Mkutano wa tatu wa baraza la haki za binadamu la Umoja wa Mataifa wafunguliwa 2006/11/30 Mkutano wa tatu wa baraza la haki za binadamu la Umoja wa Mataifa ulifunguliwa tarehe 29 Novemba huko Geneva. Mkutano huo utajadili kutunga njia za kushughulikia mambo, utaratibu wa baraza hilo na masuala yaliyopo katika sekta ya haki za binadamu duniani.
|
Wataalamu wazungumzia juhudi za usuluhishi zilizofanywa na pande mbalimbali kwa kurudisha mapema mazungumzo ya pande 6 2006/11/30 Ili kuyawezesha mazungumzo ya pande 6 kuhusu suala la nyuklia la peninsula ya Korea yarudishwe mapema, viongozi wa ujumbe utakaohudhuria mazungumzo hayo wa China, Korea ya kaskazini, Marekani, Korea ya kusini na Japan wamefanya majadiliano ya pande mbili mbili au ya pande nyingi hivi karibuni hapa Beijing.
|
Uchunguzi kuhusu kifo cha jasusi wa Russia aliyekufa kutokana na sumu na uhusiano kati ya nchi za magharibi na Russia 2006/11/29 Tarehe 28 waziri mkuu wa Uingereza Bw. Tony Blair alisema, katika uchunguzi kuhusu kifo cha jasusi wa zamani wa Russia Bw. Alexander Litvinenko aliyekufa kutokana na sumu, Uingereza hairuhusu kuwekewa vizuizi vyovyote katika mambo ya diplomasia na siasa.
|
Baraza kuu la Umoja wa Mataifa lafanya mkutano maalum kuhusu suala la maendeleo 2006/11/28 Baraza kuu la 61 la Umoja wa Mataifa tarehe 27 lilifanya mkutano maalum wa maendeleo ili kutathmini hali ya utekelezaji wa malengo ya maendeleo ya milenia, kujadili kuongeza ushirikiano wa kimataifa, na kuharakisha utekelezaji wa mkakati wa maendeleo.
|
Nchi za Afrika zajitahidi kutekeleza sera ya "Kuelekea mashariki" 2006/11/27 Kutokana na maendeleo ya haraka ya uchumi wa China, India na nchi nyingine za Asia, nchi kadhaa za Afrika kama vile Zimbabwe, Kenya na Namibia zinafanya juhudi kutetea kutekeleza sera ya "kuelekea mashariki", hasa zinatilia maanani kujifunza mfano wa China kuhusu maendeleo
|
Wataalamu wa China na nchi za nje wajadili kwa kina kuhimiza haki za binadamu na kuanzisha uhusiano wenye masikilizano duniani 2006/11/24 Kongamano la kimataifa la siku tatu kuhusu kuheshimu na kuhimiza haki za binadamu na kujenga dunia yenye masikilizano limefungwa tarehe 24 hapa Beijing.
|
Raia ni waathirika zaidi na vurugu nchini Iraq 2006/11/24 Tarehe 23 mashambulizi ya mabomu yalitokea katika mji wa Sadr mashariki ya Baghdad na kusababisha vifo vya watu 150 na wengine 238 kujeruhiwa.
|
Iran imefanya juhudi mpya za kidiplomasia kuhusu suala la nyuklia 2006/11/23 Suala la nyuklia la Iran siku zote ni suala linalofuatiliwa zaidi na jumuiya ya kimataifa. Hivi karibuni Iran imefanya vitendo kadhaa vya kidiplomasia vinavyovutia ufuatiliaji wa jumuiya ya kimataifa.
|
Mpango wa kinu cha majaribio cha nyuklia wazinduliwa rasmi 2006/11/22 Katika hali ya hivi leo, ambayo bei ya mafuta inapanda kwa mfululizo na rasilimali zinatumiwa kupita kiasi, binadamu wameanza kutathimini vitendo vyao kuhusu maendeleo na kuanza kufanya utafiti kuhusu aina mpya za nishati
|
Mazungumzo kati ya Hamas na Fatah kuhusu kuunda serikali ya muungano yakwama tena 2006/11/21 Katika kipindi cha karibuni makundi mawili makubwa ya kisiasa ya Palestina, Hamas na Fatah yalikuwa yakifanya mazungumzo kuhusu kuunda serikali ya muungano inayoweza kukubaliwa na jumunyia ya kimataia, lakini tarehe 20 mazungumzo hayo yalikwama tena.
