Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
  • Uamuzi wa Israeli wa kujenga ukuta wa utenganishaji wa Jerusalem ya mashariki waalumiwa
  •  2005/07/12
    Baraza la mawaziri la Israeli hivi karibuni liliamua kuharakisha ujenzi wa ukuta wa utenganishaji wa Jerusalem ya mashariki, uamuzi huo umelaumiwa na Palestina na jumuuia ya kimataifa.
  • Duru jipya la mazungumzo kuhusu suala la nyukilia la peninsula ya Korea latarajiwa kufanyika
  •  2005/07/11
    Vyombo vya habari vinaona kuwa kwa vyovyote vile duru la 4 la mazungumzo ya pande 6 litafanyika, kwa hivi sasa jambo muhimu ni namna ya kufanya mazungumzo hayo kupata maendeleo halisi.
  • Sudan yafuata njia ya amani
  •  2005/07/11
    Wachambuzi wanaona kuwa kufikiwa mkataba wa amani kati ya sehemu za kaskazini na kusini na kuanzishwa kwa serikali ya umoja wa kitaifa ni mwanzo mzuri wa mchakato wa amani nchini Sudan. Kutokana na juhudi zinazofanywa na pande mbalimbali husika, Sudan inakaribia zaidi na zaidi amani na hali ya utulivu.
  • Luxembourg Yaunga Mkono Katiba ya Umoja wa Ulaya
  •  2005/07/11
    Tarehe 10 Luxembourg ilifanya upigaji kura kuhusu katiba ya Umoja wa Ulaya, na watu wengi wameunga mkono katiba hiyo.Matokeo ya upigaji kura nchini Luxembourg ni kuwa zaidi ya 56% ya watu wanaunga katiba ya Umoja wa Ulaya na 44% wanapinga.
  • Ziara ya kuimarisha ushirikiano na mazungumzo kati ya kusini na kusini
  •  2005/07/08
    Yaliyo muhimu zaidi ni kuwa Bw. Hu Jintao alipendekeza na kushiriki kwenye mkutano na viongozi wa nchi za India, Brazil, Afrika ya kusini na Mexico na kutoa maoni kuhusu kuimarisha ushirikiano wa kusini na kusini na kuleta maendeleo kwa pamoja.
  • Mashambulio makubwa ya kigaidi yaliyotokea duniani katika miaka ya karibuni
  •  2005/07/08
    Tarehe 7 mwezi Julai asubuhi, milipuko kadhaa ilitokea katika vituo vya sabwe na mabasi mjini London, na kusababisha vifo vya watu wengi. Yafuatayo ni mashambulio makubwa yaliyotokea duniani baada ya tukio la tarehe 11 mwezi Machi mwaka 2004 nchini Hispania.
  • Mwanadiplomasia wa ngazi ya juu wa Misri nchini Iraq Bw. Ihabal-Sherif auawa
  •  2005/07/08
    Ikulu ya Misri tarehe 7 ilitoa taarifa ikithibitisha kuwa mwanadiplomasia wa ngazi ya juu wa Misri nchini Iraq Bw. Ihabal-Sherif aliyetekwa nyara ameuawa. Kwenye taarifa hiyo, ikulu ya Misri ilisema kuwa imesikitika na tukio la kuuawa kwa shujaa huyo wa mambo ya kidiplomasia wa Misiri, na kulaani kuwa magaidi waliomteka nyara wanafanya shughuli za kigaidi kwa kisingizio cha "kulinda dini ya Kiislamu".
  • Milipuko kadhaa ilitokea mjini London na kusababisha vifo vya watu wengi na wengine kujeruhiwa
  •  2005/07/08

    Tarehe 7 asubuhi saa za kwenda kazini milipuko kadhaa ilitokea mjini London kwenye subway na mabas. Polisi ya Uingereza imethibitisha kuwa idadi ya watu waliokufa katika milipuko hiyo imeongezeka na kufikia 38 na majeruhi wamezidi mia 7, kati yao watu miongo kadhaa wako katika hospitali na hali zao ni mahututi.

  • Rais Hu Jintao akutana na viongozi wa nchi nne India, Brazil, Afrika ya kusini na Mexico
  •  2005/07/08
    Tarehe 7 asubuhi kwenye hoteli ya Gleneagles Scotland, Uingereza, kwa wakati mmoja Rais Hu Jintao wa China alikutana na waziri mkuu wa India, rais wa Brazil, rais wa Afrika ya kusini na rais wa Mexico waliohudhuria mkutano wa mazungumzo kati ya kundi la nchi 8 na nchi 5 zinazoendelea
  • Uhusiano kati ya Iraq na Iran waboreka hatua kwa hatua
  •  2005/07/07
    na Iran zilifanya mazungumzo ya kijeshi kati ya viongozi wa nchi hizo mbili tarehe 6 huko Teheran, ambayo yalisimamishwa kwa miaka 20 kutokana na vita kati ya nchi hizo mbili. Kwenye mazunguzmo hayo, waziri wa ulinzi wa serikali ya mpito ya Iraq Bw. Saadoun al-Dulaimi na waziri wa ulinzi wa Iran Bw. Ali Shamkhani wote waliahidi kufanya juhudi kulinda amani na usalama wa kanda hiyo.
