Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
  • Kampuni za Zhejiang zilizoendea nje
  •  2006/10/10
    Mkoa wa Zhejiang ambao uko kwenye sehemu ya pwani ya mashariki ya China, ni moja kati ya mikoa ya China ambayo ina maendeleo makubwa ya kiuchumi na kijamii.
  • China siyo chanzo cha kupanda kwa bei ya mafuta ya petroli duniani
  •  2006/09/19
    Bei ya mafuta ya petroli imepanda na kufikia kiasi cha dola 70 za kimarekani kwa pipa hivi sasa kutoka wastani wa dola za kimarekani 29 mnamo mwaka 2003. Baadhi ya watu walisema, ongezeko la mahitaji ya nishati nchini China ni chanzo cha kupanda kwa kiwango kikubwa kwa bei ya mafuta ghafi ya petroli.
  • Lengo la sera mpya za udhibiti wa matumizi ya ardhi
  •  2006/09/12
    Hivi karibuni baraza la serikali ya China lilitoa "Ilani kuhusu udhibiti wa matumizi ya ardhi". Je, lengo la sera mpya za udhibiti wa matumizi ya ardhi ni nini, na athari gani kwa uchumi wa taifa? Mwandishi wetu wa habari alikwenda kumwuliza maswali hayo mtaalamu husika.
  • China yapiga vita kuingiza fedha haramu katika mzunguko wa fedha
  •  2006/09/05
    Wakati kamati ya kudumu ya bunge la umma la taifa inapokagua kwa mara ya pili mswada wa sheria ya kupambana kuingiza fedha haramu katika mzunguko wa fedha, tarehe 24 mwezi Agosti Benki ya Wananchi wa China, ambayo ni benki kuu ya taifa, ilitoa "taarifa kuhusu kupambana na vitendo vya kuingiza fedha haramu katika mzunguko wa fedha nchini China mwaka 2005".
  • Benki kuu ya China yachukua hatua kudumisha maendeleo endelevu ya uchumi
  •  2006/08/29
    Benki kuu ya China Jumamosi iliyopita iliongeza riba ya fedha zinazowekwa benkini na mikopo inayotolewa na benki kwa 0.27%, hii ni mara ya pili kwa benki kuu ya China kuongeza riba.
  • Sekta ya michoro ya katuni itaingia kipindi chenye maendeleo makubwa
  •  2006/08/22
    Hivi karibuni serikali ya China ilisema itahimiza maendeleo ya sekta ya michoro ya katuni, na kuweka lengo la kufanya sekta hiyo iwe na pato la Yuan za Renminbi bilioni 200 hadi 300 likiwa ni zaidi ya 1% ya pato la taifa katika miaka 5 hadi 10 ijayo.
  • Mji wa kisasa wa Tangshan uliojengwa kwenye magofu
  •  2006/08/15
    Mkipata nafasi ya kutembelea sehemu ya kaskazini mwa China, huenda mtapita kwenye mji wa kisasa wa Tangshan. Mji wa Tangshan una mfumo kamili wa mawasiliano mepesi na maeneo ya ustawishaji wa teknolojia ya kisasa.
  • Ongezeko la thamani ya uzalishaji mali lazima liambatane na udhibiti wa matumizi ya ovyo ya raslimali
  •  2006/08/08
    Hivi karibuni kuongezeka kwa matumizi ya nishati katika uzalishaji mali katika kipindi cha nusu ya kwanza ya mwaka huu, kumekuwa moja ya masuala yanayofuatiliwa sana na watu wa sekta mbalimbali nchini China.
  • Kununua nyumba kiungani kwa ajili ya mapumziko
  •  2006/08/01
    Ni jambo la kawaida kwa watu wenye mali nyingi kiasi wa nchi za magharibi kununua nyumba katika viunga kwa ajili ya mapumziko.
  • China yajenga mfumo kamambe wa utafiti wa sayansi ya kilimo
  •  2006/07/25
    Waziri wa kilimo wa China Bw. Du Qinglin tarehe 6 mwezi Julai alisema, baada ya maendeleo katika miaka 50 iliyopita, hivi sasa China imeshajenga mfumo kamambe wa utafiti wa kilimo duniani.
  • Vivutio vya reli ya Qinghai-Tibet
  •  2006/07/18
    Reli ya Qinghai-Tibet inatoka mji wa Xi Ning mkoani Qinghai, na kuishia mji wa Lhasa, mji mkuu wa mkoa unaojiendesha wa Tibet, ina urefu wa kilomita 1956, reli hiyo ilijengwa kwenye uwanda wa juu wenye mwinuko wa wastani wa zaidi ya mita elfu 4 kutoka usawa wa bahari, na bonde la mlima wa Tanggula ambalo ni sehemu yake ya juu ina mwinuko wa mita 5072, reli hiyo inasifiwa kuwa "reli iliyo karibu zaidi na anga".
