Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
  • Usimamishaji wa vita kati ya Palestina na Israel uko hatarini
  •  2005/04/11
    Siku za karibuni migogoro kati ya Palestina na Israel ilizuka tena. Tarehe 9, askari wa Israel waliwaua vijana vitatu wa Palestina katika sehemu ya kusini mwa Gaza na kusababisha ghadhabu kubwa kwa Wapalestina.
  • Ujerumani yaadhimisha ukombozi wa kambi ya wafungwa ya Buchenwald miaka 60
  •  2005/04/11
    Tarehe 10 serikali ya Ujerumani ilifanya maadhimisho ya miaka 60 ya ukombozi wa kambi ya wafungwa katika mji maarufu wa kihistoria Weimar, mashariki mwa Ujerumani.
  • Usimamishaji wa vita kati ya Palestina na Israel uko hatarini
  •  2005/04/11
    Siku za karibuni migogoro kati ya Palestina na Israel ilizuka tena. Tarehe 9, askari wa Israel waliwaua vijana vitatu wa Palestina katika sehemu ya kusini mwa Gaza na kusababisha ghadhabu kubwa kwa Wapalestina.
  • Mageuzi ya utaratibu wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu yasababisha migongano
  •  2005/04/08
    Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bwana Kofi Annan tarehe 7 huko Geneva alitoa hotuba kwenye mkutano wa 61 wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa, akipendekeza kufanya mageuzi kuhusu utaratibu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa.  
  • kwa nini bei ya mafuta duniani inapanda tena kwa haraka
  •  2005/04/08
    kwa kawaida, katika majira ya Spring, matumizi ya nishati ya mafuta huwa yanapungua, na bei ya mafuta katika soko la kimataifa pia inapungua. Lakini mwaka huu, bei ya mafuta imeendelea kuongezeka kuanzia mwezi Machi. Wataalamu wanaona kuwa, ongezeko hilo la bei ya mafuta linatokana na sababu nyingi ambazo haziwezi kuondolewa kwa urahisi katika muda mfupi.
  • Kuruhusiwa mabasi kwenda Kashmir kwahimiza maendeleo ya uhusiano kati ya India na Pakistan.
  •  2005/04/08
    Mabasi yaliruhusiwa rasmi tarehe 7 kupita kati ya mji mkuu Srinagar wa Kashmir inayodhibitiwa na India na mji mkuu Muzaffarabad wa Kashmir inayodhibitiwa na Pakistan.
  • Mchakato wa amani ya Cote D'Ivoire warejea kuwa na hali nzuri tena
  •  2005/04/07
    Viongozi wa pande mbalimbali zilizopambana za Cote D'Ivoire tarehe 6 huko Pretoria, nchini Afrika ya Kusini walisaini Makubaliano ya Pretoria, wakikubali kusimamisha kwa pande zote vita vya wenyewe kwa wenyewe sasa hivi.     
  • Maoni tofauti ya chama cha upinzani hayawezi kubadilisha matokeo ya uchaguzi mkuu wa Zimbabwe
  •  2005/04/07
    Ingawa chama cha upinzani cha MDC tarehe 6 kilitoa taarifa ikisema kuwa imepata ushahidi kuhusu udanganyifu mbaya wa chama tawala katika uchaguzi, na kusema kuwa kitakabidhi ushahidi huo kwa Jumuiya ya maendeleo ya kusini mwa Afrika, lakini kutokana na hali ya pande mbalimbali, maoni tofauti ya chama cha upinzani hayawezi kubadilisha matokeo ya uchaguzi wa bunge wa Zimbabwe.
  • Mchakato wa ukarabati wa kisiasa nchini Iraq wapiga hatua nyingine kubwa
  •  2005/04/07
    Mkutano wa nne wa bunge la mpito la Iraq tarehe 6 ulimchagua kiongozi wa Chama cha Umoja wa Wazalendo cha Kurdistan Bw. Jalal Talabani kuwa rais wa Iraq, kumchagua kiongozi wa madhehebu ya Shia Bw. Adel Abdul Mahdi ambaye pia ni waziri wa fedha wa sasa kuwa makamu wa kwanza wa rais...
  • Hali ya wasiwasi yatokea tena katika mchakato wa kisiasa wa Kyrgyzstan
  •  2005/04/06
    Mkutano wa bunge la Kyrgyzstan uliopangwa kufanyika tarehe 5 umeahirishwa. Kwa mujibu wa mpango uliowekwa, suala la kujiuzulu kwa rais Askar Akayev lingejadiliwa kwenye mkutano huo.
