Kwa nini kundi la Hamas halikutaja maneno kuhusu kuiangamiza Israel kwenye ilani yake ya uchaguzi 2006/01/12 Uchaguzi wa kamati ya utungaji wa sheria ya Palestina unatazamiwa kufanyika tarehe 25 mwezi huu, kundi la upinzani la kiislamu la Palestina Hamas litakaloshiriki kwenye uchaguzi huo hivi karibuni, limetangaza ilani yake ya uchaguzi inayoonesha msimamo wake imara kama kawaida, lakini kwa mara ya kwanza ilani hiyo haikutaja mambo kuhusu "lazima kuiangamiza kabisa Israel".
|
Rais Bush aanza kampeni ya uchaguzi wa bunge wa kipindi cha katikati 2006/01/12 Tarehe 10 rais Bush wa Marekani alitoa hotuba kwa mara ya pili mwaka huu mjiji Washington akisema kwamba Marekani itakuwa na mengi zaidi ya "mtihani na mhanga" nchini Iraq, na huku alishutumu Chama cha Demokrasia kukosoa ovyo sera ya serikali kuhusu vita vya Iraq.
|
Suala la nyuklia la Iran limeingia tena katika hali mbaya 2006/01/11 Tarehe 10 Iran imeanza kutumia tena vifaa vya kufanyia utafiti wa nishati ya nyuklia vilivyofungwa kwa muda wa miaka miwili, kitendo hicho kimesababisha wasiwasi mkubwa kwa jumuyia ya kimataifa
|
kumesababisha wasiwasi mkubwa wa nchi nyingi 2006/01/10 Tarehe 9 Iran ilipotangaza kutaka kuanza utafiti wa nishati ya nyuklia, Umoja wa Ulaya, Marekani pamoja na Shirika la Nishati ya Atomiki Duniani mara zilionesha msimamo wa kupinga kwa maneno makali.
|
Marekani inabidi kurekebisha sera zake kuhusu mashariki ya kati 2006/01/09 Marekani imekuwa kimya kuhusu hali ya waziri mkuu wa Israel Bw Ariel Sharon kuwa mgonjwa mahututi. Lakini kuna baadhi ya maofisa wa Israel na Marekani, ambao wanaona kuwa kuna uwezekano mdogo sana kwa Bw. Sharon kurejea utawala wa nchi hiyo, na serikali ya Bush haina budi kurekebisha sera zake kuhusu mashariki ya kati.
|
Israel imeagana na miaka ya Sharon 2006/01/06 Waziri mkuu wa Israel aliyesifiwa kuwa ni "tingatinga" katika ulingo wa siasa, Bw. Sharon amelazwa hospitali na kupoteza fahamu, wakati watu wa Israel wanapomwombea dua apone, wanaona kuwa maisha yake ya kisiasa yamefikia mwisho.
|
Russia na Ukraine zafikia makubaliano kuhusu bei ya gesi asilia 2006/01/05 Russia na Ukraine tarehe 4 huko Moscow zilisaini makubaliano ya miaka mitano ya utoaji wa gesi asilia, Ukraine imekubali bei iliyowekwa na Russia, na mgogoro kati ya nchi hizo mbili umekomeshwa.
|
Maafa mengi ya kimaumbile yahatarisha usalama wetu 2006/01/04 Wakati ambapo watu wa nchi mbalimbali walipokuwa wakisherehekea sikukuu ya mwaka mpya maafa mengi yalitokea mfululizo katika nchi za Ujerumani, Indonesia, Marekani na Australi, na kusababisha vifo vya watu wengi na hasara kubwa.
|
Nchi za Ulaya zakabiliwa na changamoto ya kusimamishwa gesi 2006/01/03 Kutokana na nchi mbili za Russia na Ukraine kushindwa kuafikiana kuhusu bei ya gesi ya asili kwa mwaka 2006 itakayotolewa na Russia kwa Ukraine, kampuni ya gesi ya Russia Gazprom tarehe 1 Januari mwaka huu ilisimamisha usafirishaji wa gesi kwa Ukraine.
|
Mgogoro wa gesi kati ya Russia na Ukraine waongezeka 2006/01/02 Kutokana na nchi mbili za Russia na Ukraine kushindwa kuafikiana kuhusu bei ya gesi ya asilia kwa mwaka 2006 itakayotolewa na Russia kwa Ukraine, kampuni ya gesi ya Russia Gazprom tarehe moja Januari mwaka huu kupunguza msukumo kwenye bomba la usafirishaji wa gesi kwa Ukraine.
