Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
v Maisha mapya ya wakazi wa kijiji cha Sangmo 2008/11/12
Kijiji cha Sangmo kilichoko umbali wa kilomita zaidi ya kumi kutoka magharibi mwa Lahsa, mji mkuu wa Tibet ni kijiji kinachofanya shughuli za utalii zinazowavutia watalii kwa mila na desturi za jadi. Leo tunawaletea maelezo juu ya maisha mapya ya wakazi wa kijiji hicho.
v Maisha mapya ya familia moja ya kabila la Wahui 2008/10/27
Huu ni mwaka wa kumi tangu familia ya mzee Ma Tingfu wahamie kwenye nyumba mpya. Katika miaka kumi iliyopita, watu wa familia hiyo pamoja na wakazi wengine walibadilisha ardhi yenye hali ya jangwa kuwa mashamba, na wanaishi maisha mazuri.
v Mwimbaji wa nyimbo za kabila la Wadong bibi Wu Yuzhen 2008/10/20
Bibi Wu Yuzhen wa kabila la Wadong ni msichana mwenye umri wa miaka 23 aliyezaliwa na kuishi katika wilaya ya Liping mkoani Guiyang. Sasa yeye ni mwimbaji maarufu katika sehemu hiyo, na kuchaguliwa kuwa mjumbe wa utalii wa kabila la Wadong mkoani Guizhou, kwa kuwa yeye ni hodari katika kuimba wimbo maalumu wa kabila la Wadong.
v Serikali ya Xinjiang yatoa mafunzo kwa vijana wa makabila madogo madogo  2008/10/13
Kati ya watu wanaoishi vijijini katika mkoa unaojiendesha wa kabila la Wauyghur wa Xinjiang, watu wa makabila madogo madogo ni wengi sana, na hasa katika sehemu za Hetian na Kashen zilizoko kusini mwa mkoa huo, wakulima na wafugaji wa makabila madogo madogo wanachukua asilimia zaidi ya 95 ya idadi ya watu wote
v Maendeleo ya utamaduni wa jadi mkoani Tibet 2008/10/06
Mkoa unaojiendesha wa Tibet ni sehemu yenye utamaduni mkubwa wa jadi watu wa makabila madogo madogo wanayoishi. Miaka 50 iliyopita wakati wa Tibet ilipotekeleza mfumo wa wakuilma watumwa na utawala wa kisiasa pamoja na kidini,
v Watu wa kabila la Watajik wanaoishi kwenye uwanda wa juu wa Pamirs 2008/09/22
Uwanda wa juu wa Pamirs uliopo kusini magharibi mwa sehemu inayojiendesha ya kabila la Wauyghur ya Xinjiang, unajulikana sana nchini na nje kutokana na kuwa na milima 14 yenye urefu wa mita zaidi ya 8,000.
v Wanawake wa kabila la Wali wanaopenda kufuma kitambaa cha Lijin 2008/07/07
Kabila la Wali ni kabila dogo lenye idadi kubwa zaidi ya watu mkoani Hainan kusini mwa China. Kama ilivyo kwa makabila mengine madogo madogo nchini China, kabila hilo lina desturi na utamaduni wake maalumu, na kitambaa cha Lijin ni kitu kizuri cha kisanaa kinachotengenezwa na wanawake wa kabila la Wali.
v Familia moja ya kabila la Wali nchini China 2008/06/30
Kabila la Wali ni moja kati ya makabila yenye historia ndefu zaidi katika sehemu za kusini mwa China, idadi ya watu wake ni zaidi ya milioni 1.3, na watu hao hasa wanaishi kwenye kisiwa cha Hainan kilichoko kusini mwa China.
v Bustani ya utamaduni wa kabila la Wahui mkoani Ningxia 2008/06/23
Katika mkoa wa Ningxia, kuna bustani moja maarufu ya kuonesha utamaduni wa kabila la Wahui. Bustani hiyo ilianzishwa mwezi Septemba mwaka 2005, na ni bustani ya pekee nchini China ya kuonesha utamaduni na deturi za kabila la Wahui.
v Nishati ya jua yanatumiwa na wakazi wa kawaidia mkoani Tibet 2008/06/16
Kutokana na kuwa kwenye mwinuko mkubwa kutoka usawa wa bahari, mkoa unaojiendesha wa Tibet wa China unajulikana kama sehemu iliyoko karibu zaidi na jua. Hivi sasa wakazi wa kawaida wa mkoa huo kutumia majiko ya nishati ya jua na vyombo vya kuongeza joto ya maji kwa nishati ya jua kumekuwa mtindo wa kisasa wa maisha ya familia nyingi.
