Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
 • Mapishi ya doufu na uyoga kwa mvuke
 •  2006/11/22
  Mahitaji: Doufu gramu 300, uyoga vipande vitatu, mchuzi wa sosi kijiko kimoja, sukari kijiko kimoja, nyama iliyosagwa gramu 50, mvinyo wa kupikia vijiko viwili, maji ya wanga vijiko vitatu, siki kijiko kimoja, mafuta ya ufuta kijiko kimoja, kiasi kidogo cha vipande vya tangawizi, na vitunguu maji, vitunguu saumu
 • Mapishi ya steki ya kuku
 •  2006/11/15
  Mahitaji: Nyama ya kidari cha kuku gramu 300, chumvi kijiko kimoja, chembechembe za kukolea ladha kijiko kimoja, unga wa pilipili manga kijiko kimoja, mvinyo wa kupikia vijiko viwili, yai moja, ufuta gramu 20, unga vijiko vitano
 • Mapishi ya viazi mbatata na maharagwe marefu
 •  2006/11/08
  Mahitaji: Viazi mbatata gramu 200, pilipili nyekundu moja, maharagwe marefu gramu 10, chumvi gramu 5, sukari gramu 20, kiasi kidogo cha maji ya wanga, juisi ya chungwa gramu 30.
 • Mapishi ya vichipukizi vya mianzi na uyoga
 •  2006/11/01

  Mahitaji: Vichipukizi vya mianzi gramu 150, uyoga gramu 50, mchuzi wa chaza kijiko kimoja, mchuzi wa sosi kijiko kimoja, kiasi kidogo cha chumvi, sukari, M.S.G, maji ya wanga, na mafuta ya ufuta

 • Mapishi ya bilinganya na paja la nguruwe lililokaushwa
 •  2006/10/25
  Mahitaji: Paja la nguruwe lililokaushwa gramu 50, bilinganya gramu 150, pilipili mboga moja, pilipili hoho moja, tangawizi gramu 5, chumvi gramu 10, M.S.G gramu 5, sukari gramu 2, mchuzi wa soya kijiko kimoja, mchuzi wa chaza kijiko kimoja na maji ya wanga
 • Mapishi ya ngisi na pilipili hoho
 •  2006/10/18
  Mahitaji: Ngisi gramu 200, pilipili hoho gramu 50, tangawizi gramu 5, figili gramu 10, vitunguu maji gramu 5, vitunguu saumu gramu 5, mafuta ya pilipili hoho kijiko kimoja, mvinyo wa kupikia vijiko viwili
 • Mapishi ya brokoli na korosho
 •  2006/10/11
  Mahitaji: Brokoli gramu 250, korosho gramu 150, karoti gramu 100, chumvi kijiko kimoja, M.S.G kijiko kimoja, sukari kijiko kimoja, kiasi kidogo cha maji ya wanga.
 • Mapishi ya doufu yenye ladha ya samaki na pilipili hoho
 •  2006/10/04

  Mahitaji: Doufu gramu 600, paja la ash gramu 50, uyoga gramu 50, pilipili hoho gramu 10, vipande vya tangawizi, na vitunguu saumu kila kimoja gramu 5, vipande vya vitunguu maji gramu 15, chumvi gramu 3, M.S.G gramu 2, unga wa pilipili manga gramu 1, mchuzi wa sosi gramu 10, siki gramu 5, sukari gramu 3, kiasi kidogo cha maji ya wanga, mvinyo wa kupikia, ute wa yai

 • Mapishi ya kuku vitunguu maji na mafuta
 •  2006/09/27
  Mahitaji: Kuku mmoja, vipande vya vitunguu maji, tangawizi, unga wa pilipili manga,chumvi, mvinyo wa kupikia, maji ya wanga
 • Mapishi ya slesi ya aina tatu
 •  2006/09/20

  Mahitaji: viazi mviringo vitatu, pilipili mboga mbili, vipande vine vya uyoga, kiasi kidogo cha tangawizi, mvinyo wa kupikia, siki, M.S.G na Chumvi.

  1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19