Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
  • Duru jipya la mazungumzo ya pande sita kuhusu suala la nyuklia la peninsula ya Korea lakaribia kuanza
  •  2005/11/04
    Tarehe 3 msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Kong Quan alitangaza kuwa duru la tano la mazungumzo ya pande sita kuhusu suala la nyuklia la Peninsula ya Korea litaanza tarehe 9. 
  • Mapambano ya kisiasa yaongezeka kati ya vyama viwili kwenye baraza la juu la bunge la Marekani
  •  2005/11/03
    Kutokana na madai makali ya wabunge wa chama cha Demokrasia, baraza la juu la bunge la Marekani linalosimamiwa na chama cha Republican lilifanya mkutano wa faragha tarehe mosi kujadili upelelezi wa makosa uliotolewa kabla ya vita vya Iraq na jambo kuhusu kufichuliwa kwa jasusi mmoja wa shirika la upelelezi la Marekani.
  • Mazungumzo ya kilimo ya WTO bado hayawezi kuondoa hali ya kukwama
  •  2005/11/02
    Shirika la biashara duniani WTO lilifanya mkutano tarehe 31 Oktoba huko Geneva, lakini mkutano huo ulimalizika bila matokeo yoyote kutokana na nchi nyingi wanachama kutoridhishwa na pendekezo jipya lililotolewa na Umoja wa Ulaya kuhusu masuala ya kilimo
  • Syria yakataa kupewa shinikizo na kuahidi kutoa ushirikiano katika kuchunguza ukweli wa mambo
  •  2005/11/02
    Syria tarehe 1 iliahidi tena kushirikiana kikamilifu na tume ya uchunguzi ya kimataifa ili kuchunguza ukweli wa mambo kuhusu tukio la kuuawa kwa aliyekuwa waziri mkuu wa Lebanon Bw Rafik al Hariri
  • Kwa nini azimio la baraza la usalama halijaiwekea vikwazo Syria
  •  2005/11/01
    Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa tarehe 31 mwezi Oktoba lilipitisha azimio kuhusu uchunguzi wa tukio la kuuawa kwa waziri mkuu wa zamani wa Lebanon Bw Rafik al-Hariri, ambalo linaitaka Syria kushirikiana kikamilifu na tume ya uchunguzi ya kimataifa.
  • India yafanya uchunguzi kuhusu matukio ya milipuko
  •  2005/10/31
    Milipuko mitatu iliyotokea tarehe 29 huko New Delhi, mji mkuu wa India imesababisha vifo vya watu zaidi ya 59 pamoja na majeruhi 210. Serikali ya India ilitangaza kuwa matukio hayo ni mashambulizi ya kigaidi.
  • Ziara ya rais Hu Jintao nchini Korea ya kaskazini imepata mafanikio mema
  •  2005/10/31
    Katibu mkuu wa kamati kuu ya chama cha kikomunsiti cha China ambaye pia ni rais wa China Hu Jintao alifanya ziara rasmi ya kirafiki nchini Korea ya kaskazini kuanzia tarehe 28 hadi 30 Oktoba<A href="mms://media.chinabroadcast.cn/swahili/shishi/ss1031a.wma"><IMG style="BORDER-LEFT-COLOR: #ffffff; BORDER-BOTTOM-COLOR: #ffffff; BORDER-TOP-COLOR: #ffffff; BORDER-RIGHT-COLOR: #ffffff" src="http://10.6.1.194:9019/mmsource/images/2005/01/14/listen.gif" border=1></A>
  • Ndege za Israeli zashambulia sehemu ya Gaza
  •  2005/10/28
    Israeli inamhitaji Abbas, hivyo inapaswa kuchukua hatua halisi kumsaidia Abbas kuimarisha hadhi yake miongoni mwa watu wa Palestina. Kuchukulia kuyanyang'anya silaha makundi ya kijeshi yenye siasa kali kuwa ni sharti la kwanza la kuhimiza mchakato wa amani, ni hatua ambayo itasababisha vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Palestina.
  • Israel yashambuliwa tena kwa mlipuko wa mabomu ya kujiua
  •  2005/10/27
    Mlipuko wa mabomu ya kujiua ulitokea tarehe 26 huko Hadera, nchini Israel, na kusababisha vifo vya watu watano na watu kumi kadhaa kujeruhiwa.