v Mradi wa kukarabati Hekalu la Tashi Lhunpo mkoani Tibet ulianza rasmi 2008/06/02
Mradi wa kukarabati Hekalu la Tashi Lhunpo analoishi kiongozi wa kidini mkoani Tibet Banchan ulianza rasmi hivi karibuni. Mradi huo utagharimu pesa nyingi zaidi kuliko miradi mingine ya kuhifadhi mabaki ya utamaduni mkoani Tibet
v Matibabu ya kitibet nchini China yapata maendeleo makubwa  2008/05/26
Ikiwa ni sehemu muhimu ya matibabu ya jadi ya kichina, matibabu ya kitibet yamekuwa na historia ya zaidi ya miaka 2,300. Na sasa huduma za matibabu hayo zinatolewa kwenye kila tarafa kwenye mkoa unaojiendsha wa Tibet. Hivi sasa kwenye mkoa huo, kuna idara zinazohusika na hospitali kubwa zaidi ya 10 za matibabu ya kitibet, na maelfu ya watu wanajishughulisha na matibabu hayo.
v Mwimbaji maarufu wa Tibet bibi Cedai Drolma 2008/05/12
Bibi Cedai Drolma alizaliwa mwaka 1937 kwenye familia moja maskini ya wakulima watumwa. Miaka zaidi ya 50 iliyopita, Tibet ilikuwa inatekeleza mfumo wa wakulima watumwa, na asilimia zaidi ya 95 ya watibet walikuwa watumwa. Wakati huo masufii wa ngazi ya juu na makabaila wachache walikuwa wanamiliki mali zote za Tibet, na hata wakulima watumwa pia ni mali yao ya binafasi
v Tazama Tibet kutokana na historia yake 2008/05/05
Kwenye mkoa unaojiendesha wa Tibet, hivi sasa watu wanaishi maisha mazuri, wanapata elimu nzuri, wanapewa huduma za matibabu bure, na wengi wao wana nyumba za kudumu. Lakini miaka zaidi ya 50 iliyopita, Tibet ilitekeleza mfumo wa wakulima watumwa, na asilimia zaidi ya 95 ya watibet walikuwa wakulima watumwa.
v China yakarabati kasri la Potala ili kuhifadhi utamaduni wa Tibet 2008/04/28
Kasri la Potala lililoko katikati ya Lhasa mji mkuu wa mkoa unaojiendesha wa Tibet lina historia ya zaidi ya miaka 1,300, na ni majengo ya kale ya kasri yaliyojengwa kwenye uwanda wa juu zaidi na kuhifadhiwa vizuri zaidi duniani. Kuna hadithi nzuri kuhusu kasri hilo
v Utamaduni wa Tibet wapata maendeleo kutokana na juhudi za serikali ya China za kurithisha na kuhifadhi utamaduni 2008/04/21
Opera ya kitibet ni sanaa inayoelezea hadithi kwa kuimba na kucheza inayofahamika sana kwenye sehemu wanakoishi watu wa kabila la Watibet hasa mkoani Tibet .
v Vikundi vya Maonesho ya michezo ya sanaa vya Wulanmuqi mkoani Mongolia ya Ndani 2008/04/14
Vikundi vya maonesho ya michezo ya sanaa vinavyotoa huduma kwa watu kwenye mbuga ya Sunit katika mkoa unaojiendesha wa Mongolia ya Ndani. Wafugaji wa mbuga hiyo wanaviita Vikundi vya Wulanmuqi maana yake ya kichina ni Machipukizi Mekundu.
v Mtaalamu hodari wa jiolojia kutoka kabila la Watibet Bw. Duo Ji 2008/04/07
Bw. Duo Ji alizaliwa kwenye familia moja ya wakulima iliyoishi katika sehemu ya mbali ya mkoa unaojiendesha wa Tibet. Mwaka 1974 Bw. Duo Ji alikwenda nje ya kijiji na wazazi wake hawajawahi kutoka nje ya kijiji hicho hata mara moja, na kuanza kusoma kozi ya jiolojia kwenye chuo kikuu kimoja cha mji wa Chengdu ulioko kusini magharibi mwa China.
v Barabara za kuleta neema katika mkoa unaojiendesha wa Mongolia ya Ndani 2008/03/31
Mkoa unaojiendesha wa Mongolia ya Ndani wa China una eneo kubwa, na hali duni ya mawasiliano ya barabara iliwahi kutatatiza sana maisha ya wakulima na wafugaji wa mkoa huo, lakini sasa hali imebadilika. Leo tunawaletea maelezo kuhusu barabara za kuleta neema mkoni humo.
v Wajumbe wa makabila madogo madogo wa baraza la mashauriano ya kisiasa la China wazungumzia maendeleo ya sehemu ya magharibi mwa China 2008/03/24
Mkutano wa mwaka huu wa baraza la awamu mpya la mashauriano ya kisiasa la China umefungwa hivi karibuni hapa Beijing, kwenye mkutano huo baadhi ya wajumbe kutoka makabila madogo madogo waliisifu sana serikali kuu ya China kwa kuchukua hatua za kuhimiza maendeleo ya sehemu za makabila madogo madogo.
