Palestina na Israel zina mabishano makali kuhusu kukabidhi udhibiti wa usalama wa miji ya kando ya magharibi ya mto Jordan 2005/03/09 Mwenyekiti wa mamlaka ya utawala ya Palestina Bwana Mahmoud Abbas jana alikutana na waziri wa ulinzi wa Israel Bwana Shaul Mofaz katika kituo cha ukaguzi cha Erez kilichoko mpakani kati yake na Israel.
|
Jeshi la Syria nchini Lebanon laanza kurudishwa kwenye Bonde la Bekaa 2005/03/08 Tarehe 7 kamati mbili za viongozi wakuu wa Syria na Lebanon walikubaliana kwamba jeshi la Syria nchini Lebanon litarudishwa kabisa kwenye Bonde la Bekaa kabla ya mwishoni mwa mwezi huu.
|
Kwa nini Iran inashikilia msimamo wake kuhusu suala la nyuklia 2005/03/07 Hivi karibuni, Iran ilieleza kithabiti msimamo wake kuhusu suala la nyuklia la Iran, jambo ambalo limefuatiliwa sana na jumuiya ya kimataifa.
|
Somalia yaitaka jumuiya ya kimataifa iisaidie kutatua suala la takataka zilizomwagwa kwenye bahari iliyoko karibu na nchi hiyo 2005/03/07 Baadhi ya wabunge wa Somalia tarehe 5 waliitisha mkutano na waandishi wa habari huko Nairobi, mji mkuu wa Kenya, ambapo walitoa mwito wa kuitaka jumuiya ya kimataifa iisaidie Somalia kutafuta utatuzi wa suala la takataka zenye uchafuzi zilizomwagwa kwenye bahari iliyoko karibu na Somalia.
|
Nchi za kiarabu zafanya juhudi kusuluhisha mgogoro kati ya Syria na Lebanon 2005/03/04 Mkutano wa 123 wa baraza la mawaziri wa mambo ya nje la Umoja wa nchi za kiarabu ulifunguliwa jana huko Cairo. Ingawa mawaziri wa Syria na Lebanon wote hawakuhudhuria mkutano huo, lakini mgogoro kati ya nchi hizo mbili ulikuwa suala muhimu lililojadiliwa kwenye mkutano huo.
|
Suala la nyuklia la Iran latatuliwa kwa ubaridi 2005/03/04 Mkutano wa spring wa Shirika la Nishati ya Atomiki Duniani(IAEA) tarehe 3 ulifungwa huko Geneva. Mkutano huo haukuwa na mengi ya kuzingatiwa, lakini umaalum wake ni kuwa shirika hilo lilitatua suala la nyuklia la Iran kwa ubaridi.
|
Utatuzi wa haki wa suala la Palestina na Israel wahitaji ushirikiano wa jumuiya ya kimataifa 2005/03/03 Mkutano wa London wa kuunga mkono mamlaka ya utawala wa Palestina ulimalizika huko London tarehe 1, mwezi Machi. Pande zote zilizohudhuria mkutano huo zikifuata mpango wa amani ya Mashariki ya Kati ziliafikiana kuhusu hatua halisi zinazopaswa kuchukuliwa ili kuanzisha nchi ya Palestina.
|
Kwa nini ni vigumu kwa kesi ya wakuu waandamizi wa zamani wa Iraq kuendelea? 2005/03/03 Polisi ya Iraq tarehe pili ilitangaza kuwa jaji wa mahakama maalumu ya kushughulikia kesi ya wakuu waandamizi wa zamani wa Iraq Bw. Barwez al-Merwani na mtoto wake ambaye pia ni mwanasheria Bw. Aryan al-Merwani tarehe mosi waliuawa na watu wasiofahamika.
