Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
  • Mapishi ya supu ya vipande vya nyama ya nguruwe pamoja na nyanya
  •  2005/11/30
    Mahitaji
    Nyanya mbili, vipande vya nyama ya nguruwe gramu 600, kabichi 1/4, kiasi kidogo cha giligilani, sosi ya nyanya vijiko vinne, chumvi kijiko kimoja, maji ya wanga vijiko vinne.
  • Mapishi ya vipande vya nyama ya ng'ombe pamoja na mayai
  •  2005/11/23
    Mahitaji
    Mayai matatu, vipande vya nyama ya ng'ombe gramu 250, mchuzi wa soya, gramu 5, wanga gramu 15, chumvi gramu 5, M.S.G gramu 3?kiasi kidogo cha mafuta ya ufuta, pilipili manga, vipande vidogo vya vitunguu maji
  • Mapishi ya kupika samaki ya tuna pamoja na vitunguu saumu
  •  2005/11/16
    Mahitaji
    Samaki ya tuna moja, kiasi kidogo cha vitunguu saumu, vitunguu maji, tangawizi, wanga wa pilipili manga, maji, mvinyo wa kupikia kijiko kimoja, mchuzi wa soya vijiko vitatu, sukari kijiko kimoja, siki kijiko kimoja, chumvi kijiko 1/4,.
  • Mapishi ya kamba-mwakaje kuwa kama jiwe linalong'aa
  •  2005/11/09
    Mahitaji
    Kamba-mwakaje gramu 200, kiasi kidogo cha vitunguu maji, vitunguu saumu, tangawizi iliyokatwa vipande kidogokidogo, ute wa yai, wanga, chumvi, M.S.G.
  • Mapishi ya vipande vya nyama ya kuku vyenye ladha ya pilipili na pilipili manga
  •  2005/11/02

    Mahitaji:

    Nyama ya paja la kuku gramu 500, nusu ya pilipili mboga, nusu ya pilipili hoho, karanga zilizokaangwa gramu50, mchuzi wa pilipili hoho vijiko viwili, kiasi kidogo cha vipande vya vitunguu maji, vitunguu saumu, tangawizi na pilipili manga na mchuzi vijiko viwili, chumvi kijiko kimoja, sukari vijiko viwili, mafuta ya ufuta kijiko kimoja, wanga kijiko kimoja, na maji bakuli moja.

  • Mapishi ya nyama ya ng'ombe pamoja na uyoga wa aina mbili na asparaga
  •  2005/10/26

    Mahitaji:

    Nyama ya ng'ombe gramu 200, asparaga gramu 150, uyoga gramu 80 na uyoga wa majani gramu 80, kiasi kidogo cha vitunguu maji, vitunguu saumu, tangawizi, karoti, chumvi na sukari kila nusu ya kijiko, mchuzi wa soya, wanga kila kijiko kimoja, kiasi kidogo cha mafuta ya ufuta, na unga wa pilipili manga

  • Mapishi ya vipande vya nyama ya nguruwe
  •  2005/10/19

    Mahitaji:

    Nyama ya nguruwe gramu 300, pilipili mboga gramu 100, vipande vya vitunguu maji gramu 5, mvinyo wa kupikia gramu 15, M.S.G gramu 2, ute wa yai moja, maji ya wanga gramu 25, mafuta ya ufuta gramu 5.

  • Mapishi ya kichwa cha samaki na doufu kwenye maziga
  •  2005/10/05
    Mahitaji 
    Kichwa cha samaki, doufu gramu 200, uyoga mweusi gramu 25, mvinyo wa kupikia gramu 25, mchuzi wa soya gramu 75, sosi ya pilipili gramu 25, sukari gramu 10, vipande vya vitunguu saumu gramu 25, tangawizi gramu 20.
  • Mapishi ya samaki kwa njia ya mtindo wa ki-sichuan
  •  2005/09/28
    Mahitaji
    Samaki wa Li mmoja, nusu ya kitunguu, kiasi kidogo cha vipande vya figili, tangawizi, vitunguu saumu, vitunguu maji, pilipili hoho na wanga, sosi ya pilipili hoho kijiko 3/4, maji bakuli moja, mchuzi wa soya kijiko 1/2, sukari vijiko 2, siki vijiko 3, mvinyo vijiko 2, mafuta ya ufuta kijiko 1/2, unga wa pilipili manga kijiko 1/2, chumvi vijiko 2.
  • Mapishi ya kupiga vipande vya nyama ya nguruwe na matango machungu
  •  2005/09/23
    Mahitaji
    Vipande vya nyama ya nguruwe gramu 250, matango machungu gramu 500, kiasi kidogo cha vipande vya vitunguu maji, vitunguu saumu, tangawizi na pilipili manga, M.S.G, sosi ya pilipili, wanga kijiko kimoja, chumvi kijiko kidogo, mchuzi wa soya kijiko kimoja, sukari kijiko kimoja, mafuta vijiko saba
    1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19