Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
  • China yaboresha mazingira ya mambo ya fedha sehemu ya vijiji
  •  2006/04/11
    Katika miaka ya karibuni serikali ya China ilitenga fedha nyingi mwaka hadi mwaka kwa sehemu ya vijiji nchini. Lakini katika sehemu nyingi za China, wakulima waliotajirika wamekumbwa na tatizo moja jipya, ambalo ni shida kwao kukusanya mitaji.
  • Serikali ya China yatoa ramani za ujenzi wa nyumba kwa wakulima
  •  2006/04/04
    Ili kuwawezesha wakulima wa China waishi katika nyumba zenye hali nzuri na bei nafuu, wizara ya ujenzi ya China tarehe 21 ilitoa seti za ramani za nyumba zilizosanifiwa kwa ajili ya wilaya na tarafa 1887 nchini China, ili kuelekeza shughuli za ujenzi wa nyumba za wakulima kwenye miji midogo ya wilaya nchini China.
  • "Made in China" inavutia zaidi katika maonesho makubwa ya kimataifa mjini Hannover, Ujerumani
  •  2006/03/28
    Maonesho makubwa ya kimataifa ya teknolojia ya mawasiliano ya habari yaliyofanyika mjini Hannover, Ujerumani, tarehe 15 yamefungwa. Mashirika 6,000 kutoka sehemu mbalimbali duniani yalihudhuria maonesho hayo ya siku saba.
  • Wajasiriamali wa nchini na wa nchi za nje wavutiwa na viwanda vyenye maendeleo makubwa vya China
  •  2006/03/28
    Katika kipindi hiki cha nchi yetu mbioni tutazungumzia hali ya uwekezaji wa wajasiriamali kwa viwanda vyenye maendeleo makubwa
  • Mbunge wa taifa aliyeshiriki mkutano akiwa na mahindi
  •  2006/03/21
    Wasikilizaji wapendwa mkutano wa bunge la umma la taifa la China, ambalo ni chombo chenye madaraka kubwa zaidi nchini, ulifungwa tarehe 14 hapa Beijing.
  • Nchini China barabara zimefika kwenye sehemu zilizoko mbali na miji inayoendelea
  •  2006/03/14
    Miaka 10 iliyopita, mfanyabiashara wa mji wa Xianyang mkoa wa Shaanxi Bw. Li Xinlin alikwenda kununua mboga katika kijiji cha Mayuan, mji wa Guyuan mkoani Ningxia
  • Mpango wa maendeleo ya vijiji vipya wa China
  •  2006/03/07
    Mkoa wa Guizhou ulioko sehemu ya kusini magharibi ya China ni mkoa mkubwa kwa kilimo wenye idadi kubwa ya wakazi wakulima.
  • Wastani wa ongezeko la mwaka la mikopo kwa kazi ya kilimo wafikia yuan zaidi ya bilioni 149
  •  2006/02/28
    Shughuli za kilimo, vijiji na wakulima zimekuwa zikipata misaada mingi zaidi ya fedha kutoka kwa mashirika ya fedha nchini China. Mwishoni mwa mwaka jana, mikopo ya kilimo iliyobaki kwenye mashirika ya fedha ya ushirikiano ya sehemu za vijijini China iliongezeka kwa RMB Yuan bilioni 449.2 kuliko mwaka 2002, na wastani wa ongezeko ulizidi RMB Yuan bilioni 149 kwa mwaka likiwa ni ongezeko la asilimia 80, kiasi ambacho kimeongezeka kwa asilimia 22.6 kuliko wastani wa ongezeko la mikopo mingine.
  • Sekta ya usafirishaji barua na vifurushi kwa haraka yapata maendeleo makubwa
  •  2006/02/21
    Kutokana na maendeleo ya uchumi na biashara ya nje ya China, sekta ya usafirishaji barua na vifurushi nayo imeimarika kwa haraka. Hivi sasa nchini China kuna kampuni za aina hiyo zaidi ya laki moja.
  • Utoaji na mahitaji ya bidhaa kwenye soko la raslimali za uzalishaji nchini China yaelekea kwa uwiano katika nusu ya kwanza ya mwaka 2006
  •  2006/02/14
    Kwa mujibu wa makadirio yaliyotolewa na Wizara ya biashara ya China, katika nusu ya kwanza ya mwaka 2006, mahitaji ya vitega uchumi hapa nchini yataendelea kuongezeka, utoaji na mahitaji ya bidhaa za uzalishaji utaelekea kulingana na bei za bidhaa hizo zitapungua kiasi kwa jumla.
  • Teknolojia muhimu za China zaongeza nguvu ya ushindani
  •  2006/02/14
    Tokea muda mrefu uliopita, China inachukuliwa kuwa ni nchi kubwa ya uzalishaji bidhaa. Lakini bidhaa nyingi ziwe zile zinazouzwa nchini au zile zinazosafirishwa nchi za nje, zinabandikwa nembo za makampuni makubwa ya kimataifa, bidhaa maarufu zenye hakimiliki za China bado ni chache, na tena hazina nguvu kubwa ya ushindani.
