Italia yaisifu China kwa juhudi za kupambana na maafa ya tetemeko la ardhi 2008/05/30 Baada ya tetemeko kubwa la ardhi kutokea tarehe 12 huko Wenchuan mkoani Sichuan, China, nchi nyingi marafiki zilitoa misaada kwa China, ikiwemo Italia. Vifaa na dawa za misaada zilizotolewa na Italia hivi sasa zimewakilishwa kwenye sehemu zilizokumbwa na maafa, hospitali za muda na madaktari wanaojitolea pia walianza kazi za uokoaji mara baada ya kufika huko
|
Utawala wa mwaka mmoja wa Yar'Adua waweka msingi mzuri 2008/05/29 Tarehe 29 Mei ni siku ya kutimiza mwaka mmoja tangu rais Umaru Yar'Adua wa Nigeria ashike madaraka ya utawala. Ili kusherehekea siku hiyo pamoja na wananchi wa nchi nzima, rais Umaru Yar'adua ametangaza kuwa tarehe ya 29 Mei ni siku ya mapumziko ya umma. Mtaalamu wa Nigeria ameona kuwa, katika mchakato wa mwaka wa kwanza wa utawala wa nchi hiyo
|
Serikali ya Afrika Kusini kuchunguza chanzo cha ghasia za kuwafukuza wahamiaji 2008/05/28 Tarehe 27 serikali ya Afrika Kusini ilifanya mkutano wa dharura ulioshirikisha idara 11 husika kuchunguza chanzo cha ghasia za kuwafukuza wahamiaji na kujadili kazi zinazotakiwa kufanyika. Mkutano huo unaona kuwa kutilia maanani na kuboresha hali ya maisha ya wakazi maskini wa sehemu zilizo karibu na miji mikubwa ni msingi wa kutatua ghasia hizo.
|
"Taarifa ya Pamoja" yaimarisha msingi wa mkakati wa China na Russia 2008/05/26 Mwishoni mwa wiki iliyopita, Rais Dmitri Medvedev wa Russia alifanya ziara rasmi ya siku mbili nchini China. Hii ni mara ya kwanza kwa rais huyo kufanya ziara katika nchi za nje na pia ni mara ya kwanza kwake kutembelea nchi isio ya Jumuyia ya Nchi Huru za Russia
|
Raia wa kigeni wakimbia Afrika Kusini kutokana na ghasia za mabavu 2008/05/23 Tokea wiki iliyopita Afrika Kusini imekumbwa na vurugu za kuwafukuza raia wa kigeni nchini humo, na hadi kufikia tarehe 22 wageni 42 walikuwa wameuawa na elfu 16 wamepoteza makazi, kwa hiyo wageni wengi wamekimbia nchi hiyo.
|
China na nchi za Afrika zanufaika kutokana na uzoefu wa maendeleo ya uchumi 2008/05/20 Maofisa wa serikali za nchi 17 za Afrika pamoja na maofisa wa wizara husika za China na wasomi maarufu wa nchini na nchi za nje, tarehe 20 walikuwa na mkutano hapa Beijing kujadili namna ya kuzisaidia nchi za Afrika kukabiliana na changamoto za kimaendeleo kwa kujifunza uzoefu wa maendeleo ya China.
|
Mawaziri wa mambo ya nje wa nchi za "Matofali Manne ya Dhahabu" wakutana nchini Russia 2008/05/16 Mawaziri wa mambo ya nje wa China, Russia, India na Brazil tarehe 16 watakutana katika mji wa Yekaterinburg nchini Russia. Nchi hizo nne zinasifiwa kuwa ni "nchi zenye maendeleo ya haraka ya uchumi" duniani, na kutokana na mpangilio wa herufi za Kiingereza nchi hizo pia zinaitwa nchi za "matofali manne ya dhahabu".
