Asia na Ulaya zapaswa kuendeleza zaidi uhusiano kati yao 2005/06/27 Mkutano wa sita wa mawaziri wa fedha wa Asia na Ulaya ulifanyika tarehe 26 mjini Tianjin, China. Mkutano huo ulilenga kuzidisha ushirikiano wa mambo ya fedha kati ya Asia na Ulaya na kuhimiza uhusiano wa uchumi na biashara uwe mzuri zaidi.
|
Israel yapitisha mpango wa kuwapangia maisha wakazi wayahudi watakaohamishwa kutoka Gaza 2005/06/27
|
Mazungumzo kati ya Korea ya Kaskazini na Korea ya Kusini yapata maendeleo makubwa 2005/06/24 Mkutano wa 15 wa mawaziri wa Korea ya Kaskazini na Korea ya Kusini ulimalizika tarehe 23 mjini Soeul. Baada ya kuanzisha tena mazungumzo yaliyosimamishwa kwa miezi kumi, mkutano huo ulipata maendeleo makubwa, na umesukuma mbele mchakato wa maafikiano na ushirikiano kati ya nchi hizo mbili.
|
Ukweli wa jeshi la Marekani kuwadhalilisha wafungwa hauwezi kufichwa 2005/06/24
|
Bei ya mafuta katika soko la kimataifa yaendelea kupanda 2005/06/23 Kuanzia mwezi Juni, bei ya mafuta imeendelea kupanda katika soko la kimataifa na kuweka rekodi ya juu kabisa katika historia.
|
Mkutano wa kimataifa kuhusu suala la Iraq waunga mkono mchakato wa ukarabati wa Iraq 2005/06/23 Mkutano wa kimataifa kuhusu suala la Iraq tarehe 22 ulifanyika katika makao makuu ya Umoja wa Ulaya yaliyoko Brussels, mawaziri wa mambo ya nje wa nchi zaidi ya 80 akiwemo Bw. Li Zhaoxing wa China na wajumbe kutoka Umoja wa Mataifa, Umoja wa Ulaya, Muungano wa Nchi za Kiarabu, NATO na benki ya dunia walihudhuria mkutano huo wa siku moja.
|
Watu wengi zaidi wa Japan wapinga waziri mkuu Koizumi kwenda hekalu kutoa heshima kwa mizimu ya wahalifu wa kivita 2005/06/23 Hivi karibuni nchini Japan, raia wa kawaida na maofisa wa serikali wengi zaidi wanapinga waziri mkuu Junichiro Koizumi kwenda tena kwenye hekalu kutoa heshima kwa wahalifu wa kivita.
|
Mazungumzo kati ya Asia na Mashariki ya kati yana umuhimu mkubwa 2005/06/23 Mazungumzo ya kwanza kati ya Asia na Mashariki ya kati yalifanyika kuanzia tarehe 21 hadi 22 huko Singapore, ambapo wajumbe zaidi ya 200 kutoka nchi na sehemu 40 ikiwemo China walikusanyika kujadili masuala mawili makubwa ya maendeleo na ushirikiano kati ya sehemu hizo mbili zenye nguvu kubwa
|
Mkutano wa viongozi wa Palestina na Israel haukufanikiwa sana 2005/06/22 Tarehe 21 mwenyekiti wa mamlaka ya utawala wa Palestina Bw. Mahmood Abbas na waziri mkuu wa Israel Bw. Sharon walikutana kwa mara ya pili tokea mwezi Februali kwa lengo la kujadiliana utekelezaji wa mpango wa upande mmoja, lakini mkutano huo haukufanikiwa sana.
|
Betri ndogo zafungua soko kubwa la Afrika 2005/06/22 Betri za chapa ya "kifaru" zilizotengenezwa mjini Anyang mkoani Henan, China zimeingia kwenye soko la Kenya na kuhusiana na maisha ya kila siku ya wakenya.
|
Watu wa Guinea Bissau wanatumai uchaguzi mkuu utawaletea maisha ya utulivu 2005/06/21 Uchaguzi mkuu wa Guinea Bissau ulifanyika tarehe 19 kama ilivyopangwa. Watu wa Guinea Bissau wanatumai kuwa uchaguzi huo utawaletea maisha ya utulivu.