  • Mji wa London umeshinda na kuwa mwenyeji wa kuandaa michezo ya Olimpiki mwaka 2012
  •  2005/07/07
    Tarehe 19 Juni, saa moja na dakika 45 jioni kwa saa za Singapore, mwenyekiti wa Kamati ya Kimataifa ya Michezo ya Olimpiki Bw. Jacques Rogge alitangaza: "Mwenyeji wa kuandaa michezo ya Olimpiki mwaka 2012 ni London".
  • Je, mazungumzo ya pande 6 yataanza tena mwezi huu au la?
  •  2005/07/07
    Waziri wa mambo ya nje na biashara wa Korea ya kusini Bwana Ban Ki Moon tarehe 6 ameeleza bayana kuwa Korea ya kusini inatumai mazungumzo ya pande 6 kuhusu suala la nyuklia la peninsula ya Korea yataanzishwa tena mwezi huu.
  • Umoja wa Afrika waimarisha mshikamano na kutafuta maendeleo kwa pamoja
  •  2005/07/06
    Mkutano wa wakuu wa siku mbili wa Umoja wa Afrika tarehe 5 ulifungwa huko Sirte, Libya. Mkutano huo umepitisha maazimio ya kueleza msimamo wa pamoja wa Afrika kuhusu maendeleo ya Afrika, kuendelea kutekeleza mpango wa milenia wa Umoja wa Mataifa na mageuzi ya Umoja wa Mataifa.
  • Mtazamo kuhusu Mkutano wa Viongozi Wakuu wa Kundi la Nchi Nane Tajiri
  •  2005/07/06
    Mkutano wa viongozi wakuu wa kundi la nchi nane tajiri (G 8) utafanyika kuanzia tarehe 6 hadi 8 mwezi huu huko Gleneagles Scotland, kaskazini mwa Uingereza.
  • Kazi ya maandalizi ya utekelezaji wa mpango wa upande mmoja wa Israel yaanzishwa
  •  2005/07/06
    Katikati ya mwezi Agosti mwaka huu, Israel itaanza rasmi mpango wa kuondoka kutoka kwenye eneo la Gaza na sehemu za kaskazini za kando ya Mto Jordan. Hivi sasa, kazi mbalimbali za maandalizi za serikali ya Israel na jeshi lake zimeanzishwa, ili kuhakikisha mpango huo unatekelezwa bila matatizo.
  • Nchi za Afrika zaelekea kwenye mwamko
  •  2005/07/05
    Jambo la haraka kwa hivi sasa ni kuwa nchi za Afrika zingekomesha haraka iwezekanavyo mapigano na migogoro ya kikabila na kujenga mfumo kamili wa kuendesha jamii na wenye ufanisi ili kuanzisha mazingira bora ya jamii kwa maendeleo ya uchumi.
  • Serikali na wafanyabiashara wa nchi za kanda ndogo ya mto mkukbwa wa Mekong zaendeleza kwa pamoja uchumi wa kikanda
  •  2005/07/05
    Mazungumzo ya viongozi na wafanyabiashara wa nchi za kanda ndogo ya Mto mkubwa wa Mekong tarehe 4 yalifanyika mjini Kunming. Viongozi wa nchi sita kwenye kanda ndogo ya Mto Mekong
  • Umoja wa Afrika wafanya mkutano wa 5 wa wakuu
  •  2005/07/05
    Mkutano wa 5 wa Umoja wa Afrika ulifunguliwa tarehe 4 huko Sirte, mji wa pwani mwa Libya. Wakuu wa nchi na serikali au wajumbe wao kutoka nchi wanachama 53 wa Umoja wa Afrika, pamoja na katibu mkuu wa Umoja wa Afrika, mwenyekiti wa kamati ya Umoja wa Ulaya
  • Ariel Sharon akabiliwa na tishio la kuuawa kisirisiri
  •  2005/07/05
    Karidi siku ya Israel kuondoka kutoka eneo la Gaza inavyokaribia, ndivyo upinzani kutoka nguvu za kulia za Israel unavyozidi kuwa mkali siku hadi siku. Rais Moshe Katsav wa Israel tarehe 4 alionya kuwa, baadhi ya watu wenye msimamo wa kulia wanaochochewa huenda watamwua waziri mkuu wa Israel Bw. Ariel Sharon.
  • China yahimiza ushirikiano wa kiuchumi wa Asia ya mashariki
  •  2005/07/04
    Takwimu mpya inaonesha kuwa katika miezi mitano ya mwanzo ya mwaka huu, mitaji ya kigeni iliyotumiwa na China ilizidi dola za kimarekani bilioni 22, ambazo karibu 30% zilitoka nchi za Asia ya mashariki.
