Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
 • Mapishi ya maharagwe na kamba-mwakaje
 •  2008/06/18
  Mahitaji: Kamba-mwakaje gramu 200, maharagwe gramu 50, yai moja, chumvi kijiko kimoja, mvinyo wa kupikia vijiko viwili, mchuzi wa sosi kijiko kimoja, vipande vya vitunguu maji gramu 5 na tangawizi gramu 5.
 • Mapishi ya supu ya uyoga, mboga na nyama ya paja la nguruwe
 •  2008/06/11
  Mahitaji: Mboga ya majani gramu 50, uyoga gramu 100, nyama ya paja la nguruwe gramu 50, nyanya ndogo gramu 20, vitunguu maji gramu 5, tangawizi gramu 2, mvinyo wa kupikia kijiko kimoja, mafuta ya ufuta kijiko kimoja, chumvi kijiko kimoja
 • Mapishi ya vipande vya samaki mkunga
 •  2008/06/04
  Mahitaji: Samaki mkunga gramu 200, uyoga gramu 20, mizizi ya mianzi gramu 15, vipande vya vitunguu maji gramu 5, pilipili hoho gramu 5, vipande vya vitunguu saumu na tangawizi gramu 5, chembechembe za pilipili manga gramu 2, chumvi gramu 2, mvinyo wa kupikia gramu 2.
 • Mapishi ya vipande vya kuku
 •  2008/05/28
  Mahitaji: Nyama ya kuku gramu 350, matango gramu 50, pilipili hoho gramu 5, chumvi gramu 2, chembechembe za pilipili manga gramu 1, chembechembe za kukoleza ladha gramu 1, vipande vya vitunguu maji gramu 5, tangawizi gramu 4, vitunguu saumu gramu 4, wanga gramu 10, sukari gramu 5, siki gramu 2, na ute wa yai moja
 • Mapishi ya kukaanga bilinganya
 •  2008/05/07
  Mahitaji: Bilinganya moja, maji ya limao vijiko vitano, chembechembe za jibini, vijiko viwili, chumvi kijiko kimoja, wanga vijiko vitano, sukari kijiko kimoja, maji ya wanga vijiko viwili.
 • Mapishi ya doufu na kamba-mwakaje
 •  2008/04/23
  Mahitaji: Doufu gramu 200, kamba-mwakaje gramu 150, sosi ya pilipili hoho vijiko vitatu, chembechembe za pilipili manga, kijiko kimoja, chembechembe za pilipili hoho kijiko kimoja, mvinyo wa kupikia kijiko kimoja, chumvi kijiko kimoja, mchuzi wa sosi kijiko kimoja, chembechembe za kukoleza ladha kijiko kimoja, maji ya wanga vijiko vitatu
 • Mapishi ya pilipili hoho na majimbi
 •  2008/04/16
  Mahitaji: Majimbi 10, pilipili hoho 4, chembechembe za kukoleza ladha kijiko kimoja, chumvi nusu ya kijiko kimoja, mafuta ya ufuta kijiko kimoja
 • Mapishi ya maharagwe marefu na nyama ya kuku
 •  2008/04/09
  Mahitaji: Maharagwe marefu gramu 50, nyama ya kuku gramu 200, pilipili hoho gramu 5, chumvi gramu 5, chembechembe za kukoleza ladha gramu 5, mvinyo wa kupikia gramu 2, maji ya wanga gramu 5.
 • Mapishi ya miguu ya nguruwe
 •  2008/04/02
  Mahitaji: Miguu ya nguruwe gramu 500, sukari vijiko viwili, pilipili manga kijiko kimoja, vitunguu maji na tangawizi kila gramu 5, mchuzi wa sosi vijiko viwili, mvinyo wa kupikia kijiko kimoja, chumvi kijiko kimoja, mafuta ya ufuta vijiko vinne.
 • Mapishi ya nyama ya ng'ombe na pilipili mboga
 •  2008/03/26
  Mahitaji: Nyama ya ng'ombe gramu 200, pilipili mboga gramu 50, mchuzi wa sosi kijiko kimoja, sukari kijiko kimoja, mvinyo wa kupikia kijiko kimoja, sosi ya chaza kijio kimoja, wanga vijiko viwili, chembechembe za kukoleza ladha kijiko kimoja, mafuta ya ufuta kijiko kimoja
  1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19