Asiyetambua kwa usahihi historia hataheshimiwa na kuaminiwa duniani 2005/03/24 Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bwana Kofi Annan tarehe 21 alitoa ripoti kuhusu mageuzi ya Umoja wa Mataifa, baada ya hapo, nchi kadha wa kadha duniani zimetoa dai moja baada ya nyingine kupinga Japan isiwe mjumbe wa kudumu kwenye baraza la usalama.
|
Mazungumzo kuhusu suala la nyuklia la Iran yamefikia kipindi muhimu 2005/03/24 Mazungumzo kuhusu suala la nyuklia la Iran kati ya Ufaransa, Ujerumani na Uingereza kwa upande mmoja, na Iran kwa upande mwingi, yalianza tena tarehe 23 huko Paris.
|
Mkutano wa 17 wa wakuu wa nchi wanachama wa Umoja wa nchi za Kiarabu wafungwa 2005/03/24 Mkutano wa 17 wa wakuu wa nchi wanachama wa Umoja wa nchi za Kiarabu uliofanyika kwa siku mbili jana umefungwa huko Algiers, mji mkuu wa Algeria. Ingawa wakuu wa nchi 13 tu kati ya nchi 22 wanachama wa Umoja huo walihudhuria mkutano huo, lakini mkutano huo pia ulipata maendeleo kadhaa katika suala la amani ya Mashariki ya Kati na mageuzi ya miundo ya jumuiya hiyo.
|
Umoja wa Ulaya wapitisha mswada wa marekebisho ya "Mkataba wa Utulivu na Ongezeko" 2005/03/23 Mkutano wa viongozi wa Umoja wa Ulaya tarehe 22 ulipitisha mswada wa marekebisho ya "Mkataba wa Utulivu na Ongezeko", hatua ambayo inaonesha kuwa mabishano kuhusu suala la marekebisho ya "Mkataba wa Utulivu na Ongezeko" yamekwisha.
|
Nchi mbalimbali zaunga mkono ripoti ya Annan kuhusu mageuzi ya Umoja wa Mataifa 2005/03/23 Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bwana Kofi Annan tarehe 21 alilikabidhi baraza kuu la 59 la Umoja wa Mataifa ripoti ya mageuzi ya kufufua Umoja wa Mataifa.
|
Mkutano wa wakuu wa umoja wa nchi za kiarabu (AL) wafunguliwa mjini Algiers 2005/03/23 Mkutano wa 17 wa wakuu wa Umoja wa Nchi za Kiarabu (AL) ulifunguliwa tarehe 22 huko Algiers, mji mkuu wa Algeria na utafanyika kwa siku mbili.
|
Je, uhusiano kati ya Korea Kusini na Japan utakuwa mbaya? 2005/03/23
Tokea bunge la wilaya ya Shimane ya Japan kupitisha azimio la tarehe ya kuadhimisha kurudishwa kwa mamlaka ya kisiwa cha Dokdo, serikali na wananchi wa Korea Kusini walichukua hatua mbalimbali kujibu azimio hilo. Je, "dhoruba ya kisiwa cha Dokdo" itasababisha uhusiano wa nchi hizo mbili kuwa mbaya?
|
Mageuzi ya Umoja wa Mataifa 2005/03/22 Tarehe 21 katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Kofi Annan aliwasilisha ripoti kuhusu mageuzi ya umoja huo iitwayo "Uhuru mkubwa zaidi kwa kuwapatia watu wote maendeleo, usalama na haki za binadamu" kwenye baraza kuu la 59 la Umoja wa Mataifa
|
Uteuzi wa mkurugenzi mkuu wa Benki ya Dunia 2005/03/22 Tangu Rais Bush wa Marekani amteue naibu waziri wa ulinzi wa Marekani Bw. Paul Wolfowitz kuchukua nafasi ya mkuu wa Benki ya Dunia, jambo hilo linafuatiliwa na watu. Baada ya kushangazwa na jambo hilo, Ulaya haikusema lolote.
|
Wasiwasi wazuka tena kati ya Jordan na Iraq 2005/03/22 Msemaji wa serikali ya Jordan Bi. Asma Khodr tarehe 21 huko Amman, mji mkuu wa Jordan, alisema kuwa serikali ya Jordan imerudisha balozi wake mdogo kutoka Iraq.
