Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
  • Usuluhisho wa Tony Blair wagonga mwamba
  •  2004/12/21
    Waziri mkuu wa Uingereza Bw. Tony Blair anatarajia kufanya ziara ya siku mbili katika sehemu ya Palestina na Israel.
  • Pande zinazohusika zajitahidi kufanya usuluhishi katika mchakato wa amani wa sehemu ya Darfur
  •  2004/12/21
    Ofisa wa Umoja wa Afrika ambaye yuko mjini Abuja, mji mkuu wa Nigeria kusuluhisha mgogoro huko Darfur, Sudan jana alithibitisha kuwa umoja huo umewaamrisha wakaguzi wake kusimamisha kwa muda shughuli za kusimamia usimamishaji wa vita huko Darfur nchini Sudan, ili kuchunguza tukio kuhusu kushambuliwa kwa helikopta moja ya umoja huo.
  • Mgogoro kati ya Palestina na Israel yaleta wasiwasi wa kufanyika uchaguzi mkuu wa Palestina
  •  2004/12/20
    Hivi karibuni, jeshi la Israel na wanamgambo wa Palestina walipambana kwa mfululizo katika sehemu ya kusini mwa Gaza, na tofauti kati ya viongozi wa Palestina na Israel katika masuala makubwa pia zimeonekana wazi, hali hiyo si kama tu imetoa pigo kwa hali ya kufurahisha iliyotokea hivi karibuni, bali pia imeleta hali ya wasiwasi kuhusu kufanyika kwa uchaguzi wa mwenyekiti wa mamlaka ya utawala wa Palestina.
  • Mambo mengi yasababisha bei ya mafuta ya kupanda
  •  2004/12/17
    Bei ya mafuta ya asili ya petroli duniani imekuwa ikipanda kutoka mwanzoni mwa mwaka huu.
  • Umoja wa Ulaya waamua kuanzisha mazungumzo na Uturuki kuhusu nchi hiyo kujiunga nao
  •  2004/12/17
    Mkutano wa wakuu wa Umoja wa Ulaya uliofanyika jana huko Brussels jana usiku uliamua kuanzisha mazungumzo na Uturuki kuhusu nchi hiyo kujiunga na umoja huo kuanzia tarehe 3 Oktoba mwaka kesho.
  • Palestina yakabiliana na uamuzi muhimu kuhusu mkakati wake kwa Israel
  •  2004/12/16
        Siku za karibuni, mgogoro kati ya pande mbalimbali za Palestina kuhusu mkakati wa nchi hiyo kwa Israel umeonekana wazi.
  • Kampeni ya uchaguzi mkuu wa Iraq yaanza rasmi
  •  2004/12/16
    Kazi ya kuandikisha wagombea wa uchaguzi mkuu wa Iraq ilimalizika jana alasiri ya saa za huko Baghdad. Kampeni ya uchaguzi mkuu imeanza rasmi jana na itafanyika kwa wiki 6.
  • India na Pakistan zaanzisha "namba ya simu maalum kuhusu nyuklia"
  •  2004/12/16
    Mazungumzo ya siku mbili kuhusu hatua za kujenga uaminifu wa nyuklia kati ya India na Pakistan jana yalimalizika huko Islamabad, mji mkuu wa Pakistan. Nchi hizo mbili zimekubali kuanzisha "namba ya simu maalum kuhusu suala la nyuklia" kati ya wizara za mambo ya nje za nchi hizo mapema iwezekanavyo.
  • Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki zakubaliana kulinda haki za wafanyakazi wahamiaji katika maeneo yao
  •  2004/12/15
    Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, zimehakikishiana kulinda, kutunza na kuheshimu haki za wafanyakazi wahamiaji katika maeneo hayo.