  • China yafurahishwa na mustakabali wa ushirikiano wa ACO
  •  2005/10/27
    Mawaziri wakuu walioshiriki mkutano wa jumuiya hiyo zinatakiwa kutekeleza ipasavyo mipango kwa msingi wa mapendekezo yaliyotolewa na mkutano wa mawaziri wa uchumi na biashara wa Bishkek uliofanyika mwezi Februari mwaka huu.
  • Umoja wa Mataifa waitisha mkutano wa kupambana na maafa ya tetemeko la ardhi yaliyotokea katika Asia Kusini
  •  2005/10/27
    Umoja wa Mataifa tarehe 26 mjini Geneva uliitisha mkutano wa mawaziri wa kupambana na maafa ya tetemeko la ardhi yaliyotokea Asia Kusini na kujadili masuala kuhusu kuongeza msaada wa fedha na kuzidi kufanya uratibu wa vitendo vya kutoa misaada vya kimataifa
  • Wairaq wapiga hatua katika kuitawala nchini yao
  •  2005/10/26
    Tume huru ya uchaguzi ya Iraq tarehe 25 ilitoa hadharani matokeo rasmi ya upigaji kura wa maoni ya raia kuhusu katiba ya taifa na kutangaza kuwa katiba mpya ya taifa ya Iraq imepitishwa kwenye upigaji kura huo.
  • Homa ya mafua ya ndege, tuwe tayari lakini tusihangaike
  •  2005/10/25
    Siku za karibuni nchi za Ulaya zimeongeza majadiliano na kuimarisha ushirikiano katika mapambano dhidi ya homa ya mafua ya ndege kutokana na kuwa ugonjwa huo umegunduliwa katika sehemu kadhaa za nchi za Ulaya.
  • Ndege yenye watu 117 ya Nigeria yapata ajali
  •  2005/10/24
    Ofisa wa serikali ya Nigeria ametangaza kuwa watu 117 wakiwemo wahudumu waliokuwa kwenye ndege iliyopata ajali jioni tarehe 22 wote wamekufa. Hii ni ndege ya pili kupata ajali kubwa nchini Nigeria katika muda wa miaka mitatu iliyopita.
  • Iran yapiga hatua muhimu kwenye suala la nyuklia
  •  2005/10/21
    Shirika la habari la magharibi lilieleza tarehe 20 kuwa serikali ya Iran iko tayari kuliwasilisha shirika la nishati ya atomiki duniani nyaraka muhimu kuhusu mpango wake wa nyuklia na kukubali shirika hilo limhoji ofisa mwandamizi wa Iran anayeshughulikia mpango huo.
  • Mabadiliko ya uhusiano kati ya Iran na Marekani yanategemea mwelekeo wa suala la nyuklia la Iran
  •  2005/10/20
    Hivi karibuni dalili ya hali wasiwasi imetokea katika uhusiano kati ya Uingereza na Iran. Uingereza inailaani Iran kuhusika na tukio la mashambulizi dhidi ya jeshi la Uingereza lililoko kwenye sehemu ya kusini ya Iraq
  • Uokoaji wa maafa ya tetemeko la ardhi nchini Pakistan wakabiliwa na matatizo makubwa
  •  2005/10/20
    Rais Pervez Musharraf wa Pakistan tarehe 19 baada ya kukagua sehemu ya Barakot iliyoathirika vibaya na tetemeko la ardhi, alisema kuwa hivi sasa kuwapatia waathirika mahali pa kukaa ni kazi muhimu na ya haraka kuliko kati zote za uokoaji.
  • Saddam Hussein na wasaidizi wake kusomewa mashitaka
  •  2005/10/19
    Mahakama maalum ya Iraq tarehe 19 itawasomea mashitaka rais wa zamani wa Iraq na wasaidizi wake saba wakubwa katika "sehemu ya kijani" mjini Baghdad
  • Iraq yaanza hukumu ya karne dhidi ya Saddam Hussein
  •  2005/10/19
    Mahakama maalum ya Iraq tarehe 19itamhukumu rais wa zamani wa Iraq Bwana Saddam Hussein na maafisa 7 waandamizi wa serikali ya zamani ya nchi hiyo pamoja na wanachama wa chama cha Baath. Mahakama hiyo itawahukumu rasmi kwa hatia ya kupinga ubinadamu kwa kushiriki katika tukio la mauaji makubwa ya kijiji cha Dujail.