|
Wachina wanaoishi katika sehemu mbalimbali duniani wachangia kazi ya uokoaji kwenye sehemu zilizokumbwa na tetemeko la ardhi 2008/05/15 Baada ya tetemeko la ardhi kutokea kwenye sehemu ya Wenchuan mkoani Sichuan, China, wachina wanaoishi katika nchi mbalimbali duniani na wanafunzi wa China wanaosoma kwenye sehemu mbalimbali duniani wametoa michango kuonesha ufuatiliaji wao kwa watu wa sehemu zilizokumbwa na maafa.
|
Umoja wa Mataifa wasifu kazi za uokoaji nchini China 2008/05/14 Tarehe 12 tetemeko kubwa la ardhi liliukumba mkoa wa Sichuan, kusini magharibi mwa China na kusababisha vifo vya watu wengi na hasara kubwa za mali. Chini ya uongozi wa serikali ya China, kazi za uokoaji zilianza mara moja baada ya kutokea kwa maafa hayo. Na kazi hizo zimesifiwa na mashirika mbalimbali ya Umoja wa Mataifa.
|
Kuna haja kubwa ya kuharakisha mchakato wa siasa wa Darfur 2008/05/12 Serikali ya Sudan tarehe 10 mwezi Mei ilitangaza kuwa ilivunja mashambulizi yaliyofanywa na kundi la watu wenye silaha wa Darfur wanaoipinga serikali ya nchi hiyo dhidi ya Khartoum, Mji mkuu wa nchi hiyo. Baadaye rais Omar al-Bashir wa nchi hiyo tarehe 11 mwezi huu alitangaza nchi yake kusimamisha uhusiano kati yake na Chad kwa kuwa mashambuzi hayo yaliungwa mkono na nchi hiyo.
|
Ziara ya rais Hu Jintao nchini Japan yasaidia kudumisha urafiki kati ya China na Japan 2008/05/11 Kutokana na mwaliko wa serikali ya Japan, rais Hu Jintao wa China alifanya ziara ya kiserikali nchini Japan kuanzia tarehe 6 hadi 10 May. Waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Yang Jiechi aliyefuatana na rais Hu katika ziara yake hiyo alisema, ziara hiyo imepata mafanikio makubwa.
|
Vladimir Putin ashika wadhifa wa waziri mkuu wa Russia 2008/05/09 Rais Dmitry Medvedev wa Russia tarehe 8 alisaini amri ya kumteua Bw. Vladimir Putin kuwa waziri mkuu wa serikali mpya ya Russia. Hii ni mara ya pili kwa Bw. Putin kushika wadhifa huo tangu mwaka 1999.
|
Mashirika ya Umoja wa Mataifa yatoa misaada kwa Myanmar 2008/05/07 Tarehe 2 na 3 Myanmar ilikumbwa na kimbunga cha kitropiki kilichopewa jina la "Nargis" na kusababisha hasara kubwa za mali na vifo vya watu wengi.
|
Kimbunga chasababisha hasara kubwa nchini Myanmar 2008/05/06 Waziri wa mambo ya nje wa Myanmar tarehe 5 alipozungumza na wanadiplomasia alisema, kimbunga cha kitropiki kilichokumba Myanmar kimesababisha vifo vya watu wasiopungua elfu 15, na idadi hiyo pengine itaongezeka kadiri shughuli za uokoaji zinavyoendelea.
|
Nchi za kusini mashariki ya Asia zachukua hatua kukabiliana na msukosuko wa vyakula 2008/05/05 Mwaka huu bei ya mchele imekuwa ikizidi kupanda kwenye soko la kimataifa, hali hii imeleta hofu kwenye baadhi ya nchi, ambapo watu walinunua vyakula kwa wingi na kuweka akiba, na kwenye nchi nyingine hata vurugu zilizuka.