  • India na Pakistan zapambana pamoja na biashara ya dawa za kulevya
  •  2004/12/15
    Maofisa wa India na Pakistan jana huko New Delhi walimaliza mazungumzo kuhusu kupambana na biashara ya dawa za kulevya. Pande hizi mbili zimekubali kushirikiana ili kupambana pamoja na biashara ya dawa za kulevya, pia zimekubali kuendelea kufanya mashauriano kuhusu masuala husika.
  • Biashara kati ya Misri na Israel Yaanza Kupamba Moto
  •  2004/12/15
    Kutokana na usuluhishi wa Marekani, hivi karibuni Misri imeacha msimamo wake wa zamani wa kupuuza ushirikiano wa kibiashara na Israel, hivi sasa biashara kati ya nchi hizo mbili imeanza kupamba moto. Tarehe 14, Misri, Israel na Marekani zilisaini "Mkataba wa Sehemu ya Viwanda", mkataba wa QIZ. Huu ni mkataba muhimu wa kibiashara tokea Misri na Israel kuafikia mkataba wa amani mwaka 1979.
  • Marekani na Iraq zafanya chini juu kuweka mazingira ya usalama kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa Iraq
  •  2004/12/15
    Waziri mkuu wa serikali ya muda ya Iraq Iyad Alawi tarehe 14 alisema kuwa, msaidizi mwandamizi wa Abu Mussab al Zarqawi, kiongozi wa kundi la Al Qaeda nchini Iraq aliuawa na polisi wa Iraq, na wasaidizi wengine wawili wamekamatwa. Aliongeza kuwa viongozi wakuu wa utawala wa zamani wa Iraq watahukumiwa kuanzia wiki ijayo. Siku hiyo mwenyekiti wa baraza la pamoja la majemadari wakuu wa jeshi la Marekani Bwana Richad Myers aliitembelea Iraq kwa ghafla, yote hayo yameonesha kuwa Marekani na Iraq zafanya chini juu kuweka mazingira ya usalama kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa Iraq.
  • Kwa nini serikali ya Bush inapinga Baradei asichaguliwe tena kuwa katibu mkuu wa shirika la nishati ya atomiki duniani?
  •  2004/12/15
    Mbali ya suala la nyuklia la Iraq, Shirika la IAEA liliwahi kutoa ripoti kwa Umoja wa Mataifa kabla ya uchaguzi mkuu wa Marekani kuhusu kupotezwa kwa baruti zenye mlipuko mkali za tani 380, ripoti hiyo ilimfanya Bush aliyejitadhidi kugombea tena wadhifa wa urais kuwa katika hali isiyomsaidia. Wahafidhina kadhaa wa nchini Marekani waliona kuwa, Bw Baradei alitoa ripoti hiyo kwa lengo la kumkwamisha Bush kuchaguliwa tena kuwa rais. Hii pia ilisababisha malalamiko ya serikali ya Bush.
  • Mazungumzo kati ya Umoja wa Ulaya na Iran kuhusu suala la nyuklia yakabiliwa na matatizo kadhaa makubwa
  •  2004/12/14
        Mazungumzo kati ya Umoja wa Ulaya na Iran kuhusu suala la nyuklia la Iran yalifanyika tarehe 13 huko Brussels, pande mbili zinataka kutafuta njia ya kudumu ya kutatua suala la nyuklia la Iran kwa mazungumzo hayo. Ingawa Umoja wa Ulaya na Iran zina matarajio makubwa na mazungumzo hayo, lakini bado mazungumzo hayo yanakabiliwa na matatizo kadhaa makubwa.
  • Kampeni ya uchaguzi ya katibu mkuu wa Shirika la biashara duniani yaanza
  •  2004/12/14
    Msemaji wa Shirika la biashara duniani jana huko Geneva alithibitisha kuwa, Ufaransa imemteua mfaransa Pascal Lamy aliyekuwa mjumbe wa Kamati ya Umoja wa Ulaya aliyeshughulikia mambo ya biashara kuwa mgombea wa katibu mkuu wa shirika la WTO.
