Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
  • Jumuyia ya kimataifa yaona maoni tofauti kuhusu Iran kufanikiwa kupata uranium safi
  •  2006/04/13
    Tokea rais wa Iran Mahmoud Ahmadinejad tarehe 11 kutangaza kwamba Iran imefanikiwa kupata urnium yenye kiwango cha usafi 3.5%, pande mbalimbali zinazoshiriki utatuzi wa suala la nyuklia la Iran zinatoa laana kwa kauli moja, lakini zina maoni tofauti kuhusu namna ya kutatua tatizo hilo. 
  • Kwa nini Iran yatoa tishio la "uranium safi"
  •  2006/04/12
    Baada ya rais Mahumd Ahmadinejad wa Iran tarehe 11 kusema kwamba kwa haraka Iran itajiunga na klabu ya kimataifa ya teknolojia ya nyuklia, mara makamu wake Gholamreza Aghazadeh ambaye pia ni mwenyekiti wa shirika la nishati ya atomiki la Iran ametangaza kuwa Iran imefanikiwa kupata 3.5% ya uranium safi.
  • Miaka ya Utawala wa Sharon imepita kabisa
  •  2006/04/11
    Wizara ya Sheria ya Israel tarehe 11 imeamua kutangaza kwamba "Sharon hatakuwa tena na uwezo wa kuwajibika", kwa hiyo miaka ya utawala wa Sharon imepita kabisa.
  • Kama Iraq imejitumbukiza katika vita vya wenyewe kwa wenyewe
  •  2006/04/10
    Tarehe 9 naibu waziri wa mambo ya ndani wa Iraq Bw. Hussein Ali Kamal alipohojiwa na Shirika la Utangazaji la Uingereza BBC alisema, kwa kweli vita vya wenyewe kwa wenyewe vilitokea nchini humo katika mwaka mmoja uliopita
  • Suala la uhaba wa wahudumu wa afya lazingatiwa katika siku ya afya duniani
  •  2006/04/07
    Tarehe 7 Aprili ni siku ya afya duniani. Katika siku hiyo shirika la afya duniani, WHO, limetoa ripoti kuhusu "hali ya huduma ya afya duniani kwa mwaka 2006", ikisema hivi sasa kuna upungufu wa wahudumu wa afya zaidi ya milioni nne duniani
  • Sera ya China kuhusu nchi za visiwa vya bahari ya Pasifiki
  •  2006/04/05
    Mkutano wa kwanza wa mawaziri wa baraza la ushirikiano wa maendeleo ya uchumi la China na nchi zilizoko kwenye visiwa vya bahari ya Pasifiki ulifunguliwa tarehe 5 huko Nadi, mji mkuu wa Fiji.
  • Chama cha Kadima cha Israel na Chama cha leba cha Israel vyashirikiana kuunda baraza la mawaziri
  •  2006/04/05
    Chama cha Kadima cha Israel na Chama cha Leba cha Israel tarehe 4 vimetangaza kuwa vitashirikiana kuunda baraza la mawaziri, hali hii itakomesha hali ya kuchuana kati ya vyama hivyo viwili kwa ajili ya kugombea madaraka ya kuunda baraza la mawaziri, na kutandika njia ya kumwezesha kaimu waziri mkuu Olmert kuunda serikali ya Israel itakayofuata msimamo wa katikati na kuelekea mrengo wa kushoto kidogo.
  • Taylor kuhukumiwa kwenye mahakama maalum ya Umoja wa Mataifa nchini Sierra Leone
  •  2006/03/31
    Mwendesha mashitaka mkuu wa mahakama maalum ya Umoja wa Mataifa nchini Sierra Leone Bwana Desmond de Silva alisema, rais wa zamani wa Liberia Bwana Charles Taylor huenda atasomewa mashitaka kwa mara ya kwanza kwenye mahakama maalum ya Umoja wa Mataifa nchini Sierra Leone tarehe 31, atakuwa kiongozi wa kwanza wa Afrika kufikishwa kwenye mahakama ya kimataifa kutokana na makosa ya kivita.
  • Ehud Olmert akabidhiwa majukumu makubwa
  •  2006/03/29
    Kaimu waziri mkuu wa Israel, ambaye ni mwenyekiti wa chama cha Kadima Bw. Ehud Olmert tarehe 28 usiku alitangaza, chama cha Kadima kimepata ushindi katika uchaguzi mkuu wa nchi hiyo, kwa kupata viti vingi zaidi katika bunge la taifa, na kupata haki ya kuunda baraza la mawaziri la serikali ya awamu ijayo.
