Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
  • Wafanyabiashara wa HongKong wana uhakika wa kuwekeza vitega uchumi katika mkoa wa Hei Longjiang
  •  2005/01/27
    Mwezi Januari mwaka huu, kikundi cha wafanyabiashara wa Hongkong kilifanya uchunguzi wa kiuchumi kwa siku tano katika mkoa wa Hei Longjiang, Kaskazini-Mashariki mwa China ili kuwekeza vitega uchumi mkoani humo.
  • Uchumi wa China ulizidi 9.5% mwaka 2004
  •  2005/01/26
    Uchumi wa China uliendelea kwa kasi na kwa hatua madhubuti mwaka 2004. Kutokana na mahesabu ya awali, thamani ya jumla ya uzalishaji ya China ilifikia RMB yuan trilioni 13.65, kiasi hicho kiliongezeka kwa asilimia 9.5 kuliko mwaka juzi.
  • China yadumisha ongezeko kubwa katika biashara na nchi za nje
  •  2005/01/18
    Katika makazi yajulikanayo kwa jina la Wangjing, yaliyoko kwenye sehemu ya kaskazini mashariki ya Beijing kuna wakazi wengi kutoka Korea ya Kusini wanaofanya kazi hapa nchini China.
  • China yasaidia wakulima kuongeza pato kwa kutumia mikopo ya nchi za nje
  •  2005/01/04
        Kila siku alfajiri mkulima He Yanmei anamwamsha mumewe kwenda kufanya shughuli za uchukuzi kwa kutumia gari lenye magurudumu matatu la kilimo. Gari hilo lilinunuliwa na He Yanmei mwaka 2003 kwa thamani ya Yuan 2,000 za mkopo wa kusaidia watu maskini. Mkopo huo umewasaidia sana watu wa familia hiyo, kwani tangu waliponunua gari hilo, wakafanya shughuli za uchukuzi kusafirisha mizigo ya wanakijiji na kuwapeleka mahali wanapotaka kwenda, hivyo pato la ukoo huo liliongezeka kwa kiwango kikubwa.     
  • Sekta ya biashara ya rejareja yaimarika katika ushindani
  •  2004/12/21
    Katika miji mingi ya China, unaweza kuona maduka ya rejareja ya aina mbalimbali yakiwa ni pamoja na departmental stores za China na super markets za makampuni ya kimataifa ya Wal-mart, Carrefour na Metro. Makampuni hayo yanatumia ujuzi wao wote kuvutia wateja kwa bidhaa bora za bei nafuu na huduma bora.
  • Sekta ya uzalishaji wa magari imejiandaa vizuri dhidi ya usafirishaji wa magari wa nchi za nje
  •  2004/12/14
    Mwaka 2005 hautakuwa wa kawaida kwa sekta ya uzalishaji wa magari ya China. Kwani, kutokea tarehe 1 mwezi Januari mwaka kesho, China itaondoa kiwango cha usafirishaji wa magari wa nchi za nje, usimamizi wa leseni na kupunguza zaidi ushuru wa forodha wa magari
  • Sera mpya za utulivu za mambo ya fedha zitatangazwa mwakani
  •  2004/12/07
    Sera za mambo ya fedha zilizotekelezwa karibu miaka 7 iliyopita zitabadilishwa kwa sera mpya za utulivu.
  • China yaendeleza uzalishaji wa chai isiyo na vitu vyenye madhara kwa afya ya binadamu
  •  2004/11/30
    Mama Han Ping mwenye umri wa miaka 71 mwaka huu ni mzaliwa wa mji wa Jinan, siku chache zilizopita mwandishi wetu wa habari alipomwona kwenye maonesho ya kimataifa ya China yaliyofanyika nchini China, alikuwa akinyanyua kikombe na kuonja chai. Mama Han alisema kuwa ameishi miaka mingi, na kitu anachopenda zaidi ni kunywa chai.
  • Mazao ya kilimo salama ya China yanapendwa na watu wa nchi nyingi
  •  2004/11/23
    China ni nchi kubwa ya kilimo na ni nchi ya 6 duniani inayosafirisha nje kwa wingi mazao ya kilimo. Hivi sasa si vigumu kuyaona mazao ya kilimo ya China katika nchi yoyote duniani, ambayo yanapendwa na watu wengi.
  • Soko la bidhaa ndogondogo la Dadeng kwa Taiwan
  •  2004/11/16
        Jambo la kwanza analofanya asubuhi mfanyabiashara kutoka Taiwan Bibi Lin Lizhen ni kuwapeleka watoto wake wawili katika shule ya msingi ya Dadeng ya mji wa Xiamen. Kisha anakwenda haraka kushughulikia biashara yake katika soko la Dadeng la bidhaa ndogondogo kwa wafanyabiashara kutoka Taiwan. Amekuwa akifanya hivyo kila siku kwa zaidi ya miaka miwili.     