|
Mapendekezo ya kujenga kanda ya Asia na Pasifiki yenye masikilizano yanafuatiliwa zaidi kwenye mkutano wa wakuu wa APEC 2006/11/20 Mkutano wa 14 usio wa rasmi wa wakuu wa Shirika la ushirikiano wa kiuchumi wa Asia na Pasifiki APEC umefungwa tarehe 19 huko Hanoi, mji mkuu wa Vietnam baada ya kutolewa kwa Azimio la Hanoi.
|
China na Afrika zafanya ushirikiano wa kunufaishana katika kuhifadhi mazingira ili kupata maendeleo ya pamoja 2006/11/17 Katika miaka ya hivi karibuni ushirikiano kwenye sekta ya uhifadhi wa mazingira umekuwa ushirikiano wa sekta mpya kati ya China na Afrika, wakati wa mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu mabadiliko ya hali ya hewa unafanyika, ushirikiano huo kati ya China na Afrika umejadiliwa zaidi
|
Tuwe macho na "utetezi wa kuwa na silaha za nyuklia' kurudia nchini Japan 2006/11/15 Tarehe 14 mkutano wa baraza la mawaziri la Japan ulipitisha jibu kwa chama kisichotawala cha Daichi kuhusu suala la Japan kuwa na silaha za nyuklia au la, jibu hilo linasema, "katiba ya amani ya Japan haipingi Japan kuwa na silaha za nyuklia, ili mradi tu silaha hiyo zitumike kwa ajili ya kujilijnda".
|
Makundi yote ya kisiasa yakubaliana Bw. Mohammad Shubair awe waziri mkuu wa serikali mpya nchini Palestina 2006/11/14 Makundi ya Hamas na Fatah nchini Palestina tarehe 13 yalikubaliana na pendekezo la kumteua Bw. Mohammad Shubair awe waziri mkuu wa serikali mpya ya serikali ya Palestina. Bw. Mohammad Shubair aliwahi kuwa mkuu wa Chuo Kikuu cha Kiiislamu cha Gaza. Ofisa mmoja wa ngazi ya juu wa kundi la Hamas alisema Bw. Shubair amekubali kuteuliwa kuwa waziri mkuu.
|
Waziri mkuu wa Israel afanya ziara nchini Marekani 2006/11/13 Waziri mkuu wa Israel Bw. Ehud Olmert tarehe 12 aliwasili huko Washington na kuanza ziara yake ya pili nchini Marekani tangu ashike madaraka. Suala la nyuklia la Iran na hali ya Palestina na Israel ni masuala muhimu yatakayojadiliwa wakati wa ziara hiyo.
|
Mkurugenzi wa WHO akabiliwa na changamoto kubwa 2006/11/10 Bi. Margaret Chan kutoka Hong Kong ameteuliwa rasmi kuwa mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani WHO kwenye mkutano uliofanyika tarehe 9 mjini Geneva.
|
Ushindi wa Chama cha demokrasia cha Marekani utaleta changamoto kwa sera za ndani na nje za Marekani 2006/11/09 Chama cha demokrasia cha Marekani kilipata viti zaidi ya 228 kwenye baraza la chini la bunge la Marekani, na kunyakua madaraka yake ya udhibiti kiliyopoteza katika uchaguzi wa mwaka 1994, ambapo Chama cha Republican kitakabiliwa pia na ushindani mkali kwenye baraza la juu la bunge la Marekani.
|
Ushirikiano wa kiuchumi na kibiashara kati ya China na Afrika waingia kipindi kipya 2006/11/08 Wakuu wa nchi, viongozi na maofisa waandamizi wa serikali kutoka nchi 48 za Afrika hivi karibuni waliwasili Beijing, China kushiriki kwenye mkutano wa baraza la ushirikiano wa China na Afrika. Kwenye mkutano huo, rais Hu Jintao wa China akiiwakilisha serikali ya China alitangaza hatua 8 mpya za kisera za kuunga mkono maendeleo ya nchi za Afrika
|
China na Umoja wa Ulaya zafikia maoni ya pamoja kuhusu masuala kadhaa, lakini migongano kati yao bado ipo 2006/11/08 Waziri wa biashara wa China Bwana Bo Xilai na mjumbe wa Kamati ya biashara ya Umoja wa Ulaya Peter Mandelson tarehe 7 walifikia maoni ya pamoja kuhusu masuala kadha wa kadha kwenye mkutano wa uchumi na biashara wa pande mbili za China na Umoja wa Ulaya uliofanyika hapa Beijing.
|
Dunia yazingatia kulisaidia bara la Afrika kukabiliana na changamoto ya mabadiliko ya hali ya hewa 2006/11/07 Pamoja na nyimbo na ngoma za furaha za kiafrika, mkutano wa Umoja wa Mataifa wa mwaka 2006 kuhusu mabadiliko ya hali ya hewa umefunguliwa tarehe 6 mwezi Novemba kwenye makao makuu ya shirika la mpango wa mazingira la Umoja wa Mataifa yaliyoko Nairobi, mji mkuu wa Kenya.
