Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
  • Uchaguzi mkuu wa Iraq wakabiliwa na matatizo mengi
  •  2005/01/05
    Kutokana na kukaribia kwa siku ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu wa Iraq tarehe 30 Januari, hali ya usalama nchini Iraq inaongezeka kuwa ya wasiwasi siku hadi siku.
  • Mkutano wa wakuu wa Djakarta waonesha nia imara ya jumuiya ya kimataifa ya kupambana na maafa
  •  2005/01/05
    Mkutano maalum wa wakuu wa umoja wa Asia ya kusini na kusini mashariki utafanyika kesho tarehe 6 huko Djakarta, mji mkuu wa Indonesia.
  • Kikundi cha matibabu cha China chaanza kazi rasmi
  •  2005/01/05
        Kikundi cha matibabu cha China kimeanza kazi yake katika mji ulioathiriwa zaidi, Galle, kusini mwa Sri Lanka. Utaalam na upendo wao wao vinapongezwa sasa na waathirika wa huko.
  • Mkutano wa Viongozi wa Nchi za Asia ya Kusini Mashariki kuhusu Maafa ya Mawimbi Makubwa Yaliyosababishwa na Tetemeko la Ardhi Baharini Kufanyika Kesho
  •  2005/01/05
    Mkutano wa viongozi wa nchi za Asia ya Kusini Mashariki kuhusu maafa ya mawimbi makuwa yaliyosababishwa na tetemeko la ardhi baharini utafanyika kesho Djakarta, mji mkuu wa Indonesia. Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Kofi Annan na viongozi au wajumbe wa nchi zaidi ya 20 watahudhuria mkutano huo na kujadiliana namna ya kuzisaidia nchi zilizokumbwa na maafa hayo.
  • Thamani ya Dola ya Kimarekani Itakuwaje Baadaye
  •  2005/01/04
    Mwaka 2005 idadi ya wanafunzi watakaohitimu kutoka vyuo vikuu itafikia milioni 3, na idadi hiyo ni kubwa sana tangu China kufanya mageuzi ya elimu mwaka 1999, hivyo hali ya wanafunzi watakaohitimu kupata ajira si nzuri kama zamani. Habari kutoka wizara ya elimu ya China inasema kuwa, mwaka 2005 idadi ya wanafunzi inaweka rikodi katika historia. Kutokana na hali hiyo, mawazo ya wanafunzi kujipatia ajira imebadilika.
  • China yawasaidia watu wa Sri Lanka kwa nguvu zote
    katika ukarabati wa taifa
  •  2005/01/04
    Sri Lanka imekumbwa na hasara kubwa ya watu na mali katika tetemeko la ardhi lililotokea katika bahari ya Hindi na mawimbi makubwa yaliyosababishwa na tetemeko hilo. Hivi sasa, serikali ya Sri Lanka imeunda kituo cha taifa cha shughuli za kupambana na maafa, ili kusimamia ukarabati baada ya maafa hayo. China ikiwa rafiki mkubwa wa Sri Lanka imewasaidia kwa nguvu zote watu wa Sri Lanka katika ukarabati huo.
  • Ukosefu wa mambo matano wajitokeza katika maafa ya mawimbi makubwa yaliyosababishwa na tetemeko la ardhi katika bahari ya Hindi
  •  2004/12/31
    Hadi kufikia jana usiku, mawimbi makubwa yaliyosababishwa na tetemeko la ardhi yamewaua watu laki moja na elfu kumi, na idadi hiyo inaendelea kuongezeka. Kutokana na uokoaji wa maafa unavyoendelea, watu wameanza kukaa na kutafakari maafa yanyewe, wanaona kuwa kuna upungufu wa mambo matano katika kinga na uokoaji katika maafa hayo.
  • Kazi ya dharura ya jumuiya ya kimataifa-kukinga maradhi baada ya maafa makubwa
  •  2004/12/31
    Tetemeko kubwa la ardhi na mawinbi makubwa yaliyosababishwa na tetemeko hilo kwenye bahari karibu na kisiwa cha Sumatra, Indonesia yamekuwa maafa makubwa zaidi ya kimaumbile yaliyotokea katika miongo kadhaa iliyopita katika sehemu ya Bahari ya Hindi.
