Mazungumzo kuhusu mgogoro wa Darfur yakabiliwa na changamoto mpya 2005/10/11 Hadi tarehe 10 katika muda wa siku tatu tu, mashambulizi na matukio ya utekaji nyara yalitokea mara nyingi, hali hiyo imewatia watu wasiwasi kuhusu mazungumzo ya amani yanayoendelea sasa kuhusu mgogo wa Darfur.
|
Mustakabali wa katiba mpya ya Iraq haufahamiki 2005/10/10 Waziri wa mambo ya nje wa Iraq Bw. Hoshyar Zebari tarehe 9 alionya kuwa, endapo katiba mpya ya Iraq itapingwa katika upigaji kura za maoni ya raia utakaofanyika tarehe 15 mwezi Oktoba, Iraq itaingia katika hali ya vurugu kote nchini.
|
Akufaaye wakati wa dhiki ndio rafiki wa kweli 2005/10/10 Tetemeko kubwa la ardhi lililotokea katika Asia ya kusini limesababisha Pakistan na India hasara kubwa za mali na vifo vya watu wengi nchini India na Pakistan, tetemeko hilo linafuatiliwa sana na jumuyia ya kimataifa.
|
Matetemeko makubwa ya ardhi yatokea katika Asia ya kusini na kusababisha vifo vya watu wengi na wengine kujeruhiwa 2005/10/09 Asubuhi ya tarehe 8 saa mbili na dakika 50 hivi matetemeko makubwa yenye ngazi ya Richter 7.6 yalitokea katika sehemu karibu na Kashmir upande wa Pakistan
|
Jumuiya ya NATO itaongeza askari nchini Afghanistan na kupanua eneo lake la kulinda amani 2005/10/07 Katibu mkuu wa Jumuiya ya NATO Bwana Jaap de Hoop Scheffer na ujumbe unaoundwa na wajumbe wa nchi wanachama 26 za NATO walifanya ziara nchini Afghanistan kuanzia tarehe 4 hadi 6.
|
Bunge la Iraq lafuta vifungu vya marekebisho vya katiba kuhusu upigaji kura wa maoni ya raia wote 2005/10/06 Bunge la mpito la Iraq tarehe 5 lilipiga kura na kufuta vifungu vya marekebisho ya katiba kuhusu upigaji kura wa maoni ya raia wote, na kudumisha ufafanuzi uliopo juu ya "wapiga kura" kwenye upigaji kura wa maoni ya raia.
|
India na Pakistan zaendelea kusukuma mbele mchakato wa mazungumzo 2005/10/05 Chini ya juhudi za pamoja za pande hizo mbili India na Pakistan, mazungumzo kati ya pande hizo mbili yamepata matokeo mengi. Mambo yanayostahiki kutajwa ni kuwa, mkutano wa kamati ya pamoja ya uchumi ya India na Pakistan umeitishwa tena tarehe 4 baada ya kukomeshwa karibu kwa miaka 16.
|
Hali ya usalama ndani ya Palestina yaleta wasiwasi kwa watu 2005/10/04 Kamati ya utungaji wa sheria ya Palestina tarehe 3 iliitisha mkutano maalum huko Gaza na Ramallah kwa wakati mmoja, ikipitisha pendekezo la kutokuwa na imani na serikali inayoongozwa na Bw Ahmed Qureia, na kumtaka mwenyekiti wa mamlaka ya utawala wa Palestina Abbas aunde serikali mpya ndani ya wiki mbili.
|
Tamasha la utamaduni wa China kufanyika Marekani 2005/09/30 Tamasha hilo la utamaduni litakuwa na shughuli nyingi na mtindo mpya ambao unawakilisha kiwango cha juu cha sanaa ya utamaduni ya China kwa hivi sasa, ambalo litaanza na shughuli za "Wiki ya Utamaduni wa Beijing" yakiwemo maonesho kwenye sherehe ya ufunguzi.
|
Mkutano wa mafuta duniani watupia macho suala la nishati 2005/09/30 Katika hali ambayo bei ya mafuta duniani inapanda siku hadi siku, mkutano wa 18 wa mafuta duniani ulifungwa tarehe 29 huko Johannesburg, Afrika ya kusini. Washiriki zaidi ya 4000 kutoka nchi mbalimbali duniani walikuwa wanatathmini hali sasa ya mafuta ilivyo duniani na mustakabali wake, na kujadili maendeleo endelevu ya nishati duniani.
