Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
  • China yaunga mkono kithabiti mazungumzo ya Doha ya Shirika la biashara duniani
  •  2005/12/06
    China inaunga mkono kithabiti na kufanya juhudi za kusukuma mbele mazungumzo ya Doha ya shirika la biashara duniani WTO, na kutarajia mkutano wa 6 wa mawaziri wa WTO utakaofanyika hivi karibuni huko Hong Kong utapata maendeleo halisi, aidha China inapendekeza kukamilisha mazungumzo ya biashara ya pande nyingi mwaka 2006.
  • Ufaransa na Afrika zafanya ushirikiano ili kukabiliana na changamoto
  •  2005/12/05
    Mkutano wa 23 wa siku mbili wa wakuu wa Ufaransa na nchi za Afrika tarehe 4 ulifungwa huko Bamako, mji mkuu wa Mali. Rais Chirac wa Ufaransa na wakuu wa nchi au serikali za nchi 53 za Afrika walihudhuria mkutano na kufikia maoni mengi ya pamoja.
  • Uchunguzi kuhusu tukio la kuuawa kwa Hariri kuanza upya
  •  2005/12/05
    Maofisa watano wa Syria wanaotuhumiwa kuhusika na tukio la kuuawa kwa waziri wa zamani wa Lebanon tarehe 4 walisafiri kwenda Vienna kwenye ofisi ya Umoja wa Umoja wa Mataifa ili kuhojiwa.
  • Mabadiliko yatokea katika uchunguzi wa tukio la kuuawa kwa Hariri
  •  2005/12/02
    Vyombo vya habari vya Lebanon tarehe mosi Disemba vilitangaza kuwa maofisa watano wa upelelezi Syria wanaotuhumiwa kushiriki kwenye tukio la kuuawa kwa Rafik al-Hariri, waziri mkuu wa zamani wa Lebanon, tarehe 5 watahojiwa huko Vienna, mji mkuu wa Austria. 
  • Dunia yakabiliwa na tatizo kubwa la Ukimwi
  •  2005/11/30
    Tarehe 1 mwezi Desemba mwaka huu ni siku ya kutimiza miaka 18 tangu iwekwe "siku ya Ukimwi duniani". Taarifa iliyotolewa hivi karibuni na Shirika la Afya duniani WHO inasema kuwa, ingawa maambukizi ya Ukimwi yamepungua katika nchi za Caribbean na nchi chache za Afrika, lakini maambukizi ya Ukimwi duniani bado ni makubwa.
  • Mkutano wa Montreal kuhusu mabadiliko ya hali ya hewa
  •  2005/11/28
    Mkutano wa 11 wa nchi wanachama zilizosaini "Mkataba wa mabadiliko ya hali ya hewa wa Umoja wa Mataifa" utafanyika kuanzia tarehe 28 mwezi Novemba hadi tarehe 9 mwezi Desemba huko Montreal, Canada.
  • Mwelekeo wa Japan wa kurekebisha katiba wafuatiliwa
  •  2005/11/25
    Chama tawala cha uhuru na demokrasia cha Japan hivi karibuni kimetangaza mswada wa marekebisho ya katiba utakaowasilishwa kwenye bunge la nchi hiyo, mambo makuu ya mswada huo ni kuacha kifungu kilichoko kwenye katiba inayofuatwa sasa kuhusu Japan haipaswi kumiliki jeshi.
  • Li Changchun akutana na rais Benjamin Mkapa wa Tanzania
  •  2005/11/24
    Mjumbe wa ofisi ya siasa ya kamati kuu ya chama cha kikomunisti cha China Bwana Li Changchun tarehe 23 asubuhi kwa saa za huko Dar es Salaam alikutana na rais wa Tanzania ambaye pia ni mwenyekiti wa chama cha mapinduzi cha Tanzania Benjamin William Mkapa, ambapo Bwana Li Changchun alisema kuwa Bara la Afrika lina utamaduni mwingi unaong'ara na ustaarabu wa kale, hadhi na athari ya Bara la Afrika inaongezeka siku hadi siku katika hali mpya duniani. 
  • Katiba mpya ya Kenya yakataliwa katika upigaji kura wa maoni ya raia wote nchini humo
  •  2005/11/23
    Tume ya uchaguzi ya Kenya tarehe 22 ilitangaza kuwa, katiba mpya ya Kenya imekataliwa katika upigaji kura wa maoni ya raia wote uliofanyika tarehe 21. Wachambuzi wamedhihirisha kuwa, matokeo hayo yataleta utatanishi wa kiasi fulani kwa serikali ya Kenya inayoongozwa na rais Mwai Kibaki, lakini hayawezi kutikisa kimsingi hadhi yake ya utawala. 
  • Israel yakabiliwa na mabadiliko makubwa ya kisiasa
  •  2005/11/22
    Waziri mkuu wa Israel Sharon tarehe 21 alitangaza kujiondoa rasmi kutoka kwenye chama cha Likurd na kuanzisha chama kipya cha wajibu wa taifa. Siku hiyo bunge la Israel lilipitisha mswada wa sheria na kukubali bunge hilo livunjwe, na ufanyike uchaguzi mkuu tarehe 28 Machi mwakani kabla ya mpango uliowekwa.  
