Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
 • Mapishi ya kuku aliyekaangwa
 •  2008/01/16
  Mahitaji: kuku mmoja, chumvi gramu 3, sukari gramu 15, mchuzi wa sosi gramu 10, mvinyo wa kupikia gramu 15, pilipili manga gramu 2, vitunguu maji gramu 15, tangawizi gramu 15, chembechembe za kukoleza ladha gramu 1, mafuta ya ufuta gramu 10.
 • Mapishi ya vipande vya mzizi wa yungiyungi
 •  2008/01/09
  Mahitaji Mzizi mmoja wa yungiyungi, pilipili hoho gramu 10, vitunguu saumu gramu 5, chumvi kijiko kimoja, sukari kijiko kimoja, siki vijiko viwili, mchuzi wa sosi nusu kijiko
 • Mapishi ya matango ya baharini na pilipili hoho
 •  2008/01/02
  Mahitaji: Matango kumi ya baharini, pilipili hoho gramu 10, vipande vya vitunguu maji, mvinyo wa kupikia kijiko kimoja, sukari nusu ya kijiko, mchuzi wa sosi kijiko kimoja, maji ya wanga vijiko viwili, chumvi vijiko viwili.
 • Mapishi ya kupika samaki kwa mvuke
 •  2007/12/26
  Mahitaji: Samaki mmoja, nyama ya nguruwe gramu 100, karoti gramu 50, mvinyo wa kupikia vijiko vitatu, mchuzi wa sosi vijiko vitatu, sukari kijiko kimoja, siki kijiko kimoja, chumvi nusu kijiko, chembechembe za kukoleza ladha nusu kijiko, mafuta ya pilipili manga kijiko kimoja, sosi iliyotengenezwa na maharagwe, kiasi kidogo cha wanga, vitunguu maji na tangawizi.
 • Mapishi ya ngisi na liki
 •  2007/12/19
  Mahitaji: Liki gramu 20, pilipili mboga gramu 20, pilipili hoho gramu 20, ngisi gramu 50, chumvi kijiko kimoja, sosi ya chaza vijiko viwili, sosi ya mchuzi kijiko kimoja, vipande vya tangawizi na vitunguu saumu
 • Mapishi ya supu ya mwani na nyama ya mbavu za nguruwe
 •  2007/12/12
  Mahitaji: Nyama ya mbavu za nguruwe gramu 200, mwani gramu 50, vipande vya tangawizi gramu 5, chumvi vijiko viwili, mvinyo wa kupikira kijiko kimoja, mafuta ya ufuta kijiko kimoja
 • Mapishi ya nyama ya ng'ombe na maharagwe
 •  2007/12/05
  Mahitaji: Maharagwe gramu 350, nyama ya ng'ombe gramu 150, chumvi gramu 5, chembechembe za kukoleza ladha gramu 8, sukari gramu 5, pilipili hoho gramu 5, vipande vya vitunguu maji gramu 3, mchuzi wa sosi gramu 3.
 • Mapishi ya pilipili mboga na ngisi
 •  2007/11/28
  Mahitaji: Pilipili mboga gramu 250, ngisi gramu 250, chumvi kijiko kimoja, mvinyo wa kupikia vijiko viwili, maji ya wanga vijiko vitatu, chembechembe za kukoleza ladha kijiko kimoja, kiasi kidogo cha vitunguu maji na tangawizi
 • Mapishi ya kuku na limao
 •  2007/11/21
  Mahitaji: Nyama ya kuku gramu 300, wanga gramu 100, maji juisi ya limao gramu 250, sukari gramu 30, nyanya gramu 100, chumvi gramu 3, mvinyo wa kupikia gramu 5, vitunguu maji gramu 3, tangawizi gramu 3.
 • Mapishi ya slesi ya ngisi
 •  2007/11/14
  Mahitaji: Ngisi gramu 250, nyama ya nguruwe gramu 100, machipukizi ya mianzi gramu 80, chumvi gramu 5, mchuzi wa sosi gramu 2, mvinyo wa kupikia gramu 6, chembechembe za kukoleza ladha gramu 2, mafuta ya ufuta gramu 2.
  1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19