Sababu ya kudumisha ongezeko la uchumi kwa miaka mfululizo barani Afrika 2006/10/23 Wachambuzi wanaona kuwa, hali hii inatokana na mazingira ya uchumi wa dunia nzima yanayoendelea vizuri, amani na hali ya mambo ya kanda ya Afrika inayotulia, bei za nishati na bidhaa zilizotengenezwa kwa hatua ya mwanzo zinazopanda juu kwenye soko la kimataifa na marekebisho mwafaka wa sera ya uchumi wa nchi za Afrika.
|
Afirka kuelekea amani na maendeleo 2006/10/23 Vyombo vya habari vya nchi za magharibi vinapotoa ripoti kuhusu Afrika huwa vinazungumzia umaskini, vurugu na hali duni ya kimaendeleo. Lakini je, hayo ni kweli?
|
China na Afrika kushikamana kuimarisha usalama wa chakula 2006/10/18 Maofisa 18 wa kilimo kutoka nchi za Afrika wanaoshiriki kwenye semika ya teknolojia ya kilimo inayofanyika sasa mjini Beijing wanasema China imefanikiwa kutatua matatizo na masuala mengi ya kilimo yaliyoikabili Afrika, wakitumai China itatume wataalamu wengi zaidi kueneza maarifa barani Afrika.
|
"China na Misri ni marafiki, wenzi na ndugu" 2006/10/17 Huu ni mwaka wa 50 tangu uhusiano wa kibalozi kati ya China na Afrika uanzishwe. Ili kuimarisha urafiki wa jadi, China na Afrika zitafanya mkutano wa viongozi wakuu wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika mjini Beijing kuanzia tarehe 3 hadi 5 mwezi Novemba
|
"Wimbi la China" laikumba Misri 2006/10/16 Tangu waziri mkuu wa China Bw. Wen Jiabao afanye ziara nchini Misri mwezi Juni mwaka huu, hususan katika siku ambapo mkutano wa viongozi wa nchi wa baraza la ushirikiano kati ya China na Afrika unakaribia kufanyika, mwandishi wetu wa habari licha ya kuhisi hali ya hewa ya joto, pia anahisi hali ya shamrashamra kuhusu China.
|
Mkutano wa mabaraza ya serikali za Ufaransa na Ujerumani waendelea kufuata njia ya mashauriano na ushirikiano 2006/10/13 Mkutano huo ulijadili masuala ya ushirikiano na usawazishaji wa sera wa pande mbili kwenye maeneo ya safari za ndege na za vyombo vya anga ya juu, nishati, ujenzi wa Ulaya na masuala yanayofuatiliwa zaidi duniani.
|
Baraza la Usalama laendelea kujadili hatua gani zitakazochukuliwa dhidi ya Korea ya Kaskazini 2006/10/11 Nchu tano wajumbe wa kudumu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa pamoja na mjumbe wa Japan tarehe 10 waliendelea kufanya mkutano wa faragha kujadili hatua zitakazochukuliwa dhidi ya Korea ya Kaskazini. Mjadala huo unahusu mswada wa azimio uliotolewa na Marekani.
|
Mtaalamu wa China afafanua taarifa ya wizara ya mambo ya nje kuhusu jaribio la nyuklia la Korea ya Kaskazini 2006/10/10 Baada ya shirika la habari la Korea ya Kaskazini kutangaza kufanikiwa kwa jaribio la nyukilia la chini ya ardhi la nchi hiyo tarehe 9 mwezi huu, jumuiya ya kimataifa ilitoa maoni ya kuipinga Korea ya Kaskazini kufanya jaribio la nyuklia.
|
Baraza la Usalama lampendekeza rasmi Bw. Ban Ki-moon awe katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa 2006/10/10 Nchi wajumbe 15 wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa tarehe 9 ziliwasilisha rasmi pendekezo la kumchagua waziri wa mambo ya nje na biashara wa Korea ya Kusini Bw. Ban Ki-moon kuwa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa wa kipindi kijacho.
|
Hali ya homa ya Dengue nchini India ni mbaya 2006/10/09 Tarehe 8 mwezi huu wabunge wawili wa India waliambukizwa homa ya Dengue, hadi sasa ugonjwa huo umegunduliwa katika majimbo 19, watu zaidi ya 3,400 wameambukizwa na wengine 56 wamekufa nchini India kutokana na ugonjwa huo. Katika siku hiyo waziri mkuu wa India Bw.Manmohan Singh alikwenda kwenye hospitali kuwatazama wagonjwa wa homa hiyo.