  • Uchaguzi mkuu wenye maana kubwa
  •  2006/03/28
    Tarehe 28 ni siku ya upigaji kura ya uchaguzi mkuu nchini Israeli. Baadhi ya wachambuzi wanaona, katika uchaguzi huo kura za wapiga kura mamilioni kadhaa nchini Israel si kama tu zinaweza kuanzisha kipindi kipya kabisa cha siasa, bali pia zinaweza kuthibitisha mwelekeo wa maendeleo ya nchi hiyo, hata ya sehemu ya mashariki ya kati. 
  • Wataalamu wa suala la Israel na Palestina wazungumzia uchaguzi mkuu wa Israel
  •  2006/03/27
    Uchaguzi wa bunge la awamu ya 17 la Israel utafanyika tarehe 28. Vyombo vya habari nchini Israel vinaona, uchaguzi huo utavunja muundo wa siasa ya jadi nchini Israel, ambapo hali ya mambo kati ya Palestina na Israeli huenda itakuwa na mabadiliko ya kihistoria. 
  • Watu wa Russia wasifu Shughuli za "Mwaka wa taifa" wa Russia na China na uhusiano kati ya nchi hizo mbili
  •  2006/03/24
    Rais Vladimir Putin wa Russia hivi karibuni alifanya ziara nchini China, ziara yake imeanzisha shughuli za "mwaka wa taifa" wa China na Russia
  • Athari mbaya ya maafa ya kimaumbile kwa maendeleo endelevu
  •  2006/03/23
    Sasa imetimia miaka 46 tangu shirika la hali ya hewa duniani liitangaze tarehe 23 mwezi Machi kuwa "siku ya hali ya hewa duniani".
  • "Mapinduzi ya rangi" yamegonga mwamba nchini Belarus
  •  2006/03/21
    Tume ya uchaguzi ya Belarus tarehe 20 ilitangaza kuwa, rais wa sasa wa Belarus Bw Alexander Lukashenko alipata 82.6% ya kura za ndiyo kwenye uchaguzi mkuu uliofanyika tarehe 19, hivyo atakuwa rais wa awamu ya 3 ya nchi hiyo
  • Serikali ya Bush yakabiliwa na ukosoaji mkubwa
  •  2006/03/20
    Wakati miaka mitatu tangu Marekani kuanzisha vita vya Iraq bila kibali cha Umoja wa Mataifa inapokaribia kutimia, watu wanaopinga vita hiyo wa sehemu mbalimbali duniani hivi karibuni walifanya maandamano ya kutoa malalamiko.
  • Baraza la usalama kukabidhiwa suala la nyuklia la Iran ni kama kupewa kiazi cha moto mikononi
  •  2006/03/16
    Tokea tarehe 8 mwezi Machi, siku ambapo shirika la atomiki duniani liliwasilisha suala la Nyuklia la Iran kwenye baraza la usalama la Umoja wa Mataifa, baraza la usalama likakabidhiwa rasmi suala la nyuklia la Iran.
  • China na Russia zitaanzisha shughuli za "mwaka wa taifa" ili kuzidisha ushirikiano kati ya nchi hizo mbili
  •  2006/03/16
    Rais Vladimir Putin wa Russia atafanya ziara ya kiserikali nchini China kuanzia tarehe 21 hadi 22 Machi. Wakati wa ziara hiyo nchini China, marais wa China na Russia watahudhuria sherehe ya kuanzishwa kwa shughuli za "Mwaka wa Russia".
  • Si busara kwa Japan kuubana Umoja wa Mataifa kwa kisingizio cha ada ya uanachama
  •  2006/03/15
    Tokea kushidwa mwaka jana kwa azma ya Japan ya kuwa mjumbe wa kudumu wa baraza la usalama la Umoja wa Mataifa, mwaka huu Japan imeanza tena kuzishawishi nchi nyingine na kuchukua hatua nyingi za wazi na za chinichini kujaribu kutimiza azma yake. 
  • Mkutano wa mwaka wa kamati ya haki za binadamu wafedheheka
  •  2006/03/14
    Mkutano wa 62 wa kamati ya haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa ulifunguliwa tarehe 13 huko Geneva, na ulitangaza kupumzika kwa wiki moja baada ya kufanyika kwa dakika 15. Kutokana na mpango wa awali, mkutano mkuu wa mwaka huu ni mkutano wa kupokezana kati ya baraza la haki za binadamu na kamati ya haki za binadamu. 
  • Kwanini mkutano wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa umeahirishwa kwa wiki moja
  •  2006/03/13
    Mkutano wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa hufanyika kwa wiki 6 huko Geneva katika ya mwezi Mach kila mwaka. Kutokana na utaratibu uliopangwa, mkutano wa 62 wa mwaka huu ungefanyika kati ya tarehe 13 mwezi Mach hadi tarehe 21 mwezi Aprili.