  • Mwanamke wa Kenya aliyepata tuzo ya amani ya Nobel azungumzia maendeleo endelevu
  •  2004/12/31
    Mwanamke aliyepata tuzo la amani la Nobel la mwaka 2004 Bi. Wangari Maathai jana katika sherehe ya kumkaribisha iliyofanyika Nairobi alisema kuwa, usimamizi mzuri wa maliasili, demokrasia na amani ni nguzo tatu za maendeleo endelevu.
  • Kwa nini Russia na Ulaya, Marekani zilitoa maoni tofauti kuhusu matokeo ya uchaguzi mkuu nchini Ukraine
  •  2004/12/30
    Tume ya uchaguzi mkuu wa Ukraine tarehe 28 ilitangaza matokeo ya mwanzo ya duru la pili la upigaji kura upya katika uchaguzi mkuu nchini humo. Baadaye  Russia na Ulaya, Marekani zilitoa maoni tofauti kuhusu matokeo hayo.
  • Watalii wengi wa nchi za Magharibi wamekufa katika maafa ya mawimbi makubwa yaliyosababishwa na tetemeko la ardhi kwenye bahari ya Hindi
  •  2004/12/30
    Hadi kufikia jioni tarehe 29 mawimbi makubwa yaliyosababishwa na tetemeko la ardhi kwenye bahari ya Hindi yamewaua watu zaidi ya elfu 80, miongoni mwao, licha ya raia wa nchi hizo wengi ni watalii kutoka nchi za nje. Hivi sasa imebainika kuwa watalii waliokufa na kupotea wamefikia elfu kadhaa, na kati yao wengi ni watalii wa nchi za Magharibi.
  • Jumuiya ya kimataifa yaongeza misaada kwa nchi zilizokumbwa na maafa ya mawimbi makubwa yaliyosababishwa na tetemeko la ardhi
  •  2004/12/30
        Tetemeko kubwa la ardhi na mawimbi makubwa yaliyoshababishwa na tetemeko hilo yaliyotokea tarehe 26 katika bahari ya Hindi zimeleta hasara kubwa kwa baadhi ya nchi za Asia ya Kusini na Kusini Mashariki, na jumuiya ya kimataifa inafualitia sana tukio hilo na imetoa misaada ya dharura kwa nchi hizo. Kutokana na harasa kubwa zilizoletwa na maafa hayo na kuongezeka kwa idadi ya watu waliokufa, jumuiya ya kimataifa inaongeza misaada.
  • Mahmoud Abbas aanza kampeni ya kugombea nafasi ya mwenyekiti wa mamlaka ya Palestina
  •  2004/12/30
    Hivi karibuni, mwenyekiti mtendaji wa chama cha ukombozi wa Palestina ambaye pia ni mgombea pekee wa kundi kuu la PLO, Fatah Bw. Mahmoud Abbas, alikwenda kwenye miji mbalimbali iliyoko kwenye kando ya magharibi ya mto Jordan na kuanza kampeni ya kugombea nafasi ya mwenyekiti wa mamlaka ya utawala wa Palestina.
  • Machafuko ya bahari yaliyosababishwa na tetemeko la ardhi baharini yaleta pigo kwa utalii na bima
  •  2004/12/29
    Tetemeko kubwa la ardhi lililotokea karibu na kisiwa cha Sumatra, Indonesia, na mawimbi makubwa yaliyosababishwa na tetemeko hilo yalileta pigo kubwa kwa utalii wa nchi za Asia ya Kusini Mashariki na Asia ya Kusini
  • Uchaguzi mkuu wa Iraq wakabiliana na mtihani mgumu
  •  2004/12/29
    Kuanzia leo zimebaki chini ya wiki tano kabla ya uchaguzi mkuu kufanyika, lakini hali ya Iraq bado inawafanya watu kuwa na wasiwasi.Kutokana na hesabu isiyokamilika, kutoka usiku wa tarehe 26 mpaka jana, mashambulizi yaliyotokea nchini Iraq, ambayo yalilenga jeshi la Marekani nchini Iraq, jeshi la wananchi la Iraq na maaskari wa Iraq yamesababisha vifo vya watu 74 na mamia ya watu kujeruhiwa.
