Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
 • Kuwaruhusu wakulima kukodisha mashamba kwa mkataba kutayahimiza maendeleo mapya ya vijiji vya China
 •  2008/11/14
  Mkutano mkuu wa 3 wa kamati kuu ya 17 ya chama cha kikomunisti cha China ulipitisha na kutangaza waraka muhimu unaolenga kusukuma mbele mageuzi ya vijijini, na kuamua wazi na rasmi sera ya kuwaruhusu wakulima kupanga mpango halali wa matumizi ya ardhi walizokodishwa kwa mkataba. Wataalamu husika wanaona kuwa, hatua hiyo inasaidia kupanua ukubwa wa uzalishaji wa kilimo vijijini, kubana matumizi ya ardhi, na kuinua ufanisi wa maendeleo ya uchumi wa vijijini
 • Mabadiliko ya shughuli za fedha katika miaka 30 iliyopita tangu China ianze kutekeleza sera ya mageuzi na ufunguaji mlango
 •  2008/10/31
  Katika miaka 30 iliyopita tangu China ianze kutekeleza sera ya mageuzi na ufungaji mlango, mabadiliko makubwa yametokea katika shughuli mbalimbali za kiuchumi nchini China, ikiwemo shughuli za fedha. Masoko ya hisa ya China yamepata maendeleo hatua kwa hatua, mabenki yanatoa huduma bora za aina nyingi; watu wa kawaida wananufaika na bima, wakiwemo wakulima wanaoishi kwenye sehemu za mbali na vijijini.
 • Wafanyabiashara wenye asili ya China wana matumaini kubwa kuhusu maendeleo ya Asia ya Mashariki Kaskazini
 •  2008/10/17
  Mkutano wa ngazi ya juu ya wafanyabiashara wenye asili ya China duniani ambao pia ni mkutano wa baraza la ushirikiano wa uchumi wa Asia ya Kaskazini Mashariki ulifunguliwa huko Changchun mkoani Jilin. Wafanyabiashara wenye asili ya China kutoka nchi na sehemu karibu 40 duniani walikutana pamoja na kujadii fursa na njia ya ushirikiano. Watu waliohudhuria mkutano huo wana matumaini makubwa kuhusu mustakabali wa maendeleo ya Asia ya Mashariki ya Kaskazini.
 • Wafanyabiashara wenye asili ya China wana matumaini kubwa kuhusu maendeleo ya Asia ya Mashariki Kaskazini
 •  2008/10/17
  Mkutano wa ngazi ya juu ya wafanyabiashara wenye asili ya China duniani ambao pia ni mkutano wa baraza la ushirikiano wa uchumi wa Asia ya Kaskazini Mashariki ulifunguliwa huko Changchun mkoani Jilin. Wafanyabiashara wenye asili ya China kutoka nchi na sehemu karibu 40 duniani walikutana pamoja na kujadii fursa na njia ya ushirikiano. Watu waliohudhuria mkutano huo wana matumaini makubwa kuhusu mustakabali wa maendeleo ya Asia ya Mashariki ya Kaskazini.
 • Kilimo cha mzunguko mkoani Qinghai chabadilisha maisha ya wakulima
 •  2008/07/22
  Kupanda mazao ya kilimo kwenye mabanda ni jambo la kawaida katika vijiji vingi nchini China. Lakini hilo si jambo rahisi kwa wakazi wa sehemu zilizoko nyuma kiuchumi kwenye uwanda wa juu. Uwanda wa juu wa Qinghai-Tibet ni uwanda wenye mwinuko mkubwa zaidi kutoka usawa wa bahari duniani, ambao unasifiwa kuwa ni "paa la dunia".
 • Eneo la uendelezaji wa uchumi la Yangpu mkoani Hainan
 •  2008/07/08
  Eneo la uendelezaji wa uchumi la Yangpu liko kwenye peninsula ya Yangpu kaskazini magharibi mwa mkoa wa Hainan, na pia liko kando ya mlango bahari wa Qiongzhou na ghuba ya Beibu, kadhalika eneo hilo liko kwenye njia muhimu ya usafirishaji kati ya Singapore, Hongkong Shanghai na Osaka, hivyo ni sehemu muhimu inayounganisha Asia ya Kusini mashariki na Mashariki ya Kati.