|
Mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje wa Umoja wa Nchi za Kiarabu waunga mkono kuanzisha tena pendekezo la amani 2005/03/21 Mkutano wa siku mbili wa mawaziri wa mambo ya nje na wawakilishi wa nchi 22 wanachama wa Umoja wa Nchi za Kiarabu tarehe 20 ulimalizika huko Algiers, mji mkuu wa Algeria, ambapo ulipitisha mswada mmoja kuunga mkono kuanzisha tena pendekezo la amani la waarabu.
|
Nchi zinazoendelea zatoa maoni kuhusu haki na za binadamu na mkutano wa haki za binadamu 2005/03/21 Wiki moja imepita tangu mkutano wa 61 wa Kamati ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa ufunguliwe, wajumbe wa nchi zinazoendelea wametoa maoni kuhusu haki za binadamu na hali yake ilivyo ya sasa, na baadhi yao wametoa mapendekezo kuhusu mageuzi ya kamati ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa.
|
Je, nchi za kiarabu zitachukua hatua kwa pamoja? 2005/03/21 hivyo na namna ya mkutano huo wa wakuu wa nchi kusawazisha misimamo tofauti na kuchukua hatua halisi za pamoja, limekuwa jambo linalohusiana na umuhimu na maendeleo ya umoja wa nchi za kiarabu.
|
Utabiri wa hali ya mkutano wa viongozi wa Umoja wa Ulaya 2005/03/21 Mkutano wa viongozi wa Umoja wa Ulaya utafanyika tarehe 22 na 23 mjini Bruselss, mji mkuu wa Ubelgiji. Mkutano huo utajadili mageuzi ya "Mkataba wa Utulivu na Maongezeko" na kupima utekelezaji wa "Mkakati wa Lisbon" ambao umepita nusu yake ya muda kabla ya kufikia lengo lililowekwa na mkakati huo
|
Mazungumzo kati ya makundi mbalimbali ya Palestina yapata maendeleo mazuri 2005/03/18 Mazungumzo mapya kati ya makundi mbalimbali ya Palestina yalimalizika tarehe 17 huko Cairo. Mkutano huo ulitoa taarifa ukiahidi kuhakikisha hali ya utulivu kati ya Palestina na Israel tangu mwezi Februari mwaka huu.
|
Athari za vita vya Iraq kwa uhusiano wa kimataifa 2005/03/18 Miaka miwili iliyopita, Marekani iliupuuza Umoja wa Mataifa kuanzisha vita dhidi ya Iraq, na kusababisha mgogoro mkubwa kabisa wa kimataifa baada ya kumalizika kwa vita baridi.
|
Mwelekeo wa kuondoa jeshi nchini Iraq hauzuiliki 2005/03/17 Wakati inapotimia miaka miwili tangu kuanza kwa vita vya Iraq, nchi za Italia, Bulgaria, Ukraine na Ureno zilizoiunga mkono Marekani kuanzisha vita hivyo na kupeleka jeshi nchini humo, hivi sasa zote zilitoa ombi la kuondoa majeshi yao nchini Iraq.
|
Kwa nini Umoja wa Ulaya waahirisha mazungumzo na Croatia kuhusu Croatia kujiunga na Umoja huo ? 2005/03/17 Mkutano wa Umoja wa Ulaya uliofanyika mwezi Desemba mwaka jana uliamua kuanzisha mazungumzo na Croatia tarehe 17 mwezi huu kuhusu nchi hiyo kujiunga na Umoja huo.
|
Israel kuikabidhi Palestina mji wa Jericho 2005/03/17 Baada ya mazungumzo magumu ya wiki kadhaa, mwishowe mnamo tarehe 16 Israel iliikabidhi Palestina haki ya udhibiti wa usalama wa Jericho, mji wa kando ya magharibi ya Mto Jordan.
|
Madhumuni ya ziara ya Condoleezza Rice Asia Kusini 2005/03/16 Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Bi. Condoleezza Rice tarehe 15 usiku aliwasili mjini New Delhi na kufanya ziara ya siku moja nchini India. Baadaye ataitembelea Pakistan.