|
Pande mbalimbali zinazohusika zafanya maandalizi kwa ajili ya kuanzisha tena mazungumzo ya pande 6 2006/11/07 Tokea pande tatu za China, Korea ya kaskazini na Marekani kukubali kwa kauli moja kuanzisha tena mazungumzo ya pande 6 katika kipindi cha hivi karibuni kinachozifaa pande 6, siku hizi nchi zinazohusika zinafanya juhudi za kidiplomasia bila kusita.
|
China na Afrika zaanzisha pamoja hali mpya ya urafiki na ushirikiano kati yao 2006/11/06 Mkutano wa wakuu wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika na Mkutano wa 3 wa mawaziri ilifanyika kwa ushindi kuanzia tarehe 3 hadi 5 Novemba, ambapo marais, viongozi wa serikali au wawakilishi wao wa China na nchi 48 za Afrika walijadili mikakati ya ushirikiano na kutafuta maendeleo ya pamoja ya siku zijazo, mkutano huo umefungua ukurasa mpya wa urafiki.
|
Shughuli za maingialino ya kiutamaduni kati ya China na Afrika kusini zaanza nchini Afrika ya kusini 2006/11/02 Shughuli kubwa za maingiliano ya kiutamaduni kati ya China na Afrika ya kusini zilianza tarehe 1 Novemba huko Pretoria, Afrika ya kusini.
|
Jeshi la kulinda amani la China nchini Liberia 2006/11/01 Mwezi Aprili mwaka huu Liberia, ambayo hivi sasa inafanya ujenzi mpya, ilipokea kikundi cha nne kutoka China cha jeshi kulinda amani la China lililoundwa na vikosi vya uhandisi, utibabu na uchukuzi.
|
Wimbo wa jeshi la kulinda amani la China wasikika kando ya Ziwa Kivu 2006/10/30 Tokea mwezi Aprili mwaka 2003, kutokana na ombi la Umoja wa Mataifa, China imetuma wanajeshi 3975 wa ulinzi wa amani kwenye maeneo matatu ya kubeba majukumu nchini Liberia na Sudan.
|
Lugha ya Kichina yajenga daraja la kuzidisha maelewano kati ya Morocco na China 2006/10/27 Lugha siku zote ni kama "daraja" la kufanya maingiliano kati ya wananchi wa nchi mbalimbali. Kutokana na jinsi mawasiliano ya kibiashara na kiutamaduni yanavyoongezeka siku hadi siku kati ya Morocco na China, ndivyo kujifunza lugha ya Kichina kunavyofuatiliwa zaidi na watu wa nchi hiyo.
|
Kwa mara ya kwanza nchi sita kujadili mswada wa azimio la vikwazo kwa Iran 2006/10/27 Nchi tano wajumbe wa kudumu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa pamoja na Ujerumani, tarehe 26 zilifanya mkutano mjini New York kuujadili mswada wa azimio la kuiwekea vikwazo Iran. Wachambuzi wanaona kuwa huenda mjadala huo utakuwa wa muda mrefu.
|
Mustakabali wa ushirikiano kati ya China na Nigeria ni mpana 2006/10/26 Nigeria ni nchi kubwa katika sehemu ya Afrika ya magharibi yenye watu milioni 130, nchi hiyo ina maliasili nyingi, na ni mhusika muhimu katika muundo wa kisiasa wa sehemu hiyo. Katika miaka mingi iliyopita, China inatilia maanani sana kuendeleza uhusiano kati yake na Nigeria.
|
Je, ni nani anayefanya "ukoloni mambo leo" barani Afrika? 2006/10/24 Katika siku zilizopita, usemi kuhusu China inafanya "ukoloni mambo leo" barani Afrika si kama tu umeonekana katika gazeti la New York Times la Marekani, gazeti la Financial Times la Uingereza, bali pia hata maofisa kadhaa wa serikali na washauri wa serikali pia waliulaani uhusiano kati ya China na Afrika.
|
Bw. Kofi Annan amrudisha mjumbe wake nchini Sudan kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa 2006/10/24 Mjumbe wa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Bw. Jan Pronk tarehe 23 jioni aliondoka Sudan na kufika New York tarehe 25 ili kufanya mjadala na Bw. Kofi Annan. Kutokana na kuwa Bw. Jan Pronk aliondoka Sudan kutokana na amri ya serikali ya Sudan, jambo hilo linafuatiliwa sana.
|