  • Ukaguzi wa mara nne kuhusu vitabu vya kiada vya historia
  •  2005/04/06
    Serikali ya Japan kila baada ya miaka minne inakagua vitabu vya kiada vya historia vinavyotungwa na mashirika ya uchapishaji yasiyo ya kiserikali.
  • Raia wa Sudan waandamana kulaani azimio la Umoja wa Mataifa
  •  2005/04/06
    Maelfu kumi kadhaa ya raia wa Sudan tarehe 5 waliandamana katika mji mkuu Khartoum, wakilaani Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kupitisha azimio nambari 1593 mwishoni mwa mwezi uliopita na kuunga mkono serikali ya Sudan kutangaza kupinga azimio hilo.
  • Shirika la nishati duniani latoa mwito kubana matumizi ya mafuta
  •  2005/04/05
    Shirika la nishati duniani siku chache zilizopita lilitoa ripoti ya uchunguzi ikitoa mwito wa dharura kwa nchi zinazoagiza mafuta kuchukua hatua madhubuti kujitahidi kupunguza matumizi ya mafuta.
  • Kundi la upinzani la Rwanda FDLR latangaza kusalimisha silaha.
  •  2005/04/04
    Kundi kubwa la upinzani la kabila la Wahutu nchini Rwanda FDLR tarehe 31 lilitangaza huko Rome, mji mkuu wa Italia kusimamisha vita dhidi ya serikali ya Rwanda, kusalimisha silaha na kurudi nyumbani kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
  • Zimbabwe yachukua hatua kuhakikisha hali ya utulivu baada ya uchaguzi mkuu wa bunge
  •  2005/04/04
    Tarehe 2 Aprili, matokeo ya uchaguzi mkuu wa bunge la Zimbabwe yalitangazwa, chama tawala cha nchi hiyo ZANU-PF kilipata ushindi kwa kupata theluthi mbili ya viti vya bunge.
  • Askar Akayev atangaza kuacha urais wa Kirghizstan
  •  2005/04/04
    Baada ya mazungumzo na ujumbe wa bunge la Kirghizstan yaliyofanyika tarehe 3 huko Moscow rais Askar Akayev wa Kirghizstan ametangaza rasmi kuacha urais wa nchi hiyo, na atasaini muhtasari wa mazungumzo ya kujiuzulu urais tarehe 4 mjini Moscow.
  • Mahmoud Abbas afungua pazia la mageuzi ya usalama
  •  2005/04/04
    Kutokana na kumwondoa madarakani kamanda wa vikosi vya usalama vya Palestina vilivyoko katika kando ya magharibi ya mto Jordan, mwenyekiti wa mamlaka ya Palestina Bw. Mahmoud Abbas tarehe 3 alfajiri alitangaza sehemu ya utawala wa Palestina iliyoko katika kando ya magharibi ya mto Jordan kuingia katika hali ya hatari, ili kurejesha utaratibu wa sheria katika sehemu hiyo, kuhakikisha usalama wa raia na kulinda utaratibu wa jamii wa kawaida.
  • Uchaguzi wa bunge la Zimbabwe wamalizika katika hali ya utulivu
  •  2005/04/01
    Uchaguzi wa bunge la Zimbabwe ulifanyika tarehe 31 mwezi Machi. Ukilinganishwa na uchaguzi uliofanyika katika miaka mitano iliyopita, uchaguzi huo ulifanyika katika hali ya utulivu.
  • Kwa nini Iran "yadhihirisha wazi" zana za nyuklia?
  •  2005/04/01
    Tarehe 30 mwezi Machi, waandishi wa habari kutoka ndani na nje ya Iran kiasi 30 walitembezwa na rais Khatami wa Iran katika sehemu ya Natanz palipofichwa zana za kusafisha uranium hapo zamani. Kitendo hicho kisicho cha kawaida kimefuatiliwa sana.
  • Kazi ya kuokoa maafa nchini Indonesia yakabiliwa na matatizo makubwa
  •  2005/03/31
    Ikiwa imefika siku ya tatu baada ya tetemeko kubwa la ardhi kutokea kwenye bahari ya kisiwa Sumatra nchini Indonesia, mpaka sasa matetemeko madogo bado yanatokea mara kwa mara, na kazi ya kuokoa maafa nchini humo inakabiliwa na matatizo mbalimbali.