  • Marekani yasema kuwa rais mteule wa Iran huenda alishiriki kwenye tukio la utekaji nyara
  •  2005/07/01
    Serikali ya Marekani tarehe 30 ilisema kuwa itashughulikia kwa makini kuhusu rais mteule wa Iran Bw. Mahmoud Ahmadinejad kushitakiwa kuwa huenda alishiriki kwenye tukio la kuukalia ubalozi wa Marekani nchini Iran na kuwateka nyara maofisa wa ubalozi huo mwaka 1979.
  • Mafanikio dhahiri yapatikana katika juhudi za Umoja wa Afrika katika suala la amani
  •  2005/07/01
    Chini ya usuluhishi wa Umoja wa Afrika, maendeleo makubwa yamepatikana katika mazungumzo ya amani ya Cote d'ivoire tarehe 29 Juni, ambapo serikali ya nchi hiyo na jeshi la upinzani vimefikia makubaliano kuhusu kuvunja kundi linaloiunga mkono serikali na jeshi la upinzani.     
  • Singapore na Malaysia zasherehekea kwa shangwe miaka 600 tangu Zheng He afunge safari baharini
  •  2005/07/01
    Ili kuadhimisha miaka ya 600 ya safari ya Zheng Hen na kikosi chake cha merikebu, Singapore na Malaysia ambapo Zheng He na kikosi chake waliwahi kuzipitia, hivi karibuni zimefanya shughuli mbalimbali za kuadhimisha.
  • Rais mteule wa Iran akabiliana na changamoto mbalimbali
  •  2005/06/30
    Kamati ya usimamizi wa katiba ya Iran ilitoa taarifa tarehe 29, ikitangaza kuidhinisha matokeo ya upigaji kura wa duru la pili katika uchaguzi mkuu wa nchi hiyo uliofanyika tarehe 24 mwezi huu. Hivyo, meya wa mji wa Teheran Bw. Mahmood Ahmadi Nejad alichaguliwa rasmi kuwa rais wa awamu ya tisa wa Iran.
  • Sera ya "watu wa Iraq kuitawala Iraq" yakabiliwa changamoto kubwa
  •  2005/06/29
    Tarehe 28 ilikuwa siku ya kutimiza mwaka mmoja tangu utawala wa jeshi la muungano la Marekani na Uingereza kukabidhi mamlaka kwa Iraq.
  • Mkutano wa 32 mawaziri wa mambo ya nje wa Jumuiya ya mkutano wa nchi za kiislam wafunguliwa
  •  2005/06/29
    Mkutano wa 32 wa mawaziri wa mambo ya nje wa Jumuiya ya mkutano wa kiislam wa siku 3 ulifunguliwa tarehe 28 huko Sanaa, mji mkuu wa Yemen.
  • Mradi wa kimataifa wa kinu cha majaribio ya nyuklia wajengwa nchini Ufaransa
  •  2005/06/29
    Mpango huo wa kimataifa wa ushirikiano mkubwa wa sayansi na teknolojia wa kinu cha majaribio ulitolewa na kuthibitishwa na shirika la nishati ya atomiki duniani mwaka 1985. Pande zinazoshiriki mradi huo ni pamoja na Umoja wa Ulaya, Japan, Russia, Marekani, Korea ya Kusini na China.
  • Mkutano wa mawaziri wa fedha wa Asia na Ulaya wafuatilia uchumi wa China na suala la ubadilishaji wa fedha za Renminbi
  •  2005/06/28
    Mkutano wa 6 wa mawaziri wa fedha wa Asia na Ulaya umefanyika hivi karibuni huko Tianjian, kaskazini mwa China, ambapo maofisa waandamizi wa fedha kutoka nchi wanachama 39 za Asia na Ulaya pamoja na wajumbe wa mashirika ya fedha ya kimataifa walifanya majadiliano kuhusu masuala mengi, na wamefuatilia sana masuala yanayohusiana na China.
  • Mchakato wa kusalimisha silaha kwa pande mbalimbali za Cote D'ivoire wazuiliwa tena
  •  2005/06/28
    Jeshi la zamani la upinzani la Cote D'ivoire, kundi la " the new forces" na jumuia ya wanamgambo ya kusini mwa Cote D'ivoire ambayo inaoungwa mkono serikali tarehe 27 hazijaanza kusalimisha silaha kutokana na mkataba uliotiwa sahihi muda mfupi uliopita, hivyo mchakato wa kusalimisha silaha kwa pande mbalimbali za Cote D'ivoire umezuiliwa kwa mara nyingine.
  • Bei ya mafuta asilia yaweka rekodi mpya
  •  2005/06/28
    Kutokana na mwelekeo wa bei ya mafuta ghafi ya bidhaa za mkataba kupanda juu wiki iliyopita, tarehe 27 bei ya mafuta ghafi kwenye soko la kimataifa iliendelea kupanda juu.
    1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26 27 28 29 30 31 32 33 34 35 36 37 38 39 40 41 42 43 44