Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
v Matibabu na dawa za kitibet zinazotumia sayansi na teknolojia ya juu 2005/09/22
Kutokana na muda kwenda na kutokea kwa maendeleo ya kasi ya sayansi na teknolojia ya kisasa, kati ya mifumo minne ya matibabu ya jadi iliyowahi kuleta athari kubwa kwa binadamu duniani, yaani matibabu ya kichina, matibabu ya kitibet  
v Mfuko wa kuhimiza maendeleo ya Tibet 2005/09/16
Katika mkoa unaojiendesha wa Tibet ulioko kwenye uwanda wa juu kabisa duniani, kutokana na kuwa kwenye mwinuko mrefu kutoka usawa wa bahari, kuna upungufu wa oxygen, na miale mikali ya jua, wakulima na wafugaji wengi wanaugua magonjwa ya macho, hasa aina ya mtoto wa jicho.
v Mfuko wa kuhimiza maendeleo ya Tibet  2005/09/08
Katika mkoa unaojiendesha wa Tibet ulioko kwenye uwanda wa juu kabisa duniani, kutokana na kuwa kwenye mwinuko mrefu kutoka usawa wa bahari, kuna upungufu wa oxygen, na miale mikali ya jua, wakulima na wafugaji wengi wanaugua magonjwa ya macho, hasa aina ya mtoto wa jicho
v Mtibet Dan Zeng Qunpei na mtalii wa Uswizi 2005/09/01
Dan Zeng Qunpei mwenye umri wa miaka 33 amefanya kazi ya dereva kwa miaka zaidi ya kumi, na anapendwa na watalii kutokana na uaminifu wake na huduma bora anazotoa
v Mkoa unaojiendesha wa kabila la watibet 2005/08/04
Mkoa unaojiendesha wa Tibet ulianzishwa rasmi mwezi Septemba mwaka 1965, jambo hilo lilionesha kuwa, sehemu ya Tibet iliingia katika jamii ya ujamaa yenye usawa kutoka jamii ya mfumo wa utumwa wa ukabaila
v Michezo ya sanaa ya watoto mjini Guiyang 2005/07/28
Katika miaka ya karibuni, Guiyang, mji mkuu wa mkoa wa Guizhou, kusini magharibi mwa China unafuatilia sana mafunzo na maendeleo ya michezo ya sanaa za watoto, na ngoma zilizochezwa na watoto wa mji huo zenye umaalum wa kikabila zinapendwa sana nchini China na ng'ambo     
v China yaongeza nguvu ya kusaidia maendeleo ya makabila madogo madogo yenye watu wachache  2005/06/01
Ili kuongeza zaidi nguvu ya kuyasaidia makabila madogo madogo yenye watu wachache, serikali ya China hivi karibuni imetoa mpango wa miaka mitano wa kutatua kihalisi matatizo makubwa yaliyoko katika maendeleo ya makabila madogo madogo yenye watu wachache, ili kuyawezesha maendeleo ya uchumi na jamii ya makabila hayo yafikie kiwango cha kati au juu ya kiwango cha kati.
v Wasala wanaoishi mjini Beijing 2005/05/19
Wasala ni wa kabila lenye idadi ya watu wasiozidi laki moja, wengi wao wanaishi katika mkoa wa Qinghai, kaskazini magharibi mwa China.        
v Maisha ya waislamu katika mtaa wa kabila la Hui wa Niujie mjini Beijing 2005/04/28
Mtaa wa Niujie uko katika sehemu ya kusini ya Beijing, tofauti na mitaa mingine mjini Beijing, kwenye mtaa huo wanaishi waislamu zaidi ya elfu kumi, na majengo na vyakula vya huko vyote vinaonesha mtindo wa kiislamu.
v Mboga zapatikana mkoani Tibet 2005/04/22
Bi. Caidanzhuoma alipakia kweye baiskeli yake mboga nyingi. Mboga hizo za majani alizinunua kwenye soko kubwa la mboga baada ya kutoka kazini.
v Watu wa kabila la wamiao wanaopenda muziki na nguo za rangi 2005/04/07

Lusheng ni aina moja ya filimbi ya China inayopendwa na watu wa kabila la wamiao. Watu wengi wa kabila la wamiao wanaishi katika mikoa ya Guizhou, Guangxi na Yunnan kusini magharibi mwa China.       

