Safari ya "Discovery" na mustakabali wake 2005/07/27 Chombo kilichobeba satellite ya Marekani kinachojulikana kwa jina la "Discovery", ambacho urushwaji wake uliahirishwa mara kadhaa kutokana na matatizo ya kiufundi, kilirushwa angani kwa mafanikio tarehe 26 .
|
Jeshi la muungano la Marekani na Afghanistan lafanya operesheni ya kuwasaka wafuasi wa kundi la taliban 2005/07/27 Ofisa wa Afghanistan tarehe 26 alithibitisha kuwa, jeshi la serikali ya Afghanistan na jeshi la Marekani tarehe 25 usiku lilifanya operesheni ya kijeshi katika mkoa wa Uruzgan, kusini mwa Afghanistan kuwaua wanamgambo 50 wa kundi la Taliban, na kuwakamata watuhumiwa wengine 25. Wachambuzi wanaona kuwa, kutokana na kukaribia kwa uchaguzi wa bunge la Afghanistan, mapambano kati ya jeshi la serikali ya Afghanistan na jeshi la Marekani nchini Afghanistan na nguvu za Taliban yatakuwa makali zaidi.
|
Viongozi wa vyama vitatu vya Uingereza wajadili kwa dharura sheria mpya ya kupambana na ugaidi 2005/07/27 Waziri mkuu wa Uingereza Bw. Tony Blair tarehe 26 alikutana kwa dharura na viongozi wa vyama visivyo tawala vya wahafidhina pamoja na uhuru na demokrasia, kujadili namna kukabiliana na hali mpya kuhusu London kukumbwa na mashambulizi ya kigaidi na kubadilishana maoni kuhusu yaliyomo muhimu kwenye sheria mpya ya kupambana na ugaidi
|
Pande zote sita za mazungumzo kuhusu suala la nyuklia la penisula la Korea zaonesha msimamo wa unyumbufu na uaminifu 2005/07/27 Duru la nne la mazungumzo ya pande sita kuhusu suala la nyuklia la penisula la Korea lilianza saa tatu asubuhi tarehe 26 katika Jumba la Wageni wa Taifa la Diaoyutai mjini Beijing. Ingawa mazungumzo yameanza punde tu na pande zote bado ziko katika kipindi cha kubadilishana maoni, lakini kutokana na hali ilivyokuwa katika siku ya kwanza, pande zote sita zimeonesha msimamo wa unyumbufu na uaminifu kuhusu utatuzi wa suala la nyuklia.
|
Kwanini Rumsfeld amekwenda Asia ya Kati? 2005/07/26 Waziri wa ulinzi wa Marekani Bw. Donald Rumsfeld tarehe 25 alifunga safari ya kwenda Kyrgyzstan kwa ziara ya siku 3 katika Asia ya kati. Alikuwa na mpango wa kuwa na mazungumzo na rais mteule Kurmanbek Bakiyev wa nchi hiyo tarehe 26.
|
Muungano wa nchi nne na Umoja wa Afrika haujafikia makubaliano kuhusu suala la upanuzi wa Baraza la Usalama 2005/07/26 Muungano wa nchi nne, Japan, Ujerumani Brazil na India, na Umoja wa Afrika tarehe 25 ulifanya mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje huko London, pande hizo mbili hazikuafikiana katika suala la upanuzi wa Baraza la Usalama.
|
Amri ya polisi ya kuua bila kujali kitu kingine inawatia wasiwasi waingereza (kill on the spot with no other admittance) 2005/07/25 Tarehe 22 polisi wa Uingereza walipokuwa wakiwasaka watuhumiwa wanaohusika na mashambulizi ya kigaidi, walimwua kwa makosa raia mmoja wa Brazil, vyombo vya habari vya Uingereza vilidokeza kuwa polisi walitenda kitendo hiki baada ya kupata amri ya kuua waharifu bila kujali kitu kingine.
|
Hali halisi ya Suala la nyuklia la peninsula ya Korea 2005/07/25 China, Korea ya kaskazini, Marekani, Korea ya kusini, Russia na Japan zitafanya duru la 4 la mazungumzo ya pande 6 kuhusu suala la nyuklia la peninsula ya Korea kuanzia tarehe 26 hapa Beijing, China, ambapo zitafanya majadiliano tena kuhusu suala la nyuklia la peninsula ya Korea.
|
Lazima kuwa na matarajio yenye busara juu ya duru jipya la mazungumzo ya pande 6 2005/07/25 Duru la 4 la mazungumzo ya pande 6 kuhusu suala la nyuklia la peninsula ya Korea linatazamiwa kufanyika tarehe 26 hapa Beijing, China. Hivi sasa ujumbe wa pande 5 za Korea ya kaskazini, Korea ya kusini, Marekani, Japan na Russia umefika Beijing, ambapo wawakilishi wao wamefanya mawasiliano, pande zote zinatarajia mazungumzo hayo yatapata matokeo halisi.