  • Hali ya ununuzi wa vitu katika sikukuu ya Spring
  •  2006/02/07
    "Kujinyima kwa matumizi" ni mazoea mema yaliyoendelea kwa miaka maelfu kadhaa ya watu wa China, hata katika jamii ya hivi sasa yenye vishawishi vingi, na "kuweka akiba nyingi ya fedha benki" pia ni imani ya wachina wengi.
  • Sera za kuwasaidia na kuwanufaisha wakulima wa China zahimiza wakulima wazalishe nafaka kwa wingi
  •  2006/01/24
    Wizara ya kilimo ya China ilidokeza kuwa, wakati wa utekelezaji wa mpango wa 10 wa miaka mitano, China ilitoa sera za kuwasaidia na kuwanufaisha wakulima yaani kupunguza na kusamehe kodi mbili za kilimo na kutoa ruzuku za aina tatu.
  • Kuchaguliwa kwa watu mashuhuri kwenye mambo ya uchumi ni jambo jipya muhimu katika maendeleo ya uchumi wa China
  •  2006/01/17
    Matokeo rasmi ya uchaguzi wa watu mashuhuri kwenye sekta ya uchumi ya China mwaka 2005 yalitangazwa hivi karibuni. Uchaguzi huo ulifanyika kwa upigaji kura za maoni ya raia na uteuzi wa wataalamu. Watu kumi mashuhuri kwenye mambo ya uchumi wote walikuwa waendeshaji wa kampuni au viwanda, ingawa walipendwa na umma na wataalamu kutokana na sababu mbalimbali, lakini maendeleo ya kampuni na viwanda ni kigezo muhimu cha kupima mchango waliotoa kwa maendeleo ya uchumi na jamii ya China.
  • Kwa mara ya kwanza mapato waliyopata wakulima kutokana na shughuli zisizo za kilimo yawa makubwa kuliko mapato yanayotokana na kilimo mkoani Shandong
  •  2006/01/17
    Kuanzia mwaka 2005, mapato ya wakulima yanaendelea kuongezeka kwa haraka mkoani Shandong, China. Takwimu zilizokusanywa na kikundi cha uchunguzi wa kilimo katika familia 4200 za wakulima mkoani humo zinaonesha kuwa, toka mwezi Januari hadi mwezi Septemba mwaka 2005, kwa mara ya kwanza wastani wa mapato waliyopata wakulima kutokana na shughuli zisizo za kilimo yalikuwa makubwa kuliko mapato yaliyotokana na kilimo
  • China yatekeleza mkakati wa kustawisha kituo kikongwe cha viwanda vya sehemu ya kaskazini mashariki
  •  2006/01/10
    Mkurugenzi wa ofisi ya baraza la serikali la China inayoshughulikia mambo ya kustawisha sehemu za kaskazini mashariki za China Bw. Zhang Baoguo, tarehe 27 Desemba, mwaka 2005 alipotoa hotuba kuhusu hali ya kustawisha kituo kikongwe cha viwanda vya kaskazini mashariki ya China kwenye mkutano wa 19 wa halmashauri ya kudumu ya bunge la umma la China alisema kuwa, katika miaka miwili iliyopita, utekelezaji wa mkakati wa kustawisha kituo kikongwe cha viwanda katika sehemu za kaskazini mashariki za China ulikuwa na mwanzo mpya.
  • Njia ya maendeleo ya mabasi ya Yutong katika nchi za nje
  •  2006/01/10
    Mwezi Novemba mwaka 2005, bas moja la kifahari lilisafirishwa kwenda Marekani kutoka mji wa Tianjin, sehemu ya kaskazini ya China, jambo ambalo limemaliza historia ya China kutokuwa na mabasi yanauzwa kwenye masoko ya nchi zilizoendelea za Ulaya na Marekani.
  • Wananchi wanufaike kutokana na ongezeko la uchumi
  •  2006/01/03
    Katika mwaka huu, wananchi walinufaika zaidi kutokana na ongezeko la uchumi, wawe wakazi wa mijini au wa sehemu ya vijiji, watu wanaona kuwa pato lao limeongezeka na kiwango cha maisha yao kimeinuka kuliko miaka michache iliyopita.
  • Mabadiliko ya aina tano yametokea nchini China katika juhudi za kustawisha kilimo
  •  2006/01/03
    Fedha zilizotengwa katika bajeti ya mwaka 2005 nchini China kwa ajili ya kustawisha kilimo zimeongezeka hadi kufikia yuan bilioni 300, fedha hizo zimehakikisha usalama wa chakula, ongezeko la mapato ya wakulima, na zimeharakisha maendeleo ya vijiji.