  • Kwa nini Marwan Barghouti amejitoa katika uchaguzi mkuu
  •  2004/12/13
    Tarehe 12 msaidizi wa kiongozi kijana wa Fatah aliyeko gerezani nchini Isreal, Bw. Marwan Barghouti, alitangaza kuwa Bw. Marwan Barghouti ameamua kujitoa kutoka kwenye uchaguzi mkuu wa mamlaka la Palestina na alitoa wito wa kuwataka watu wa Palestina wamchague mgombea pekee wa Fatah, mwenyekiti wa kamati ya utendaji ya Fatah, Mahamoud Abbas.
  • Dunia yapaswa kufanya ushirikiano wa pande nyingi katika mapambano dhidi ya ugaidi duniani
  •  2004/12/13
    Mwaka 2004 ni mwaka wa tatu tangu kutokea kwa tukio la tarehe 11 Septemba 2001 nchini Marekani, lakini shughuli za ugaidi bado zinapamba moto duniani, na zimekuwa tishio kubwa jipya dhidi ya utulivu, usalama na maendeleo ya nchi mbalimbali duniani, na inazingatiwa sana na jumuiya ya kimataifa.
  • Ni sababu gani waziri wa fedha wa Marekani Bw. John Snow kutaendelea na kazi yake
  •  2004/12/10
    Msemaji wa Ikulu ya Marekani Bw. Scott McClellan juzi alitangaza kuwa, rais Bush ameamua kumteua tena waziri wa fedha wa sasa Bw. John Snow kuwa waziri wa fedha katika baraza jipya la mawaziri
  • Jumuiya ya OPEC yapunguza uzalishaji na kudumisha bei au la?
  •  2004/12/10
    Mkutano wa ngazi ya mawaziri wa Jumuiya ya OPEC leo utafanyika huko Cairo, mji mkuu wa Misri ili kuthibitisha uzalishaji wa mafuta ghafi wa nchi wanachama za OPEC katika miezi mitatu ya kwanza ya mwaka 2005. Hali ambayo OPEC itaendelea na uzalishaji wa hivi sasa au kupunguza uzalishaji ili kudumisha bei italeta athari kubwa kwa soko la mafuta ghafi la kimataifa, hivyo mkutano huo unafuatiliwa sana.
  • China na Umoja wa Ulaya zasaini Taarifa ya pamoja kuhusu kuzuia kuenea kwa silaha na kudhibiti zana za kijeshi
  •  2004/12/09
    Wakati mkutano wa 7 wa viongozi wa China na Umoja wa Ulaya unafanyika huko The Hague, Uholanzi, China na Umoja wa Ulaya jana zilisaini "Taarifa ya pamoja kuhusu kuzuia kuenea kwa silaha na kudhibiti zana za kijeshi", na kuthibitisha kuwa China na Umoja wa Ulaya, ni wenzi wakubwa wa kimkakati.
  • Mazungumzo ya amani ya Ireland ya kaskazini yakwama, lakini bado kuna matumaini
  •  2004/12/09
    Duru jipya la juhudi za serikali ya Uingereza, serikali ya Ireland na vyama vikubwa vya madhehebu yanayopingana jana zimetangaza kushindwa kwa duru jipya la mazungumzo yaliyofanywa kwa kuondoa hali ya mkutano ya mazungumzo ya amani ya Ireland ya Kaskazini jana
  • Russia na Iran zatumai kuendelea kushirikiana
  •  2004/12/09
    Waziri mkuu wa serikali ya muda ya Iraq Bw. Allawi jana alimaliza ziara yake ya siku 3 nchini Russia. Hii ni mara ya pili kwa viongozi wapya wa Iraq kufanya ziara nchini Russia baada ya utawala wa Saddam kuangushwa mwaka jana.