|
Ziara ya kuboresha sura yake ya Bw Wolfwitz barani Afrika 2005/06/21 Mkurugenzi mpya wa Benki ya dunia Bwana Paul Wolfwitz hivi karibuni amemaliza ziara yake ya kwanza barani Afrika tangu ashike madaraka yake. Ziara yake hiyo barani Afrika pia ni ziara ya kuboresha sura yake.
|
Sudan yapiga hatua kubwa katika mchakato wa kutimiza maafikiano ya kitaifa 2005/06/21 Tarehe 18 mwezi Juni makamu wa kwanza wa rais wa Sudan Bw. Millgani na mwenyekiti wa muungano wa kidemokrasia wa taifa Bw. Ali Osman Taha walisaini makubaliano ya Cairo ya maafikiano ya kitaifa na amani ya pande zote.
|
Kivuli cha tofauti ya maoni ndani ya Umoja wa Ulaya chafunika mkutano wa wakuu wa nchi nane 2005/06/20 Uingereza inatarajia kuboresha haraka uhusiano kati yake na Ufaransa na Ujerumani, kwani itahusiana na mafanikio ya mkutano huo na hali inayopata Uingereza ikiwa ni nchi mwenyekiti wa kundi hilo katika nusu ya pili ya mwaka huu.
|
Ziara ya mkuu mpya wa benki ya dunia barani Afrika 2005/06/20 Mkuu mpya wa benki ya dunia Bw. Paul Wolfwitz tarehe 18 alimaliza ziara yake ya nchi nne barani Afrika nchini Afrika Kusini.
|
Chaguo lenye busara la viongozi wa Umoja wa Ulaya 2005/06/17 Tarehe 16 usiku, waziri mkuu wa Luxemburg, nchi mwenyekiti wa Umoja wa Ulaya Bwana Jean Claude Juncker alitangaza kwenye mkutano na waandishi wa habari kuwa, viongozi wa nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya siku hiyo kwenye mkutano wa wakuu walikubali kuahirisha kikomo cha siku ya kuidhinisha "Mkataba wa katiba ya Umoja wa Ulaya" kwa nchi wanachama mbalimbali.
|
Umoja wa Mataifa watoa taarifa ikisema kuwa eneo la jangwa duniani kote linapanuka 2005/06/17 Umoja wa Mataifa tarehe 16 ulitoa taarifa ikisema kuwa, hali ya hewa inayobadilika kuwa joto imesababisha asilimia 41 ya ardhi ya ukame kote duniani inavia siku hadi siku, na eneo la jangwa kote duniani linapanuka siku hadi siku, na idadi kubwa ya watu watakabiliwa na matatizo ya maisha.
|
Iraq yapiga hatua muhimu katika mchakato wa utungaji wa katiba 2005/06/17 Kiongozi wa pili wa Chama cha Dawa cha Kiislamu cha Iraq kinachoongozwa na waziri mkuu wa serikali ya mpito Bw. Ibrahim al-Jaafari, ambaye pia ni mjumbe wa Tume ya utungaji wa katiba ya Iraq Bw. Jawad al-Maliky tarehe 16 alitangaza kuwa, tume ya utungaji wa katiba imeamua kukubali kuongeza wajumbe 25 wa madhehebu ya Suni katika tume hiyo.
|
Mkutano muhimu wa kuongeza ushirikiano na maendeleo kati ya kusini na kusini 2005/06/17 Mkutano wa pili wa wakuu wa kusini wa "kundi la nchi 77 pamoja na China" ulifungwa tarehe 16 huko Doha, mji mkuu wa Qatar, mkutano huo umepitisha "Taarifa ya Doha" na "Mpango wa utekelezaji wa Doha", na watu waliohudhuria mkutano huo wametoa mwito kwa kauli moja kuzitaka nchi zinazoendelea ziimarishe ushirikiano na kutafuta maendeleo kwa pamoja.