 • Eneo la sayansi na teknolojia la Zhongguancun kuendeleza shughuli za kubana matumizi ya nishati na kuhifadhi mazingira
 •  2008/06/24
  Eneo la sayansi na teknolojia la Zhongguancun lilianzishwa mwaka 1988. Kwenye eneo hilo kuna makampuni zaidi ya elfu 18 ya teknolojia za hali cha juu ya China na ya nchi za nje. Mwandishi wetu wa habari alipotembelea eneo hilo, aliona mazingira mazuri na miundo mbinu iliyokamilika.
 • Mfanyabiashara wa Taiwan anayefanya biashara kwenye China bara
 •  2008/06/10
  Tokea miaka ya 80 ya karne iliyopita, wafanyabiashara wengi kutoka Taiwan walikuja kuwekeza uwekezaji na kuanzisha shughuli zao China bara. Kutokana na maendeleo makubwa ya uchumi wa China bara, wafanyabiashara hao wamepata faida kubwa. Hivi sasa wafanyabiashara wengi zaidi kutoka Taiwan wamekuja kufanya biashara China bara, hata familia zao zimehamia China bara
 • Makampuni ya China yanayouza bidhaa nje yafanya juhudi kukabiliana na matatizo ya biashara na nje
 •  2008/05/27
  Tarehe 30 mwezi Aprili maonesho ya 103 ya bidhaa za China zinazouzwa nchi za nje yalifunguliwa mjini Guangzhou. Hivi sasa kutokana na msukosuko wa mikopo ya ngazi ya pili uliotokea nchini Marekani, na kupanda kwa thamani ya fedha ya China renminbi, biashara ya China na nje inakabiliwa na hali ya wasiwasi zaidi, hivyo maonesho ya bidhaa za China zinazouzwa katika nchi za nje ambayo yanaonesha hali ya biashara ya China na nje yanafuatiliwa na watu wengi. Kwenye maonesho hayo
 • Uchumi wa mkoa wa Hainan waanza kupata maendeleo makubwa
 •  2008/05/06
  Mkoa wa Hainan ni mkoa ulioko kusini zaidi nchini China, ambao unatazamana na mkoa wa Guangdong. Kisiwa cha Hainan ni kisiwa kikubwa cha pili nchini China.
 • Meneja mkuu wa kampuni ya magari ya FAW-VW kutoka Ujerumani Bw. Dieter Maschgan
 •  2008/04/22
  Kampuni ya FAW-VW ni kampuni kubwa ya utengenezaji wa magari yenye mitaji ya kiwanda cha FAW cha China, kiwanda cha Volkswagen na kiwanda cha Audi cha Ujerumani. Mwaka 2005 Bw. Maschgan alikuja kufanya kazi nchini China kwa mara ya nne, akiwa ni mwakilishi wa kampuni ya Volkswagen ya Ujerumani na meneja mkuu wa upande wa Ujerumani wa kampuni ya magari ya FAW-VW. Kwenye kiwanda cha magari cha kampuni ya FAW-VW mjini Changchu, mwandishi wetu wa habari alikutana na meneja mwandamizi wa kampuni ya magari ya FAW-VW kutoka Ujerumani Bw. Dieter Maschgan.
 • Kubadilisha maafa ya upepo kuwa chanzo cha nishati kwenye wilaya ya Tongyu mkoani Jilin B
 •  2008/04/08
  Baada ya mradi wa kipindi cha kwanza wa kituo cha kuzalisha umeme kwa nishati ya upepo cha Tongyu kuanza kujengwa, mradi huo bado ulikabiliwa na ukosefu mkubwa wa fedha.
