Mkakati wa opresheni ya jeshi la Israel watiliwa mashaka 2006/07/28 Tarehe 27 baraza la mawaziri wanaoshughulikia ulinzi ya Israel liliamua kuendelea na kiwango chake cha opresheni ya kijeshi katika sehemu ya kusini ya Lebanon na litawaandikisha askari ili kujiandaa kwa mashambulizi mengine.
|
Mkutano wa kimataifa wa suala la Lebanon na Israeli haujapata mafanikio makubwa 2006/07/27 Mkutano wa kimataifa uliofanyika kwa siku 1 huko Rome ulifungwa tarehe 26 mwezi huu. Ingawa washiriki wa mkutano walitoa taarifa ya pamoja mwishoni mwa mkutano ya kuhimiza pande mbili zinazopambana za Israel na Lebanon zimalize haraka iwezekanavyo mapigano ya kisilaha na makabiliano ya kiuhasama
|
Kauli ya "mashariki ya kati ya aina mpya" ya Rice inalenga nini? 2006/07/26 Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Bi. Condoleezza Rice tarehe 25 alifanya ziara ya siku moja nchini Israel na Palestina. Katika mazungumzo yake na viongozi wa Israel na Palestina, Rice alitoa kauli moja kuhusu "mashariki ya kati ya aina mpya", kauli hiyo imewavutia watu macho.
|
Mazungumzo ya duru la Doha yasimamishwa bila kikomo 2006/07/25 Baada ya kufanya mazungumzo kwa zaidi ya siku 1, mawaziri husika au wawakilishi wa ngazi ya juu wa nchi 6 wanachama muhimu wa Shirika la Biashara Duniani, WTO, ambazo ni Marekani, Umoja wa Ulaya, Japan, Australia, Brazil na India, walitangaza tarehe 24 huko Geneva kushindwa kabisa kwa jitihada za mwisho za kukwamua mazungumzo ya duru la Doha
|
Israel yakabiliwa na mashinikizo makubwa ya kijeshi na kisiasa 2006/07/24 Hadi kufikia tarehe 24 mwezi huu, mapigano kati ya Lebanon na Israel yameingia siku ya 13. Kampeni kubwa ya kijeshi bado haijapata ufanisi dhahiri, hivyo Israel inakabiliwa mashinikizo makubwa ya kijeshi na kisilaha kadiri siku zinavyokwenda.
|
Hali nzuri na mbaya kwa uchumi wa nchi zilizo nyuma kabisa kiuchumi duniani 2006/07/21 Mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu maendeleo ya biashara tarehe 20 huko Geneva uliotoa "Ripoti kuhusu uchumi wa nchi zilizo nyuma kabisa kiuchumi duniani mwaka 2006" ikieleza kuwa, hali ya uchumi wa nchi 50 zilizo nyuma kabisa kiuchumi duniani ni nzuri na mbaya, na kusema kwamba kitu muhimu kabisa kwa nchi hizo kuweza kuendeleza uchumi na kupunguza umaskini ni kuimarisha uwezo wa kuzalisha mali.
|
Fundisho la kutokea tena tsunami nchini Indonesia 2006/07/20 Takwimu mpya zilizotolewa na serikali ya Indonesia tarehe 19, zinaonesha kuwa idadi ya watu waliopoteza maisha tarehe 17 kutokana na tsunami iliyotokea kwenye bahari kusini mwa kisiwa cha Java imeongezeka hadi 550, na wengine 275 hawajulikani mahali walipo.
|
Israeli itasimamisha lini mashambulizi yake? 2006/07/19 Tume ya Umoja wa Mataifa inayoshughulikia tarehe 18 mwezi huu kilitoa pendekezo la makubaliano ya kusimamisha mapigano ya mgogoro wa mashariki ya kati kwa Israel. Pamoja na wasuluhisho wa kimataifa kuingilia kati mgogoro huo hatua kwa hatua, hivi sasa mgogoro kati ya Israel na Lebanon umeingia katika kipindi kipya ambacho nchi mbili zinafanya mazungumzo huku zikipigana.
|
Hu Jintao atoa hotuba kwenye mazungumzo ya viongozi wa kundi la nchi 8 na nchi zinazoendelea 2006/07/18 Mazungumzo kati ya kundi la nchi 8 na nchi 6 zinazoendelea China, India, Brazil, Afrika ya Kusini, Mexico na Kongo Brazzaville yalifanyika tarehe 17 mwezi huu huko St. Petersburg, Russia. Mkutano huo hasa ulijadili mada 4 za usalama wa nishati, udhibiti wa ugonjwa wa kuambukiza na elimu duniani pamoja na maendeleo ya Afrika.
|
Nchi mbalimbali zaharakisha kuwaondoa raia wao wanaoishi nchini Lebanon 2006/07/18 Kutokana na kukabiliwa na hali ambayo mgogoro kati ya Israel na jeshi la Chama cha Hezbollah unapamba moto siku hadi siku, nchi mbalimbali zinaharakisha kazi ya kuwaondoa raia wao wanaoishi nchini Lebanon.