|
OPEC kuongeza uzalishaji wa mafuta kutaweza kupunguza bei ya mafuta? 2005/06/16 Mkutano maalum wa 136 wa mawaziri wa OPEC ulifanyika tarehe 15 huko Geneva, Uswisi, mkutano huo uliamua kuongeza kikomo cha uzalishaji wa mafuta kwa siku kufikia mapipa milioni 28 kutoka mapipa milioni 27.5 ya hivi sasa kuanzia tarehe 1 mwezi Julai mwaka huu, ili kupunguza bei kubwa ya mafuta kwenye soko la kimataifa.
|
"Kundi la Nchi 77 pamoja na China" lafanya mkutano 2005/06/16 Mkutano wa pili wa viongozi wakuu wa "Kundi la Nchi 77 pamoja na China" ulifunguliwa tarehe 15 mjini Doha, mji mkuu wa Qatar. Wajumbe kutoka nchi wanachama 131 wa kundi hilo pamoja na China walihudhuria mkutano huo. Ujumbe wa China unaongozwa na naibu waziri mkuu Zeng Peiyan.
|
EU yatakiwa kuwa na busara na ushujaa katika kuondoa vikwazo vya kuiuzia silaha China 2005/06/16 Mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje wa Umoja wa Ulaya uliofanyika hivi karibuni uliamua kuahirisha mpango uliowekwa wa kuondoa vikwazo vya kuiuzia silaha China mwishoni mwa mwaka huu.
|
Kusikilizwa kwa kesi ya Sadaam Hussein kwakabiliwa na shida nyingi 2005/06/16 Mahakama maalum ya Iraq tarehe 15 ilitoa hadharani kaseti ya video kuhusu kusikiliza mashtaka ya kesi za ndugu ya Saddam Hussein na maofisa wawili waandamizi wa utawala wa Saddam.
|
Mkutano wa viongozi wa nchi za Umoja wa Ulaya wakabiliwa na matatizo mawili magumu 2005/06/15
Viongozi wa nchi 25 wanachama wa Umoja wa Ulaya watafanya mkutano kati ya tarehe 16 hadi 17 mjini Brussels. Mkutano huo utakumbwa na matatizo magumu mawili: Moja ni katiba na nyingine ni bajeti.
|
Jacob Zuma aondolewa madarakani kutokana na kuhusika na ufisadi 2005/06/15 Rais Thabo Mbeki wa Afrika ya Kusini tarehe 14 alitangaza kumwondoa madarakani makamu wa rais Jacob Zuma kutokana na kujihusisha na ufisadi, na kumaliza makisio ya wiki kadhaa kuhusu mustakabali wa kisiasa wa Bw Zuma, na kupunguza mgogoro wa kisiasa wa nchi hiyo.
|
Nchi za Afrika zazitaka nchi za Magharibi ziondoe vizuizi vya biashara 2005/06/14 Tarehe 11 mkutano wa mawaziri wa fedha wa kundi la nchi 8 uliamua kuondoa madeni yenye thamani ya Dola za kimarekani bilioni 40 kwa nchi 18 masikini
|
Mkutano wa OPEC utashindwa kupunguza bei ya mafuta 2005/06/14 Shirika la mafuta la kimataifa OPEC tarehe 15 litafanya mkutano wa 136 wa mawaziri wa nchi wanachama huko Vienna ili kujadili namna ya kupunguza bei ya mafuta duniani.
|
Kufuatilia mustakabali wa Euro 2005/06/14 Tangu kuanza kutumika kwa fedha za Euro, tofauti ya kiwango cha ongezeko la uchumi kwenye nchi zinazotumia Euro na nchi ya Marekani imekuwa kubwa mwaka hadi mwaka.
|
Tatizo la umaskini duniani haliwezi kutatuliwa kwa njia ya kusamehe madeni peke yake 2005/06/13 Nchi zilizoendelea kuondoa ruzuku ya kilimo na kufungua masoko yao kwa nchi maskini imechukuliwa kuwa ni kuhuisha uwezo wa kujiendeleza wa nchi maskini, lakini si jambo rahisi kutokana na kila nchi ya nchi hizo infikiria maslahi yake yenyewe.
|
Kwa mara ya kwanza Jumuiya ya NATO yashiriki kwenye kazi ya kulinda amani ya Umoja wa Afrika 2005/06/10 Mkutano wa siku mbili wa mawaziri wa ulinzi wa jumuiya ya NATO ulifunguliwa tarehe 9 huko Brussels.
|