  • Umoja wa Afrika watoa mchango mkubwa wa kuelekeza kushughulikia mambo ya kikanda
  •  2004/12/08
    Katika mwaka 2004 utakaomalizika hivi karibuni, maendeleo na ukuaji wa Umoja wa Afrika umekuwa tukio moja linalovutia kabisa kwenye jukwaa la siasa za Afrika. Kazi ya uongozi wa Umoja wa Afrika katika utatuzi wa mambo ya kikanda umefuatiliwa na nchi mbalimbali duniani.
  • Kwa nini serikali ya Bush yarahisisha matukio ya kuwadhalilisha wafungwa
  •  2004/12/08
    Kashfa ya wanajeshi wa Marekani nchini Iraq kuwadhalilisha wafungwa ilikosolewa na kulaaniwa sana na jumuiya ya kimataifa. Lakini serikali ya Bush ya Marekani siku zote ilikuwa inachukua msimamo wa kurahisisha mambo wakati wa kushughulikia tukio hilo. Wachambuzi wameona kuwa, jambo hilo limeonesha msimamo wa serikali ya Bush kuendelea kufuata sera kali ya upande mmoja.
  • Mchakato wa amani kati ya Palestina na Israel wahitaji vitendo halisi
  •  2004/12/08
        Hivi karibuni, jumuiya ya kimataifa imefuatilia sana shughuli za kidiplomasia katika mashariki ya kati, mabadiliko mazuri yaliyotokea kati ya pande mbili za Palestina na Israel kuhusu mchakato wa amani.
  • Hali ya Ukraine bado inavutia ufuatiliaji wa kimataifa
  •  2004/12/07
        Ili kusukuma mbele utatuzi wa mgogoro wa kisiasa uliosababishwa na uchaguzi mkuu nchini Ukraine, katibu mkuu wa shirikisho la usalama na ushirikiano la Ulaya Bwana Jan Kubis jana alasiri alifunga safari kuelekea Ukraine kufanya usuluhisho. Wakati huo huo, shughuli za upinzani za kiraia zinaendelea mitaani mwa Kiev, mji mkuu wa Ukraine, nguvu mbili za kisiasa zilizoongozwa na waziri mkuu wa sasa Bwana Viktor Yanukovych na kiongozi wa upinzani Bwana Viktor Yushchenko zinaendelea kupambana ili kupata ushindi katika duru la pili la upigaji kura unaotarajia kufanywa tarehe 26 mwezi huu.
  • Tishio kubwa linaloikabili jumuiya ya kimataifa na tishio la silaha za viumbe
  •  2004/12/07
    Mkutano wa kimataifa wa nchi wanachama wa "Mkataba wa Kupiga Marufuku Silaha za Viumbe" mwaka 2004 ulifanyika huko Geneva kuanzia tarehe 6 hadi tarehe 10 mwezi Desemba.
  • Mapambano dhidi ya ugaidi kuendelea nchini Saudi Arabia
  •  2004/12/07
    Ubalozi mdogo wa Marekani mjini Jeddah, Saudi Arabia tarehe 6 ulishambuliwa na watu wenye silaha na kusababisha vifo vya watu 12.
  • Mbona Misri iliwaachia huru majasusi wa Israeli?
  •  2004/12/06
    Tarehe 5 Misri ilimwachia huru jasusi mashuhuri wa Israeli Azam Azam, kwa kutimiza masharti ya kubadilishana wafungwa, siku hiyo serikali ya Israeli pia iliwaachia huru wanafunzi 6 walioshikwa wa Misri. Wachamabuzi wanaona kuwa tukio la jasusi Azam linaonesha uhusiano wa Misri na Israeli. Ofisa mmoja wa Misri ambaye anataka jina lake lihifadhiwe, alidokeza kuwa hakuna sharti lolote kwa Azam kuachiliwa huru, hakukuweko "biashara yoyote" au kuhusiana na kuachiwa huru kwa wanafunzi 6 wa Misri.
  • Rais mteule wa Afghanistan Hamid Karzai akabiliana na changamoto kubwa
  •  2004/12/06
    1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26 27 28 29 30 31 32 33 34 35 36 37 38 39 40 41 42 43 44