v Sera ya kujiendesha kwa maeneo ya makabila madogo yamehimiza maendeleo ya uchumi na jamii katika maeneo hayo nchini China 2005/03/17
Ofisi ya habari ya baraza la serikali hivi karibuni ilitoa waraka wa serikali kuhusu "Kujiendesha kwa maeneo ya makabila madogo nchini China". Waraka huo umetathmini na kueleza uzoefu na mafanikio yaliyopatikana katika muda wa zaidi ya miaka 50 tangu itekelezwe sera ya kujiendesha kwa maeneo ya makabila madogo.
v Mapato ya wakulima na wafugaji wa Tibet yaongezeka kwa zaidi ya asilimia kumi kwa miaka miwili mfululizo 2005/03/14
Baada ya mapato ya wakulima na wafugaji wa mkoa unaojiendesha wa Tibet kufikia wastani wa yuan RMB 1690 mwaka 2003,  mapato yao ya mwaka 2004 yalifikia wastani wa yuan za RMB 1863, na kuongezeka kwa asilimia 10.2 kuliko mwaka 2003
v Mama wa watoto wachanga katika mbuga mkoani Xinjiang 2005/02/25
Kwa wakulima na wafugaji wa kabila la wahazak la mkoa unaojiendesha wa kabila la wauygur wa Xinjiang, kaskazini magharibi mwa China kuna desturi kuwa, mtoto akizaliwa huwa na mama wawili, mmoja ni mzazi na mwingine ni mkunga wake.
v Mkoa unaojiendesha wa kabila la wamongolia una makada laki 1.9 wa makabila madogo madogo  2005/01/14
Kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na kamati inayoshughulikia mambo ya makabila madogo madogo ya mkoa unaojiendesha wa kabila la wamongolia, hivi sasa mkoa huo una makada laki moja na elfu tisini wa makabila madogo madogo
v Kabila la wasala 2005/01/04
Katika sehemu ya Dunhua, mkoani Qinghai, kaskazini magharibi ya China, wanaishi kabila la wasala ambao zaidi ya miaka 700 iliyopita mababu wa wasala wa Dunhua walikuwa wakiishi katika Asia ya kati
v Mtibet anayeendesha hoteli karibu na hekalu la Laboleng  2004/12/16
Katika wilaya ya Xiahe ya mkoa wa Gansu, kaskazini magharibi mwa China, kuna hekalu maarufu sana la dini ya buddha ya kitibet?Hekalu la Laboleng.
v Maisha ya Sumuya--Mwanamke hodari wa kabila la wamongolia 2004/10/28
Bi. Sumuya ni naibu mwenyekiti wa baraza la mashauriano ya kisiasa la mji wa Bayanchuoer, mkoa unaojiendesha wa kabila la wamongolia, kaskazini mwa China.
v Mtaa wenye historia ndefu sana wa watu wa kabila la Wahui nchini China 2004/05/21
    Xi'an ni mji mkuu wa mkoa wa Shanxi, kaskazini magharibi mwa China, ambao ni mji mkongwe maarufu, pia ni sehemu ya kwanza walipoishi waislamu wa China. mjini Xi'an, kuna mtaa wenye historia ndefu sana wa watu wa kabila la Wahui, ambao ni waislamu. Katika miaka ya karibuni, ili kuhifadhi mabaki ya kale katika mtaa huo wa watu wa kabila la Wahui, na pia kuwaandalia mazingira mazuri ya kuishi na kufanya shughuli za kidini, serikali ya China imefanya mengi katika uhifadhi na uboreshwaji wa mtaa huo.
v Mtaa wa Niujie mjini Beijing wanakokaa watu wa makabila mbalimbali 2004/04/16
China ni nchi yenye makabila mengi, ambapo kabila la Han ndilo lenye watu wengi kabisa, zaidi ya aisilimia 90 ya wananchi wote, na pia yapo makabila mengine 55, ambayo kwa desturi yanaitwa makabila madogo madogo kutokana na kuwa na watu wachache. Katika mtaa wa Niujie, wanaishi watu wapatao elfu 50 kutoka makabila 22 madogo madogo.
v Ujumbe wa viselula, njia mpya ya mawasiliano 2004/04/15
Kutokana na hali ya viselula kupatikana nchini kote, Wachina wengi wanapenda kutumiana ujumbe wa viselula, na njia hiyo mpya ya mawasiliano imebadilisha maisha ya watu wa China.
v Mtaa wa kabila la Wahui mjini Xian, China 2004/04/02
Mjini Xian, kuna mtaa wenye historia ndefu sana wa watu wa kabila la Wahui, ambao ni Waislamu. Katika miaka ya karibuni, ili kuhifadhi mabaki ya kale katika mtaa huo wa watu wa kabila la Wahui, na pia kuwaandalia mazingira mazuri ya kuishi na kufanya shughuli za kidini, serikali ya China imefanya megni katika uhifadhi na uboreshwaji wa mataa huo.
v Uhifadhi wa Mabaki ya Kale katika Eneo la Magenge Matatu. 2004/02/05
Mradi wa maji wa magenge matatu unaojengwa hivi sasa katika mto Changjiang, China ni mradi mkubwa kabisa kuliko mingine duniani kwa hivi sasa, bwawa lake limemaliza kulimbikizwa maji kwa hatua ya mwanzo na limeanza kuzalisha umeme. Ujenzi wa mradi huo mkubwa unatarajiwa kukamilika ifikapo mwaka 2009. Kwa hiyo, kazi za kuhifadhi mabaki ya kale katika eneo zima la bwawa zinabidi kukamilika kabla ya mwaka huo.
1 2 3 4 5