  • Mahojiano kati ya mwandishi wetu wa habari na Naibu mkuu wa Idara kuu ya Radio, Filamu na Televisheni ya China Bwana Tian Jin
  •  2006/07/18
    Naibu mkuu wa Idara kuu ya Radio, Filamu na Televisheni ya China Bwana Tian Jin amekwenda Nairobi Kenya kufanya ukaguzi na upimaji juu ya Kituo cha 91.9 FM Nairobi Kenya, kabla ya kuondoka Beijing, mwandishi wetu wa habari alifanya mahojiano na Bwana Tian Jin.
  • Bidhaa za hifadhi ya mazingira na udhibiti wa matumizi ya nishati zapendwa na watu
  •  2006/07/11
    Kwenye maonesho ya udhibiti wa matumizi ya nishati na hifadhi ya mazingira, teknolojia na bidhaa za za udhibiti wa matumizi ya nishati yalivutia watu wengi, baadhi ya bidhaa na teknolojia zenye ufanisi katika kudhibiti matumizi ya nishati zilipendwa na watu.
  • Sekta mbalimbali nchini China zahimiza udhibiti wa matumizi ya nishati
  •  2006/07/04
    Udhibiti wa matumizi ya nishati nchini China umekuwa moja ya sera za kimsingi za taifa, siyo tu kwamba udhibiti wa matumizi ya nishati umekuwa wazo la umma, bali pia maeneo yale yanayotumia nishati kwa wingi yakiwemo majengo na viwanda.
  • China itajenga kituo cha umeme cha nyukilia sehemu ya kaskazini mashariki
  •  2006/06/20
    Ujenzi wa kipindi cha kwanza wa mradi wa uzalishaji umeme kwa nguvu za nyukilia kwenye mto Hongyan, mkoani Liaoning, umeidhinishwa na kamati ya maendeleo na mageuzi ya taifa, hatua ambayo inaonesha kuwa China itajenga kituo cha uzalishaji umeme kwa nguvu za nyukilia kwa mara ya kwanza sehemu ya kaskazini mashariki
  • Hali ya upungufu wa umeme wa miaka minne mfululizo itabadilika nchini China
  •  2006/06/13
    Naibu mkurugenzi wa kamati ya maendeleo na mageuzi ya taifa ya China Bwana Zhang Guobao tarehe 8 hapa Beijing amesema, kutokana na ongezeko la haraka la utoaji wa umeme wa mashine mpya za uzalishaji wa umeme kote nchini, pamoja na utekelezaji wa marekebisho na udhibiti wa uchumi wa taifa.
  • Sekta ya uchapishaji nchini China yastawi katika miaka ya karibuni
  •  2006/06/06
    Ukipata nafasi ya kutembelea maduka ya vitabu nchini China utaona aina nyingi za vitabu vikiwa ni pamoja na vitabu vya utamaduni, historia, sayansi ya jamii, kimaisha, ufahamu wa mambo, pamoja na mambo yanayopendwa na watu hivi sasa. Vitabu hivyo vinahusu kuimarisha afya kwa wazee, elimu ya watoto kwa wazazi, hadithi za watoto, michoro ya katuni na michoro inayokosoa.
  • Uvumbuzi umekuwa nguvu ya kuhimiza maendeleo ya viwanda vya China
  •  2006/05/30
    Kwenye mkutano wa baraza la Asia la Boao uliofanyika hivi karibuni, maofisa wa idara husika za serikali ya China, viongozi wa viwanda vya serikali na wakurugenzi wakuu wa kampuni za kimataifa walikuwa na majadiliano kuhusu mchango na umuhimu wa uvumbuzi kwa maendeleo ya viwanda vya serikali ya China
  • Nafasi mpya muhimu kwa maendeleo ya uchumi wa China
  •  2006/05/23
    Hivi sasa sekta moja inayoibuka haraka nchini China, imekuwa nafasi mpya muhimu kwa maendeleo ya uchumi wa China. Sekta hiyo ni uvumbuzi wa utamaduni, ambao ni pamoja na sanaa ya maonesho ya michezo, filamu na michezo ya televisheni, burudani ya teknolojia ya tarakimu, uendelezaji wa software za kompyuta pamoja na utengenezaji wa michezo ya katuni.
