Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
  • Mapishi ya kupika nyama ya ng'ombe pamoja na giligilani
  •  2005/09/14
    Mahitaji
    Giligilani gramu 300, nyama ya ng'ombe gramu 150, vipande vya vitunguu maji, vitunguu saumu na tangawizi kila kimoja kijiko 1/3, chumvi kijiko 1/2, mafuta ya ufuta kijiko 1, mvinyo wa kupikia kijiko 1, mchuzi wa soya kijiko 1, wanga kijiko 1/2
  • Mapishi ya Supu ya Luosong
  •  2005/08/31

    Mahitaji:

    Nyama ya ng'ombe gramu 500, mchuzi wa nyanya, viazi mviringo vitatu, kitunguu kimoja, kiasi kidogo cha tangawizi, unga wa pilipili manga na chumvi.

  • Mapishi ya kupika samaki kwa mafuta na vitunguu maji
  •  2005/08/24

    Mahitaji:

    Samaki gramu 750, chumvi gramu 6, mchuzi wa soya gramu 25, mvinyo wa kupikia gramu 15, M.S.G gramu 3, unga wa pilipili manga gramu 2, vipande vya tangawizi gramu 15, vipande vya vitunguu maji gramu 15, ufute wa mafuta gramu 50.

  • Mapishi ya vipande vya nyama ya kuku pamoja na korosho
  •  2005/08/17
    Mahitaji
    Korosho gramu 100, nyama ya kuku gramu 200,pilipili mboga gramu 80, karoti gramu 80, tangawizi gramu 5, ute wa yai moja, chumvi gramu 10, wanga gramu 10, mvinyo wa kupikia gramu 5, na mafuta gramu 30.
  • Mapishi ya vipande vya nyama ya ng'ombe kwa pilipili hoho na pilipili manga
  •  2005/08/10
    Mahitaji
    Nyama ya ng'ombe gramu 1500, unga wa pilipili hoho gramu 75, pilipili kima gramu 20, vipande vya tangawazi na vitunguu maji kila gramu 25, mchuzi wa soya gramu 50, chumvi gramu 50, mvinyo wa kupikia gramu 30, sukari gramu 50, ufuta gramu 100, M.S.G gramu 30, mafuta gramu 50.
  • Mapishi ya kupika doufu pamoja na vitu vingi
  •  2005/08/03
    Mahitaji
    Doufu gramu 250, karoti gramu 50, nyama ya ng'ombe gramu 100, uyoga gramu 100, haragwe gramu 50, mafuta gramu 250, mvinyo wa kupikia gramu 25, mchuzi wa soya gramu 50, chumvi gramu 2, sukari gramu 10, vitunguu maji gramu 10, tangawizi gramu 5, maji ya wanga gramu 10.
  • Mapishi ya vipande vya nyama ya samaki kwa mchuzi wa nyanya
  •  2005/07/27
    Mahitaji
    Samaki gramu 200, mchuzi wa nyanya gramu 50, vipande vya vitunguu saumu, vitunguu maji na tangawizi kila kimoja gramu 5, wanga gramu 15, M.S.G gramu 1, chumvi gramu 5, ute wa yai moja, mafuta ya ufuta gramu 1, mvinyo wa kupikia gramu 10, sukari gramu 10, mafuta gramu 500.
    Njia
  • Mapishi ya kupika matango machungu na nyama ya nguruwe iliyokaushwa
  •  2005/07/20
    Mahitaji
    matango machungu gramu 300, nyama ya nguruwe iliyokaushwa gramu 150, vipande vya tangawizi, vitunguu saumu kila kimoja gramu 15, pilipili hoho gramu 10, mvinyo wa kupikia gramu 10, pilipili manga gramu 10, maji ya wanga gramu 10, chumvi na M.S.G kila kimoja gramu 5.
  • Mapishi ya kupika kamba kwa mvuke
  •  2005/07/13
    Mahitaji:
    Kamba gramu 500, mvinyo wa kupikia gramu 25, siki gramu 10, chumvi gramu 5, sukari gramu 30, mafuta ya ufute gramu 25, mafuta gramu 100, vitunguu saumu, vitunguu maji na tangawizi kila gramu 10.
  • Mapishi ya kukoroga bilinganya kwa mchuzi
  •  2005/07/06
    Mahitaji
    mabilinganya gramu 500, nyama ya kusagwa gramu 100, chumvi gramu 5, siki gramu 10, M.S.G gramu 5, sukari gramu 5, mchuzi wa soya gramu 10, vipande vya vitunguu maji, vitunguu saumu na tangawizi kila kimoja gramu 5.
    1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19