|
NATO yakabiliwa na changamoto kubwa baada ya kukabidhiwa jukumu kamili la kulinda amani nchini Afghanistan 2006/10/06 Tarehe 5 Oktoba NATO ilikabidhiwa na jeshi la Marekani jukumu la kulinda amani katika sehemu ya Mashariki ya Afghanistan, hatua ambayo inamaanisha kuwa sasa NATO itawajibika kulinda usalama kote nchini Afghanistan.
|
Mkupuo wa kwanza wa Wanafunzi waliosoma lugha ya Kichina wahitimu kutoka kwenye Chuo cha Confucius cha Nairobi Kenya 2006/10/05 Tarehe 4 Oktoba, mkupuo wa kwanza wa wanafunzi waliosoma lugha ya Kichina walihitimu masomo ya Chuo cha Confucius cha Nairobi Kenya. Sherehe ya kuhitimu masomo ilifanyika kwa shangwe.
|
Je, Palestina imekuwa karibu na vita vya wenyewe kwa wenyewe? 2006/10/04 Jeshi la Kundi la Fatah na la Kundi la Hamas yamepambana vikali huko Gaza tokea tarehe 1 Oktoba, hivi sasa mapambano hayo yamesababisha vifo vya zaidi ya watu 12 na wengine zaidi ya 150 wamejeruhiwa. Mapambano hayo ni makali zaidi ndani ya Palestina katika miaka 10 iliyopita.
|
Bw Ban Ki Moon atazamiwa kuteuliwa kuwa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa 2006/10/03 Nchi 15 wajumbe wa Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa tarehe 2 zilipiga kura kwa mara ya nne kuhusu uteuzi wa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa
|
Makundi ya Hamas na Fatah yafanya mapambano makali ya kijeshi 2006/10/02 Kundi la Hamas na Kundi Fatah ya Palestina yalifanya mapambano makali ya kijeshi tarehe 1 Oktoba kwenye ukanda wa Gaza, ambapo watu zaidi ya wanane waliuawa, na wengine zaidi ya 70 walijeruhiwa.
|
China na Korea ya Kusini zafanya juhudi ili kuanzisha tena mazungumzo ya pande 6 2006/09/29 Msemaji wa wizara ya mambo ya nje wa China tarehe 28 alitangaza kuwa naibu waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wu Dawei, ambaye pia ni mkuu wa ujumbe wa China wa mazungumzo ya pande 6 alialikwa Korea ya Kusini tarehe 29 ili kufanya majadiliano na Korea ya Kusini na kubadilishana maoni kuhusu kuanzisha tena mazungumzo ya pande 6 na masuala mengine yanayofuatiliwa kwa pamoja na pande hizo mbili.
|
Suala la nyuklia la Iran laingia katika duru jipya la mazungumzo 2006/09/28 Mwakilishi mwandamizi wa Umoja wa Ulaya anayeshughulikia mambo ya kidiplomasia na sera za usalama Bw. Javier Solana na mwakilishi mkuu wa mazungumzo ya nyuklia wa Iran Bw. Ali Larijani tarehe 27 huko Berlin walifanya duru jipya la mazungumzo kuhusu suala la nyuklia la Iran
|
Baraza la uchumi duniani latoa taarifa kuhusu nguvu ya ushindani duniani 2006/09/27 Baraza la uchumi duniani, ambalo makao makuu yake makuu yako mjini Geneva, Uswisi, tarehe 26 mwezi huu lilitoa "taarifa kuhusu nguvu ya ushindani duniani katika kipindi cha mwaka 2006-2007"
|
Kwa nini Umoja wa Afrika umeongeza askari wa kulinda amani kwenye sehemu ya Darfur, Sudan 2006/09/26 Msemaji wa Umoja wa Afrika Assan Ba alitangaza tarehe 25 huko Addis Ababa, mji mkuu wa Ethiopia kuwa, Umoja wa Afrika umeamua kuongeza askari 4000 wa kulinda amani kwenye sehemu ya Darfur, Sudan.
|
Uundaji wa serikali mpya ya Palestina utakabiliwa na changamoto nyingi 2006/09/25 Mwakilishi mkuu wa Palestina katika mazungumzo Bwana Saeb Erekat tarehe 24 alithibitisha kuwa, mwenyekiti wa mamlaka ya utawala wa Palestina ambaye pia ni kiongozi wa kundi la chama cha ukombozi wa Palestina Fatah atakwenda Gaza tarehe 25 au tarehe 26 kufanya majadiliano na waziri mkuu wa serikali ya utawala wa Palestina ambaye pia ni kiongozi wa chama cha upinzani cha kiislamu cha Hamas Bwana Ismail Haniyeh.