|
Misri yaharakisha uchunguzi kuhusu milipuko iliyotokea mjini Sharm el-Sheikh 2005/07/25 Baada ya kutokea kwa mfululizo wa milipuko katika mji wa utalii Sharm el-Sheikh, idara za usalama na uchunguzi za Misri zimefanya msako mkali dhidi ya watuhumiwa na kuharakisha uchunguzi.
|
Mfululizo wa milipuko yatokea tena mjini London 2005/07/22 Milipuko minne ilitokea tena tarehe 21 mjini London, ambapo mitatu ilitokea katika subway na mmoja mwingine ulitokea katika basi. Mpaka sasa hakuna taarifa yoyote kuhusu kuuawa au kujeruhiwa ila mtu mmoja tu aliyejeruhiwa kidogo.
|
Kweli Israel itatekeleza mpango wake wa upande mmoja kabla ya wakati? 2005/07/22 Kutokana na kuwa baadhi ya maofisa waandamizi wanataka mpango wa upande mmoja wa Israel utekelezwe kabla ya wakati, waziri mkuu wa Israel Bw. Sharon tarehe 21 alisema kuwa Israel haitatekeleza mpango wake wa upande mmoja kabla ya wakati uliopangwa.
|
Bush akubali kusaidia ushirikiano kati ya Marekani na India katika sekta ya nyuklia 2005/07/21 Baada ya kuandaliwa mapokezi ya ngazi ya juu ya rais Bush wa Marekani, waziri mkuu wa India Manmohan Singh tarehe 20 alirudi India na "matunda mengi". Alipokuwa ziaranu huko Washington, Marekani na India zilisaini makubaliano 11 kuhusu ushirikiano katika sekta za usalama, uchumi na nishati.
|
Hali mpya zaonekana katika mkakati wa kupambana na ugaidi nchini Uingereza 2005/07/21 Waziri wa mambo ya ndani wa Uingereza Bw. Charles Clarke tarehe 20 alitangaza kwenye baraza la chini la bunge la Uingereza kuwa serikali ina mpango wa kuweka orodha ya watu wenye msimamo mkali duniani, ili kupambana na ugaidi. Kutokana na mpango huo, watu wanaohubiri kwa maneno makali, kutoa hotuba ya kuchochea ugaidi na kuweka tovuti za shughuli hizo watachukuliwa kama watu wasio na manufaa kwa maslahi ya jamii na kusajiliwa katika orodha hiyo.
|
Utungaji wa Mswada wa Katiba Nchini Iraq Wakwama 2005/07/21 Wajumbe wa madhehebu ya Shiya katika kamati ya utungaji mswada wa katiba tarehe 20 walitangaza kuwa wataacha kazi ya kutunga mswada wa katiba kwa siku moja. Katika siku hiyo wajumbe wanne wa madhehebu ya Shiya walitangaza kujitoa kutoka kwenye kamati ya utungaji mswada wa katiba kwa muda.
|
China na Umoja wa Asia ya Kusini Mashariki zapunguziana ushuru 2005/07/20 Kuzinduliwa mpango wa upunguzaji ushuru kati ya China na Umoja wa Asia ya Kusini Mashariki kunamaanisha kuwa eneo la biashara huria kati ya pande hizo mbili limeingia kipindi halisi cha ujenzi.
|
Uundwaji na umaalum wa serikali mpya ya Lebanon 2005/07/20 Waziri mkuu wa Lebanon Bw. Fouad Siniora tarehe 19 alitangaza kuunda serikali mpya baada ya kushauriana na rais Emile Lahoud. Hii ni serikali ya kwanza iliyoundwa baada ya kuondoka nchini Lebanon kwa jeshi la Syria.
|
Iraq na Nchi za Jirani Zaimarisha Ushirikiano wa Usalama 2005/07/20 Mkutano wa pili wa mawaziri wa mambo ya ndani wa nchi za jirani na Iraq tarehe 19 ulifanyika mjini Istambul,Uturuki. Taarifa ya mkutano huo ilisisitiza kuwa nchi hizo zitaimarisha ushirikiano wa usalama ili kupambana kwa pamoja na ugaidi na kulinda usalama na utulivu wa kikanda.
|
Je "Shirikisho la nchi 4" na "Umoja wa Afrika" zinaweza kushirikiana au la? 2005/07/19 "Shirikisho la nchi 4" la Japan, India, Ujerumani na Brazil na Umoja wa Afrika tarehe 17 alasiri zilifanya mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje huko New York, lakini hazikuweza kufikia makubaliao yoyote kuhusu upanuzi wa baraza la usalama.
|
Mkutano wa Nne wa Nchi Zinazoifadhili Iraq Wafunguliwa 2005/07/19 Mkuktano wa nne wa nchi zinazofadhili ukarabati wa Iraq ulifunguliwa katika mji wa Dead Sea nchini Jordan.