  • Mabadiliko mapya yatokea nchini Kyrgyzstan
  •  2005/03/31
    Mabadiliko mapya yalitokea hivi karibuni nchini Kyrgyzstan. Rais Askar Akayev wa nchi hiyo aliyekwenda nchini Russia amebadilisha msimamo wa kushikilia kutojiuzulu wadhifa ya urais na kueleza kujiuzulu kwa masharti.
  • Kwa nini Umoja wa Ulaya umekubali "mwanzilishi wa vita vya Iraq" awe mkurugenzi wa benki ya dunia?
  •  2005/03/31
    Bw. Paul Wolfowitz, mtu aliyependekezwa na rais Bush wa Marekani kuwa mgombea wa ukurugenzi wa benki ya dunia, tarehe 30 aliwasili Brussels na alikutana na waziri mkuu wa Luxenbourg, nchi mwenyekiti wa zamu ya Umoja wa Ulaya
  • Ariel Sharon aondoa vikwazo kwa ajili ya kutekeleza mpango wa upande mmoja
  •  2005/03/30
    Tarehe 29 bunge la Israel lilipitisha bajeti ya mwaka 2005 iliyowasilishwa na serikali ya Israel, hivyo baraza la serikali lilisalimika bila kuvunjwa, na vikwazo vya kutekeleza mpango wa upande mmoja wa Sharon vimeondolewa.
  • Serikali mpya ya Lebanon bado yakabiliwa na matatizo
  •  2005/03/30
    Kutokana na kushindwa kulishawishi kundi la wapinzani kujiunga na serikali ya umoja wa kitaifa, waziri mkuu wa serikali ya uangalizi ya Lebanon Bw. Omr Karami tarehe 29 alitangaza kuwa atajiuzulu tena uwaziri mkuu
  • Uchaguzi wa bunge la Zimbabwe wafuatiliwa zaidi
  •  2005/03/29
    Zimbabwe imeamua kufanya uchaguzi wa bunge tarehe 31,Machi, ambapo wapiga kura wa Zimbabwe watawachagua wabunge 120 miongoni mwa viti 150 kwenye bunge, na 30 waliobaki watateuliwa na kamati ya machifu au kuteuliwa moja kwa moja na rais.
  • Hali ya Misri imekuwa ya wasiwasi
  •  2005/03/28
    Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi mkuu wa Misri. Tokea mwanzoni mwa mwaka huu, malumbano kuhusu kumchagua rais mpya kati ya watu wa sekta mbalimbali nchini Misri yamekuwa yakiendelea mpaka sasa
  • Hali ya Kyrgyzstan yatulia
  •  2005/03/28
    Utaratibu wa jamii wa Bishkek, mji mkuu wa Kyrgyzstan tarehe 27 unaelekea kutulia. Siku hiyo, ugomvi kati ya bunge la zamani na bunge jipya ulimalizika, bunge jipya lilianza kufanya kazi na wabunge 54 waliapishwa kushika madaraka.
  • Milipuko mfululizo yaongeza hali ya wasiwasi nchini Lebanon
  •  2005/03/28
    Hivi karibuni hali ya usalama nchini Lebanon imekuwa mbaya. Mjini Beirut, mji mkuu wa Lebanon imetokea milipuko mingi mfululizo inayowalenga raia. Rais Emile Lahoud tarehe 27 aliahidi kuwa, serikali yake itafanya juhudi kadiri iwezavyo ili kuizuia milipuko isitokee tena na kulinda hali ya muungano na usalama wa nchi yake.
  • Cote d'Ivoire yakabiliwa na hatari ya vita vya wenyewe kwa wenyewe
  •  2005/03/25

    Askari wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa nchini Cote d'Ivoire ni wachache, na makundi mbalimbali nchini humo yanaharakisha kujiandaa kwa vita, hivyo hali nchini humo ina hatari ya kutodhibitiwa, na vita vya wenywe kwa wenyewe huenda vitatokea ambavyo vitawaletea watu wa Cote d'Ivoire na sehemu ya Afrika ya Magharibi hasara kubwa.        

  • China yaunga mkono mageuzi ya Umoja wa Mataifa
  •  2005/03/24
    Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw.Kofi Annan tarehe 21 alitoa ripoti kuhusu mswada wa mageuzi ya Umoja wa Mataifa. Mambo yaliyomo katika ripoti hiyo ni pamoja na usalama, maendeleo, haki za binadamu na mageuzi ya miundo ya Umoja huo.    
    1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26 27 28 29 30 31 32 33 34 35 36 37 38 39 40 41 42 43 44