  • Qinghai yapata mafanikio katika kukuza uchumi kwa kutumia hali yake bora ya rasilimali
  •  2004/11/09
        Kampuni ya Guoluo inayoshughulikia utafiti na usindikaji wa mazao ya mifugo iliyoko mkoani Qinghai, sehemu ya kaskazini magharibi ya China, ilianzishwa mwaka huu. Hivi sasa, kampuni hiyo iliyoanzishwa miezi kadhaa iliyopita, imefanikiwa kuuza bidhaa zake za maziwa ya unga na nyama kavu ya ng'ombe wa kitibet katika sehemu za kati na magharibi za China, pamoja na sehemu nyingine zilizoendelea ikiwemo miji ya Beijing na Shanghai.     
  • Mji wa magari uliojengwa porini
  •  2004/11/02
         Wuhan ni mji mkubwa kabisa katika sehemu ya kati ya China. Karibu na mji huo kuna mji wa magari. Magari mengi yanayojulikana sana nchini kama Fukang, Elysee, Xsara na Picasso yanatengenezwa katika mji huo. Mji huo ni mahali kilipo Kiwanda cha Magari cha Shenlong kilichoanzishwa kwa ubia kati ya Kiwanda cha Magari ya Dongfeng ya China na Viwanda vya Magari ya PSA, Citroen na Peugeot.
  • Pato la wakazi wachina laongezeka kwa mfululizo
  •  2004/10/20
    Tarehe 1 mwezi Oktoba ni miaka 50 kamili ilitimia tangu kuasisiwa China mpya. Katika miaka hiyo, uchumi wa taifa umepata maendeleo makubwa na kiwango cha maisha ya wananchi kimeinuka kadiri uchumi wa taifa unavyokuwa.
  • Sera za kustawisha sehemu ya kaskazini mashariki ya China zahamasisha maendeleo ya viwanda vya serikali vya mkoa wa Liaoning
  •  2004/10/19
    Wilaya ya Tiexi iliyoko kwenye mji wa Shenyang mkoani Liaoningmu ya kaskazini mashariki ya China ina viwanda vikubwa na wastani karibu 100 vya serikali na ni kituo muhimu cha uzalishaji wa mitambo nchini China.     
  • Mpunga uliobadilishwa "gene" kupata msingi wa kuoteshwa kwa kiwango kikubwa nchini China
  •  2004/10/15
    Teknolojia ya kupata mbegu za mpunga uliobadilishwa "gene" (transgenic) wenye uwezo wa kujikinga dhidi ya wadudu waharibifu iko tayari nchini China
  • Maendeleo ya mikahawa nchini China
  •  2004/10/14
    Tarehe 9 jioni, baada ya kurudi nyumbani kutoka kazini Bw. Chang Jiang pamoja na mkewe na mtoto wake walikwenda kwenye mkahawa mmoja uliopo karibu na nyumbani kwake, waliagiza vitoweo vya aina tatu, walikuwa wanakula na huku wakiongea.
  • Erlianhoate, mji unaostawi katika sehemu ya mpakani nchini China
  •  2004/09/14
        Ukitembea katika mji Erlianhaote wenye majengo marefu na mitaa ya kisasa, na kuangalia wageni wenye ngozi za rangi mbalimbali wakipita kwenye barabara, hawezi kufikiria kuwa katika miaka zaidi ya kumi iliyopita mji huo ulikuwa tarafa moja ndogo yenye idadi ya watu ya chini ya elfu kumi. Hivi sasa mji huo umepiga hatua kubwa ya maendeleo na kuvutia watu wengi kutokana na mafanikio yake.    
  • Mpunga mpya chotara wa China wachukua nafasi ya kwanza duniani kwa utoaji wa mavuno
  •  2004/09/14
    Tarehe 3 mwezi Septemba, kwenye mashamba ya vielelezo katika tarafa ya Tao Yuan, wilaya ya Yong Sheng mkoani Yun nan, wataalamu husika wakivuna na kupima hapo papo, mavuno ya mpunga chotara aina mpya ya 7954B uliooteshwa na wataalamu wa kuotesha mbegu za mpunga wa China, yalifikia kilo 17928 kwa hekta.
  • Miaka 100 ya China kufaulu kuingiza miti ya mpira asili kutoka nchi za nje
  •  2004/09/09
        Hivi sasa, China imekuwa nchi kubwa ya kwanza duniani inayotumia na kuagiza mpira asili kutoka nchi za nje. Kutokana na maendeleo ya shughuli za mpira, kiasi cha kujitosheleza katika mpira nchini China kimefikia asilimia 32.
  • Mazungumzo ya nane ya uwekezaji na biashara kuwa ya kimataifa na kuhimizana
  •  2004/09/07
         Mazungumzo ya nane ya kimataifa ya uwekezaji na biashara yatafanyika tarehe 8 mwezi Septemba mwaka huu katika mji wa Xiamen kutokana na mpango uliowekwa hapo awali. Mazungumzo hayo, ambayo ni mkutano mkubwa wa kimataifa wa kuhimiza uwekezaji ulioandaliwa na wizara ya biashara ya China, yamefanyika mara saba, na kila mara mashirika mengi ya hapa nchini na ya nchi za nje yalishiriki.     