|
Rais Hu Jintao wa China akutana na rais Bush wa Marekani 2006/07/17 Alasiri ya Tarehe 16 Julai, Rais Hu Jintao wa China aliyehudhuria mkutano wa mazungumzo kati ya viongozi wa kundi la nchi 8 na nchi zinazoendelea alikutana na rais Bush wa Marekani huko Saint Petersburg, Russia, ambapo walibadilishana maoni kuhusu uhusiano kati ya China na Marekani na masuala ya kimataifa na kikanda yanayofuatiliwa na pande mbili.
|
Shughuli za mkutano wa wakuu wa kundi la nchi 8 zapanuka 2006/07/17 Mkutano wa wakuu wa kundi la nchi 8 uliingia siku ya pili tarehe 16. Nyaraka zilizopitishwa kwenye mkutano katika siku hiyo kwa uchache zilikuwa 11, ambazo zinahusu masuala ya kimataifa ya kupambana na ugaidi, kupinga ufisadi, biashara ya kimataifa, hifadhi ya haki-miliki ya kielimu na maendeleo ya uchumi ya barani Afrika, licha ya mada tatu zilizothibitishwa kabla ya kufanyika mkutano huo, ambazo ni kuhusu usalama wa nishati, udhibiti wa magonjwa ya kuambukiza na elimu.
|
Shirika la Chakula Duniani lasema, njaa itaathiri maendeleo ya uchumi 2006/07/14 Tarehe 13 Shirika la Chakula Duniani lilitoa ripoti ya "hali ya njaa duniani mwaka 2006" ikisema njaa na utapiamlo sio tu vinaathiri akili za watu, bali pia vitaathiri maendeleo ya uchumi wa nchi mbalimbali.
|
Jinsi Israel inavyokabiliana na migogoro miwili ya utekaji nyara 2006/07/13 Wanamgambo wa kundi la Hezbollah la Lebanon tarehe 12 waliwateka nyara askari wawili wa Israel kwenye mashambulizi waliyofanya kwenye eneo la mpaka wa kaskazini wa Israel.
|
Mumbai yakumbwa na mfululizo wa mashambulizi ya kigaidi 2006/07/12 Mabomu 7 yalilipuka ndani ya magarimoshi yaliyokuwa njiani jioni ya tarehe 11 huko Mumbai, mji mkubwa wa kwanza kibiashara nchini India
|
Mgogoro wa madhehebu ya kidini nchini Iraq wapamba moto 2006/07/11 Waziri mkuu wa Iraq Bw. Nuri al-Maliki tarehe 10 alipotoa hotuba katika bunge la sehemu ya Kurd iliyoko kaskazini mwa Iraq, alitoa wito wa kutaka wairaq waungane na kuvunjilia mbali tishio la ugaidi na njama ya kuirudisha Iraq katika "zama za giza".
|
Je, katibu mkuu mpya wa Umoja wa Mataifa atatoka bara la Asia? 2006/07/07 Mwenyekiti wa zamu ya mwezi huu wa baraza la usalama la Umoja wa Mataifa, ambaye pia ni balozi wa Ufaransa katika Umoja wa Mataifa Bw. Jean Marc de la Sabliere tarehe 5 aliwaambia waandishi wa habari kuwa, baraza la usalama litafanya duru la kwanza la upigaji kura katikati ya mwezi Julai ili kuwateua watu watakaogombea wadhifa wa katibu mkuu wa umoja huo.
|
Maisha ya maofisa wa kibalozi wa China huko Palestina 2006/07/06 Sehemu ya Palestina na Israel ni sehemu iliyojaa hali ya wasiwasi mkubwa, vurugu na mapambano ya kijeshi, ambayo imeleta matatizo makubwa na kutishia usalama wa maisha yao. Hivi karibuni waandishi wetu wa habari wawili walitembelea ofisi ya China iliyoko Palestina, na kusikiliza masimulizi yao kuhusu maisha yao katika mazingira ya kivita.
|
Utatuzi wa mgogoro askari wa Israel aliyetekwa 2006/07/05 Hadi hivi sasa mgogoro wa mateka kati ya Palestina na Israel umeendelea kwa zaidi ya wiki moja. Tarehe 4, wakati muda wa mwisho uliowekwa na makundi ya watu wenye silaha nchini Palestina yaliyomteka askari wa Israel ulipofika, Israel iliendelea kukataa masharti yao, na kusema haitashiriki kwenye mazungumzo na makundi hayo.
|
Mafanikio kadhaa yapatikana katika kupunguza umaskini duniani 2006/07/04 Ili kukaribisha mkutano wa mwaka wa Baraza la Uchumi na Jamii la Umoja wa Mataifa uliofanyika tarehe 3 huko Geneva, Umoja wa Mataifa ulitoa ripoti mbili kwa mfululizo. Ripoti hizo zinaona kuwa, dalili za kufurahisha zimeonekana katika juhudi za kupunguza umaskini duniani, lakini bado zinakabiliwa na changamoto kubwa.
