Lusaka-Ghasia yazuka mpakani mwa Zambia na Tanzania 2005/02/19
|
Khartoum-Mjumbe wa serikali ya China afanya mazungumzo na viongozi wa Sudan 2005/02/19
|
Dar es Salaam-Serikali ya Sweden yatoa msaada wa kupambana na ukimwi kwa Tanzania 2005/02/19
|
0219 2005/02/19
|
Pyongyang-Korea ya kaskazini yasema inaweza kurudi kwenye mazungumzo kuhusu suala la nyuklia ya peninsula la Korea kwa masharti 2005/02/19
|
Serikali ya Sudan na majeshi ya upinzani ya Darfur vyakubaliana kufufua mazungumzo ya amani 2005/02/18 Serikali ya Sudan na majeshi makubwa ya upinzani ya sehemu ya Darfur tarehe 17 yalikuwa na mazungumzo ya siku moja huko N'djamena, mji mkuu wa Chad, ambapo pande hizo mbili zimekubaliana kufufua mazungumzo ya amani kabla ya mwishoni mwa mwezi huu.
|
Bw. Ariel Sharon aondokana na usumbufu wa kashfa ya ufisadi 2005/02/18 Mwendeshaji mkuu wa mashitaka wa Israel Bw. Menachem Mazuz jana alitangaza kuwa, kutokana na kutokuwa na ushahidi wa kutosha, waziri mkuu Ariel Sharon hatashitakiwa kwa kesi ya ufisadi iliyotokea miaka kadhaa iliyopita.
|
Mazishi yenye mtindo dhahiri wa kisiasa ya Bw. Rafik Hariri 2005/02/17 Mazishi ya waziri mkuu wa zamani wa Lebanon Bw. Rafik Hariri aliyeuawa hivi karibuni yalifanyika jana huko Beruit, mji mkuu wa nchi hiyo. Wanasiasa mashuhuri wa nchi mbalimbali na jumuiya za kimataifa, maelfu ya waungaji mkono wake na raia wa kawaida walihudhuria mazishi hayo.
|
Utekelezaji wa Mpango wa Upande Mmoja wa Sharon Wavuka Kikwazo 2005/02/17
Tarehe 16 bunge la Israel lilipitisha "sheria ya kuwafidia wakazi Wayahudi wanaohamishwa kutoka kwenye makazi". Sheria hiyo imesaidia kisheria utekelezaji wa mpango wa upande mmoja wa Sharon kwa kuondoa kikwazo kikubwa.
|
Iraq na Afghanistan, "mfuko wa fedha uliotoboka" wa Marekani 2005/02/16 Rais Bush wa Marekani hivi karibuni amewasilisha nyongeza ya dola za Kimarekani bilioni 81.9 katika bajeti kwa ajili ya shughuli za jeshi lake nchini Iraq na Afghanistan mwaka huu.
|
Mkutano wa wakuu wa Sharm el Sheikh na mustakbali wa mchakato wa amani 2005/02/08 Nchi nne za Misri, Jordan, Israel na Palestina zimeamua kufanya mkutano wa wakuu tarehe 8 huko Sharm el Sheikh nchini Misri, ambapo waziri mkuu wa Israel Ariel Sharon na mwenyekiti wa Mamlaka ya utawala wa Palestina Mahmmoud Abbas watakuwa na mazungumzo ya pande mbili kabla ya mkutano huo.
|
Maendeleo na mustakbali wa mazungumzo ya Doha kuhusu kilimo 2005/02/07 Shirika la biashara duniani WTO linafanya mazungumzo ya wiki moja huko Geneva kuanzia tarehe 7. Kwa kuwa suala la kilimo ni ajenda kuu ya mazungumzo ya Doha, ambalo ni muhimu katika kuathiri ajenda nyingine, hivyo suala la hilo linafuatiliwa sana na watu.
|
Palestina na Israel zajitahidi kufanikisha mazungumzo kati ya wakuu wa nchi hizo mbili 2005/02/04
Palestina, Israel, Misri na Jordan tarehe 8 zitafanya mkutano wa wakuu wa nchi nne kuhusu amani ya mashariki ya kati huko Sharm El-Sherikh, Misri. Mwenyekiti wa mamlaka ya taifa ya Palestina Bw. Mahmood Abaas na waziri mkuu wa Israel Bw Ariel Sharon wote watahudhuria mkutano huo.
