Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
 • Mapishi ya mbavu za nguruwe na vitunguu saumu
 •  2006/09/13
  Mahitaji: Mbavu za nguruwe gramu 1000, vipande vya vitunguu saumu, vitunguu maji na tangawizi, wanga wa pilipili manga, mvinyo wa kupikia, chumvi, sukari, kipande cha mkate, korosho, unga wa pilipili hoho, ufuta mweupe, M.S.G, maziwa ya unga
 • Mapishi ya supu ya vipande vya nyama ya ng'ombe na figili
 •  2006/09/06
  Mahitaji: Nyama ya ng'ombe gramu 250, figili moja, chumvi gramu 10, mvinyo wa kupikia gramu 8, mchuzi wa sosi gramu 10, tangawizi gramu 5, vitunguu maji gramu 5.
 • Mapishi ya supu nzito ya samaki ya Songsao
 •  2006/08/30
  Mahitaji: Samaki gramu 600, paja la ash gramu 10, mzizi wa kichipukizi gramu 25, uyoga gramu 25, viini vitatu vya mayai, vipande vya vitunguu gramu 25, tangawizi gramu 5, wanga wa pilipili manga gramu 2, mvinyo wa kupikia gramu 30, mchuzi wa soya gramu 25, chumvi gramu 3, siki gramu 25, M.S.G gramu 3, maji gramu 250, wanga wa maji gramu 30, mafuta gramu 50.
 • Mapishi ya boga na mayai yaliyotiwa chumvi
 •  2006/08/23
  Mahitaji: Boga moja, mayai yaliyotiwa chumvi, mafuta vijiko viwili, mvinyo wa kupikia vijiko viwili, chumvi nusu ya kijiko, unga wa kuku nusu ya kijiko, kiasi kidogo cha vitunguu maji.
 • Mapishi ya nyama ya ng'ombe na ufuta
 •  2006/08/16
  Mahitaji: Nyama ya ng'ombe gramu 200, mvinyo wa kupikia kijiko kimoja, yai moja, mafuta ya pilipili hoho nusu kijiko, wanga vijiko viwili, ufuta kijiko kimoja, mchuzi wa soya kijiko kimoja, sosi ya nyanya, siki vijiko vitatu, sukari vijiko vitatu, chumvi roba tatu kijiko, sosi ya chaza vijiko vitatu, wanga wa pilipili manga kijiko kimoja, kiasi kidogo cha vipande vya vitunguu saumu na pilipili hoho
 • Mapishi ya yai la kukaanga lililokorogwa pamoja na tango chungu na kamba-mwakaje
 •  2006/08/09
  mahitaji: matango machungu mawili, mayai mawili, kamba-mwakaje gramu 100, kiasi kidogo cha chumvi, mafuta.
 • Mapishi ya maharagwe marefu yaliyo matamu na nyama ya nguruwe iliyokaushwa
 •  2006/08/02
  Mahitaji: Maharagwe marefu yaliyo matamu gramu 200, nyama ya nguruwe iliyokaushwa gramu 200, tangawizi gramu 5, chumvi gramu 5, M.S.G gramu 3, mvinyo wa kupikia gramu 5.
 • Mapishi ya matango ya baharini na vitunguu maji
 •  2006/07/26
  Mahitaji: Matango ya baharini kilo 1, vitunguu maji gramu 300, tangawizi gramu 10, mvinyo wa kupikia vijiko vitano, sukari vijiko viwili, chumvi kijiko kimoja, mchuzi wa soya kijiko kimoja, M.S.G kijiko kimoja, mafuta ya ufuta kijiko kimoja, maji ya wanga, na maji bakuli moja.
 • Mapishi ya vipande vya doufu na samaki
 •  2006/07/19
  Mahitaji: Samaki mmoja, doufu gramu 200, pilipili hoho gramu 20, chumvi gramu 5, M.S.G gramu 5, sukari gramu 5, vipande vya tangawizi na vitunguu maji kila kimoja gramu 5, pilipili manga gramu 1, sosi ya kambamti gramu 5, yai moja, mvinyo wa kupikia gramu 20, mafuta gramu 100, maji ya wanga gramu 5, supu kiasi kidogo.
 • Mapishi ya boga na mizizi ya yungiyungi
 •  2006/07/12
  Mahitaji: Boga moja, mizizi ya yungiyungi gramu 50, kiasi kidogo cha sukari,
  chumvi, wanga, M.S.G.
  1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19