|
Mazungumzo kati ya makundi mbalimbali ya Palestina yafanyika mjini Cairo 2005/03/16 Mazungumzo kati ya makundi mbalimbali ya Palestina yalifanyika tena tarehe 15 huko Cairo. Huu ni mkutano wa kwanza uliofanyika kati ya makundi baada ya Palestina kupata mamlaka ya utawala mwezi Januari.
|
Mchakato wa amani nchini Cote D'ivoire umekwama 2005/03/15
Ili kuanzisha tena mchakato wa amani nchini Cote D'ivoire uliokwama, Umoja wa Afrika umetuma kikundi cha wanasheria na hivi sasa kikundi hicho kinavisuluhisha kwa juhudi vikundi mbalimbali nchini Cote d'Ivoire. Lakini kutokana na jinsi hali ilivyo sasa juhudi za kikundi hicho zinakabiliwa na matatizo mengi. 
|
Mkutano wa 61 wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa wafunguliwa 2005/03/15
Mkutano wa 61 wa kamati ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa ulifunguliwa tarehe 14 huko Geneva. Mkutano huo utajadili mada kuhusu haki za binadamu.
|
Mazungumzo kuhusu kuundwa kwa baraza la serikali nchini Iraq yanasuasua 2005/03/14 Chama cha Umoja wa Iraq (the United Iraqi Alliance) cha waumini wa madhehebu ya Shia kilichokuwa cha kwanza kwa idadi ya kura na Chama cha Muungano wa Vyama vya Kurd kilichokuwa cha pili kwa idadi ya kura katika uchaguzi mkuu tarehe 13 vilitangaza kuwa havikufikia makubaliano katika mazungumzo kuhusu kuundwa kwa baraza la serikali
|
Kwa nini Marekani na Ulaya zimebadili sera zao katika suala la nyuklia la Iran 2005/03/14 Mazungumzo ya duru la nne kati ya Nchi tatu za Ulaya Ufaransa, Ujerumani na Uingereza na Iran yaliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita hayakupata mafanikio.
|
Mashambulizi ya mabavu yaongezeka nchini Iraq kabla ya kuanzishwa kwa serikali mpya 2005/03/11 Mlipuko wa mabomu ya kujiua ulitokea tarehe 10 kwenye msikiti mmoja wa madhehebu ya Shia huko Mosul, mji wa kaskazini mwa Iraq, na kusababisha vifo vya watu 47 nawengine zaidi 90 kujeruhiwa.
|
Umoja wa Mataifa watoa mwito kuimarisha ushirikiano wa kimataifa katika mapambano dhidi ya ugaidi. 2005/03/11 Mkutano wa kimataifa wa siku tatu kuhusu demokrasia, mapambano dhidi ya ugaidi na usalama ulifungwa tarehe 10 huko Madrid, Hispania, ambapo katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Kofi Annan alitoa ripoti ya "Mikakati ya mapambano dhidi ya ugaidi ya dunia nzima"
|
Mapambano dhidi ya ugaidi yahitaji ushirikiano wa kimataifa 2005/03/10 Ili kuadhimisha mwaka mmoja baada ya tukio la mlipuko wa Machi,11 huko Madrid, mkutano wa kimataifa kuhusu demokrasia, usalama na mapambano dhidi ya ugaidi unaolenga kutafuta mbinu za kupambana na ugaidi, ulifunguliwa jana huko Madrid, mji mkuu wa Hispania.
|
Kuuawa kwa Aslan Maskhadov hakutaleta athari yoyote 2005/03/10 Tarehe 9 idara ya usalama ya Russia imethibitisha kuwa kiongozi wa vikundi vya magaidi vya Chechnya aliuawa tarehe 8 katika oparesheni ya kijeshi ya Russia.kwa mujibu wa sheria za Russia, maiti ya Maskhadov haitakabidhiwa kwa jamaa zake bali itazikwa kisiri baada ya kukamilisha taratibu za kisheria.
|
Kwa nini China haikubaliani na marufuku ya ku-"clone" binadamu 2005/03/09 Baraza kuu la 59 la Umoja wa Mataifa liliidhinishasha "Azimio la Umoja wa Mataifa kuhusu ku-clone binadmau" kwa kura 84 za ndiyo, 34 za hapana na kura 37 hazikupigwa.
|