|
Iran na Iraq zaelekea kushirikiana 2005/07/19 Waziri mkuu wa serikali ya mpito ya Iraq Ibrahim al Jaafari tarehe 18 alimaliza zaria yake rasmi ya siku 3 nchini Iran. Hayo ni mawasiliano ya kidiplomasia ya ngazi ya juu kabisa kati ya Iran na Iraq tokea vita vya Iran na Iraq vifanyike.
|
Kwa nini hali ya Palestina na Israel imebadilika ghalfa na kuwa mbaya? 2005/07/18 Baada ya utulivu wa karibu nusu mwaka, hali kati ya Palestina na Israel siku hizi ghafla imebadilika kuwa mbaya. Israel ilifanya mashambulizi mara nyingi dhidi ya vikundi vyenye silaha vya Palestina na kutangaza kuwa itafanya mashambulizi makali kwenye sehemu ya Gaza
|
Saddam Hussein atasomewa mashitaka mahakamani 2005/07/18 Mahakama maalum ya Iraq inayoshughulikia kesi za maofisa waandamizi wa utawala wa zamani wa Iraq tarehe 17 ilidokeza kuwa, mahakama hiyo imetoa mashitaka ya kwanza kwa rais wa zamani wa Iraq Saddam Hussein na kutangaza tarehe ya kumfikisha mahakamani kumsomea mashitaka katika siku kadhaa zijazo.
|
Korea ya Kusini, Marekani na Japan zasawazisha misimamo kwa ajili ya duru jipya la mazungumzo ya pande sita 2005/07/15 Tarehe 14 wajumbe wa ngazi ya juu wa Korea ya Kusini, Marekani na Japan walifanya mazungumzo ya kusawazisha misimamo katika mji mkuu wa Korea ya Kusini, Seoul, kwa ajili ya duru la nne la mazungumzo ya pande sita yatakayofanyika hivi karibuni.
|
Haifai kuupigia kura haraka mswada wa azimio kuhusu upanuzi wa baraza la usalama 2005/07/14 Mkutano wa 59 wa Baraza kuu la Umoja wa Mataifa tarehe 12 ulimaliza majadiliano wa hadhara juu ya mswada wa azimio uliotolewa na Japan, Ujerumani, Brazil na India kuhusu upanuzi wa baraza la usalama. Majadiliano ya siku mbili yameonesha kuwa, kuna migongano mikubwa kati ya pande mbalimbali za Umoja wa Mataifa kuhusu mswada huo, nchi nyingi zinaona kuwa haifai kuupiga kura mswada huo kwa haraka katika kipindi cha hivi sasa.
|
Kuifanya vita iwe mbali na watoto 2005/07/14 Saa 4 za tarehe 13 asubuhi kwa saa za huko, mlipuko ulitokea tena katika mji mkuu wa Iraq Baghdad. Mlipuko huo wa kujiua uliolenga gari la jeshi la Marekani umesababisha vifo vya watoto 24 wa Iraq, na watoto wasiopungua 18 kujeruhiwa.
|
Mlipuko watetemesha tena mji wa Baghdad 2005/07/14 Jeshi la Marekani nchini Iraq na polisi wa Iraq tarehe 13 walithibitisha kuwa mashambulizi ya kujiua kwa magari yenye mabomu dhidi ya jeshi la Marekani yalitokea siku hiyo kusini mashariki ya mji wa Baghdad, ambayo yaliwaua watu 27 wakiwemo watoto 24 wa Iraq na kuwajeruhi wengine wasiopungua 70.
|
Je, matokeo hali yataweza kupatikana katika duru jipya la mazungumzo ya pande 6? 2005/07/13 Baada ya kutangazwa kwa habari kuhusu kuanzishwa tena kwa mazungumzo ya pande 6, pande mbalimbali zinazohusika zimeanza maandalizi yao ya kabla ya mkutano, na zimeahidi kuwa zitafanya juhudi kadiri ziwezavyo ili kuhimiza mazungumzo hayo yapate maendeleo halisi.
|
Makubaliano ya kusimamisha vita kati ya Palestina na Israel yajaribiwa na mlipuko wa mabumo ya kujiua 2005/07/13 Tarehe 12, mlipuko wa mabomu ya kujiua ulitokea huko Netanya, kaskazini mwa Israel, na kusababisha vifo vya wanawake watatu wa Israel na watu wengine zaidi ya 30 kujeruhiwa. Huo ni mlipuko wa pili kutokea tangu Israel na Palestina zifikie makubaliano ya kusimamisha vita mwezi Februari mwaka huu.
|
Mlipuko watokea tena nchini Lebanon 2005/07/13 Msafara wa magari wa naibu waziri mkuu na waziri wa ulinzi wa serikali ya mpito ya Lebanon Bw Ilias Murr, tarehe 12 asubuhi ulishambuliwa kwa mabomu yaliyotegwa ndani ya gari kwenye mtaa wa waumini wa dini ya Kikristo kaskazini mwa Beirut.
|