Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
 • Mapishi ya tambi
 •  2007/01/31
  Mahitaji: Kamba-mwakaje gramu 20, uyoga gramu 10, maharagwe gramu 10, yai moja, nyanya moja, tambi gramu 50, chumvi kijiko kimoja, chembechembe za kukoleza ladha kijiko kimoja, mchuzi wa sosi vijiko viwili.
 • Mapishi ya myugwa na kuku
 •  2007/01/24
  Mahitaji: Nyama ya kuku gramu 200, myugwa gramu 50, tangawizi, vitunguu maji na vitunguu saumu kila kimoja gramu 5, sukari gramu 19, sosi ya pilipili hoho gramu 5, chembechembe za kuongeza ladha gramu 3, pilipili kima gramu 3
 • Mapishi samaki ya aina ya Lu wa kuchemsha kwa mvuke
 •  2007/01/17
  Mahitaji: Samaki mmoja aina ya lu, uyoga gramu 10, paja la nguruwe gramu 20, vipande vya vitunguu maji na tangawizi kila kimoja gramu 5, kiasi kidogo cha kisibiti, mchuzi wa sosi vijiko viwili, M.S.G kijiko kimoja, sukari kijiko kimoja, na wanga vijiko viwili
 • Mapishi ya kupika nyama ya ng'ombe kwa mvuke
 •  2007/01/10

  Mahitaji: Nyama ya ng'ombe gramu 350, unga wa mchele gramu 75, mafuta gramu 50, mchuzi wa sosi gramu 30, unga wa pilipili hoho gramu 3, unga wa pilipili manga gramu 2, vitunguu maji na tangawizi kila kimoja gramu 8, mchuzi wa kambamti, kiasi kidogo cha kisibiti

 • Mapishi ya bilinganya na nyanya
 •  2007/01/03

  Mahitaji: Bilinganya tatu, nyanya mbili, asali vijiko viwili, yai moja, unga wa ngano wa vijiko vitano, kiasi kidogo cha chumvi, mchuzi wa sosi, vitunguu maji na tangawizi.

 • Mapishi ya supu ya maini ya nguruwe
 •  2006/12/27
  Mahitaji: Maini ya nguruwe gramu 50, doufu gramu 30, spinachi gramu 10, chumvi gramu 5, unga wa kuongeza ladha gramu 5, tangawizi gramu 5, vitunguu maji gramu 5.
 • Mapishi ya vipapatio vya kuku na pilipili mboga
 •  2006/12/20
  Mahitaji: Vipapatio vya kuku 20, pilipili mboga gramu 300, tangawizi gramu 150, vitunguu maji, gramu 5, pilipili manga gramu 5, unga wa pilipili hoho kijiko kimoja, mchuzi wa sosi kijiko kimoja, chumvi vijiko vitatu
 • Mapishi ya mseto wenye vitu vingi
 •  2006/12/13
  Mahitaji: Bakuli moja ya kiporo cha wali, kiazi kimoja, nyama iliyosagwa gramu 5, mayai mawili, punje za mahindi gramu 5, maharagwe gramu 5, kiasi kidogo cha pilipili hoho na vitunguu maji, mvinyo wa kupikia kijiko kimoja, chumvi vijiko viwili na chembechembe za kuongeza ladha
 • Mapishi ya nyama ya ng'ombe kwa njia ya kienyeji
 •  2006/12/06
  Mahitaji: Nyama ya ng'ombe gramu 74, sosi ya pilipili hoho gramu 10, figiri gramu 30, pilipili manga gramu 15, chumvi gramu 2, mafuta gramu 10, sukari gramu 5
 • Mapishi ya uyoga mweusi na nyama ya ng'ombe
 •  2006/11/29
  Mahitaji: Nyama ya paja la ng'ombe gramu 250, uyoga mweusi gramu 100, spinachi gramu 25, mvinyo wa kupikia kijiko kimoja, chumvi vijiko viwili, M.S.G kijiko kimoja, vipande vya vitunguu maji na tangawizi, na mchuzi wa sosi kijiko kimoja.
  1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19