Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
 • Mapishi ya samaki kwa moshi
 •  2007/11/07
  Mahitaji: Samaki mmoja, chumvi vijiko viwili, mvinyo wa kupikia kijiko kimoja, vitunguu maji na vitunguu saumu kila gramu 5, chai kijiko kimoja, mchele vijiko viwili, pilipili manga gramu 5, sukari vijiko viwili, asali vijiko viwili.
 • Mapishi ya kuchemsha doufu pamoja na sosi ya pilipili hoho
 •  2007/10/31

  Mahitaji: Doufu gramu 100, viazi gramu 20, sosi ya pilipili hoho gramu 5, chumvi gramu 2, chembechembe za kukoleza ladha gramu 2, pilipili manga gramu 2, vitunguu maji gramu 15, tangawizi gramu 15.

 • Mapishi ya supu ya matango ya baharini na pilipili manga
 •  2007/10/24
  Mahitaji: Matango gramu 750, pilipili manga gramu 3, vipande vya vitunguu maji gramu 25, mvinyo wa kupikia gramu 15, chumvi gramu 4, chembechembe za kukoleza ladha gramu 5, tangawizi gramu 10, kiasi kidogo cha giligilani, mafuta ya ufuta na mchuzi wa sosi.
 • Mapishi ya ngisi na kuku
 •  2007/10/17
  Mahitaji: Ngisi gramu 50, kuku mmoja, pilipili hoho gramu 10, pilipili mboga gramu 10, mchuzi wa sosi vijiko viwili, sukari kijiko kimoja, chumvi kijiko kimoja, pilipili manga kijiko kimoja, wanga vijiko viwili, kiasi kidogo cha vitunguu maji, tangawizi, na giligilani.
 • Mapishi ya mchele unaonata na nyama ya kuku kwenye majani ya yungiyungi
 •  2007/10/10
  Mahitaji: Majani sita ya yungiyungi, mchele unaonata gramu 500, kamba mwakaje gramu 100, nyama ya kuku gramu 50, uyoga gramu50, chumvi kijiko kimoja, sukari vijiko viwili, pilipili manga vijiko viwili, mafuta ya ufuta kijiko kimoja, wanga vijiko viwili
 • Mapishi ya mbavu za nguruwe na vitunguu
 •  2007/10/03
  Mahitaji: Mbavu za nguruwe gramu 200, vitunguu gramu 50, pilipili mboga gramu 50, mchuzi wa sosi vijiko viwili, mvinyo wa kupikia kijiko kimoja, sukari kijiko kimoja, chembechembe za kukoleza ladha kijiko kimoja, tangawizi gramu 5, vitunguu saumu gramu 5.
 • Mapishi ya firigisi za kuku
 •  2007/09/26
  Mahitaji: Firigisi za kuku gramu 200, pilipili mboga moja, tangawizi gramu 5, pilipili manga gramu 2, vitunguu saumu gramu 5, mchuzi wa chaza gramu 5
 • Mapishi ya kamba-mwakaje na vitunguu saumu
 •  2007/09/19
  Mahitaji: Kamba-mwakaje gramu 500, limao moja, vitunguu saumu gramu 10, vitunguu maji gramu 5, mchuzi wa sosi vijiko viwili, mvinyo wa kupikia vijiko viwili, mafuta ya ufuta kijiko kimoja, sukari kijiko kimoja, wanga wa pilipili manga kijiko kimoja
 • Mapishi ya samaki na mafuta
 •  2007/09/12
  Mahitaji: Samaki mmoja, mafuta gramu 50, supu ya kuku gramu 300, pilipili manga gramu 3, mvinyo wa kupikia gramu 20, mchuzi wa sosi gramu 30, chumvi gramu 4, chengachenga za kukoleza ladha gramu 3, giligilani gramu 30, vipande vya vitunguu maji gramu 20, tangawizi gramu 20
 • Mapishi ya vichipukizi vya mianzi na nyama ya nguruwe iliyokaushwa
 •  2007/09/05
  Mahitaji: Vichipukizi vya mianzi gramu 120, nyama ya nguruwe iliyokaushwa gramu 250, vitunguu maji gramu 20, mvinyo wa kupikia gramu 4, mchuzi wa sosi gramu 3, chembechembe za kukoleza ladha gramu 2, pilipili hoho gramu 2, mafuta gramu 70
  1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19