|
Nguvu za ushindani za nchi mbalimbali machoni pa Baraza la Uchumi duniani 2005/09/29 Baraza uchumi duniani limetoa "taarifa kuhusu nguvu ya ushindani duniani" kwa miaka 26 mfululizo, na taarifa ya mwaka huu inahusu nchi na sehemu 117. Upangaji wa nafasi za nguvu za ushindani unatokana na takwimu zilizotangazwa na nchi na sehemu hizo.
|
Ujerumani Waelekea Kuunda Serikali ya Mseto 2005/09/28 Waziri mkuu Gerhard Schoroder wa Ujerumani tarehe 27 katika mji wa Ufaransa, Strassburg, alisema kuwa Ujerumani utaunda serikali ya mseto. Dalili zote zimeonesha kuwa serikali hiyo ya mseto imekuwa ikikaribia Ujerumani.
|
Mkutano mkuu wa mafuta wafanyika katika Afrika Kusini 2005/09/27 Katika wakati huu ambapo bei ya mafuta imekuwa ikipanda bila kushuka, mkutano mkuu wa 18 wa mafuta ulianza kufanyika tarehe 25 huko Johannesburg, mji ambao unasifiwa kama ni "mji wa dhahabu"
|
Shirika la Fedha Duniani landaa mpango wa kufuta na kupunguza madeni ya nchi maskini 2005/09/26 Mkutano wa Kamati ya Fedha katika Shirika la Fedha Duniani uliofanyika katika tarehe 24 huko Washington umepitisha mpango wa kuzifutia nchi maskini kabisa madeni yenye thamani ya dola za Kimarekani bilioni 40
|
Kwa nini wimbi la kupinga vita limeibuka nchini Marekani tena? 2005/09/26 Maelfu ya Wamarekani wanaopinga vita walifanya maandamano huko Washington na miji mingine wikiendi iliyopita, wakiitaka serikali ya Bush iondoe jeshi haraka iwezekanavyo kutoka Iraq.
|
Israel yajitahiri kupanua taathira ya kidiplomasia kwa kutekeleza mpango wa upande mmoja 2005/09/22 kutekelezwa bila vikwazo kwa mpango wa upande mmoja wa Israel kumeboresha hali ya kidiplomasia ya nchi hiyo, hasa uhusiano kati yake na dunia ya kiarabu na kiislam, na Israel itajitahidi kujipatia "nafasi mwafaka" zaidi katika mambo ya Umoja wa Mataifa.
|
Umoja wa Ulaya wataka kuwasilisha suala la nyuklia la Iran kwenye baraza la usalama 2005/09/21 Umoja wa Ulaya tarehe 20 ulisambaza rasimu ya azimio kuhusu Iran kwa wanachama wa bodi ya wakurugenzi ya shirika la nishati ya atomiki duniani, na kutaka ripoti kuhusu suala la nyuklia la Iran iwasilishwe kwenye baraza la usalama na baraza kuu la Umoja wa Mataifa.
|
Bw. Sharon azongwa na kashfa ya kupokea fedha kwa matumizi ya kisiasa 2005/09/21 Vyombo vya habari vya Israel katika siku za karibuni viliripoti kuwa, waziri mkuu wa Israel Bw. Ariel Sharon anatuhumiwa kujikusanyia fedha kwa ajili ya shughuli zake za kisiasa alipokuwa anahudhuria kuhudhuria mkutano wa kilele wa Umoja wa Mataifa.
|
Naibu katibu mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa ataka umuhimu wa Umoja wa Mataifa uimarishwe zaidi 2005/09/21 Mkutano wa wakuu wa nchi wa maadhimisho ya mwaka wa 60 tangu kuanzishwa Umoja wa Mataifa ulifanyika hivi karibuni huko New York, ambapo wakuu wa nchi na viongozi wa serikali kutoka nchi kiasi cha 150 walikuwa na majadiliano kuhusu mageuzi ya Umoja wa Mataifa, maendeleo ya dunia na usalama wa pamoja, tena walipitisha "Waraka wa Matokeo" uliojumlisha mageuzi ya maeneo mengi.