  • Mazungumzo kati ya makatibu wa kidiplomasia wa India na Pakistan hayakupata maendeleo makubwa
  •  2004/12/29
    Mazungumzo kati ya makatibu wa kidiplomasia wa India na Pakistan jana yalimalizika huko Islamabad, mji mkuu wa Pakistan. Mazungumzo hayo hayakupata maendeleo makubwa katika suala la Kashmir, lakini pande hizo mbili zilikubaliana ajenda ya mazungumzo ya kipindi kijacho na kueleza kuwa zitaendelea kusukuma mbele mchakato wa mazungumzo uliokuwa umeanza kati ya nchi hizo mbili.
  • Israel Yawaachia Huru baadhi ya Wafungwa wa Palestina
  •  2004/12/28
    Tarehe 27 Israel iliwaachia huru wafungwa 159 wa Palestina. Vyombo vya habari wanaona kuwa hiki ni kitendo kingine ambacho viongozi wa Israel walikifanya kuonesha urafiki kwa Palestina, na kwa kiasi fulani kitendo hiki kitasaidia uchaguzi mkuu wa Palestina kufanyika salama mnamo Januari 9 mwakani.
  • Mgombea wa urais wa chama cha upinzani Bw.Yushchenko atangaza kuwa ameshinda katika uchaguzi mkuu wa Ukraine
  •  2004/12/28
    Duru la pili la upigaji kura wa uchaguzi mkuu wa Ukraine lilifanyika upya tarehe 26. Kutokana na takwimu za tume kuu ya uchaguzi wa Ukraine zilizotolewa asubuhi ya tarehe 27 kwa saa za huko, mgombea wa urais wa chama cha upinzani Bw. Victor Yushchenko amepata kura nyingi zaidi kuliko mgombea mwingine Bw. Viktor Yanukovych ambaye pia ni waziri mkuu wa Ukraine. Bw. Yushchenko ametangaza ushindi wake kwenye makao makuu ya uchaguzi mkuu.
  • Mazungumzo ya siku ya kwanza kati ya makatibu wa kidiplomasia wa India na Pakistan hayajapata maendeleo makubwa
  •  2004/12/28
     Makatibu wa kidiplomasia wa India na Pakistan jana walifanya mazungumzo huko Islamabad, ambapo walijadili kuhusu masuala ya amani na usalama wa kikanda na hatua za kujenga uaminifu kati ya nchi hizo mbili, lakini mazungumzo hayo hayakupata maendeleo makubwa.
  • Kazi ya kuokoa maafa ya tetemeko la ardhi na dhoruba lililosababishwa na tetemeko hilo kwenye bahari ya Hindi yakabiliwa na changamoto kubwa
  •  2004/12/28
    Tetemeko la ardhi na dhoruba lililosababishwa na tetemeko hilo kwenye eneo la bahari la Sumatra, Indonesia limeathiri nchi kadha wa kadha za Kusini mashariki ya Asia na kusini ya Asia, na kusababisha vifo vya watu zaidi ya elfu 24. Baada ya kutokea kwa maafa hayo, kazi ya kuokoa maafa ilianza kwa pande zote. Wataalamu wanaona kuwa, maafa hayo makubwa yameleta uharibifu mkubwa sana kwa sehemu zinazokumbwa na maafa, kazi ya kuokoa maafa inakabiliwa na changamoto kubwa.
  • Jumuiya ya kimataifa yazisaidia sehemu zilizokumbwa na maafa ya tetemeko la ardhi
  •  2004/12/27
    Tetemeko kubwa la ardhi na dhoruba lililosababishwa na tetemeko hilo mpaka leo limesababisha vifo vya watu zaidi ya elfu 10 na hasara kubwa za mali zisizoweza kuhesabiwa. Baada ya maafa hayo kutokea, serikali za nchi zilizokumbwa na maafa zimeanzisha kwa haraka shughuli za kuokoa maafa, na pia nchi nyingi na jumuiya nyingi za kimataifa zimetoa msaada kwa sehemu zilizokumbwa na maafa.
  • Kwa nini Thamani ya Dola ya Kimarekani Inaendelea Kushuka?
  •  2004/12/27
    Tarehe 24, siku ya mkesha wa Krismasi, kiwango cha mabadilishano kati ya Euro kwa dola ya Kimarekani kilikuwa ni 1:1.25, hiki ni kiwango cha juu kabisa cha Euro kwa dola za Kimarekani tokea Euro ianze kutumika.