  • Kitendo cha Bw Koizumi kutoa heshima kwenye hekalu la Yasukuni ni cha kijinga
  •  2005/10/18
    Waziri mkuu wa Japan Junichiro Koizumi tarehe 17 alikwenda tena kutoa heshima kwenye hekalu la Yasukuni, ambapo vimewekwa vibao vya mizimu vya wahalifu wa kivita wa ngazi ya kwanza bila kujali upinzani mkali wa vyombo vya habari vya nchini Japan na vya nchi za nje
  • Nchi zilizoendelea zinapaswa kuwajibika na kazi ya kuzisaidia nchi zinazoendelea kuondokana na umaskini
  •  2005/10/18
    Mkutano wa kuadhimisha miaka 60 tangu kuanzishwa kwa Shirika la chakula na kilimo la Umoja wa Mataifa FAO ulifanyika tarehe 17 huko Rome, Italia.
  • WTO yaanza kushughulika na mgogoro wa biashara ya ndege kati ya Marekani na Umoja wa Ulaya
  •  2005/10/18
    Habari kutoka WTO tarehe 17 zinasema kuwa WTO imeunda vikundi viwili vya wataalamu na kufanya uchunguzi kuhusu kesi iliyotolewa na pande mbili, Marekani na Umoja wa Ulaya, kuhusu ruzuku isiyostahiki ya matengenezo ya ndege na kuutolea hukumu mgogoro wa biashara ya ndege kati ya Marekani na Umoja wa Ulaya
  • Kuimarisha ushirikiano kati ya kusini na kusini ni kitu muhimu cha kutatua suala la njaa
  •  2005/10/17
    Tarehe 16 ni siku ya chakula duniani. Katika siku hiyo, nchi na sehemu 150 duniani zilifanya sherehe mbalimbali kuadhimisha siku hiyo, ili kuhimiza binadamu kupambana na njaa.
  • Kitendo kikaidi cha makosa cha Waziri mkuu wa Japan hakika kitasababisha matokeo mabaya
  •  2005/10/17
    Waziri mkuu wa Japan Junichiro Koizumi tarehe 17 asubuhi kwa mara nyingine tena amekwenda kwenye Hekalu la Yasukuni kutoa heshima kwa mizimu ya wahalifu wa kivita
  • Uchaguzi wa urais wa Liberia huenda utahitaji duru ya pili ya upigaji kura
  •  2005/10/14
    Tarehe 11 mwezi huu, uchaguzi wa kwanza wa rais nchini Liberia ulifanyika tangu vita vya wenyewe kwa wenyewe vilipomalizika mwaka 2003 nchini humo.
  • Mtaalamu wa China atazamia matokeo ya upigaji kura wa maoni ya raia kuhusu katiba mpya ya Iraq
  •  2005/10/13
    Upigaji kura wa maoni ya raia kuhusu katiba mpya utafanyika tarehe 15 mwezi huu, ambapo wapiga kura waliojiandikisha wapatao milioni 15 watashiriki upigaji kura huo.
  • Waziri wa mambo ya ndani wa Syria ajiua
  •  2005/10/13
    Waziri wa mambo ya ndani wa Syria Bw. Ghazi Kanaan tarehe 12 alijiua ofisini kwake. Vyombo vya habari vya serikali ya Syria vimetangaza kuwa katika siku hiyo Bw. Kanaan alijiua ofisini kwake kwa bastola, na havikueleza zaidi. Muda mfupi baadaye serikali ya Syria ilitoa taarifa na kuonesha maombolezo kwa kifo cha Bw. Kanaan, na kusema kwamba imeagiza idara husika kufanya uchunguzi
  • Mchakato wa mwendo wa amani ya Liberia umepiga hatua kubwa
  •  2005/10/12
    Upigaji kura ulifanyika tarehe 11 katika uchaguzi mkuu uliofanyika nchini Liberia. Hii ni mara ya kwanza kwa nchi hiyo kufanya uchaguzi mkuu baada ya kukomeshwa kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyodumu kwa miaka 14 mwezi Agosti mwaka 2003.
  • Kwanini Bibi Rice amefanya ziara ya Asia ya kati?
  •  2005/10/12
    Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Bibi Condoleezza Rice tarehe 11 alifanya ziara ya siku 1 nchini Kyrgyzstan. Na pia atafanya ziara nchini Afghanistan, Kazakhstan na Tajikistan.
  • Wafanyabiashara wa China watafuta nafasi ya biashara Korea ya Kusini
  •  2005/10/11
    Mkutano wa nane wa wafanyabiashara wa China na wenye asili ya China duniani ulifunguliwa tarehe 10 huko Seoul, mji mkuu wa Korea ya Kusini.
    1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26 27 28 29 30 31 32 33 34 35 36 37 38 39 40 41 42 43 44