|
Suala la nyuklia la Iran lafuatiliwa 2005/09/20 Mkutano wa baraza la wakurugenzi la shirika la nishati ya atomiki duniani ulifanyika tarehe 19 mjini Vienna. Kwa kuwa muda wa mwezi mmoja na zaidi uliopita, Iran na Umoja wa Ulaya zote hazitaki kulegeza masharti kwenye suala la nyuklia la Iran
|
Baraza kuu la Umoja wa Mataifa lafuatilia suala la umaskini duniani 2005/09/20 Mara tu baada ya kufungwa kwa mkutano wa wakuu wa nchi wa maadhimisho ya mwaka wa 60 tangu kuanzishwa Umoja wa Mataifa, mkutano wa Baraza Kuu la 60 la Umoja wa Mataifa ulianzisha majadiliano
|
Ziara ya rais Hu Jintao yapata mafanikio 2005/09/19 Kati ya tarehe 8 na 17 mwezi Septemba, rais Hu Jintao wa China alifanya ziara ya kiserikali nchini Canada na Mexico, na kuhudhuria mkutano wa wakuu wa nchi wa mwaka wa 60 tangu kuanzishwa kwa Umoja wa Mataifa.
|
Nchi nyingi zapinga kufikisha suala la nyuklia la Iran kwenye baraza la usalama 2005/09/16 Ofisa wa shirika la nishati ya atomiki duniani alidokeza tarehe 15 mjini Vienna kuwa, juhudi zilizofanywa na Marekani na Umoja wa Ulaya kwa kufikisha suala la nyuklia la Iran kwenye baraza la usalama la Umoja wa Mataifa zimepingwa vikali na shirika hilo
|
Hu Jintao atoa hotuba kwenye mkutano wa maadhimisho ya miaka 60 tangu kuanzishwa Umoja wa Mataifa 2005/09/16 Mageuzi ya baraza la usalama yanatakiwa kufikiria kwanza kuongeza uwakilishi wa nchi zinazoendelea hasa nchi za Afrika, ili kuzipatia nafasi nchi nyingi zaidi hasa nchi za wastani na ndogo za kushiriki kwenye maamuzi ya baraza la usalama.
|
Maoni ya Afrika kuhusu suala la mageuzi ya Umoja wa Mataifa 2005/09/15 Umoja wa Afrika unatarajia amani na maendeleo ya Afrika vipatikane katika mageuzi ya Umoja wa Mataifa na kutarajia baraza la usalama lipanuliwe, ili kuimarisha maslahi ya nchi za Afrika.
|
Mswada wa maafikiano wa NATO kuhusu shughuli za kijeshi nchini Afghanistan waonesha tofauti 2005/09/15 Mkutano usio rasmi wa mawaziri wa ulinzi wa jumuiya ya NATO uliofanyika kwa siku mbili ulifungwa tarehe 14 huko Berlin. Baada ya kufanya majadiliano, mawaziri wa ulinzi wa nchi wanachama 26 wa jumuiya ya NATO waliohudhuria mkutano huo walifikia muswada kuhusu kuimarisha ushirikiano wa kijeshi kati ya operesheni ya kulinda amani nchini Afghanistan inayoongozwa na NATO na shughuli za kupambana na ugaidi zinazoongozwa na Marekani.
|
Tukio la mfululizo wa mashambulizi ya kujiua latokea mjini Baghdad 2005/09/15 Tukio la mfululizo wa mashambulizi kumi ya kujiua lilitokea tarehe 14 mjini Baghdad, Iraq na kusababisha vifo vya watu wasiopungua 152 na wengine 542 kujeruhiwa
|
Mkutano wa viongozi wakuu wa mataifa wa kuadhimisha miaka 60 ya Umoja wa Mataifa wafunguliwa 2005/09/15 Mkutano wa viongozi wakuu wa mataifa wa kuadhimisha mwaka wa 60 tokea Umoja wa Mataifa uanzishwe ulifunguliwa tarehe 14. Viongozi wakuu na wajumbe kutoka nchi 170 walihudhuria ufunguzi huo
|
Uwekezaji wa kimataifa barani Afrika hautumiwi vizuri 2005/09/14 Mkutano wa biashara na maendeleo wa Umoja wa Mataifa tarehe 13 mjini Geneva ulitoa taarifa ya uchumi na maendeleo ya Afrika mwaka 2005 ukiainisha kuwa, uwekezaji wa kimataifa umeongezeka kwa kiasi barani Afrika miaka ya karibuni, lakini hautumiwi vizuri.
|
Mkutano utakaoamua mustakbali wa Umoja wa Mataifa 2005/09/13 Mkutano wa wakuu wa kuadhimisha miaka 60 ya Umoja wa Mataifa utafanyika huko New York, makao makuu ya umoja huo kuanzia tarehe 14 hadi 16 mwezi huu.
|