|
Nchi zilizoendelea zinatakiwa kuonesha nia ya kisiasa ili kuyawezesha Mazungumzo ya Doha yapate mafanikio 2006/07/03 Baada ya kufanyika pilikapilika kwenye majadiliano ya siku 3, wawakilishi wa nchi wanachama wa Shirika la biashara duniani wakiwemo mawaziri 60 wa biashara na kilimo, bado hawajaweza kufikia maoni ya pamoja kuhusu masuala muhimu ya mazungumzo hayo yaani masuala ya kilimo na kuruhusu bidhaa zisizo za kilimo kuingia kwenye soko, hivyo mazungumzo hayo ya ngazi ya juu ya shirika la WTO yalimalizika tarehe 1 Julai kwa siku moja kabla ya wakati uliowekwa.
|
Israel imeahirisha mashambulizi dhidi ya ukanda wa Gaza 2006/06/30 Tarehe 29 serikali ya Israel iliamua kuahirisha mpango wake wa kuishambulia sehemu ya kaskazini ya Gaza jioni ya siku hiyo, uamuzi huo umeleta tumaini dogo la kutatua mgogoro kati ya Palestina na Israel kwa njia ya mazungumzo.
|
Iran yatulia wakati nchi za magharibi zinasubiri kwa wasiwasi 2006/06/29 Wasikilizaji wapendwa, tangu mwakilishi wa Umoja wa Ulaya anayeshughulikia sera za kidiplomasia na usalama Bw. Javier Solana alipoikabidhi Iran mpango mpya wa nchi 6 za Russia, Marekani, China, Uingereza, Ufaransa na Ujerumani kuhusu utatuzi wa suala la nyukilia la Iran
|
Mkutano wa nchi zilizosaini "Mkataba wa kuhifadhi urithi wa utamaduni usio wa vitu halisi" wafanyika huko Paris 2006/06/28 Mkutano wa kwanza wa nchi zilizosaini "Mkataba wa kuhifadhi urithi wa utamaduni usio wa vitu halisi" ulifanyika huko Paris, tarehe 27 Juni
|
Mjumbe maalum wa China asisitiza kuwa mgogoro kati ya waarabu na Israel utatuliwe kwa njia ya mazungumzo ya amani 2006/06/27 Mjumbe maalum wa China anayeshughulikia suala la mashariki ya kati ambaye yuko ziarani Misri Bwana Sun Bigan tarehe 26 alisisitiza huko Cairo kuwa, serikali ya China siku zote inatetea kutatua kisiasa mgogoro kati ya Waarabu na Israel kwa njia ya mazungumzo ya amani
|
Tuimarishe mapambano dhidi ya dawa za kulevya 2006/06/26 Tarehe 26 mwezi Juni ni "siku ya kupiga marufuku dawa za kulevya duniani". Kaulimbiu ya maadhimisho ya siku hiyo mwaka huu ni "dawa za kulevya si mchezo wa watoto". "Taarifa ya kupiga marufuku dawa za kulevya duniani mwaka 2005" iliyotolewa na ofisi ya udhibiti wa dawa za kulevya na uvunjaji sheria ya Umoja wa Mataifa inasema, thamani ya biashara ya rejareja ya dawa za kulevya duniani imefikia dola za kimarekani bilioni 322, zikiwa ni 0.9% ya jumla ya mapato ya nchi mbalimbali duniani.
|
Waziri mkuu wa China atoa heshima kwa makaburi ya wataalamu wa China waliojitolea muhanga nchini Tanzania 2006/06/24 Waziri mkuu wa China Bwana Wen Jiabao tarehe 23 asubuhi akiambatana na waziri mkuu wa Tanzania Edward Lowassa alikwenda mahsusi kwenye makaburi wa wataalamu wa China waliojitolea muhanga nchini Tanzania yaliyoko kwenye kitongoji cha Dar es Salaam
|
Urafiki wa China na Tanzania waimarika zaidi 2006/06/23 Sauti mnayoisikia hivi sasa ni ya mitambo ya kutia rangi vitambaa iliyoko katika karakana ya kiwanda cha nguo cha Urafiki, ambacho ni kiwanda kinachoendeshwa kwa ubia kati ya Tanzania na China.
|
Wen Jiabao afafanua sera ya China ya kuanzisha na kukuza uhusiano wa kiwenzi na kimkakati kati ya China na Afrika 2006/06/22 Waziri mkuu wa China Bw. Wen Jiabao tarehe 22 mwezi juni alitoa hotuba kwenye baraza la kwanza la ushirikiano wa kibiashara kati ya China na Afrika Kusini.
|
Reli ya TAZARA yenye matumaini 2006/06/22 Reli ya TAZARA iliyojengwa kwa msaada wa serikali ya China ilianza kazi rasmi miaka 30 iliyopita. Hivi sasa reli hiyo inayoonesha urafiki mkubwa kati ya wananchi wa China na Afrika ina hali gani? Waandishi wetu wa habari wametuletea maelezo kutoka Tanzania wakisema, Reli ya TAZARA imejaa matumaini makubwa.
|