Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
  • Mapishi ya maharagwe na pilipili manga
  •  2007/08/29
    Mahitaji: Maharagwe gramu 250, karanga gramu 100, karoti moja, koliflawa gramu 200, pilipili manga gramu 50,mchuzi wa sosi kijiko kimoja, siki vijiko viwili, sukari vijiko viwili, chumvi kijiko kimoja
  • Mapishi ya kamba-mwakaje na uyoga
  •  2007/08/22
    Mahitaji: Kamba-mwakaje gramu 400, mafuta gramu 30, uyoga gramu 70, mafuta ya ufuta kijiko kimoja, ute wa yai, mvinyo wa kupikia vijiko viwili, chumvi kijiko kimoja, sukari kijiko kimoja, pilipili hoho moja, wanga vijiko viwili, chembachembe za kukoleza ladha nusu ya kijiko.
  • Mapishi ya nyama ya kuku na pilipili manga
  •  2007/08/15
    Mahitaji: Nyama ya kuku gramu 200, pilipili hoho gramu 50, pilipili manga gramu 20, pilipili mboga gramu 20, kiasi kidogo cha vipande vya vitunguu maji, vitunguu saumu na tangawizi, sukari kijiko kimoja, chumvi kijiko kimoja, na mchuzi wa sosi vijiko viwili.
  • Mapishi ya kuchemsha doufu kwa mvuke ndani ya majani ya yungiyungi
  •  2007/08/08
    Mahitaji: Doufu gramu 300, nyama ya kuku gramu 30, uyoga gramu 10, uyoga mweusi gramu 10, yai moja, vipande vya paja la ash la nguruwe gramu 10, majani ya yungiyungi, chumvi kijiko kimoja, sukari kijiko kimoja, vipande vya vitunguu maji na tangawizi kila kimoja gramu 5, mafuta ya ufuta kijiko kimoja, wanga wa pilipili manga kijiko kimojra, siki kijiko kimoja, mchuzi wa sosi vijiko viwili, mharadali kijiko kimoja
  • Mapishi ya ini la nguruwe
  •  2007/08/01
    Mahitaji: Ini la nguruwe gramu 200, uyoga gramu 20, tango moja, mvinyo wa kupikia vijiko viwili, siki kijiko kimoja, mchuzi wa sosi vijiko vitatu, sukari kijiko kimoja, chembechembe za kukoleza ladha, chumvi vijiko viwili, wanga vijiko viwili, kiasi kidogo vipande vya vitunguu maji, vitunguu saumu na tangawizi
  • Mapishi ya kukaanga uyoga
  •  2007/07/25
    Mahitaji ya mapishi ya kukaanga uyoga ni pamoja na uyoga gramu 150, unga gramu 80, chembechembe za kukoleza ladha gramu 2, chumvi iliyokorogwa pamoja na pilipili manga gramu 2, ute wa mayai mawili
  • Mapishi ya samaki na bilinganya
  •  2007/07/18
    Mahitaji: Samaki mmoja, bilinganya moja, chumvi vijiko viwili, chembechembe za kukoleza ladha kijiko kimoja, mchuzi wa sosi vijiko viwili, pilipili manga kijiko kimoja, vipande vya vitunguu maji, pilipili hoho, tangawizi , sosi ya pilipili hoho vijiko viwili.
  • Mapishi ya nyama ya kuku na tangawizi
  •  2007/07/11
    Mahitaji: Nyama ya kuku, tangawizi gramu 10, vitunguu maji gramu 5, siki kijiko kimoja, mchuzi wa sosi kijiko kimoja, mvinyo wa kupikia kijiko kimoja, maji ya wanga vijiko viwili.
  • Mapishi ya mbavu za nyama ya nguruwe na nanasi
  •  2007/07/04
    Mahitaji: Mbavu za nyama ya nguruwe gramu 500, nanasi gramu 150, vitunguu maji gramu 25, tangawizi gramu 25, mchuzi wa sosi gramu 30, sukari gramu 20, mvinyo wa kupikia gramu 20, sosi ya nyanya gramu 40, chembechembe za kukoleza ladha gramu 2, mafuta gramu 50
  • Mapishi ya supu ya tufaha na nyama nofu
  •  2007/06/27
    Mahitaji: Tufaha moja, nyama nofu gramu 50, karoti moja, tende gramu 10, uyoga mweupe gramu 10, chumvi kijiko kimoja
    1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19