|
Umoja wa Mataifa wachambua hali na mapambano dhidi ya dawa za kulevya duniani 2005/03/02 Shirika la Udhibiti wa Dawa za Kulevya Duniani mnamo tarehe mbili Machi ilitoa "ripoti ya mwaka 2004". Baada ya kuchmbua hali ilivyo ya dawa za kulevya duniani
|
Mkutano wa London wafikia maafikiano kuhusu kuisaidia Palestina kuanzisha nchi 2005/03/02 Mkutano wa London unaounga mkono mamlaka ya utawala wa Palestina ulimalizika tarehe 1. Pande zote zilizohudhuria mkutano huo zilifikia maafikiano kuhusu hatua halisi za kujenga nchi ya Palestina kutokana na mpango wa amani ya Mashariki ya Kati...
|
Maendeleo ya hali ya mambo kuhusu suala nyuklia la Iran yafuatiliwa na watu 2005/03/01 Mkutano wa siku 4 wa majira ya mchipuko wa Shirika la nishati ya atomiki duniani ulifunguliwa tarehe 28 Februari huko Vienna. Ajenda ya mkutano huo ni kuhusu suala la nyuklia la Iran, kama ilivyokuwa kwenye mikutano iliyofanyika katika miaka miwili ya hivi karibuni.
|
Msukosuko wa kisiasa nchini Lebanon wazidi kuwa mbaya 2005/03/01 Kutokana na shinikizo kubwa la chama cha upinzani na waandamanaji, serikali inayoongozwa na Omr Karami ilijiuzulu tarehe 28 Februari. Msukosuko wa kisiasa uliosababishwa na kuuawa kwa waziri mkuu wa zamani hayati Hariri umezidi kuwa mbaya.
|
Russia na Iran zasaini mkataba wa kutoa vifaa vya nishati ya nyuklia na kurejesha mabaki yake 2005/02/28 Russia na Iran tarehe 27 zilisaini mkataba wa kukipatia kituo cha kuzalisha umeme kwa nishati ya nyuklia cha Busher cha Iran vifaa vya nishati ya nyuklia na kurejesha mabaki ya vifaa hivyo.
|
Akili tulivu yavunja mzunguko mbaya wa kulipiza kisasi kwa milipuko 2005/02/28 Mlipuko uliotokea tarehe 25 huko tel Aviv ulivunja hali tulivu kati ya Israel na Palestina, na watu walikuwa na wasiwasi kuwa huenda mlipuko huo utaanzisha tena mzunguko mbaya wa kulipiza kisasi kwa milipuko na kuharibu fursa nzuri isiyopatikana kwa urahisi ya kuweza kupata amani.
|
Mkutano wa kimataifa wa London kuhusu suala la mashariki ya kati 2005/02/28
Mkutano wa kimataifa kuhusu suala la mashariki ya kati unatazamiwa kufanyika tarehe mosi Machi huko London, Uingereza, mkutano huo utajadili hasa mageuzi ya Palestina katika sekta za siasa na usalama pamoja na utoaji misaada ya kimataifa kwa Palestina.
|
Serikali ya mpito ya Somalia yapiga hatua ya kwanza kurudi nyumbani 2005/02/25 Rais wa muda wa Somalia Abdullahi Yusuf Ahmed na waziri mkuu wa serikali ya muda Ali Mohammed Ghedi tarehe 24 walirudi Somalia kutoka Nairobi, Kenya.
|
Mamlaka ya utawala wa Palestina yawa na sura mpya 2005/02/25
Tarehe 24 wajumbe wapya wa mamlaka ya utawala wa Palestina waliapishwa rasmi huko Ramallah. Wachambuzi wanaona kuwa baraza jipya litakaloongozwa na waziri mkuu Ahmed Qureia litakuwa muhimu kwa mustakbali wa Palestina na hali ya wasiwasi kati ya Palestina na Israel.
|
Mgogoro wa uundaji wa baraza la serikali nchini Palestina watarajiwa kumalizika 2005/02/24 Kutokana na kuwa theluthi mbili za wajumbe wa kamati ya utungaji wa sheria walitoka FATAH, hivyo kuidhinishwa kwa orodha hiyo ya mawaziri wapya kwa kundi hilo la FATAH, kunamaanisha kuwa njia ya kutatua mgogoro wa uundaji wa baraza la mawaziri imepitika.