|
Hali ya wasiwasi yazuka tena kati ya Russia na Georgia 2008/05/02 Wizara ya ulinzi ya Russia tarehe mosi Mei ilitangaza kuwa, Russia imeongeza kutuma wanajeshi wa kulinda amani Abkhazia nchini Georgia, na wanajeshi hao walikuwa wamefika kwenye sehemu hiyo. Siku hiyo Georgia ilitoa malalamiko kwa balozi wa Russia nchini Georgia, na kuonesha kuwa hali ya wasiwasi imezuka tena kati ya nchi hizo mbili.
|
Kura zaanza kuhesabiwa upya nchini Zimbabwe 2008/05/01 Tume ya uchaguzi ya Zimbabwe imewaalika wagombea wote wa urais au wawakilishi wao wasimamie kazi ya kuhesabu upya kura za uchaguzi wa urais iliyoanza tarehe 29 Aprili. Hatua hiyo huenda itaweza kuondoa hali ya mvutano ya hivi sasa.
|
Umoja wa Mataifa watoa hatua nyingi mfululizo kukabiliana na msukosuko wa nafaka 2008/04/30 Mkutano ulioshirikisha viongozi wa mashirika 27 yaliyo chini ya Umoja wa Mataifa na kuendeshwa na katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Ban Ki-moon umepata mafanikio makubwa baada ya kufanya mashauriano kwa siku moja. Asubuhi tarehe 29 Bw. Ban Ki-moon alitangaza hatua nyingi mfululizo za kukabiliana na msukosuko wa nafaka uliotokea hivi karibuni duniani
|
Sherehe ya ukaguzi wa gwaride ya Afghanistan yashambuliwa na kundi la Taliban 2008/04/28 Sherehe ya ukaguzi wa gwaride ya kuadhimisha miaka 16 ya ushindi wa mapambano dhidi ya uvamizi wa Urusi ilifanyika tarehe 27 mwezi huu huko Kabul, mji mkuu wa Afghanistan. Wakati watu wa nchi hiyo walipokuwa wanasherehekea siku hiyo, kundi la Taliban lilizusha mashambulizi na kusababisha vifo vya watu wanne akiwemo mbunge mmoja, lakini rais Hamid Karzai wa nchi hiyo alinusurika
|
Jumuyia ya kimataifa yapaswa kujifunza kutokana na kupanda kwa bei ya nafaka 2008/04/25 Hivi karibuni kutokana na bei ya nafaka kupanda kwa kasi, jumuyia ya kimataifa imeshikwa na wasiwasi, "msukosuko wa nafaka" limekuwa ni jambo linazumgumzwa miongoni mwa watu, bei ya nafaka na mafuta limekuwa suala linalofuatiliwa sana na jumuyia ya kimataifa.
|
Iran imekubali kueleza wazi mpango wake wa nyuklia kwa Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki 2008/04/24 Msemaji wa Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki Bi. Melissa Fleming tarehe 23 amethibitisha kuwa Iran imekubaliana na Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki kuwa, mwezi Mei itaeleza wazi mpango wake wa nyuklia unaoshukiwa kuendeleza utafiti wa kutengeneza silaha za nyuklia kwa Shirika hilo.
|
Kutatua masuala ya nishati kutasaidia maendeleo endelevu duniani 2008/04/22 Baraza la nishati la kimataifa lilifunguliwa tarehe 20 huko Rome, nchini Italia, ambapo wawakilishi wa serikali za nchi zaidi ya 70, maofisa wa mashirika ya kimataifa na viongozi wa makampuni makubwa ya nishati walihudhuria baraza hilo. Na masuala ya usalama wa nishati na mabadiliko ya hali ya hewa yalizungumzwa zaidi kwenye baraza hilo.
|
Bei za nafaka zafuatiliwa kwenye mkutano wa UNCTAD 2008/04/21 Mkutano wa Baraza la biashara na maendeleo la Umoja wa Mataifa umefunguliwa tarehe 20 huko Accra, mji mkuu wa Ghana. Ufunguzi wa mkutano huo wa siku 6 umehudhuriwa na katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Ban Ki-Moon, rais John Kufuor wa Ghana, rais Luiz Lula da Silva wa Brazil na wajumbe kutoka nchi wanachama 192 wa baraza hilo.
