Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
  • Mapishi ya vipande vya nyama ya kuku pamoja na limau
  •  2006/04/19
    Mahitaji: Nyama ya paja la kuku gramu 1000, yai moja, unga kikombe kimoja, malimau mawili, mvinyo wa kupikia kijiko moja, chumvi vijiko viwili, mafuta ya ufuta nusu ya kijiko, pilipili manga nyeusi, juisi ya limao kijiko moja
  • Supu iliyopikwa kwa doufu na kamba-mwakaje
  •  2006/04/12
    Mahitaji: Doufu, kamba mwakaje, uyoga na karoti kila kimoja gramu 50, ute wa yai moja, kiasi kidogo cha wanga, mvinyo wa kupikia, unga wa pilipili manga, mafuta ya ufuta, chumvi, sukari
  • Mapishi ya vipande vya nyama ya ng'ombe, kuku na figili
  •  2006/04/05

    Mahitaji:

    Nyama ya ng'ombe gramu 70, nyama ya kuku gramu 70, figili gramu 100, kiasi kidogo cha uyoga, chumvi, M.S.G, maji ya wanga, sukari, vitunguu maji, vitunguu saumu, wanga wa magadi nusu kijiko, na mvinyo wa kupikia nusu ya kijiko.

  • Mapishi ya supu ya slesi ya nyama ya kuku
  •  2006/03/29
    Mahitaji
    Nyama ya kuku gramu 75, paja gramu 15, uyoga gramu 15, ute wa yai moja, wanga gramu 20, chumvi gramu 5, unga wa pilipili manga gramu 5
  • Mapishi ya matango machungu pamoja na nyama iliyosagwa
  •  2006/03/22

    Mahitaji:

    Matango machungu mawili, nyama iliyosagwa gramu 300, uyoga gramu 25, yai moja, mchuzi wa soya gramu 15, wanga gramu 25, maji ya wanga gramu 10, vitunguu saumu gramu 50, pilipili manga gramu 1, M.S.G gramu 1, chumvi gramu 2, mafuta ya ufuta gramu , mafuta gramu 500

  • Mapishi ya kamba wenye ladha ya pilipili hoho
  •  2006/03/21
    Mahitaji
    Kamba gramu 200, kiasi kidogo cha pilipili hoho, pilipili manga, tangawizi, vitunguu maji na vitunguu saumu, sukari, chumvi, mchuzi wa soya, na mvinyo wa kupikia.
  • Mseto wenye ladha ya pilipili hoho
  •  2006/03/08
    Mahitaji
    Nusu nanasi, nyanya na kitunguu, kiasi kidogo cha maharage, kamba-mwakaje, yai moja, mchele bakuli mbili, sosi yenye ladha ya pilipili hoho na chumvi.
  • Mapishi ya nyama ya ng'ombe na tangawizi
  •  2006/03/01
    Mahitaji
    Nyama ya ng'ombe gramu 300, tangawizi gramu 150, mvinyo wa kupikia gramu 40, mchuzi wa sosi gramu 20, sukari gramu 10, maji ya wanga gramu 20, pilipili manga gramu 1, vipande vya vitunguu maji na vituanguu saumu gramu 20, mafuta gramu 200.
  • Mapishi ya slesi za nyama ya kuku
  •  2006/02/22
    Mahitaji
    Nyama ya kuku gramu 750, ute wa yai moja, slesi zilizokaushwa za vichipukizi vya mianzi gramu 25, chumvi gramu 5, mvinyo wa kupikia gramu 20, M.S.G gramu 2, vitunguu saumu gramu 5, maji ya wanga gramu 25, mafuta gramu 100.
  • Mapishi ya mayai kwa kutumia mvuke
  •  2006/02/15
    Mahitaji:
    Mayai manne, kamba-mwakaje gramu 50, tango moja, pilipili mboga moja, maji gramu 300, mafuta kijiko kimoja, mafuta ya ufuta nusu ya kijiko, mvinyo wa kupikia nusu ya kijiko, chumvi nusu ya kijiko kiasi kidogo cha vitunguu maji.
    1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19