|
Hakuna msingi hata kidogo kwa Marekani kuingilia suala kati ya China na Ulaya 2005/02/04 Hivi karibu Marekani iliingilia suala kati ya China na Ulaya kuhusu Umoja wa Ulaya kuondoa vikwazo vya kuiuzia silaha China. Tarehe mosi, waziri wa mambo ya nje wa Marekani aliyeteuliwa hivi karibuni Condoleezza Rice alisema kuwa Marekani haitauachia Umoja wa Ulaya uondoe vikwazo vya kuiuzia silaha China bila kuushughulikia. Tarehe 2 bunge la Marekani lilipitisha azimio la kupinga Umoja wa Ulaya kuizuia silaha China.
|
Fursa ya kuleta amani ya mashariki ya kati yaonekana tena 2005/02/04 Serikali ya Misri tarehe 2 ilitangaza kuwa, kutokana na pendekezo la rais Hosni Mubarak wa Misri, wakuu wa nchi nne za Palestina, Israel, Misri na Jordan watafanya mkutano kuhusu amani ya mashariki ya kati huko Sharm el Sheikh, Misri, ambapo mwenyekiti wa mamlaka ya utawala wa Palestina na waziri mkuu wa Israel watahudhuria mkutano huo
|
Lengo la ziara ya waziri wa mambo ya nje wa Marekani ni kuondoa tofauti ya maoni kati ya Marekani na Ulaya 2005/02/03 Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Bi. Condoleezza Rice ambaye alichukua wadhifu huo wiki moja tu iliyopita leo ameanza kufanya ziara nchini Uingereza, Ufaransa, Ujerumani, Italia, Ubelgiji, Luxemburg, Polland, Uturuki, Israel na Palestina.
|
Lengo la Misri kuitisha mkutano wa pande nne ni lipi? 2005/02/03 Ikulu ya Misri tarehe 2 huko Cairo ilitoa taarifa ikisema kuwa, rais Hosni Mubarak ametoa mwaliko rasmi kwa mfalme Abdullah wa pili wa Jordan, waziri mkuu wa Israel Ariel Sharon na mwenyekiti wa mamlaka ya utawala wa Palestina Mahmoud Abbas, kwenye mkutano wa wakuu wa pande nne tarehe 8 huko Sharm el Sheikh ya Misri. Hivi sasa pande tatu zinazohusika zimekubali kikanuni kuhudhuria mkutano huo.
|
Matarajio kuhusu Baraza la Ushirikiano wa Kiuchumi na Kibiashara kati ya China na Caribbean 2005/02/02 Mkutano wa kwanza wa Baraza la Ushirikiano wa Kiuchumi na Kibiashara la China na Caribbean umepangwa kufanyika leo na kesho huko Kingstone, mji mkuu wa Jamaica.
|
Hazina ya Marekani Itarekebisha Vipi Kiwango cha Riba 2005/02/02
Kamati ya Soko Wazi la Marekani (Federal Open Market Committee) inayoongoza Hazina ya Marekani (Federal Reserve) ilifanya mkutano wa siku mbili kuanzia tarehe mosi Februari huko Washington kujadili hali ya baadaye ya uchumi wa Marekani na kuweka sera mpya za kiwango wa riba. Wanauchumi wa Marekani wamebainisha kuwa Hazina ya Marekani itaongeza tena kiwango cha riba asilimia 0.25, lakini wanahitilafiana kuhusu namna ya kurekebisha riba na kiasi gani kitafaa.
|
Jeshi la Marekani litaondoka lini Iraq? 2005/02/02 Baada ya kufanya uchaguzi mkuu nchini Iraq, watu wengi wa Marekani wanaitaka serikali yao iondoe jeshi lake kutoka Iraq haraka iwezekanavyo. Lakini serikali ya Bush inasema kuwa haitaweka ratiba halisi ya kuondoa jeshi kutoka Iraq. Hivyo bado haijulikani lini wanajeshi wa Marekani nchini Iraq watarudi nyumbani.