|
Russia yaharakisha hatua za kurudi tena Mashariki ya Kati 2008/04/18 Rais Vladimir Putin wa Russia tarehe 17 alimaliza ziara yake ya siku mbili nchini Libya. Hii ni mara ya kwanza kwa rais wa Russia kuitembelea nchi hiyo na pia ni ziara muhimu kabla ya Putin kuondoka madarakani mwanzoni mwa mwezi Mei. Ziara hiyo inamaanisha kuwa Russia itaharakisha hatua zake za kurudi tena kwenye mambo ya siasa na uchumi ya Mashariki ya Kati.
|
Mwelekeo wa nishati ya viumbe utakuwaje? 2008/04/17 Ofisa maalumu wa haki ya lishe bora wa Umoja wa Mataifa, Bw. Jean Ziegler, hivi karibuni alitoa kauli ambayo inafanya suala la nishati ya viumbe kufuatiliwa na watu wengi. Alisema kuendeleza uzalishaji wa petroli ya ethanol ni "uhalifu kwa binadamu", hata alitoa wito wa kutaka Umoja wa Ulaya uache lengo la kuinua kiwango cha matumizi ya petroli ya ethanol hadi 10% ifikapo mwaka 2020
|
Napenda kujulisha hali ya China kwa watu wengi zaidi 2008/04/16 Baada ya tukio la uhalifu mkubwa wa mabavu kutokea tarehe 14 Machi huko Lhasa, mji mkuu wa mkoa wa Tibet, China, baadhi ya vyombo vya habari vya nchi za magharibi vilitoa habari zisizolingana na hali halisi au kupotosha hali ya mambo hata kusema uwongo kuhusu tukio hilo, vitendo hivyo vimewaghadhabisha na kulaumiwa vikali na watu wengi wenye busara
|
Serikali ya mseto ya Kenya yakabiliwa na changamoto mbalimbali 2008/04/15 Rais Mwai Kibaki wa Kenya tarehe 13 huko Nairobi alitangaza kuwa, serikali ya mseto ya nchi hiyo inayoundwa na chama cha PNU kinachoongozwa naye, na chama cha upinzani ODM kinachoongozwa na Bw. Raila Odinga imeanzishwa rasmi, na Bw. Oding ameteuliwa kuwa waziri mkuu wa serikali. Matokeo hayo yameondoa hali ya mvutano nchini humo kuhusu kuundwa kwa serikali ya mseto. Hadi sasa mgogoro wa uchaguzi mkuu wa Kenya uliodumu kwa zaidi ya miezi mitatu umemalizika.
|
Kupanda kwa bei za nafaka duniani kwafuatiliwa na mashirika ya fedha ya kimataifa 2008/04/14 Mikutano ya 17 ya mawaziri ya kamati ya sarafu na mambo ya fedha ya kimataifa na Benki ya Dunia ilifanyika kwa nyakati tofauti huko Washington tarehe 12 na 13, ili kujadili masuala ya bei za nafaka na mgogoro wa fedha duniani. Sababu zilizoyafanya mashirika ya fedha ya kimataifa kufuatilia suala la bei za nafaka za duniani
|
Mbio za mwenge wa michezo ya Olimpiki zakamilika kwa mafanikio mji wa Buenos Aires 2008/04/12 Tarehe 11 Aprili mbio za mwenge wa michezo ya Olimpiki ya Beijing zimekamilika kwa mafanikio huko Buenos Aires, mji mkuu wa Argentina.
|
Umoja wa Ulaya na Asia ya Kati zaanza kufanya ushirikiano wa sekta zote wakianza na nishati 2008/04/11 Mkutano wa mara ya sita wa mawaziri wa mambo ya nje wa "nchi tatu kubwa za Ulaya na nchi za Asia ya Kati" ulimalizika tarehe 10 katika mji mkuu wa Turkmenistan, Ashgabat.
|