Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
  • Sekta ya huduma ya China
  •  2006/01/24
    Sekta ya huduma ni nguvu muhimu inayochangia maendeleo ya uchumi nchini China kwa hivi sasa. Katika baadhi ya nchi zilizoendelea nyongeza ya thamani ya sekta ya huduma imezidi 60% ya pato la taifa.
  • Mageuzi ya benki nchini China yapata maendeleo makubwa
  •  2005/12/27
    Habari kutoka Kamati ya Usimamizi wa Benki ya China tarehe 5 zilisema kuwa mageuzi ya benki katika mwaka huu unaokaribia kumalizika yamepata maendeleoa makubwa.
  • Baraza la wakuu wa miji mikubwa kiasi na midogo lafanyika mjini Beijing kujadili maendeleo endelevu
  •  2005/12/20
    "Kuendeleza uchumi kisayansi?kubana matumizi ya nishati, na kupata maendeleo endelevu" ni mada iliyopewa kipaumbele katika baraza la pili la wakuu wa miji mikubwa kiasi na midogo lililofanyika tarehe 16 katika Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing kwa lengo la kubadilisha namna ya kuendeleza uchumi
  • China yafunga kibwebwe kutokomeza ubadhilifu na kuhifadhi mazingira ya asili
  •  2005/12/13
    Kuzima taa mtu anapoondoka, kufunga maji ya bomba barabara, kutotupa maganda ya matunda na vipande vya karatasi ovyo pamoja na kuzalisha na kutumia bidhaa zenye uwezo wa kuokoa nishati vitendo hivyo vinavyohusika na uokoaji wa raslimali na hifadhi ya mazingira, vimekuwa moja ya sehemu za shughuli za uzalishaji mali na maisha ya wachina wengi.
  • Wafanyabiashara wa kigeni walioko kwenye soko la Yiwu
  •  2005/11/22
    Yiwu ni mji mdogo wa mkoa wa Zhejiang, sehemu ya mashariki ya China, ambao unajulikana sana kutokana na uzalishaji na uuzaji wa bidhaa ndogondogo zinazohitajiwa na watu katika maisha ya kila siku. 
  • China yashiriki kwenye ushirikiano wa uwekezaji wa Asia ya mashariki
  •  2005/07/12
    "Kongamano la uwekezaji la Asia ya mashariki" lenye lengo la kuimarisha ushirikiano wa uwekezaji kwenye sehemu ya Asia ya mashariki lilifanyika hivi karibuni katika mji wa Weihao ulioko sehemu ya mashariki ya China.
  • Maendeleo endelevu ya nishati nchini China
  •  2005/06/07
    Baraza kuhusu mazingira bora na hifadhi ya maliasili lilifanyika tarehe 8 mjini Beijing. Mkurugenzi wa Kamati ya Mazingira na Hifadhi ya Maliasili katika Bunge la Umma la China Bw. Mao Rubo kwenye baraza hilo...
  • Serikali yazuia mfumuko wa bei ya nyumba za makazi
  •  2005/05/10
    Mfumuko wa bei ya nyumba za makazi umekuwa moja ya suala nyeti linalofuatiliwa na watu wa sekta mbalimbali ya jamii hapa nchini.
  • Makala maalum-Reli ya Qinghai-Tibet itakamilika mwaka kesho
  •  2005/04/15
    Mjumbe wa ofisi ya kisiasa ya kamati kuu ya chama cha kikomunisiti cha China, ambaye pia ni naibu waziri mkuu wa China, na mkuu wa kikundi cha uongozi cha ujenzi wa Reli ya Qinghai-Tibet
  • Mkoa wa Heilongjiang wafuata njia ya maendeleo ya masikilizano kati ya viumbe na uchumi
  •  2005/04/14
    Tambarare ya "Beidahuang" iliyoko kaskazini mashariki kabisa mwa China ni ghala kubwa kabisa ya nafaka nchini China, ni moja cha vituo vya viwanda vikubwa nchini China, pia ni vivutio vya utalii wa misitu na kituo cha kuzalisha chakula kisichokuwa na vitu vya uchafuzi.
  • Kazi ya kuwapangia maisha wahamiaji ziendelee kwa juhudi
  •  2005/04/07
    Mkutano wa kujumulisha uzoefu na kusifu watu na idara zinazopigiwa mfano katika kazi ya kuwapangia maisha wahamiaji wa sehemu ya hodhi la maji kwenye Magenge Matatu ya Mto Changjiang ulifanyika tarehe 5 katika mji wa Chongqing.
  • Jukumu la kwanza la kazi ya maji nchini China ni kuhakikisha usalama wa maji ya kunywa
  •  2005/03/25
    Maji ni chanzo cha maisha. Tarehe 22 March ni siku ya mwaka wa 13 ya maji duniani, kauli mbiu ya siku hiyo ni "maji kwa maisha". Mtaalamu wa wizara ya maji ya China alifahamisha kuwa, wizara hiyo imechukua hatua mbalimbali ili kuhifadhi vyanzo vya maji na kuhakikisha usalama wa maji ya kunywa kwa wananchi wa China.
  • China yajitahidi kuendeleza sekta ya hifadhi ya mazingira ya asili
  •  2005/03/22
    Katika miaka ya karibuni pamoja na maendeleo ya kasi ya uchumi wa China, rasilimali na mazingira ya asili yanakabiliwa na shinikizo kubwa.