v Fundi hodari wa kutengeneza Tianqin ambayo ni ala ya muziki ya kabila la Wazhuang 2008/03/19
 Bw. Qin Huabei mwenye umri wa miaka 43 ni fundi hodari wa kutengeneza ala hiyo, na ametoa mchango mkubwa kwa ajili ya kueneza sanaa hiyo
v Maisha mapya ya Bw. Ben Bha wa kabila la Watibet 2008/03/12
Kutokana na mazingira ya kimaumbile, baadhi ya watu wanaoishi kwenye mkoa unaojiendesha wa kabila la Tibet wanakabiliwa na matatizo ya kiuchumi. Katika miaka ya hivi karibuni, serikali ya China imeongeza nguvu ya kuwasaidia watu maskini wa mkoa huo.
v Kijiji cha Yingpan cha kabila la Wabuyi 2008/03/05
Mnaosikia ni wimbo unaoimbwa na watu wa kabila la Wabuyi. Watu hao wanaishi kwenye kijiji cha Yingpan cha kitongoji cha Guiyang, mji mkuu wa mkoa wa Guizhou.
v Maisha bora ya watu wa kabila la Wakazakh kwenye makazi ya kudumu 2008/02/27
Kwenye sehemu ya kaskazini ya mkoa unaojiendesha wa kabila la Wauyghur wa Xinjiang, kuna kabila la Wakazakh ambalo ni kabila la ufugaji lenye historia ndefu sana. Zamani mahema ya muda
v Maisha bora ya watu wa kabila la Washe wanaoishi kwenye mkoa wa Jiangxi 2008/02/20
Kabila la Washe lina lugha yake, lakini linatumia maandishi ya kabila la Wahan. Kabila hilo pia halina sikukuu maalumu ya kikabila, kwa hiyo watu wa kabila hilo wanasherehekea sikukuu za kabila la Wahan hasa sikukuu ya mwaka mpya wa jadi wa China. Leo tutawaletea maelezo kuhusu watu wa kabila la Washe wanaoishi kwenye tarafa ya Zhangping ya mji wa Guixi mkoani Jiangxi.
v Maisha mapya ya wachezaji wa mchezo wa Mukamu kwenye sehemu ya Tulufan mkoani Xinjiang 2008/02/19
Sanaa ya Mukamu ni maonesho ya mchanganiko wa nyimbo, ngoma na muziki wa kabila la Wauyghur kwenye mkoa unaojiendesha wa Xinjiang.
v Wafugaji wa makabila madogomadogo kushiriki kwenye shughuli za utamaduni  2008/02/14
Mkoa wa Qinghai ni sehemu ya kuhifadhi vyanzo vya maji nchini China. Kwenye mkoa huo kuna maeneo makubwa ya ufugaji. Katika miaka ya hivi karibuni, mazingira ya mkoa huo yaliharibiwa kutokana na sababu za kimaumbile na wingi wa kupita kiasi wa mifugo
v Maisha ya wafugaji wa kabila la Watibet 2008/02/13
Bw. Nyima mwenye umri wa miaka 38 alikuwa mfugaji wa kuhamahama. Miaka mitatu iliyopita aliuza ng'ombe wake zaidi ya 40, na alihamia kwenye kijiji kipya kilichoko kwenye kitongoji cha mji wa Golmud mkoani Qinghai kutoka kwenye sehemu ya Chanzo cha Mito Mitatu yenye mwinuko wa zaidi ya mita 4500 kutoka usawa wa bahari
v Watu wa kabila la Wasala wanaoishi mkoani Qinghai 2008/02/05
Kwenye sehemu ya juu ya Mto Huanghe, kuna kabila dogo la Wasala linaloamini dini la Kiislamu na lenye historia ya zaidi ya miaka 800. Watu wa kabila hilo hasa wanaishi kwenye wilaya inayojiendesha ya kabila la Wasala la Xunhua mkoani Qinghai. Leo tutawaletea maelezo kuhusu watu wa kabila hilo.
v Maisha mapya ya watu wa kabila la Wajing wanaoishi kwenye kijiji cha Wanwei 2008/01/30
Kabila la Wajing ni kabila dogo nchini China, idadi ya watu wa kabila hilo ni karibu elfu 20. Watu hao wanaishi kwenye visiwa vitatu vya Wanwei, Wutou na Shanxin vilivyoko kusini mwa China. Leo tutawaletea maelezo kuhusu maisha mapya ya watu wa kabila la Wajing wanaoishi kwenye kijiji cha Wanwei
1 2 3 4 5