|
Uhusiano mzuri kati ya Marekani ya Ulaya hautaridi tena 2005/02/24 Tarehe 22 viongozi wa nchi za NATO walifanya mkutano huko Brussels, viongozi wa nchi wanachama 26 akiwa ni pamoja na rais Bushi wa Marekani walihudhuria mkutano huo.
|
Syria yakabliliwa na shinikizo kutoka pande mbili katika suala la kuondoa jeshi nchini Lebanon 2005/02/24 Ingawa mhalifu aliyemwua waziri mkuu wa zamani wa Lebanon Bw. Rafik Hariri bado hajajulikana, lakini vyama vya upinzani vya nchi hiyo na nchi kubwa za magharibi zimechukua fursa hii kulaani kuwepo kwa jeshi la Syria nchini Lebanon
|
Mazungumzo ya pande 6 ni njia mwafaka zaidi kuliko nyingine ya kutatua suala la nyuklia la peninsula ya Korea 2005/02/23 Hivi karibuni mazungumzo ya pande 6 kuhusu suala la nyuklia la peninsula ya Korea yamekuwa yakifuatiliwa sana na jumuiya ya kimataifa.
|
Ugonjwa wa mafua ya ndege warudi tena 2005/02/23 Tarehe 23 Shirika la Afya, Shirika la Chakula na Shirika la Afya ya Wanyama duniani yatafanya mkutano wa pili wa siku tatu mjini Ho Chi Minh, Vietnam, kujadili hatua za kukinga na kudhibiti ugonjwa wa mafua ya ndege barani Asia.
|
Shirikisho la mshikamano wa Iraq lamteua Ibrahim al-Jaafari kuwa mgombea wa waziri mkuu 2005/02/23 Shirikisho la mshikamano wa Iraq, ambalo viongozi wake wengi ni Waislamu wa madhehebu ya Shia lililoshinda katika uchaguzi mkuu wa Iraq, tarehe 22 lilimteua kiongozi wa chama cha Dawa cha kiislam cha shirikisho hilo Bw. Ibrahim al-Jaafari kuwa mgombea wa waziri mkuu wa serikali ya mpito.
|
Kweli uhusiano kati ya Marekani na Ulaya unaweza kuingia katika "zama mpya" ? 2005/02/22 Rais Bush wa Marekani ameanza ziara yake barani Ulaya. Tarehe 21 huko Brussels, kwenye hotuba yake alitaka Marekani na nchi za Ulaya zianze tena "zama mpya" za uhusiano uliovuka bahari ya Atlantiki.
|
Serikali ya Togo inakumbwa na janga nchini na nje 2005/02/21 Umoja wa uchumi wa nchi za Afrika ya magharibi ECOWAS, hivi karibuni umetangaza kuweka vikwazo kwa pande zote dhidi ya Togo ili kumlazimisha rais Faure Gnassingbe ajiuzulu.
|
"Urithi wa Kisiasa" wa Ariel Sharon 2005/02/21 Tarehe 20 vyombo vya habari vinaiita "Jumapili Maalumu", kwani katika siku hiyo baraza la mawaziri la Israel iliamua mambo mawili muhimu yanayohusu mpaka kati ya Israel na Palestina: Moja ni kuwa mpango wa upande mmoja umepitishwa na utaanza kutekelezwa kuanzia mwezi Julai mwaka huu; jingine ni kuwa ramani iliyorekebishwa ya "ukuta wa utenganishaji" imepitishwa.
|
New York-Bw. Kofi Annan atoa mwito wa kusuluhisha mgogoro unaohusika na katiba nchini Togo 2005/02/20
|
Bw. Zeng Peiyan aondoka kutoka Beijing na kufanya ziara kwa nchi tatu za Afrika 2005/02/20
|
Abuja-Umoja wa Afrika na Umoja wa uchumi wa nchi za Afrika ya magharibi waitaka tena serikali ya Togo kurudhisha utaratibu wa katiba 2005/02/20
|
Mwaka 2004 vijana wa China vijijini wapatao laki 8 wapata mafunzo ya kikazi 2005/02/20
|