Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
 • Mapishi ya kamba-mwakaje pamoja na pilipili yenye ladha ya samaki
 •  2006/02/08

  Mahitaji:

  Kamba-mwakaje gramu 350, pilipili hoho gramu 40, mchuzi wa sosi gramu 10, chumvi gramu 3, sukari gramu 30, siki gramu 30, mvinyo wa kupikia gramu 15, vipande vya tangawizi, vitunguu saumu na vitunguu maji gramu 15, M.S.G gramu 2, unga gramu 50, mayai mawili, supu ya nyama gramu 200, mafuta gramu 500.

 • Mapishi ya kuchemsha samaki pamoja na pilipili hoho
 •  2006/02/01
  Mahitaji
  Samaki mmoja, vipande vya tangawizi, vitunguu maji, kiasi kidogo cha mvinyo wa kupikia, sukari, chumvi, M.S.G na mboga, kiasi kingi pilipili hoho, pilipili manga na mafuta.
 • Mapishi ya samaki ya Lu yenye ladha ya sukari na pilipili hoho
 •  2006/01/25
  Mahitaji 
  Samaki mmoja, kitunguu moja, pilipili hoho moja, pilipili mboga moja, sosi yenye ladha ya sukari na wanga ya pilipili hoho vijiko viwili, wanga kijiko moja, chumvi nusu kijiko, pilipili manga 1/3 kijiko, mvinyo wa kupikia vijiko viwili, na mafuta gramu 300.
 • Mapishi ya vipande vya nyama ya ng'ombe na pilipili manga nyeusi
 •  2006/01/18
  Mahitaji
  Vipande vya nyama ya ng'ombe gramu 500, kitunguu gramu 200, pilipili hoho gramu 10, mchuzi wa soya gramu 10, vitunguu saumu gramu 25, ute wa yai moja, wanga 15, pilipili manga nyeeusi gramu 8, mvinyo wa kupikia gramu 5, mafuta ya ufuta gramu 5, sosi ya nyanya gramu 20, chumvi gramu 5, sukari gramu 5, mafuta gramu 500
 • Mapishi ya mwani pamoja na doufu
 •  2006/01/11
  Mahitaji
  Mwani gramu 20, doufu gramu 200, mchuzi wa soya vijiko 2, sukari nusu kijiko, kiasi kidogo cha maji, maji ya wanga na mafuta ya ufuta.
 • Mapishi ya bilinganya kwa kukaanga
 •  2006/01/04
  Mahitaji
  Bilinganya gramu 200, pilipili mboga gramu 100, kiasi kidogo cha vitunguu maji, tangawizi, chumvi na M.S.G
 • Mapishi ya vipande vya samaki pamoja na punje za msonobari
 •  2005/12/28
  Mahitaji
  Nyama ya samaki gramu 400, yai moja, wanga vijiko 3, punje za msonobari vijiko viwili, vitunguu saumu gramu 5, maji 2/3 ya kikombe, mvinyo wa kupikia vijiko 2, siki vijiko 2, sosi ya nyanya vijiko vitatu, chumvi nusu ya kijiko, sukari nusu ya kijiko, mafuta ya ufuta kijiko kimoja, wanga wa pilipili manga kijiko kimoja, na ute wa yai vijiko viwili.
 • Mapishi ya vipande vya nyama ya nguruwe vya kukaanga
 •  2005/12/21
  Mahitaji
  Nyama ya nguruwe gramu 200, mayai manne, M.S.G gramu 2, mvinyo wa kupikia gramu 30, wanga gramu 30, chumvi gramu 5, mafuta ya ufuta gramu 100, chumvi iliyochanganywa na pilipili kima, mafuta gramu 500.
 • Mapishi ya supu ya figili na samaki
 •  2005/12/14
  Mahitaji
  Samaki mmoja, figili gramu 400, chaza gramu 300, kiasi kidogo cha vitunguu maji, tangawizi, giligilani, chumvi na pilipili manga, na mvinyo wa kupikia kijiko kimoja.
 • Mapishi ya slesi za viazi mviringo kwa pilipili hoho na siki
 •  2005/12/07
  Mahitaji
  Viazi mviringo gramu 250, nyama ya nguruwe gramu 50, siki gramu 20, pilipili hoho gramu 5, vitunguu maji gramu 2, chumvi gramu 5, M.S.G gramu 2.
  1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19