 • Hadithi ya kubadilisha maafa ya upepo kuwa nishati ya upepo katika wilaya ya Tongyu mkoani Jilin(A)
 •  2008/04/01
  Msichana aliyeimba wimbo huo anaitwa Baixue, na mwaka huu ana umri wa miaka 12. Ingawa anaimba wimbo uitwao watoto wanaoishi kwenye sehemu yenye mito mingi, yeye hajawahi kuona mto wala maua, anajua kuwa maji ni kitu kinachotakiwa kuthaminiwa tangu alipokuwa mtoto mdogo
 • Hans Loontiens meneja mkuu wa Hoteli ya Renaissance TEDA ya Tianjin kutoka Ubelgiji
 •  2008/03/18
  Katika miaka ya hivi karibuni, maendeleo ya kasi kwenye eneo la maendeleo ya uchumi na teknolojia la Tianjin (TEDA) yameleta fursa mpya kwa shughuli za mahoteli mjini Tianjin. Hoteli ya Renaissance TEDA ya Tianjin ni hoteli kubwa zaidi ya nyota tano kwenye eneo hilo. Meneja mkuu wa hoteli hiyo ni Bw. Hans Loontiens kutoka Ubelgiji
 • Mtaalamu wa Indonesia anayeshiriki kwenye ujenzi wa Bandari ya Guigang
 •  2008/03/04
  Mji wa Guigang ni mji mwenye bandari mpya kwenye mto wa ndani katika mkoa unaojiendesha wa kabila la wazhuang wa Guangxi, China. Bandari ya mji huo ni bandari kubwa zaidi kwenye mto wa ndani katika sehemu ya kusini magharibi mwa China.
 • Msimamizi mwandamizi wa kampuni ya John Swire & Sons anayependa mji wa Xi'an
 •  2008/02/19
  Katika kipindi hiki tunawaletea maelezo kuhusu Bw. Guy Rufus Chambers kutoka Uingereza, anayeishi mjini Xi an. Bw. Chambers alijifunza Kichina kwenye chuo kikuu. Yeye anasimamia kampuni yenye wafanyakazi wachina karibu elfu 1 mjini Xi'an bila kuwa na mkalimani
 • Meneja mkuu wa kampuni inayoshirikiana na China kutengeneza ndege zinazofanya safari kwenye matawi ya njia
 •  2008/02/05
  Ukikutana na Bw. Roberto Rossi de Souza kwa mara ya kwanza, huenda utafikiri yeye ni profesa mwangwana na mpole anayefundisha fasihi kwenye chuo kikuu badala ya meneja mkuu wa kampuni ya Embraer. Alisema katika muda mrefu uliopita alikuwa na matumaini kuwa atatembelea China
 • Mkoa wa Liaoning waendeleza shughuli mbalimbali ili kuwasaidia wakulima kuongeza mapato
 •  2008/01/22
  Katika miaka ya hivi karibuni, sehemu mbalimbali za mkoa wa Liaoning ulioko kaskazini mashariki mwa China zilisukuma mbele maendeleo ya uchumi kwa kuendeleza shughuli mbalimbali, na hatua hizo zimesaidia wakulima kuongeza mapato na kuwapatia wakulima fursa nyingi za kujipatia ajira.
 • Bw. Braun na mke wake wanaofanya biashara mkoani Qinghai
 •  2008/01/08
  Kabla ya miaka kadhaa iliyopita Bw. Bauwer Braun toka Ujerumani alikuja China na kujifunza kichina mjini Xi'an. Alipokuwa mjini Xi'an alisikia kuwa mkoa wa Qinghai ulioko kwenye uwanda wa juu wa Qinghai-Tibet ni sehemu yenye maajabu mengi, ambao una maliasili nyingi, mazingira ya kipekee
 • Uvumbuzi wa kujitegemea wa viwanda vya magari nchini China
 •  2007/12/25
  Katika miaka zaidi ya 10 iliyopita, viwanda vya magari nchini China vinaendelezwa kwa kasi, na vimekuwa nguzo ya uchumi wa taifa la China. Baada ya kuingia katika karne ya 21, serikali ya China imechukua hatua mbalimbali kuunga mkono kazi ya kufanya uvumbuzi wa kutengeneza magari ya aina mpya kwa kujitegemea
 • China yafanya juhudi kuendeleza uchimbaji wa madini usiosababisha uchafuzi
 •  2007/12/04
  Madini ni maliasili muhimu, pia ni msingi muhimu wa maendeleo ya jamii. Kutokana na maendeleo ya kasi ya uchumi wa China, mahitaji ya madini yamekuwa ni makubwa zaidi, lakini tatizo la uchafuzi wa mazingira linalosababishwa na uchimbaji wa madini limekuwa kubwa zaidi.
 • Maendeleo yenye masikilizano ya mji wa Xuzhou
 •  2007/11/20
  Mji wa Xuzhou uko kaskazini magharibi mwa mkoa wa Jiangsu, ambao ni sehemu ya eneo la uchumi la mto Huai-Hai linaloundwa na mikoa ya Jiangsu, Shandong, Henan na Anhui. Reli kutoka Beijing hadi Shanghai na Reli inayotoka mkoa wa Gansu hadi mkoa wa Jiangsu zinakutana mjini humo.