|
Jumuiya ya kimataifa yatakiwa kuongeza ufanisi wa misaada yake Barani Afrika 2006/09/22 Mkutano wa biashara na maendeleo wa Umoja wa Mataifa tarehe 21 huko Geneva ulitoa taarifa kuhusu maendeleo ya uchumi wa Bara la Afrika mwaka 2006, ikidhihirisha kuwa uchumi wa Bara la Afrika umeongezeka katika miaka mfululizo ya hivi karibuni.
|
Mapinduzi ya kijeshi yatokea nchini Thailand 2006/09/20 Maafisa wa ngazi za juu katika jeshi la Thailand wamevunja baraza la mawaziri lililoongozwa na waziri mkuu Bw. Thaksin Shinawatra usiku wa tarehe 19, na kuifanya nchi hiyo iwe chini ya utawala wa kamati moja ya kijeshi iitwayo Kamati ya usimamizi na mageuzi ya taifa
|
Nchi zinazoendelea kuwa na sauti kubwa katika shirika la fedha duniani 2006/09/19 Nchi wanachama 184 wa shirika la Fedha duniani tarehe 18 usiku mwezi huu zilipiga kura huko Singapore kuzipa China, Korea ya Kusini, México, na Uturuki haki kubwa zaidi katika upigaji kura.
|
Mkutano wa 14 wa wakuu wa wanachama wa harakati ya nchi zisizofungamana na upande wowote wafungwa 2006/09/18 Mkutano wa 14 wa harakati ya nchi zisizofungamana na upande wowote ulimalizika alfajiri ya tarehe 17 mwezi huu huko Havana, mji mkuu wa Cuba.
|
Ni maafa au demokrasia? Wataalamu wa China wazungumzia suala la vita vya Iraq na Marekani kuondoa jeshi lake kutoka Iraq 2006/09/15 Ni maafa au demokrasia? Wataalamu wa China wazungumzia suala la vita vya Iraq na Marekani kuondoa jeshi lake kutoka Iraq.
|
Mkutano wa viongozi wa nchi zisizofungamana na upande wowote wafuatiliwa 2006/09/14 Mkutano wa 14 wa viongozi wa nchi zisizofungamana na upande wowote utafunguliwa tarehe 15 Septemba huko Havana. Huu ni mwaka wa 45 tokea harakati ya kutofungamana na upande wowote ianzishwe. Licha ya kuwa mkutano huo utajadili masuala muhimu ya kimataifa yaliyopo sasa, pia utajadili namna harakati hiyo itakavyotoa mchango mkubwa zaidi katika mazingira ya hivi sasa ya kimataifa. Kwa hiyo mkutano huo unafuatiliwa sana duniani.
|
Mkutano wa 61 wa Baraza kuu la Umoja wa Mataifa wa mwaka wafuatiliwa zaidi na watu 2006/09/13 Mkutano wa 61 wa Baraza kuu la Umoja wa Mataifa ulifunguliwa tarehe 12 huko New York, makao makuu ya Umoja wa Mataifa. Kwenye mkutano huo, mada za jadi na masuala mengi kuhusu kutekeleza zaidi "Waraka wa matokeo" wa mkutano wa wakuu duniani, uchaguzi wa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa na masuala mengine makubwa ya kikanda yatajadiliwa kwa pamoja, hivyo yameleta taabu kubwa.
|
"Umuhimu wa kipekee" wa Umoja wa Ulaya katika suala la nyukilia la Iran 2006/09/12 Mwakilishi wa Umoja wa Ulaya anayeshughulikia mambo ya kidiplomasia na sera za usalama Bw. Javier Solana na mwakilishi mkuu wa Iran kwenye mazungumzo ya suala la nyukilia Bw. Ali Larijani hivi karibuni walikuwa na mazungumzo.
|
Mkutano wa 6 wa wakuu wa Asia na Umoja wa Ulaya wafungwa, waziri mkuu wa China atoa mapendekezo mapya 2006/09/12 Mkutano wa 6 wa wakuu wa Asia na Umoja wa Ulaya ulifungwa tarehe 11 huko Helsinki, mkutano huo umejumuisha maarifa na mafanikio yaliyopatikana katika mikutano ya Asia na Umoja wa Ulaya katika miaka 10 iliyopita, na kupanga mpango wa maendeleo ya siku zijazo.
|
Kwanini mapambano dhidi ya ugaidi duniani yameleta tishio kubwa zaidi? 2006/09/11 Leo miaka mitano imetimia tangu tukio la mashambulizi ya kigaidi ya tarehe 11 Septemba litokee, lakini jeraha lililosababishwa na mashambulizi hayo duniani bado halijapona. Jitihada za jumuiya ya kimataifa dhidi ya ugaidi hazikusita hata siku moja, lakini ugaidi duniani umezidi kuongezeka.
|