  • Upigaji kura wa maoni ya raia wafanyika mara ya kwanza nchini Kenya
  •  2005/11/21
    Kenya imeamua kufanya upigaji kura wa maoni ya raia kuhusu mswada wa katiba mpya tarehe 21 mwezi huu. Hii ni mara ya kwanza kwa Kenya kufanya upigaji kura huo tangu nchi hiyo ipate uhuru, na upigaji kura huo pia ni sehemu muhimu ya mchakato wa marekebisho ya katiba ya nchi hiyo, matokeo yake yatakuwa na athari kubwa kwa mfumo wa kisiasa ya nchi hiyo ya siku zijazo, hivyo upigaji kura huo unafuatiliwa na watu wa pande mbalimbali.
  • Kuwa na mtizamo wa kufungua mlango na kutimiza ushirikiano wa kunufaishana
  •  2005/11/18
    Rais Hu Jintao wa China tarehe 17 huko Pusan alitoa hotuba kwenye mkutano wa wakuu wa viongozi wa viwanda na biashara wa jumuiya ya ushirikiano wa kiuchumi ya Asia APEC, ambapo alibadilishana maoni na wanakampuni na wafanyabiashara wapatao mia kadhaa kuhusu suala la ustawi wa pamoja wa dunia.  
  • Mazungumzo ya Doha yapaswa kutimiza lengo la maendeleo
  •  2005/11/18
    Kutokana na kuwa nchi za Umoja wa Ulaya na baadhi ya nchi zilizoendelea kukataa kurudi nyuma katika suala la kilimo, mkutano wa sita wa mawaziri wa WTO utakaofanyika huko Hong Kong mwezi Desemba umegubikwa na wingu jeusi, mazungumzo ya Doha yaliyoanza mwaka 2001 yanakabiliwa na hali ya hatari. 
  • Rais Hu Jintao alihutubia bunge la Korea ya kusini
  •  2005/11/17
    Rais Hu Jintao wa China tarehe 17 ametoa hotuba kwenye bunge la taifa la Korea ya kusini, akifahamisha msimamo wa China kuhusu uhusiano kati ya China na Korea ya kusini, hali ya Asia, na suala la nyuklia la peninsula ya Korea.  
  • Ziara ya Hu Jintao katika nchi za Uingereza, Ujerumani na Hispania yapata mafanikio
  •  2005/11/16
    Rais Hu Jintao wa China alifanya ziara ya kiserikali katika nchi za Uingereza, Ujerumani na Hispania kuanzia tarehe 8 hadi 15 mwezi Novemba, kutokana na mwaliko. Hiki ni kitendo kikubwa cha kidiplomasia cha kiongozi wa China katika sehemu ya Ulaya. 
  • Mkutano wa jumuiya ya upashanaji habari wa Tunisia wafuatilia suala la usimamiaji wa internet
  •  2005/11/16
    Mkutano wa jumuiya ya upashanaji habari wa Tunisia duniani unatazamiwa kufanyika kuanzia tarehe 16 hadi tarehe 18 nchini Tunisia. Mkutano huo utakaoendeshwa na jumuiya ya upashanaji habari ya kimataifa utakuwa mkutano wa kipindi cha pili baada ya kufanyika kwa mkutano huo mwezi Desemba mwaka 2003 mjini Geneva
  • Nini kitazungumzwa zaidi kwenye mkutano wa viongozi wa APEC ?
  •  2005/11/15
    Mkutano wa 17 wa mawaziri wa APEC unafanyika kuanzia tarehe 15 hadi 16 mjini Busan nchini Korea ya Kusini, huu ni mkutano wa maandalizi ya mkutano usio rasmi wa viogozi wa APEC utakaofanyika kuanzia tarehe 18 hadi 19 katika mji huo 
  • Kuendeleza kwa kina ushirikiano wa nishati kumekuwa maoni ya pamoja ya pande mbalimbali za sehemu za Ulaya na Asia
  •  2005/11/14
    Hivi sasa Bara la Asia limekuwa sehemu ya matumizi makubwa ya mafuta duniani, wastani wa ongezeko la matumizi ya mafuta ya kila siku umezidi ule wa dunia nzima. Namna ya kuhakikisha nishati zinatolewa kwa miaka mfululizo katika hali yenye utulivu na usalama inafuatiliwa na nchi mbalimbali za sehemu hiyo.
  • Mkutano wa 13 wa Umoja wa Asia ya Kusini umepata mafanikio
  •  2005/11/14
    Mkutano wa 13 wa viongozi wa serikali wa Umoja wa Asia ya Kusini, ambao ulifanyika kwa siku 2, ulifungwa tarehe 13 huko Dhaka, mji mkuu wa Bangladeshi. Mkutano huo umepata mafanikio makubwa.
