Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
 • Mapishi ya mseto wa kuku
 •  2007/04/11
  Mahitaji ya mseto wa nyama ya kuku ni pamoja na pilipili mboga moja, nyama ya kuku gramu 50, yai moja, mboga gramu 20, vitunguu maji gramu 5, bakuli moja la wali, sosi ya kambamti gramu 5, chumvi gramu 5.
 • Mapishi ya kamba-mwakaje na uyoga
 •  2007/04/04
  Mahitaji: Kamba-mwakaje gramu 150, ute wa yai moja, uyoga gramu 50, mafuta gramu 200, mvinyo wa kupikia gramu 10, chembechembe za kukoleza ladha gramu 5, wanga gramu 15, maji ya wanga gramu 20, chumvi gramu 5, vipande vya vitunguu maji gramu 5, vipande vya tangawizi gramu 3.
 • Mapishi ya supu ya muhindi na vipande vya mbavu za nguruwe
 •  2007/03/28
  Mahitaji ya kupika supu hii ni pamoja na muhindi mmoja, mbavu za nguruwe gramu 200, tangawizi gramu 5, vitunguu maji gramu 5, mvinyo wa kupikia vijiko viwili, na chumvi vijiko vitatu.
 • Mapishi ya samaki kwa michuzi mitatu
 •  2007/03/21
  Mahitaji: Samaki mmoja, chumvi vijiko viwili, , sukari vijiko vitatu, mchuzi wa kupikia vijiko viwili, sosi ya chaza vijiko vitano, mchuzi wa sosi vijiko viwili, pilipili manga kijiko kimoja, sosi ya nyanya vijiko vitatu, sosi ya sukari vijiko vitano, unga wa pilipili hoho vijiko viwili
 • Mapishi ya kaa, vitunguu maji na tangawizi
 •  2007/03/14
  Mahitaji: Kaa gramu 500, vitunguu maji gramu 150, tangawizi gramu 25, vitunguu saumu gramu 5, mvinyo wa kupikia gramu 15, mchuzi wa sosi gramu 10, maji ya wanga gramu 10, sukari gramu 3, mafuta ya ufuta gramu 2, chumvi gramu 3, M.S.G gramu 5, pilipili manga gramu 5.
 • Mapishi ya kabichi ya kichina iliyolowekwa kwenye achali pamoja na nyama ya kuku
 •  2007/03/07
  Mahitaji: Kabichi ya kichina iliyolowekwa kwenye achali gramu 300, pilipili mboga gramu 100, nyama ya kuku gramu 500, chumvi gramu 5, unga wa pilipili manga gramu 5, sukari gramu 5, wanga gramu 10, kiasi kidogo cha vipande vya vitunguu maji, vitunguu saumu tangawizi, na pilipili hoho.
 • Mapishi ya matango ya baharini na vitunguu maji
 •  2007/02/28
  Mahitaji
  Matango ya baharini kilo 1, vitunguu maji gramu 300, tangawizi gramu 10, mvinyo wa kupikia vijiko vitano, sukari vijiko viwili, chumvi kijiko kimoja, mchuzi wa soya kijiko kimoja, M.S.G kijiko kimoja, mafuta ya ufuta kijiko kimoja, maji ya wanga, na maji bakuli moja.
 • Mapishi ya samaki na nyama ya kondoo
 •  2007/02/21
  Mahitaji: Samaki mmoja, nyama ya kondoo gramu 600, mboga gramu 50, mchuzi wa soya gramu 60, sukari gramu 40, chembechembe za kukoleza ladha gramu 2, chumvi gramu 2, vitunguu maji gramu 10, tangawizi gramu 10, kiasi kidogo cha pilipili manga
 • Mapishi ya supu ya bata
 •  2007/02/14
  Mahitaji: Bata mmoja, vitunguu maji gramu 5, tangawizi gramu 5, chumvi vijiko vitatu, chembechembe cha kukoleza ladha vijiko viwili, mizizi ya yungiyungi gramu 20, mvinyo wa kupikia vijiko viwili, sukari kijiko kimoja.
 • Mapishi ya doufu na vitu vingi
 •  2007/02/07
  Mahitaji: doufu gramu 200, nyama ya samaki gramu 20, ute wa yai gramu 15, slesi za kuku gramu 50, kamba mwakaje gramu 20, paja ash la nguruwe gramu 15, uyoga gramu 15, maharagwe gramu 15, vichipukizi vya mianzi gramu 15, chumvi gramu 5, chembechembe za kukoleza ladha gramu 2, mvinyo wa kupikia gramu 25, mchuzi wa soya gramu 15.
  1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19