango cha kubadilisha fedha za kigeni kwa fedha za kichina, tangu China ilipoanza kutekeleza sera kuhusu kiwango cha kubadilisha fedha za kigeni kwa fedha ya Renminbi miaka zaidi ya kumi iliyopita.
  • Shanxi ya himiza maendeleo ya uchumi kwa kutumia rasilimali za huko
  •  2005/04/19
    Tangu serikali ya China kutekeleza sera za kustawisha sehemu ya magharibi mwaka 2000, uchumi wa sehemu hiyo umekuwa na mwelekeo wa maendeleo ya kasi.  
  • Kampuni ya TCL yajulikana katika soko la dunia
  •  2005/04/12
    Miaka 23 iliyopita kijana Li Dongsheng baada ya kumaliza masoko katika chuo kikuu alirejea kwao, mji wa Huizhou mkoani Guangdong, sehemu ya pwani ya kusini mashariki ya China, na kuwa fundi wa kawaida kwenye kiwanda kimoja kidogo cha vyombo vya umeme vya nyumbani.
  • Maendeleo ya kasi ya sekta ya teknolojia ya kisasa ya mji wa Beijing
  •  2005/04/05
    Takwimu mpya zinaonesha kuwa pato kutokana na uzalishaji wa sekta ya teknolojia ya kisasa la mji wa Beijing kwa mwaka 2004, lilikaribia Yuan za Renminbi bilioni 40 zikiwa ni karibu 10% ya pato la Beijing.
  • Mpango mpya wa mji mkuu Beijing
  •  2005/04/01
    Hivi karibuni Beijing ilipopanga mpango mpya kuhusu maendeleo yake katika siku za usoni, ilitoa lengo jipya la kuujenga mji huo kuwa mji unaofaa kwa maisha ya watu. Hatua hii imefuatiliwa na watu wengi.
  • Maendeleo ya uchumi binafsi yakabiliwa nafsi mpya
  •  2005/03/08
    Hivi karibuni serikali ya China ilitangaza sera zinazokusudia kuhimiza maendeleo ya uchumi binafsi. Kutokana na sera hizo, uchumi binafsi utaruhusiwa kuingia katika sekta yoyote ambayo haikatazwi na sheria yoyote ya China
  • Makampuni ya kimataifa yapenda kuanzisha taasisi za utafiti nchini China
  •  2005/02/22
    Takwimu zilizotolewa hivi karibuni zinaonesha kuwa hadi hivi sasa zaidi ya taasisi 700 za utafiti zimeanzishwa na makampuni ya kimataifa nchini China. Taasisi hizo zinahusu sekta za elektroniki, dawa na kemikali.
  • Kukuza uwezo wa uzalishaji wa kilimo ni jukumu la kimkakati
  •  2005/02/08
     Waraka wa "Maoni ya kamati kuu ya chama cha kikomunisti cha China na baraza la serikali kuhusu sera za kukuza uwezo wa uzalishaji wa kilimo" unasema kuwa, hivi sasa na kipindi cha siku za baadaye tunatakiwa kuuchukulia ukuzaji wa uwezo wa kuimarisha ujenzi wa miundo mbinu ya kilimo, kuharakisha maendeleo ya sayansi na teknolojia ya kilimo na uzalishaji wa mazao ya kilimo kuwa ni jukumu muhimu na la haraka.
  • "Mfalme wa vinywaji" nchini China
  •  2005/02/01
    Kabla ya miaka zaidi ya kumi iliyopita, mwanaume wa makamo mwenye umri wa miaka 42 alianza kufanya biashara ndogo ya kuuza chakula cha barafu kama mchuuzi.
    1 2 3 4 5 6 7