  • Uhusiano kati ya Jordan na Iraq waathiriwa na milipuko iliyotokea mjini Amman
  •  2005/11/14
    Serikali ya Jordan tarehe 13 ilithibitisha kuwa milipuko iliyotokea tarehe 9 usiku mjini Amman ilifanywa na wanachama wanne wa Jihad wa kundi la Al-Qaeda wenye pasipoti za Iraq 
  • Angola yaelekea amani na maendeleo
  •  2005/11/11
    Tarehe 11 Novemba miaka 30 iiyopita Angola ilijipatia uhuru kutoka utawala wa kikoloni wa Ureno, lakini mara ikazama katika vita wenyewe kwa wenyewe vilivyodumu kwa miaka 27, hali hiyo iliwakatisha tamaa watu wa Angola waliokuwa na matumaini mema kuhusu mustakbali wa taifa lao
  • Mustakabali mzuri wa ushirikiano wa kiuchumi na kibiashara kati ya China na Ujerumani
  •  2005/11/11
    China na Ulaya zikiwa ni nchi kubwa kabisa inayoendelea na kundi kubwa kabisa la nchi za viwanda, zikiimarisha ushirikiano wa kiuchumi na kibiashara kwa msingi wa usawa na kunufaishana, zitahimiza maendeleo ya utandawazi wa uchumi na kuwepo kwa ncha nyingi duniani.
  • Mpango wa vitendo wa kuzuia homa ya mafua ya ndege wapitishwa duniani
  •  2005/11/10
    Baada ya kufanya majadiliano kwa siku 3, wawakilishi kutoka nchi zaidi ya 80 walioshiriki kwenye mkutano wa kimataifa kuhusu suala la homa ya mafua ya ndege huko Geneva, tarehe 9 walipitisha mpango wa utekelezaji wa dunia wa kukabiliana na homa ya mafua ya ndege.
  • Milipuko yautikisa mji wa Amman
  •  2005/11/10
    Milipuko mitatu ya kujiua ilitokea kwenye hoteli tatu huko Amman, mji mkuu wa Jordan, tarehe saa mbili na dakika 50 usiku saa za huko
  • China na Marekani zafikia makubaliano kuhusu mgogoro wa bidhaa za nguo
  •  2005/11/09
    China na Marekani tarehe 8 huko mjini London zilisaini "Kumbukumbu ya maelewano kuhusu biashara ya nguo". Katika kumbukumbu hiyo pande hizo mbili zimefikia makubaliano kuwa katika miaka 3 ijayo, ongezeko kwa aina 21 za bidhaa za nguo za China zinazosafirishwa kwenda Marekani lidhibitiwe kati ya 10% na 17% kwa mwaka. 
  • Bei ya mafuta duniani kuendelea kushuka ?
  •  2005/11/09
    Hadi tarehe 8 bei ya mafuta katika soko la Marekani imeshuka hadi chini ya dola za Kimarekani 60 kwa pipa, bei hiyo imepungua kwa asilimia 16 ikilinganishwa na bei ya mwishoni mwa mwezi Agosti.
  • Duru jipya la mazungumzo ya pande 6 lastahili kuwa na matarajio
  •  2005/11/08
    Duru jipya la mazungumzo ya pande 6 kuhusu suala la nyuklia la peninsula ya Korea litafanyika tarehe 9 hapa Beijing. Je, pande mbalimbali zimefanya juhudi gani ili kusukuma mbele maendeleo ya mazungumzo hayo? Je duru jipya la mazungumzo hayo litapata maendeleo makubwa au la?
  • Mkutano wa kinga na tiba ya homa ya mafua ya ndege duniani kote wafanyika
  •  2005/11/07
    Mkutano wa kinga na tiba ya homa ya mafua ya ndege duniani ulioitishwa na Shirika la afya duniani, Shirika la chakula na kilimo la Umoja wa Mataifa, Shirika la afya za wanyama duniani na Benki ya dunia unafanyika huko Geneva kuanzia tarehe 7 hadi tarehe 9 mwezi huu. 
  • Majeshi ya muungano ya Marekani na Iraq yashambulia vikosi vya "al-Qaeda"
  •  2005/11/07
    Tarehe 6 ni siku ya pili tokea jeshi la Marekani nchini Iraq na vikosi vya usalama vya Iraq vianze operesheni ya "Pazia la Chuma cha Pua" kwenye sehemu ya mpakani kati ya Iraq na Syria. Askari wa Marekani na Iraq walipambana vikali na vikosi vyenye silaha vya Iraq, na raia wengi walikimbia makazi yao.
  • China yaweka mkazo katika kinga na udhibiti wa homa ya mafua ya ndege
  •  2005/11/04
    Wizara ya kilimo ya China tarehe 4 imetoa habari ikisema kuwa, homa ya mafua ya ndege imeibuka katika wilaya ya Heishan mkoani Liaoning, kaskazini mashariki ya China. Hivi sasa idara husika za China na serikali ya sehemu hiyo zinachukua hatua za kukabiliana na tukio la dharura. 
    1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26 27 28 29 30 31 32 33 34 35 36 37 38 39 40 41 42 43 44