  • Sekta ya viwanda katika sehemu ya kaskazini ya mkoa wa Jiangsu imekuwa na maendeleo ya haraka
  •  2004/09/07
     Sehemu ya kaskazini ya mkoa wa Jiangsu, ambayo ilijulikana kwa "sehemu iliyodidimia kiuchumi" katika mkoa huo, sasa imepata maendeleo makubwa. Viongozi na wakazi wa miji mitano ya Xuzhou, Huaina, Yancheng, Lianyungang na xuqian hawakukaa kusubiri wala kutegemea msaada wa serikali, bali walijitahidi kutatua matatizo sugu yaliyokwamisha maendeleo ya sehemu yake.
  • Kuziwezesha sehemu za milimani kujiendeleza na kupata utajiri kama zilivyo sehemu za pwani
  •  2004/09/03
    Delta ya Mto Zhu Jiang, mkoani Guang Dong, ambayo iko mstari wa mbele katika mageuzi na ufunguaji mlango, inafanya juhudi kubwa kuzisaidia sehemu za milimani kuendeleza uzalishaji.
  • Mji maarufu unaozalisha bidhaa ndogo ndogo nchini China
  •  2004/08/24
    Mji wa Yiwu, ambao uko umbali wa kilomita 200, kusini mwa Hangzhou, mji mkuu wa mkoa wa Zhejiang, ni kituo kimoja maarufu cha usambazaji wa bidhaa nchini China.
  • China yachukua hatua kutatua tatizo la upungufu wa umeme
  •  2004/08/17
    Ni zaidi ya siku kumi zimepita tangu mji wa Wuxi, ulioko sehemu ya mashariki ya China, kuwa na hali ya nyuzijoto zaidi ya sentigredi 35. Licha ya kusumbuliwa na joto kali, wakazi wa mji huo pia waliokumbwa na tatizo la upungufu wa umeme.     
  • Wanaviwanda binafsi wanatarajia kupata mafanikio makubwa
  •  2004/08/03
    Mkoa wa Zhejinag, ambao uko katika pwani ya mashariki ya China, ni moja ya mikoa tajiri nchini China. Tangu kutekelezwa sera za mageuzi, uchumi wa mkoa huo ulikuwa na ongezeko la kasi, hususan viwanda binafsi vya mkoa huo vimepata maendeleo makubwa. Lakini kadiri soko la China linavyozidi kufunguliwa kwa nje, viwanda hivyo binafsi vimekabiliwa na shinikizo kubwa la ushindani.
  • Masoko ya magari nchini China yavutia watu wa nchi mbalimbali
  •  2004/07/20
    Jumuiya ya sekta ya uzalishaji wa magari ya Ujerumani, ambayo inawakilisha maslahi ya kampuni zaidi ya 500 za magari na vipuri vya magari za nchi hiyo, hivi karibuni ilituma ujumbe nchini China na kuwaonesha wateja wa China magari ya nchi yake.  
  • China kuwa na mazingira ya uchumi wa masoko
  •  2004/07/13
    Pamoja na ongezeko la matukio kuhusu bidhaa za China kuchukuliwa hatua na nchi za nje za kupinga bei za Chini zinazouzwa bidhaa hizo, suala la hadhi ya uchumi wa masoko ya China linafuatiliwa na watu wa sekta mbalimbali za nchini.  
  • Turpan yainua uchumi kwa mambo ya utalii.
  •  2004/07/09
    Turpan ni sehemu iliyoko mkoani Xinjiang,magharibi mwa China yenye rasimali nyingi za utalii ambayo licha ya kuwa na madhari nzuri ya jagwa, maziwa, milima yenye theluji na miji ya kale, pia ina mila na desturi za kipekee za makabila ya wauygur na wakazak.
  • Wanaviwanda na tabaka la "mizizi ya majani" wa mkoani Zhejiang waliofanikiwa
  •  2004/07/02
    Mkoa wa Zhejiang ulioko sehemu ya kusini mashariki ya China ni sehemu yenye shughuli nyingi za uchumi wa watu binafsi, ambapo wakazi wa huko wanapenda sana kujishughulisha na mambo ya viwanda na biashara.
  • Maonyesho ya saba ya biashara na uwekezaji ya China
  •  2004/06/18
    Maonyesho ya saba ya biashara na uwekezaji ya China yalifungwa hivi karibuni huko Xiamen, mji mkuu wa pwani ya kusini mashariki ya China. Maonesho hayo yaliwavutia wafanya biashara zaidi ya elfu 11 wa nchi na sehemu 102.
    1 2 3 4 5 6 7