|
Umoja wa Mataifa umepiga hatua zenye taabu katika mageuzi yake 2005/12/29 Mwaka 2005 ni mwaka wa 60 tangu kuzaliwa kwa Umoja wa Mataifa. Mwaka huu Umoja wa Mataifa umepiga hatua zenye taabu katika mageuzi yake chini ya matarajio mbalimbali na mikwaruzano mikali ya nchi mbalimbali duniani.
|
Mchakato wa ujenzi mpya wa kisiasa nchini Iraq wapatwa shida nyingi 2005/12/28 Uchaguzi wa kwanza rasmi wa bunge la Iraq ulifanyika bila matatizo tarehe 15 mwezi Desemba. Hivi sasa kazi ya kuhesabu kura zilizopigwa bado inaendelea, na matokeo kamili yanatazamiwa kufahamika mwanzoni mwa mwezi Januari mwakani.
|
Mazungumzo kati ya Iran na Umoja wa Ulaya kuhusu suala la nyuklia hayatakuwa na matumaini 2005/12/27 Mazungumzo kati ya Iran na nchi tatu zinazouwakilisha Umoja wa Ulaya, Ujerumani, Ufaransa na Uingereza kuhusu suala la nyuklia yataanza tena mwezi Januari mwakani.
|
Ukarabati wa nchi zilizokumbwa na maafa wahitaji ushirikiano wenye juhudi wa Jumuiya ya kimataifa 2005/12/26 Maafa yaliyosababishwa na Tetemeko la ardhi lililotokea tarehe 26 Desemba mwaka 2004 chini ya Bahari ya Hindi yalisababisha vifo vya watu karibu laki 2.3, ambapo idadi ya watu waliokumbwa na maafa ilifikia milioni 2.2, na hasara za moja kwa moja na zisizo za moja kwa moja za kiuchumi za hazikuweza kuhesabiwa.
|
Hali ya wasiwasi peninsula kwenye Korea yapungua 2005/12/23 Hali ya wasiwasi kwenye peninsula ya Korea yapungua kwa ujumla na nafasi ya kuelekea kwenye utulivu inaonekana. Mazungumzo ya pande 6 kuhusu suala la nyukilia la peninsula la Korea yamerejeshwa na kupata maendeleo muhimu ya kipindi
|
Kitu muhimu kwa mazungumzo ya nyukilia kati ya Umoja wa Ulaya na Iran kiko wapi 2005/12/22 Maofisa wa ngazi ya juu wa Ufaransa, Uingereza na Ujerumani wanaowakilisha Umoja wa Ulaya na wa Iran, tarehe 21 huko Vienna walikuwa na mazungumzo ya kwanza rasmi kuhusu kurejeshwa kwa mazungumzo ya suala la nyukilia, ambayo yalisitishwa kwa miezi zaidi ya 4.
|
Kwa nini Umoja wa Mataifa umeanzisha tume ya kujenga amani 2005/12/21 Mkutano mkuu wa 60 wa Umoja wa Mataifa na Baraza la Usalama tarehe 20 ulipitisha azimio la kuanzisha tume ya kujenga amani.
|
Maafa mengi yaliyotokea mwaka huu yatoa onyo kwa binadamu 2005/12/20 Tathmini iliyofanywa na shirika la hali ya hewa duniani kuhusu hali ya hewa kwa mwaka 2005 inawatia wasiwasi mkubwa watu duniani.
|
Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo yapiga hatua muhimu katika mchakato wa amani 2005/12/19 Upigaji kura za maoni ya raia kuhusu katiba mpya ulifanyika tarehe 18 nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, hii ni mara ya kwanza kwa nchi hiyo kupiga kura za maoni ya raia zaidi ya miaka 40 iliyopita, nchi hiyo imepiga hatua muhimu katika kutimiza amani ya kudumu nchini humo.
|
Kuondoka kwa askari wa kulinda amani la Umoja wa Mataifa kumezidisha hali ya wasiwasi kati ya Ethiopia na Eritrea 2005/12/16 Askari wa kulinda amani nchini Eritrea walilazimika kuondoka kuanzia tarehe 15, hii inamaanisha kuwa juhudi za naibu katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Jean Marie Guehenno hazikufanikiwa kama ilivyotazamiwa, hali kati ya Ethiopia na Eritrea imezidi kuwa mbaya.