  • Maendeleo ya mwafaka kati ya ongezeko la uchumi na mazingira ya asili
  •  2006/05/16
    Kwenye mkutano mkuu wa bunge la umma la taifa la China wa mwaka huu, sehemu mpya ya Binhai ya mji wa Tianjin ulioko kwenye pwani ya kaskazini ya China ilichukuliwa na serikali kuwa wilaya ya inayowekwa kipaumbele katika maendeleo ya miaka 5 ijayo.
  • China yahimiza maendeleo ya sekta ya ujenzi wa majengo yanayopunguza matumizi ya nishati
  •  2006/05/09
    Hhivi sasa uchumi wa China unakuwa kwa haraka na kwa utulivu, takwimu mpya zinaonesha kuwa ongezeko la pato la taifa katika miezi mitatu ya kwanza ya mwaka huu lilizidi lile la kipindi kama hiki cha mwaka uliopita kwa 10%
  • Wanauchumi wa China na wa nchi za nje waisifu hali ya uchumi wa China
  •  2006/04/25
    Wataalamu wa uchumi wa China na wa nchi za nje wanaohudhuria mkutano wa mwaka wa 2006 wa Baraza la Asia la Boao wanaona kuwa, ongezeko la asilimia 10.2 la uchumi wa China katika miezi mitatu ya kwanza ya mwaka huu ni hali ya kawaida, na hali ya uchumi wa China kwa jumla ni ya kufurahisha.
  • Mwanzilishi wa sekta ya uzalishaji mali wa teknolojia ya elimu ya viumbe nchini China
  •  2006/04/18
    Bw. Cheng Jing aliwahi kuwa mtafiti wa kwanza wa kampuni ya teknolojia ya kisayansi ya kisasa ya elimu ya viumbe nchini Marekani, na pia ni mtaalamu aliyebobea katika sekta ya uzalishaji mali wa teknolojia ya elimu ya viumbe duniani.
  • China na Russia zaimarisha ushirikiano kuhusu nishati
  •  2006/04/04
    Katika miaka ya karibuni, China na Russia zimeimarisha maingiliano na ushirikiano katika sekta za uchumi na biashara, ambapo kitu kinachofuatiliwa sana katika ushirikiano huo ni ushirikiano kuhusu nishati kati ya nchi hizo mbili.
  • China yajenga reli ya pili ya sumaku na kuinua kiwango cha teknolojia ya sekta hiyo
  •  2006/03/21
    Katika mawasiliano kwenye reli za aina mbalimbali, reli ya sumaku ina umaalum wa kusaidia hifadhi ya mazingira, ujenzi wake unatumia ardhi kidogo
  • Huduma ya mawasiliano ya habari ya televisheni ya kitarakimu
  •  2006/03/14
    Mtu akitaja televisheni ya mfumo wa teknolojia ya kitarakimu, watu hufikiria picha safi na vipindi murua vya televisheni. Lakini ukweli ni kwamba licha ya uwezo huo televisheni za aina hiyo zina uwezo wa mawasiliano ya habari na kutoa huduma nyingi kwa watu.
  • China kuharakisha hatua za kuendeleza shughuli za misitu
  •  2006/03/07
    Katika miaka mitano ijayo, China itaendelea kutekeleza mikakati ya maendeleo ya shughuli za misitu inayoweka mkazo ujenzi wa kufanya viumbe na mazingira ziishi kwa kupatana
  • Uzalishaji wa magari madogo sana wahimizwa nchini China
  •  2006/02/28
    Serikali ya China inataka serikali za mikoa ziondoe vikwazo vilivyowekwa juu ya magadi madogo, ambayo yanachangia hifadhi ya mazingira, kabla ya mwezi Machi. Licha ya hayo serikali imetoa sera husika za kuhamasisha uzalishaji na ununuzi wa magari madogo.
  • Mkoa wa Shandong, China yaharakisha ujenzi wa mabomba ya maji vijijini
  •  2006/02/21
    Ofisi ya Maji ya mkoa wa Shandong China inasema kuwa, mwaka huu mkoa wa Shandong utatumia Yuan bilioni 3 katika kuharakisha ujenzi wa mabomba ya maji vijijini, hatua ambayo itawanufaisha watu milioni 9.
  • Katika kipindi cha mpango wa 10 wa miaka mitano, sekta ya nishati ya China yapata maendeleo kwenye pande 6
  •  2006/02/07
    Naibu waziri mkuu wa China Bw. Zeng Peiyan alipotoa hotuba kuhusu hali ya nishati na usalama wa nishati nchini China alisema, katika kipindi cha mpango wa 10 wa miaka mitano kidhahiri, hatua ya maendeleo ya nishati yaliharakishwa, ujenzi wa sekta ya nishati ulipata mafanikio mapya katika pande 6.
    1 2 3 4