  • China yawa mwanachama muhimu wa WTO
  •  2005/12/27
    Mkutano wa 6 wa mawaziri wa Shirika la Biashara Duniani, WTO ulifungwa tarehe 18 huko Hong Kong. Mkutano huo umepata baadhi ya maendeleo katika masuala ya kilimo, uidhinishaji wa ombi la kuingia sokoni kwa mazao yasiyo ya kilimo na suala la maendeleo.
  • Nafasi kubwa ya biashara ya vitu vya baraka vya michezo ya Olimpiki
  •  2005/12/20
    Tangu kuthibitishwa kwa "wanasesere wa baraka" kuwa vitu vya baraka vya michezo ya Olimpiki ya Beijing mwaka 2008 katika mwezi uliopita, bidhaa zenye michoro ya "wanasesere wa baraka" hivi sasa zinauzwa kwa wingi kwenye miji mikubwa nchini China.
  • Kutumia rasilimali chache kwa kuleta ongezeko kubwa
  •  2005/12/13
    Nchini China, kampuni ya chuma na chuma cha pua ya Taiyuan ambayo ni kampuni kubwa ya chuma na chuma cha pua na kampuni kubwa kabisa ya chuma kisichopata kutu inasukuma mbele ujenzi wa kiwanda kinachobana matumizi ya maliasili.
  • Sekta ya ufugaji nchini yaathiriwa na maambukizi ya homa ya mafua ya ndege
  •  2005/12/06
    Maambukizi ya homa ya mafua ya ndege yanayotokea kwenye baadhi ya sehemu nchini China yameleta shinikizo kwa sekta ya ufugaji.
  • Mkoa wa Henan, kituo muhimu cha viwanda vya kutengeneza chakula nchini China
  •  2005/11/29
    Takwimu zinaonesha kuwa, kati ya kila mifuko 3.5 ya tambi za haraka zinazouzwa nchini China mmoja unatengenezwa mkoani Henan, na kampuni 9 za Henan zimeorodhishwa kwenye kampuni 50 kubwa zaidi katika sekta ya chakula cha nyama nchini China.
  • Uchumi unaokuzwa kwenye sehemu ya kati ya China
  •  2005/11/29
    Sehemu ya mashariki ya China ni sehemu iliyotangulia kutekeleza sera za kufungua mlango na kuongoza maendeleo ya uchumi nchini China. Ikilinganishwa na sehemu hiyo, sehemu ya magharibi ni sehemu iliyokuwa nyuma kiuchumi lakini inaharakisha hatua zake za maendeleo ya kiuchumi kutokana na kuhimizwa na sera husika za serikali, ila sehemu ya kati inaonekana kama imesahauliwa
  • China inaendeleza uchumi kwa kutegemea maliasili za nchini
  •  2005/11/15
    Waziri wa maliasili ya ardhi wa China Bwana Sun Wensheng amesema kwenye ufunguzi wa mkutano huo kuwa, China inatilia maanani hifadhi na matumizi mwafaka ya maliasili za madini na inategemea hasa maliasili zake katika kuendeleza uchumi wake. 
  • Mageuzi ya kodi ya mapato yafuatiliwa na watu
  •  2005/11/08
    Hivi karibuni mswada wa marekebisho ya "Kodi ya Mapato" ulipitishwa kwa wingi wa kura kwenye idara ya utungaji sheria ya China. Hayo ni marekebisho muhimu zaidi tangu kutekelezwa sheria ya kodi ya mapato, hususan ni kubadilisha kiwango cha kuanza kulipa kodi hiyo kutoka pato la Yuan 1,600 kwa mwezi kikilinganishwa na kile cha zamani cha Yuan 800.
  • China itaendeleza uzalishaji wa bidhaa maarufu
  •  2005/11/01
    Pamoja na maendeleo ya uchumi na biashara ya nje ya China, bidhaa zinazozalishwa nchini China zinachukua nafasi kubwa zaidi katika bidhaa zinazozalishwa duniani.
  • Bustani ya Kisayansi ya Fengtai
  •  2005/10/25
    Muda si mrefu uliopita, waandishi wa habari na wataalamu kutoka nchi mbalimbali wa Radio China Kimataifa walitembelea Bustani ya Fengtai ya Eneo la kisayansi ya teknolojia la Zhongguancun (Z-Park)
  • Matumizi madogo ya maliasili yaipatia kampuni ya chuma na chuma cha pua ya Taiyuan mapato mengi
  •  2005/10/25
    Kampuni ya chuma na chuma cha pua ya Taiyuan ambayo ni kampuni kubwa ya chuma na chuma cha pua na kampuni kubwa kabisa ya chuma kisichopata kutu nchini China inasukuma mbele ujenzi wa kiwanda kinachobana matumizi ya maliasili.
    1 2 3 4 5 6 7