Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
 • Mapishi ya vipande vya samaki
 •  2006/07/05
  Mahitaji: Samaki aina ya tuna, yai moja, kiasi kidogo cha sukari, chumvi, M.S.G, wanga, mvinyo wa kupikia na uyoga wa mweusi.
 • Mapishi ya Doufu kwa sosi ya nyanya
 •  2006/06/28
  Mahitaji: Tambi zilizotengenezwa kwa wanga, doufu gramu 200, sosi ya nyanya gramu 50, nyanya moja, nyama ya kuku gramu 100, njegere gramu 20, sukari kijiko kimoja, chumvi kijiko kimoja, na maji ya wanga gramu 15
 • Mapishi ya kupika nyama ya ng'ombe pamoja na vitunguu saumu
 •  2006/06/21
  Mahitaji:  Nyama ya paja la ng'ombe, kiasi kidogo cha vitunguu maji na tangawizi, vitunguu saumu, sukari kijiko kimoja, mafuta ya ufuta kijiko kimoja, mchuzi wa soya kijiko kimoja, mvinyo wa kupikia kijiko kimoja, supu ya nyama mabakuli matano.
 • Mapishi ya asparaga pamoja na pilipili za rangi mbalimbali
 •  2006/06/14
  Mahitaji: Asparaga gramu 200, pilipili hoho gramu 50, pilipili mboga gramu 50, pilipili ya rangi ya manjano gramu 50, kiasi kidogo cha wanga wa nyama ya ng'ombe, chumvi na vipande vya vitunguu maji.
 • Mapishi ya uji wa viazi vikuu na figili
 •  2006/06/07
  Mahitaji
  Mchele kikombe kimoja, viazi vikuu gramu 300, nusu kilo ya figili, maji vikombe kumi, kiasi kidogo cha chumvi, pilipili manga na giligilani
 • Mapishi ya kupika vipande vya nyama ya kuku pamoja na mbegu za yungiyungi
 •  2006/05/31
  Mahitaji: Nyama ya kuku gramu 250, mafuta gramu 50, ute wa mayai mawili, kiasi kidogo cha mbegu za yungiyungi, maharagwe mabichi, sukari, mvinyo wa kupikia, chumvi, M.S.G, vitunguu maji, tangawizi na wanga.
 • Mapishi ya samaki kwa unga wenye ladha ya viungo vitano
 •  2006/05/24
  Mahitaji
  Samaki mmoja, kiasi kidogo cha vitunguu maji na tangawizi, mvinyo wa kupikia kijiko kimoja, mchuzi wa soya vijiko viwili, unga wenye ladha ya viungo vitano, sukari kijiko kimoja, mafuta ya ufuta kijiko kimoja, na chumvi kijiiko moja.
 • Mapishi ya kichwa cha samaki na vichipukizi vya mianzi
 •  2006/05/17
  Mahitaji: Kichwa cha samaki, nyama iliyosagwa gramu 75, vichipukizi vya mianzi, doufu gramu 50, vitunguu maji gramu 10, mvinyo wa kupikia vijiko viwili, mchuzi wa soya vijiko vitatu, chumvi nusu kijiko, pilipili manga na pilipili hoho kiasi kidogo.
 • Mapishi ya nyama ya ng'ombe pamoja na sosi ya kambamti
 •  2006/05/03
  Mahitaji
  Nyama ya paja la ng'ombe gramu 300, pilipili mboga moja, pilipili hoho moja, yai moja, nusu ya kitunguu, vitunguu maji gramu 5, tangawizi gramu 5, vitunguu saumu vipande viwili, sosi ya kambamti gramu 20, mchuzi wa sosi gramu 5, sukari gramu 5, mafuta ya ufuta gramu 5, maji ya wanga gramu 15, kiasi kidogo cha pilipili manga na M.S.G
 • Mapishi ya kukoroga asparaga pamoja na kamba
 •  2006/04/26
  Mahitaji
  Asparaga gramu 300, kamba gramu 100, pilipili hoho moja, chumvi, sukari, mafuta ya ufuta nusu ya kijiko, mafuta kijiko kimoja, vitunguu saumu viwili
  1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19