|
Nchi za Afrika zasonga mbele kwa kushirikiana na kujikakamua 2005/02/01 Mkutano wa 4 wa wakuu wa Umoja wa Afrika uliofanyika kwa siku mbili jana ulifungwa huko Abuja, mji mkuu wa Nigeria.
|
Mkutano wa mwaka wa Baraza la Jumuiya ya Kimataifa wafuatilia masuala ya kijamii 2005/02/01 Mkutano wa 5 wa mwaka wa Baraza la Jumuiya ya Kimataifa, ambao ulifanyika kwa siku 5, ulifungwa tarehe 31 mwezi Januari katika mji wa Porto Alegre nchini Brazil.
|
Wataalamu wa China wazungumzia uchaguzi mkuu wa Iraq 2005/02/01 Uchaguzi mkuu wa Iraq umemalizika tarehe 30 Januari, na sasa umeingia katika siku za kuhesabu kura. Ingawa matukio ya mashambulizi yalitokea hapa na pale lakini yalikuwa machache, na wapiga kura hawakuathiriwa nayo, kwamba kiasi cha 60% ya watu wa Iraq walipiga kura.
|
Maendeleo ya Afrika yakabiliwa na fursa na changamoto kubwa 2005/01/31 Mkutano wa nne siku mbili wa viongozi wa serikali wa nchi za Umoja wa Afrika ulifunguliwa leo huko Abuja, mji mkuu wa Nigeria.
|
Uchaguzi mkuu usio wa kawaida nchini Iraq 2005/01/31 Uchaguzi mkuu wa Iraq ulifanyika tarehe 30 kwa mpango uliopangwa chini ya kiwingu cha mashambulio ya mabomu yaliyofanywa na wenye silaha mara kumi kadhaa.
|
Wairaq wapiga kura katika milipuko 2005/01/31
Iraq tarehe 30 ilifanya uchaguzi mkuu wa kwanza wa mfumo wa vyama vingi katika historia yake, wapiga kura walikwenda kwenye vituo vya sehemu mbalimbali vya kupigia kura, kuwachagua wabunge 275 wa bunge la mpito la Iraq kutoka vyama 111 vya kisiasa na kuunda serikali ya mpito ya nchi hiyo, ili kumaliza ukaliaji wa Marekani nchini humo kwa njia ya amani na kurejesha mamlaka na uhuru wa nchi hiyo.
|
Juhudi za kupita kiasi zaonesha wasiwasi wa jeshi la Marekani 2005/01/28 Uchaguzi mkuu wa Iraq utafanyika tarehe 30 mwezi huu. Tarehe 26 Rais George W. Bush wa Marekani alitoa hotuba kwenye mkutano wa kwanza na waandishi wa habari tangu kuapishwa kwake akitaka Wairaq wengi zaidi wajitokeze kwenye upigaji kura.
|
Dimba la uchaguzi mkuu wa Iraq lafunguliwa 2005/01/28 Tarehe 30 mwezi huu, uchaguzi mkuu nchini Iraq utafanyika tarehe 30 mwezi huu. Huu ni uchaguzi wa kwanza unaohudhuriwa na vyama vingi katika historia ya Iraq. Wapiga kura nje ya Iraq watapiga kura kuanzia tarehe 28.
|
Uchaguzi mkuu wa Iraq watarajiwa kufanyika bila vikwazo 2005/01/27
Baada ya siku chache zijazo, yaani tarehe 30 mwezi Januari, Iraq itafanya uchaguzi mkuu wa kwanza tangu Marekani ilipoanzisha vita vya Iraq. Hilo ni jambo kubwa katika mchakato wa mpito wa kisiasa nchini Iraq ambalo linafuatiliwa sana na watu wa sekta mbalimbali nchini Iraq na wa nchi za nje. Watu wanatumai kuwa katika hali yenye migogoro ya hivi sasa, uchaguzi mkuu wa Iraq utaweza kufanyika tarehe iliyopangwa na bila vikwazo na kuleta mazingira kwa ukarabati wa kisiasa na kiuchumi nchini humo.
|
Mkutano wa Baraza la uchumi duniani kujadili nini mwaka huu? 2005/01/26 Mkutano wa 35 wa mwaka wa Baraza la uchumi duniani utafanyika kuanzia tarehe 26 hadi 30 mwezi Januari huko Davos, Uswisi.
|