  • Soko maarufu la uuzaji wa vitu vilivyokwishatumika mjini Beijing
  •  2005/03/01
    Kwenye ramani zilizochapishwa na nchi nyingi duniani kuhusu utalii mjini Beijing, mbali na sehemu maarufu za jadi zilizowekwa alama za sehemu ya utalii kama vile: Ukuta mkuu, Majumba ya Zamani ya Wafalme na bustani ya Majira ya Joto ya Wafalme, pia kuna Soko la Vitu Vilivyokwishatumika la Panjiayuan, ambalo liko kwenye sehemu ya mashariki ya Beijing.
  • Mradi wa mabomba ya kupeleka ges ya sehemu ya magharibi kwa sehemu ya mashariki ya China
  •  2005/01/25
    Kabla ya miaka mitatu iliyopita serikali ya China ilitenga fedha nyingi kujenga mradi wa mabomba ya kupeleka ges ya sehemu ya magharibi kwa sehemu ya mashariki ya China.
  • Baraza la kwanza la kutafuta namna ya kuokoa nishati kwa ajili ya maendeleo ya viwanda lafanyika mjini Beijing
  •  2005/01/13
    "Nishati iliyookolewa" hivi sasa imekuwa "nishati ya aina ya tano" inayokubalika nchini China, licha ya nishati ya makaa ya mawe, nguvu ya umeme, mafuta na gesi asilia. Tarehe 27 mwezi uliopita, baraza la kwanza la kutafuta jibu la kuokoa nishati kwa ajili ya maendeleo ya viwanda nchini China lilifanyika katika ukumbi mkuu wa umma mjini Beijing. Lengo la baraza hilo ni kufanya uchambuzi wa uchumi wa China na kutafuta jibu la namna ya kutumia nishati kibusara na kuendeleza uchumi kwa kuokoa nishati nchini China.
  • Kwa nini China kuharakisha ujenzi wa vituo vya kuzalisha umeme kwa nguvu ya maji
  •  2004/11/30
    Hivi haribuni, kituo cha kuzalisha umeme kwa nguvu ya maji cha Gou Pitan kimefanikiwa kuzuia maji kwenye mto Wujiang, mkoani Guizhou, China, kituo hicho ni kituo muhimu kabisa cha mradi wa kusafirisha umeme hadi mashariki kutoka magharibi nchini China, ambao wingi wa hisa zake zinamilikiwa na kampuni ya umeme ya China.
  • Mradi Mkubwa wa Kupeleka Gesi
  •  2004/06/24
        Mradi mkubwa unaojengwa hivi sasa wa kupeleka gesi yaasili ya sehemu ya magharibi hadi sehemu ya mashariki ya China ni mradi unaogharimu fedha nyingi, na ni moja ya hatua muhimu zinachochukuliwa na serikari ya China katika ustawishaji wa uchumi wa sehemu ya magharibi.
  • Maendeleo ya Reli
  •  2004/04/20
        Sasa ni miaka miwili na nusu tangu reli kati ya mikoa ya Qinghai na Tibet kuanza kujengwa. Hivi sasa reli kati ya Qinghai na Tibet imeshapita kwenye mlango wa mlima wa Tanggula wenye urefu wa zaidi ya mita 5,000 kutoka usawa wa bahari na kuingia mkoani Tibet.
  • Hifadhi ya mahekalu ya dini huko Tibet
  •  2004/04/18
  • maendeleo ya chumi kwenye sehemu zinazopitwa na mto Changjiang kutokana na kutumika njia ya usafirishaji kwenye sehemu ya Magenge Matatu
  •  2004/03/31
  • Reli kati ya Qinghai na Tibet
  •  2004/03/19
     Sasa ni miaka miwili na nusu tangu reli kati ya mikoa ya Qinghai na Tibet kuanza kujengwa. Hivi sasa reli kati ya Qinghai na Tibet imeshapita kwenye mlango wa mlima wa Tanggula wenye urefu wa zaidi ya mita 5,000 kutoka usawa wa bahari na kuingia mkoani Tibet. Reli kati ya Qinghai na Tibet ni mojawapo miongoni mwa miradi mikubwa inayojengwa katika miaka ya karibuni nchini China kwa ajili ya kustawisha uchumi wa sehemu ya magharibi.
  • Mradi wa magenge matatu waleta nafasi mpya kwa maendeleo ya Chongqing
  •  2004/01/20
        Mji wa Chongqing ulioko katika sehemu ya kuisni magharibi ya China, ni mji wa kale na wenye shughuli nyingi za viwanda. Mji huo ulioko kwenye sehemu ya juu ya mtiririko wa mto Changjiang, baada ya kuthibitishwa kuwa mji unaosimamiwa moja kwa moja na serikali kuu mwaka 1997, ulikuwa na mpango wa kuujenga mji huo uwe na ustawi kama Hongkong. Mji wa Chongqing uko katika sehemu ya Bwawa la Magenge Matatu, maofisa na wakazi wa huko wote wana matumaini makubwa kutokana na ujenzi wa mradi wa uzalishaji umeme wa Magenge Matatu.
  • Mradi Wa Kupeleka Gesi Sehemu ya Mashariki Kutoka Sehemu ya Magharibu Nchini China
  •  2003/12/04
    1 2 3 4