|
Umoja wa Afrika waongoza nchi za Afrika kuelekea kwenye amani na maendeleo 2005/12/15 Katika miaka ya karibuni, kutokana na uongozi wa Umoja wa Afrika na uhimizaji mkubwa wa jumuyia ya kimataifa, nchi mbalimbali za Afrika zimetambua kwamba kulinda amani na usalama barani Afrika ni sharti la lazima la kustawisha bara lao katika karne ya 21.
|
Kushirikiana na nchi majirani, kustawisha na kupata maendeleo kwa pamoja 2005/12/15 Mkutano wa kwanza wa wakuu wa Asia ya mashariki ulifungwa tarehe 14 huko Kuala Lumpur, ambapo mikutano ya wakuu ya Umoja wa Asia ya kusini mashariki pia inakaribia kumalizika.
|
Mkutano wa kwanza wa wakuu wa Asia ya mashariki wapitisha na kusaini "Taarifa ya Kuala Lumpur" 2005/12/14 Mkutano wa kwanza wa wakuu wa Asia ya mashariki tarehe 14 umefungwa huko Kuala Lumpur, mji mkuu wa Malaysia. Mkutano huo umepitisha na kusaini "Taarifa ya Kuala Lumpur"
|
Maendeleo ya kiamani ya China yaleta fursa nyingi zaidi kwa nchi za Asia ya mashariki 2005/12/12 Mikutano kadha wa kadha ya Umoja wa Asia kusini mashariki imefunguliwa tarehe 12 huko Kuala Lumpur, mji mkuu wa Malaysia.
|
Je Israeli itashambulia zana za nyukilia za Iran? 2005/12/12 Kutokana na habari zilizotangazwa na vyombo vya habari vya Uingereza kuhusu Israel kushambulia zana za nyukilia za Iran, ofisa wa serikali ya Israel tarehe 11 alisema kuwa Israel itaizuia Iran kuwa na silaha za nyukilia kwa kila aina ya kitendo
|
Maafikiano mengi yapatikana katika mkutano wa viongozi wakuu wa nchi za Kiislamu 2005/12/09 Mkutano wa siku mbili wa viongozi wakuu wa nchi za Kiislamu ulimalizika tarehe 8 huko Mecca, Saudi Arabia. Viongozi hao walitoa wito wa kuzitaka nchi za Kiislamu ziimarishe umoja wao na kupambana na siasa kali, na kuhamasisha uenezi wa uvumilivu na upole.
|
Sun Zhenyu aeleza msimamo wa China kuhusu mazungumzo ya Doha 2005/12/08 Balozi wa China katika Shirika la Biashara Duniani, WTO Bw. Sun Zhenyu hivi karibuni alipohojiwa na mwandishi wa habari alieleza msimamo wa China kuhusu mazungumzo ya duru la Doha.
|
WTO yapitisha makubaliano kuhusu nchi maskini kupata dawa za bei rahisi 2005/12/07 Nchi 148 za wanachama wa Shirika la Biashara Duniani, WTO tarehe 6 huko Geneva zilipitisha makubaliano ya kuziruhusu nchi maskini zisizo na viwanda kununua dawa za bei rahisi zisizolindwa na hataza ili kudhibiti maradhi yenye maambukizi makali
|
Kuheshimu ustaarabu wenye tofauti, kujenga dunia yenye masikilizano 2005/12/07 Waziri mkuu wa China Wen Jiabao tarehe 6 alitoa hotuba katika Chuo kikuu cha Ecole Polytechnique cha Paris cha Ufaransa. Kwenye hotuba hiyo isemayo "Kuheshimu ustaarabu wenye tofauti, kujenga dunia yenye masikilizano"
|
Bw. Wen Jiabao atoa hotuba kwa wanaviwanda na wafanya-biashara nchini Ufaransa 2005/12/06 Waziri mkuu wa China Bw. Wen Jiabao ambaye hivi sasa anafanya ziara nchini Ufaransa, tarehe 5 akitoa hotuba kwa wanaviwanda na wafanyabiashara nchini Ufaransa aliwafahamisha hali ya maendeleo ya uchumi wa China
|