  • Umoja wa Afrika waitisha mkutano kuhusu kulinda amani ya Darfur
  •  2006/03/10
    Baraza la usalama na amani la Umoja wa Afrika tarehe 10 huko Addis Ababa, mji mkuu wa Ethiopia, liliitisha mkutano wa mawaziri kujadili suala la kukabidhi au la jukumu la kulinda amani kwenye sehemu ya Darfur, nchini Sudan la Umoja wa Afrika kwa majeshi mengine ya kimataifa
  • Wajumbe wa Bunge la umma la China watoa maoni na mapendekezo kuhusu utatuzi wa suala la malipo makubwa ya matibabu
  •  2006/03/10
    Katika miaka ya hivi karibuni, wananchi wengi wa China wanalalamika zaidi malipo makubwa ya matibabu, kwenye mkutano wa mwaka wa Bunge la umma la China unaofanyika hivi sasa hapa Beijing
  • Mapambano kati ya Marekani na Iran kuhusu suala la nyuklia yataziathiri pande zote mbili
  •  2006/03/09
    Mkutano wa baraza la shirika la atomiki duniani tarehe 8 ulijadili taarifa iliyotolewa na mratibu mkuu wa shirika hilo kuhusu suala la nyukilia la Iran
  • Rais wa Korea ya Kusini atafuta nishati barani Afrika
  •  2006/03/07
    Rais Roh Moo Hyun wa Korea ya Kusini tarehe 6 aliwasili Cairo na kuanza ziara yake ya kiserikali nchini Misri. Katika ziara yake hiyo pia atatembelea Nigeria na Algeria.
  • Kwanini Marekani inakiuka kanuni na mkataba wa ushirikiano na India
  •  2006/03/03
    Waziri mkuu wa India Bw. Manmohan Singh pamoja na rais George Bush wa Marekani ambaye aliwasili New Delhi kwa ziara, tarehe 2 walitangaza kuwa Marekani na India siku hiyo zilisaini mkataba wa ushirikiano wa teknolojia ya nyukilia ya matumizi isiyo ya kijeshi. 
  • Mapambano dhidi ya mihadarati duniani yakabiliwa na changamoto kubwa
  •  2006/03/02
    Taarifa iliyotolewa na mamlaka ya udhibiti wa mihadarati duniani tarehe 1 mwezi Machi huko Geneva kuhusu mihadarati duniani mwaka 2005 inasema, ingawa jumuiya ya kimataifa imepata maendeleo katika mapambano dhidi ya matumizi ya dawa za kulevya na kuwasaka wahalifu wanaohusika, lakini mapambano dhidi ya mihadarati duniani bado yanakabiliwa na changamoto kubwa.
  • Dunia haiko salama zaidi kutokana na vita dhidi ya ugaidi
  •  2006/03/01
    Uchunguzi uliofanywa hivi karibuni na shirika la utangazaji la Uingereza, BBC katika nchi 35 unaonesha kuwa, watu wengi wanaona baada ya vita vya Iraq, tishio la ugaidi dhidi ya dunia sio kama tu halijatokomezwa, bali pia limekuwa kubwa zaidi kuliko hapo zamani.
  • Matumaini ya utatuzi wa amani wa suala la nyukilia la Iran yaonekana
  •  2006/02/27
    Pande mbili zimeafikiana kuhusu pendekezo lililotolewa na Russia la kujenga kiwanda cha pamoja cha usafishaji wa uranium nchini Russia. Wachambuzi wanasema, hatua zilizofikiwa na pande mbili za Iran na Russia zimeleta tumaini jema kwa utatuzi wa amani wa suala la nyukilia la Iran.
  • Hali ya Iraq imezidi kuwa mbaya
  •  2006/02/24
    Baada ya msikiti wa Ali al-Hadi kubomolewa kwa mabomu, mgongano kati ya madhehebu ya Shiyah na Suni umekuwa mkali, na watu karibu mia moja wamepoteza maisha yao katika mgogoro uliotokea tarehe 23
  • Hamas na Fatah zaitisha mkutano kuhusu uundaji wa serikali
  •  2006/02/23
    Kundi la kiislamu la Palestina, HAMAS na kundi la chama cha ukombozi wa taifa cha Palestina, FATAH tarehe 22 ziliitisha mkutano wa kwanza kuhusu uundaji wa serikali ya umoja, jambo hilo linafuatiliwa na watu wengi duniani.
    1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26 27 28 29 30 31 32 33 34 35 36 37 38 39 40 41 42 43 44