  • Tukio la jeshi la Marekani kushambuliwa huko Mosul laishangaza Marekani
  •  2004/12/24
        Mashambulizi ya mabomu ya kujiua yaliyotokea kwenye kambi ya jeshi la Marekani huko Mosul nchini Iraq yamefuatiliwa sana na watu wengi nchini Marekani. Tofauti na hali ya zamani ni kuwa, washambulizi wa kujiua walipita kwenye ukaguzi mbalimbali na kuingia kwenye ukumbi wa chakula wa kambi hiyo ya jeshi la Marekani, na kuzusha mlipuko wakati askari walipokusanyika na kula chakula, na kusababisha vifo vya watu 22 wakiwemo askari 18 na raia mmoja wa Marekani. Mashambulizi hayo yaliishtusha sana nchi nzima ya Marekani.
  • Afganistan yaunda baraza mpya la mawaziri
  •  2004/12/24
        Rais Hamid Karzai wa Afganistan jana alitangaza orodha ya majina ya wajumbe wa baraza la mawaziri, na waziri wa ulinzi na waziri wa fedha wamebadilishwa. Aidha, Rais Karzai aliongeza wizara ya kupambana na dawa za kulevya ili kuondoa tatizo la dawa hizo nchini humo.
  • Palestina yafanya uchaguzi wa serikali za mitaa kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka 28 iliyopita
  •  2004/12/24
    Uchaguzi wa serikali za mitaa wa Palestina ulianza jana katika eneo la kando ya magharibi ya Mto Jordan. Hii ni mara ya kwanza kwa Palestina kufanya uchaguzi wa serikali za mitaa katika kipindi cha miaka 28 iliyopita.
  • Uhusiano kati ya Saudi Arabia na Libya wawa mbaya ghafla
  •  2004/12/23
    Waziri wa mambo ya nje wa Saudi Arabia Bw. Saud Al-Faisal jana alitangaza ghafla kuwa, Saudi Arabia imeamua kumfukuza balozi wa Libya nchini humo na kumwita balozi wa Saudi Arabia kutoka nchini Libya.
  • Uchumi wa dunia yafurahisha watu na kuwapa wasiwasi nusu kwa nusu
  •  2004/12/23
    Wakati unapokaribia mwisho wa mwaka, vyombo vya habari vya Ulaya vimechambua uchumi wa dunia wa mwaka 2004 na kuona kuwa, uchumi wa dunia mwaka huu umeshika njia ya ongezeko la haraka
  • Tony Blair afanya ziara ya muda mfupi nchini Palestina na Israel
  •  2004/12/23
    Bw. Blair akiwa kiongozi wa kwanza wa kigeni anayezuru Palestina na Israel baada ya kufariki dunia kwa kiongozi wa zamani wa Palestina Yasser Arafat, anataka kuonesha kuwa Uingereza inazingatia sana masuala ya kutatua mgogoro kati ya Palestina na Israel na kuhimiza mchakato wa amani.
  • Donald Rumsfeld ataweza kumaliza miaka minne ya kipindi chake?
  •  2004/12/22
    Waziri wa ulinzi wa Marekani Donald Rumsfeld hivi karibuni amelaumiwa na watu wengi na kutakiwa kujiuzulu. Ingawa rais George Bush wa Marekani tarehe 20 katika mkutano wa mwisho wa mwaka na waandishi wa habari alieleza kumwunga mkono kwa nguvu zake zote, hatua ambayo inaweza kumhifadhia wadhifa wake, lakini bado haijulikani kama ataweza kumaliza bila matatizo miaka minne ya kipindi chake.
  • Kwa nini Tony Blair aitembelea Iraq kwa ghafla
  •  2004/12/22
    Waziri mkuu wa Uingereza Bw. Tony Blair tarehe 21 alibadili ziara yake na kuitembelea Iraq kwa ghafla katika safari ya kwenda Israel na Palestina kufanya ziara. Wakati uchaguzi mkuu wa Iraq unapokaribia siku hadi siku na mashambulizi makali yanapofanyika huku na huko nchini Iraq, kwa nini Tony Blair aliamua kuitembelea Iraq ghafla, jambo hilo limefuatiliwa na watu.
    1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26 27 28 29 30 31 32 33 34 35 36 37 38 39 40 41 42 43 44