 • Mabomba ya kusafirisha gesi ya asili kutoka mkoa wa Shaanxi hadi mji wa Beijing
 •  2007/11/06
  Mwezi Septemba mwaka 1997, gesi ya asili inayochimbwa mkoani Shaanxi ilianza kusafirishwa kuja mjini Beijing kwa bomba lenye urefu wa karibu kilomita elfu 1. Hadi sasa bomba hilo limetumika kwa miaka 10, na kila siku linasafirisha gesi ya asili kuja mijini Beijing na Tianjin.
 • China kukamilisha huduma za ushirikiano kuhusu watu wanaofanya kazi kwa mikataba katika nchi za nje
 •  2007/10/23
  Kutokana na maendeleo ya ushirikiano wa kiuchumi kati ya China na nchi za nje, na kuharakishwa kwa utekelezaji wa mkakati wa kuanzisha shughuli nje ya nchi, Wachina wengi zaidi wamekwenda kufanya kazi nchi za nje. Ili kulinda haki na maslahi yao, serikali ya China inafanya juhudi kukamilisha huduma za ushirikiano kuhusu watu wanaofanya kazi kwa mikataba nchi za nje.
 • Matumizi ya mfugaji wa kabila la Watibet Bw. Danzhencuo
 •  2007/10/09
  Mkoa wa Qinghai ulioko kwenye sehemu ya magharibi ya China, unajulikana duniani kwa "water tower" (mnara wa maji) wa bara la Asia, ziwa la Qinghai pamoja na vyanzo vya mito mitatu mikubwa ya Changjiang, Manjano, Lancang vina athari ya moja kwa moja maisha ya karibu nusu ya idadi ya watu wa dunia.
 • Mongolia ya ndani yaendeleza chapa za bidhaa zisizo na uchafuzi
 •  2007/09/25
  Mkoa unaojiendesha wa Mongolia ya Ndani, kaskazini mwa China una mbuga kubwa. Maliasili za kipekee zilizoko kwenye mkoa huo zimeyapatia makampuni mengi yanayotengeneza mazao ya kilimo na bidhaa za mifugo manufaa makubwa, baadhi ya makampuni yakitumia utamaduni wa mbugani yalianzisha chapa nyingi maarufu za bidhaa.
 • China yaimarisha usimamizi wa sifa na usalama wa vyakula
 •  2007/09/11
  Sifa na usalama wa vyakula ni suala linalofuatiliwa na dunia nzima, pia ni suala linalotiliwa maanani na China. Serikali na makampuni ya China yanachukua hatua mbalimbali ili kuhakikisha sifa na usalama wa vyakula
 • Mazao ya kilimo ya Taiwan yaendelea kuingia kwenye soko la China bara
 •  2007/08/28
  Mwishoni mwa mwezi Julai, maonesho ya mazao ya kilimo ya Taiwan yenye sifa nzuri ya mwaka 2007 ambayo yaliandaliwa na shirikisho la mawasiliano ya kilimo kati ya China bara na Taiwan na shirikisho la kilimo la Taiwan yalifanyika kwenye miji mingi ya China bara
 • Mji wa Penglai wafanya juhudi ili uwe mji maarufu wa kutengeneza mvinyo nchini China
 •  2007/08/14
  Watu wanapozungumzia mvinyo hukumbuka mji wa Porto nchini Ureno ambao ni mji maarufu wa utengenezaji wa mvinyo. Mji wa Penglai ulioko mkoani Shandong ni mji maarufu wa kutengeneza mvinyo nchini China. Kutokana na hali nzuri ya kimaumbile, mji huo umekuwa mmoja kati ya miji inayotengeneza mvinyo kwa wingi nchini China.
 • Mikoa ya magharibi ya China yatafuta ushirikiano katika maonesho ya kimataifa ya sayansi na teknolojia ya Beijing
 •  2007/07/24
  Maonesho ya kimataifa ya shughuli za sayansi na teknolojia ya Beijing yanayofanyika kila mwaka, si kama tu ni jukwaa kwa viwanda vyenye teknolojia mpya na hali ya juu vya China na nchi za nje kuonesha bidhaa mpya kabisa za sayansi na teknolojia
  1 2 3 4