Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
 • Mapishi ya vipande vya nyama ya kuku
 •  2007/06/20
  Mahitaji: Vipande vya nyama ya kuku gramu 200, karoti moja, figili gramu 50, chembechembe za kukoleza ladha kijiko kimoja, mvinyo wa kupikia vijiko viwili, chumvi vijiko viwili, wanga bakuli moja, pilipili hoho gramu 2, vipande vya vitunguu maji gramu 5, wanga wa pilipili manga vijiko viwili
 • Mapishi ya mizizi ya yungiyungi, figili na njegere
 •  2007/06/13
  Mahitaji: Mizizi ya yungiyungi gramu 50, figili gramu 50, njegere gramu 50, karoti gramu 50, chumvi vijiko viwili, chembechembe za kukoleza ladha kijiko kimoja, sukari kijiko kimoja, vipande vya vitunguu maji na tangawizi gramu 5
 • Mapishi ya matango na kamba-mwakaje
 •  2007/06/06
  Mahitaji: Matango gramu 100, kamba-mwakaje gramu 300, pilipili hoho gramu 5, tangawizi gramu 5, vitunguu saumu gramu5, chumvi gramu 5, chembechembe za kukoleza ladha gramu 2, maji ya wanga gramu 5.
 • Mapishi ya bilinganya
 •  2007/05/30
  Mahitaji: Bilinganya gramu 150, paja la ash la nguruwe gramu 50, pilipili mboga moja, pilipili hoho moja, chumvi gramu 10, sukari gramu 2, mchuzi wa sosi gramu 5, sosi ya chaza gramu 5, chembechembe za kukoleza ladha gramu 8, tangawizi gramu 5, maji ya wanga gramu 10, mafuta ya ufuta gramu 2.
 • Mapishi ya nyama ya ng'ombe na nyanya
 •  2007/05/23
  Mahitaji: Nyama ya ng'ombe gramu 300, nyanya gramu 300, pilipili mboga mbili, vitunguu maji gramu 5, vitunguu saumu gramu 5, tangawizi gramu 5, mchuzi wa sosi vijiko viwili, chumvi kijiko kimoja, sukari kijiko kimoja, pilipili manga vijiko viwili, maji ya wanga vijiko viwili.
 • Mapishi ya uyoga mweusi na kiazi kitamu
 •  2007/05/16
  Mahitaji:  Kiazi kitamu kimoja, uyoga mweusi gramu 100, nyama ya ng'ombe gramu 50, sukari kijiko kimoja, chumvi vijiko viwili,chembechembe cha kukolea kijiko kimoja, mvinyo wa kupikia vijiko viwili, wanga kijiko kimoja
 • Mapishi ya nyama ya ng'ombe na njegere
 •  2007/05/09
  Mahitaji: Nyama ya ng'ombe gramu 300, karoti moja, njegere gramu 150, vipande vya vitunguu maji,, tangawizi na vitunguu saumu kila kijiko kimoja, chumvi kijiko kimoja, mchuzi wa sosi vijiko viwili, sukari vijiko viwili, siki vijiko viwili, maji ya wanga vijiko vitano.
 • Mapishi ya nyama ya kondoo
 •  2007/05/02
  Mahitaji: Nyama ya kondoo gramu 500, karoti moja, vipande vya vitunguu maji gramu 5, nusu ya figili, mchuzi wa sosi vijiko viwili, chumvi kijiko kimoja, sukari kijiko kimoja, unga wa pilipili manga kijiko kimoja
 • Mapishi ya vichipukizi vya mianzi na mbavu za nyama ya nguruwe
 •  2007/04/25
  Mahitaji:  Vichipukizi vya mianzi gramu 200, nyama za mbavuni nyama ya nguruwe gramu 100, pilipili manga gramu 5, vipande vya tangawizi gramu, mchuzi wa sosi vijiko vitatu, mvinyo wa kupikia vijiko viwili, chumvi vijiko viwili, sukari kijiko kimoja, chembechembe za kukoleza ladha kijiko kimoja.
 • Mapishi ya doufu na viazi
 •  2007/04/18
  Mahitaji ya kupika doufu na viazi ni pamoja na Doufu gramu 250, viazi gramu 50, vitunguu maji na tangawizi kila kimoja gramu 5,chumvi gramu 3, pilipili manga gramu 5, mchuzi wa sosi gramu 5, kiligirani gramu 10.
  1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19